Pale ni kazi tu watu wanaumia.shukuru Mungu tuko Tanzania bado kuna neema....je waisrael wanapouwawa hawana ndugu zao.mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu...
@@mkude tunajua nahata yesu alisema nilikuja kwa walio wangu wakanikataa yaani wayahudi lkn nenda kasome mwanzo 12 kuanzia Aya yakwanza utaelewa.kiufupi cc tunawasapoti waisrel kwasabbu ahadi ya mungu aliyompa ibrahimu inatembea nao pasinakujali wamekengeuka au laa mungu akisha kuahidi kitu imeishaa no matter what kasome mwanzo 12 utaelewa iyo ahadi
Mtajidanganya ivyoivyo Kila siku wenzenu wanapigwa nyinyi mnajaza matumbo na kulala fofofo Yani kama haikuumi kupigwa Kwa wafarestn ikiwa wewe ni muislam kapime akili huwenda huna akili sawasawa.
Isikuume Kwa muislam kupigwa kama mcha mungu inatakiwa uwe na huruma Kwa binadamu yoyote akiumizwa na kuwakemea wanao anzisha vurungu na kusababisha maafa Kwa wasio na hatia
Namanisha dini isiwagombanishe na ndugu zenu sababu waweza kumpendeza mungu hata ukiwa mpagani matendo yako mema yakakufanya mungu akuchague ila kama utakumbatia uovu sababu katenda duguyo IPO siku huyo nduguyo atakutendea wewe acheni ushabiki wa dini Hawa watu wangekuwa wema kwetu wasinge tufanya watumwa wao na yeyote anae jali jambo nje ya mipaka ya afrika bado ni mtumwa
Natumaini huyu maisha yake yote hajawahi kutana na myahudi, kwanza Tz wayahudi hawapo, ila tokea utoto wake amefundishwa kuchukia watu ambao hawajui, hawa hawa hapa bongo wanabaguliwa na waarabu ila bado wanajipendekeza eti waarabu ndugu zao kisa babu zao walishika dini zao
MTUME NDIYE kasema MUISILAM NDUGU YAKE muisimu akiwa mzungu NI ngugu YANGU akiwa MUARABU akiwa mchina akiwa mmasai ilimradi NI muisilamu NI NDUGU YANGU haijalishi yupo nchi gani hata akiwa muyahudi NI muiisilamu NI NDUGU YANGU.
Kinacho zungumziwa hapo ni dini ya mwenyezimungu sio mwarabu na wala mwarabu haja anzisha dini ila dini niya mwenyezimungu na hapo hajazungumziwa mkristo wana zunguziwa mayahudi wewe unapaniki nn
@@HamisAbdallah-cj2sc hata kama alisema huo ndio uhalisia, we kwa umri uliofikia unaona hao watu ni ndugu zako, itakua hujawahi ishi nao ndio udhibitishe hayo maneno yako
Huyu anatafuta msaada ubalozi wa Palestina Tanzania,maana anaongea upuuzi,eti mlango wa mbinguni,Hii dini changamoto yake ni uvivu wa kufanya kazi na kufikiria.
Mimi sielewi kitu kimoja.hizi dini tuliletewa na Hawa watu weupe Kwa masilahi Yao walikuja Africa kama wakoloni misenary wakibeba biblia na quran wakatutawala wakatuua na kutuuza kwenye nchi zao kama nyanya leo hii tunajiingiza kwenye mambo Yao. mungu wetu wa Africa Yuko wapi? Mungu wetu anaetufanya tusamehe yote yaliotutokea huko nyuma enzi za ukoloni wao kwanini tunajitenga nae . Mungu wetu ni mungu wa amani mwenye kusamehe asielipiza kisasi anaejubu Dua zetu asietaka vita asiejilipua Kwa mabom mwenye subira huyu ndie mungu wetu wa africa Kwa nini tunamwacha yu wapi
Tuzidisheni duwa ummah hili swala n letu sote lazima tuinusuru dini ya allah habari zakuleta mzaha na mambo ya allah huo n uzembe waislamu sote n ndugu iwe uko kenya uwe uko bongo uwe uko ardhini uko angani madamu anaepigwa vta n muislamu n uislamu unaovunjika kumalzka kwa ummah c kumalzka kwa dini hawatoweza kuwamalza allah atalipa nguvu jeshi la uislam ishaallah.
