Wow , hii band ni Noma wako Sawa jamani..nampa pongezi Rais Samia Suluhu wape vyombo vya muziki full set...these guys are able team... lots of love from Kenya..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌
HAO JAMAA WANAJUWA SANA KUIMBA SEMA KWA NINI WANAKAA MUDA MREFU BILA KUACHIA KAZI MPYA MASHABIKI TUNAKUWA TUNAMISS MUZIKI MZURI WA ASILI WANAO FANYA WAWINDUKA BAND
Wow , hii band ni Noma wako Sawa jamani..nampa pongezi Rais Samia Suluhu wape vyombo vya muziki full set...these guys are able team... lots of love from Kenya..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌
Noma sana
Dah kwaiyo toka usafwani now uelekeo uholanzi dah mungu awatangulie sana wasafwaaaa hoyeeeeeeee
Mwiduka band unyama sana
Nawatizama kutoka Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮🇫🇮 Next time Karibun Finland tunawakubali sana Wamwiduka💪💪
mnakubalika saana, ushauri wangu, MSIOTE KIBULI MAPEMA, ENDELEENI KUWA WANYENYEKEVUUU MTAFIKA MBALI SAANAA
Ninawependa sana wamwiduka
Good job my brothers🥰🥰🥰
Naomba huko muendako mavazi yenu yawe na rangi ya bendera ya nchi yetu pendwa tz
HAO JAMAA WANAJUWA SANA KUIMBA SEMA KWA NINI WANAKAA MUDA MREFU BILA KUACHIA KAZI MPYA MASHABIKI TUNAKUWA TUNAMISS MUZIKI MZURI WA ASILI WANAO FANYA WAWINDUKA BAND
Alafu mnapunguza background sounds jamani producer
❤❤❤❤❤😍
Huyo kijana wa calabash
Msisaau kubeba bendera ya TANZANIA 🇹🇿 na asiri ya mavazi yenu msiyaache
Kaka brown unayumba siku hizi pombe nyingi kaka kaa kweny fom bn bendi inkuhitaji najua kun changamoto unapitia ila kaza moyo
Lakini mwanahabari anaongea sana kuliko wasanii waalikwa jamani
Noma sana