🛑FRIJI BOVU AMTABIRIA MAKUBWA ELIE MPANZU KWA BALAA LILE LA JUZI SIMBA ITAPIGA WATU TANO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 36

  • @JimmyJimmy-g3p
    @JimmyJimmy-g3p 18 дней назад +5

    Ase wejamaa nilikuwa nasubilia umchambue huyowamba MPANZU kwa bahat mbaya sijakuona hewani huku coz kwanza nakukubali mwamba kwa uchambuzi wako na ulivyo barikiwa friji buvu ndo kabisa hugandishi BIG UP brother

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j 18 дней назад

    Ngoma is my best,ingawa hanifaham,nampenda sana nimpole ni mpenda amani

  • @HamuViatu-p8g
    @HamuViatu-p8g 18 дней назад +2

    Nakukubari sana friji

  • @KhamisMohd-y9t
    @KhamisMohd-y9t 18 дней назад

    Mombasa uko vizuri sana kwenye uchambuzi usubiri mana yako tu

  • @Lulaboytz
    @Lulaboytz 18 дней назад +3

    Tulikumissy sana David psc

  • @AndrewAristaricko
    @AndrewAristaricko 18 дней назад +1

    Ubayaaa ubwex ❤❤

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs 18 дней назад +2

    Yaan mzee wa freej bovu kiukweli unatususa sana 🎉🎉

  • @NeemaOthuman
    @NeemaOthuman 18 дней назад +4

    Nilikumis sana frij bovu

  • @JACOBURASSA-z5f
    @JACOBURASSA-z5f 18 дней назад +3

    Mm mwenyewe nilishangaaa sikuoni

  • @ShelyboyshelyShelyboy
    @ShelyboyshelyShelyboy 18 дней назад +2

    Kaka mkubwa kazi iendelee

  • @GeofreyJulius-o4z
    @GeofreyJulius-o4z 18 дней назад +3

    💪💪

  • @MariamOmary-uq3rs
    @MariamOmary-uq3rs 18 дней назад +2

    jmn nilikumiss sn friji bovu yani nimekupekua kila sehemu cjakupata karibu sn tupe vitu

  • @Mkunga-d1l
    @Mkunga-d1l 18 дней назад +2

    Ulituweka roho juu

  • @AllyMasamaki-r7o
    @AllyMasamaki-r7o 18 дней назад

    umenisa.sanafrijibovu.kwasababu.mimi.mshaki.wako.leo.ndiyo.nakuona

  • @GodfreyChialo
    @GodfreyChialo 18 дней назад +2

    Kweli kaka tumekutafuta Sana kaka wewe ni mkweli Sana kaka

  • @SamirySaidy-t6q
    @SamirySaidy-t6q 18 дней назад +2

    Ata me pia nilitamani kuona ukifanya uchambuzi wa mchezo wa simba na kagera

  • @selemaninankaha9352
    @selemaninankaha9352 18 дней назад +1

    Nikweli umetuzingua sana

  • @GidionPeter-k8y
    @GidionPeter-k8y 18 дней назад +2

    Mbona umecherewa,kufanya uchambuzi firiji bovuu😅😅

  • @HhNn-f5s
    @HhNn-f5s 18 дней назад +2

  • @desuretvonline255
    @desuretvonline255 18 дней назад +1

    Mr Davis Unazionaje center back zilizocheza dhidi ya kagera unamuona hamza anaenjoy kucheza na nani kati ya che malone au chamou

  • @AlphonceKideka
    @AlphonceKideka 18 дней назад +3

    Hamna mchambuzi bingwa nchi hii km huyu jamaa

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 18 дней назад +2

    Kumbe we mtu wa nyumabn 😂😂

  • @maryaernest3554
    @maryaernest3554 18 дней назад +1

    Frig bovu ulikuwa wapi siku mbili hizi hatuja kuona

  • @josephsangawe7666
    @josephsangawe7666 18 дней назад +1

    Hakuna mchezaji hataingia dirisha dogo kwa upande wa Simba fc chukua hilo bro....

  • @PHARM9
    @PHARM9 18 дней назад

    Nlikusubili kimbwa dadeq

  • @alfredmlema5928
    @alfredmlema5928 17 дней назад

    Mm nilikutafuta kinyama

  • @rajabuhassan1932
    @rajabuhassan1932 18 дней назад +1

    Wawooooh

  • @SamiaSalumu
    @SamiaSalumu 18 дней назад

    Kk. Pasco nimefurahi kukusikia. Uchambuzi. Wako. Siku. 3 sijakusikia .kila. Nikijitahidi. Kukutafuta. Sikupati. Mpaka. Nikahissi. Sm. Mbovu

  • @CharlesLaulent
    @CharlesLaulent 18 дней назад +1

    Kweli frij bovu wewe na dogo Yusuf cjawaona sku mbil izo bana

  • @SamiaSalumu
    @SamiaSalumu 18 дней назад

    Kk. Pasco. Uchambuzi .umetukuka. Sn. Nakukubali. Sn. Km. Haupo .hata .youtb .siingiagi

  • @AbdallahHalphan
    @AbdallahHalphan 18 дней назад +2

    Huna baya jombaa

  • @CharlesLaulent
    @CharlesLaulent 18 дней назад +1

    Nimfatilia sana uchambuzi wako ww ni mkweli jicho lako lonaona kweli kweli

  • @Isakhiayusuph-jb3yx
    @Isakhiayusuph-jb3yx 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