Kwani walio uwawa iziraili ni dini gani kwanini hatuwajali kama niwatu wamekufa. Tuaache udini tumjali Kila binadamu tusipotee kwasababu ya udini mungu atulinde .
اللهم إنا نسألك باسمك القّهار أنْ تقهر من قهر إخواننا في فلسطين، ونسألك أن تنصرهم على القوم المجرمين. اللهم اجعل نار أعدائهم عليهم برداً وسلاماً يا أرحم الرّاحمين.
Sio kila anaye Vaa kanzu na Barakashea BAS anaakili timamu....!! Tafadhali Tuchague mambo ya kuyaendea. Namshangaa Mtu mweusi Tena wakutoka Nch masikini kama Tanzania Anahamasisha Upuuzi kama Huu. Hvi Lini Tutajitambua na Kuacha Kua Vibaraka wawatu Weupe...!? Hv Hii hali ingetokea Tanzania Hayo mataifa yangekua Miongon mwa Watoa Msaada Kwetu...!?
Israel wakuawa... hamsemi... wakisimama kurudsha mashambulz inakuwa palestina na dn inaonewa.... Huu n uchochez... cha kushukuru Mungu yu pamoja na Israel
waislamu wengi hamjui dini yenu mnasubili kusimuliwa kama hivyo mtume wenu anaambiwa na mungu wake ukiwa nashaka na haya tunayokutelemshia nenda kawaulize manaswala,wakristo, ww na mungu wako nani anaakiri zaidi
Acha uchochezi,inaonyesha umekata tamahaa na maisha,unacho ,ongera ukifahamu,sisi tumeoa nakuoreana na waisramu Tena serekari muwahangalie vizuri watu kama awa wachochezi.
Jamani hivi vita waafrika havituhusu kongo wapo vitani Sudan na naija ila waafrika tulivyo wazembe tunashindwa kuwasaida tunasema walabu ndugu zetu kueni na akili wazungu na waarabu tusipo jielewa tutatawaliwa mpaka tufe
Hawafanyiwi WAISLAM tuu ndugu yangu, wao wanapigana kwa maslahi yao binafsi la msingi shekh umesema TUWAOMBEE. KWELI KABISA TUWAOMBEE. WAYAHUDI WAWACHE NDUGU ZENU NA KWELI KABISA WALIMUUA YESU. NA KWELI INJLI ILISHUKA KWA AJILI YAO ILA BADO WABISHI, TUWAOMBEE TU NDUGU ZETU.
Aliyekuambia Uislam ni dini ya haki Nani?Mnapenda sana kujipa Moyo,sasa nikuambie wewe usiyejijua, Islam ni dini ya kuzimu,kumbuka MUNGU wetu hana dini,yeye huangalia IMANI ya mtu kwake tu. Dini ilianzishwa na wanadamu tu kama njia yao ya kumtafuta MUNGU. Lakini MUNGU Ana njia ya jumtafuta mwanadamu,nayo ni WOKOVU unaitokana na KRISTO YESU na siyo MOHAMMAD. Amka ulikolala Kaka.😂😀
Wapendwa jamani tusimkufuru Mungu na kuanza kuwasha moto usio zimwa. Haya mambo yapo kwenye unabii na kama unataka kufahamu kidogo, Fungua kitabu cha Biblia. Sikiliza hapo chini: Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu; lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake. Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU. Amosi 1:6-8.
Adibika shekh huwezi kusema ya kwamba sisi vita hii Inatuhusu! wa islam msidanganyake ukisema hivi unatugombanisha sasa watanzania sisi kwa sisi kwa upumbavu wa kidini wa Tanzania kuweni na Akili
Mbona masheghe wetu siwasikii wakizungumzia kwa uzuto huu, uonevu unaofanywa na ccm na Serikali yake kwa watu wa Ngorox2’s au sio ndugu zao? Inasikitisha kuona mishipa inamkaza kwa watu baki badala ya wananchi wenzake. Tusimlaumu Bali apewe pole kwa kuwa “brain washed”
Nenda kapigane, kama msikiti wako unapigwa , mapovu yanini, ila ujue PALESTINA wamechokoza ISRAEL, waacheni hakione, taifa la Mungu linalipa kisasi, Hadi waseme, NYETANYAAAAAH AKBARRRR,
Usichanganye Yesu na Issa ni watu wawili tofauti. Elewa pia Israel ni taifa teule la Mungu. Kama una akili sawasawa ujiulize waisrael ni wachache lakini mnashindwa kuwaangamiza. Na safari hii wachokozi ni Hamas wako haohao, halafu Mbinguni haendi mwenye dhambi hivyo Marehemu Muhamad hakuwahi kwenda na hayupo Mbinguni acha KUDANGANYA wasiojuwa.
