ANOTHER VIDEO BONNKE PREACHING IN TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 сен 2024
  • Haya ndiyo maajabu ya uponyaji ishara na miujiza katika mkutano wa injili uliofanyika jijini Mbeya na mhubiri wa Kimataifa REINHARD BONNKE
    Reinhard Bonnke ni Mwinjilisti wa kimataifa ambaye katika mikutano yake hasa barani Africa ametumiwa na MUNGU kuongoza kwa YESU watu zaidi ya million 75, ujazo wa Roho mtakatifu katika mikutano yake iliyojulikana kama FIRE CONFERENCE na ishara miujiza na uponyaji isiyohesabika
    Pia ametumiwa kuimarisha na kuinua huduma hasa katika bara la Africa,mahubiri haya yakuimarishe na kuongeza shauku kwako unayetamani kutumiwa na Mungu kuleta watu kwa YESU na ishara na miujiza
    Subscribe kwa habari zaidi za injili, mafundisho yenye uzima na Historia za wahubiri kote ulimwenguni waliotumiwa na Mungu kuleta uamsho duniani kwa kufanya hivyo utakuwa unatoa sadaka yako kwa Mungu na kutuwezesha kuleta habari njema zaidi.
    UBARIKIWE SANA

Комментарии • 35