Sisi tunawalilia. Waislam wenzetu na sio makafiri kwani wapo warabu wengine ni wajristo na kila kabila wapi wema nawaovu sisi ndugu zetu ni waislamu wenzetu hata aweko uchina na ulaya huyo niwetu tu we kafiri lisikuume hilo endelea na maisha yako .
Wewe nimchochezi atahivyo Ukishindana na Israel umeshindana na Mungu. Ukitaka kuelewa vizuri Israel na Palestina Soma Biblia Takatifu inaeleza ukweli. Kifupi nikwamba Hawa watu niwatoto wa Baba Mmoja Ibrahimu. Lakini wenye ahadi za Mungu kuhusu Ardhi na Mji Mtakatifu Yerusalemu ni Wayahudi.
Dini inaingiaje hapo mbona sikuelewi hii ni vita ya aliyempiga mtu Sasa anamfundisha adabu ielewekehivyo wadanganye wenziwe Israel SI wa Kristo ukiristo upo nje ya Israel hao tunawaita watu wenye maagano na Mungu tangu Abrahamu hakuna dini hapo jibuni hoja
Hao ni ndugu, vitukuu na vilembwe vya Yakobo na Esau ächa wapigane Usituingize kwenye ugomvi wa kindugu Waswahili wanasema ndugu wakigombana kaa pembenii
Kweli nyie ni watumwa wa waarabu mbona hamujali vita vya Ukrein,Sudani, na Congo we mjinga sana acha kuleta chokochoko hapa bongo Kama kweli wew unaweza toa mfano kwanza yaani uende ukatoe mchongo
Ndo kazi uliyo nayo shekh wangu, ya kujaza fitina kwa waumini wako? Kwa hiyo kama wale ndugu zetu; sawaa! Je hoja yako unataka na sisi tukapigane au vp, msiwe na maneno ya kichochezi ivo
Kweli Hajui histori kabisa,wanaangalia Israel kuanzia 1948,ndio maana anaropoka tu, Amosi 9:14-15 [14]Nami nitawarejeza tena watu wangu Israeli waliohamishwa, nao wataijenga miji iliyoachwa maganjo, na kukaa ndani yake; nao watapanda mizabibu katika mashamba, na kunywa divai yake; nao watafanyiza bustani, na kula matunda yake. And I will bring again the captivity of my people of Israel, and they shall build the waste cities, and inhabit them; and they shall plant vineyards, and drink the wine thereof; they shall also make gardens, and eat the fruit of them. [15]Nami nitawapanda katika nchi yao, wala hawatang’olewa tena watoke katika nchi yao niliyowapa, asema BWANA, Mungu wako. And I will plant them upon their land, and they shall no more be pulled up out of their land which I have given them, saith the LORD thy God.
Wewe unaudini wakijinga unafikiri wote tukifanana nawewe dunia itakalika peleka ushetani wako huko kumbe shamburio la hamasi Israel ulilifurahia Sana sasa ngoja washugurikiwe magaidi
@@hassansingano1150wale hata bila marekani wanashinda nenda kaulize imamu wako akupe history vizuri juu ya Israel maana kunavitu vipo hata kwenye Vitabu vyenu kuhusu uwezo wa Wayahudi atakwambia ila mfate chemba siyo mbele ya watu pia hao Israel ndiyo wanao tengeneza hizo silaha hapo marekani pia waoo ndiyo wanamiliki uchumi wa Dunia hao ndiyo waanzilishi wa mabenk yote pia hao ndiyo wenye teknolojia pia nakupa Aya hii ili utambuwe ni TAIFA lililo Barikiwa na Mungu kuliko watu wengine mapaka siku ya kiyama Quran 45:16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote. 17. Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana.
Ilo swala la parestina na Israel hakuna hawezae kulitatua Ila MUNGU pekeee,unapoteza muda wako,angalia usije ukahubiri injili chonganishi yenyekuleta mafarakano na vifo.
😢kila mtu anasema yake ila twajua kwamba israel 🇮🇱 ilikuwa tangu zamani sana sasa palestine wana taka kuifanya isiwepo haiwezekan kama kweli islamic wapo sahihi wasinge pambana hata kidogo.piah wasinge guswa pia tunajua sana kwamba gaza ni sehemu ya Israeli 🇮🇱 🇮🇱
Tushukuru huo msikiti Aqsa haukuwa Africa Ungezungushwa maduka yote😂 Kisha mngekaa mkatukana ahli ya mtume(masharifu) na kubishania mawlidi 😂 Na pia kuongelea tenda za serikali 😂 Halafu maneno ya kihuni kama mpo vibaraza vya kahawa😂 Ila tunawaombea wapalestina kwa kuwa ardhi ya palestina ni haki yao .wapo waislam na wakristo. Allah awajaalie Ushindi na Allah ainusuru Aqsa.
Hakika hivi ni vita vikubwa vya kidini Lakin hili nijambo la kiundani Zaid naiona vita halisi bado haijatokea na kinachofata nalioneshwa urusi inaenda kuingia katika vita hivi
Hakuna Vita ya kidini hapo acha kujichanganya,hii vita ni mwanzo wa ule utungu,mwenye kujitakasa na ajitakase sana,na mwenye kutenda dhambi na atende kwa bidii ili NENO litimie🙏🏻🙏🏻
Ndugu zangu msiseme hivyo tunamkufuru Mungu na tunataka kuingizana kwenye moto usioweza kuzimwa. Jambo hili Lipo wazi ukisoma kitabu cha Amosi 1:6-8, Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu; lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake. Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU. Itafute Biblia soma Amosi 1:6-8
Mimi naona sisi kama wa Africa hii vita ya Palestine na israeli tu wape macho tu maana wenyewe ni ndugu ukisha leta udini ndani yake basi unataka ku aribu kila kitu
We ustadhi ni mpumbavu hakuna vita ya udini vita hii ni ya kugombea ardhi hats sisi inakuja soon kaeni kwa kutulia kuwatoa Masai Ngorongoro yanakuja hayo huko mloko wapelekanwatakataliwa miaka ijayo tulieni TU mtaona
Jamani achaneni na wajsrael nyie hivi mnakumbuka makabila yaliyokuwa mbele ya Israel wakati wanatoka Misri kwenda huko waliko wslivyokuwawanapigwa? Waisrael ni taifa teule na hiyo nchi ni yao. Nawaambieni ondokeni ukingo wa Gaza na bado hamjapigwa mbwa nyie waislamu!
Vipi wanavyoteswa Wamasai ngorongoro ndani ya nchi yao kwa sababu ya ardhi yao auwaoni unakazana na dini ya kuletwa na mzungu na mwarabu jitafakari kwanza kabla ya kukurupuka kuongeza yasiyokuhusu
Unaonaje ukienda kumlingania dini rais wa Korea ya kaskazini bwa kiduku. Maana yeye anajua kutengeza siraha tu dini hataki kabisa. Na ukikutwa na kitabu Cha dini unanyongwa.
Tatizo ni maarifa madogo! Huyo jamaa anataka vita vya kidini! mbona congo wako vitani miaka na miaka! hiyo vita ya Palestina inakusaidia nini mbona hujaenda kupigana Ukraine! wapeleke waumini wako congo! Mbona waislam wote ni ndgu yetu? Jaribu uone, nenda kule utakacho kutana nacho utajua! Unachochea kitu usichokijua! Jaribu kuwalaani au kupigana na Israel tuone.
Nendeni ndgu zetu mkampiganie allah mkifa mnafika mbinguninaliko mtume wenu kufeni sana mfike mbinguni, hivi hawa wahindi ambao wanaabudu sanamu kama ng'ombe nawo huwa wanampigania Allah au ni ninyi tu ??
Acha ujinga,Muislam gani anapigwa vita?Hamas wameanza wao kuipiga Israel, sasa ulitaka waangaliwe tu?wao kama Nani? Sasa Wapalestina watspigwa hadi was he ujinga wao,na kama unaiona ni vita ya hiyo dini yako usieneze simu kwa wengine,nenda kapigane wewe na familia yako!!
Wewe mchochezi wa dini hebu acha. Maramoja unataka kutoa msaada njia neupe unaluhusiwa kwenda parestina nasio kutoa mafunzo ya uchocheze utashughulikiwa mda si mlefu utazima kama mshumaa
Pale ni kazi tu watu wanaumia.shukuru Mungu tuko Tanzania bado kuna neema....je waisrael wanapouwawa hawana ndugu zao.mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu...
Ilo nalo neno
Anaongea na waislam huyo haongei na MAKAFIRI..
@@sultansallah8772 anaongea na firauni
Wewe unafundisha chuki za kidini
Wewe unafundisha chuki za kidini
Tupo pamoja n ww shekh wetu allah akuhifadhi INSHALLAH
Mwenyez Mungu asimamie hili maana watu wengi wanaangamia pasipo sababu.Eeh mola ingilia kati Inshallah.
Nenda ufanye shughuli zako! Hujui unachokuzuguma. Knowledge is power!
Hii Chanel ya waislaam sijui makafiri mnatafta nini hapa nyie mbwa
Assalaam alaykum warahmatulahi wabarakatuh shukran ya sheikh kwa ukumbusho tupo tayari kupambana na makufari na munafikuna
😁😁😁upo tiale kupambana wap wew uko tiale kuviuew video youtube na ku comment walio tiale kupamban hawapo youtube saiv sjui unanielew??
Utabambana na nani na kufanya nini
Naenda Gaza
Acheni ujinga na wakati mnaelimu tumieni elimu zenu kutafuta amani sio kutumia mtutu
Ata kua panja uwez mbwe wew
Shekh acha kudanganya waumini wako, unachowafundisha hakitawasaidia, sisi huku mtaani mwislam akipata shida namsaidia vizuri sana, na Mimi mkiristo waislam rafiki zangu Huwa wananisaidia Sana pindi ninapopitia changamoto
Yeye azungumzia mayahud sio wewe
Ukitaka kukosana na cc wazungumzie vibaya wayahudi
@@justusngailo9302wayaudi wanakujua wapi wewe kuku wa mmoja au kwavile mashoga wenzenu ndio maana waleta shobo pole
@@justusngailo9302 hao si ndo waliomsulubu yesu Kwa Imani yenu?
@@mkude tunajua nahata yesu alisema nilikuja kwa walio wangu wakanikataa yaani wayahudi lkn nenda kasome mwanzo 12 kuanzia Aya yakwanza utaelewa.kiufupi cc tunawasapoti waisrel kwasabbu ahadi ya mungu aliyompa ibrahimu inatembea nao pasinakujali wamekengeuka au laa mungu akisha kuahidi kitu imeishaa no matter what kasome mwanzo 12 utaelewa iyo ahadi
Ivi uliwahi kusikia wahindi na wachina wakishabikia haya mambo fanyeni ibada ili hali mko maali salama watu wanamaslahi yao wanayo yajua
Mtajidanganya ivyoivyo Kila siku wenzenu wanapigwa nyinyi mnajaza matumbo na kulala fofofo Yani kama haikuumi kupigwa Kwa wafarestn ikiwa wewe ni muislam kapime akili huwenda huna akili sawasawa.
Isikuume Kwa muislam kupigwa kama mcha mungu inatakiwa uwe na huruma Kwa binadamu yoyote akiumizwa na kuwakemea wanao anzisha vurungu na kusababisha maafa Kwa wasio na hatia
Mhindi na mchina ni nani katika dini yetu.Waislam wanafuata quran si mchina wala mnani
Namanisha dini isiwagombanishe na ndugu zenu sababu waweza kumpendeza mungu hata ukiwa mpagani matendo yako mema yakakufanya mungu akuchague ila kama utakumbatia uovu sababu katenda duguyo IPO siku huyo nduguyo atakutendea wewe acheni ushabiki wa dini Hawa watu wangekuwa wema kwetu wasinge tufanya watumwa wao na yeyote anae jali jambo nje ya mipaka ya afrika bado ni mtumwa
@@josephudoba5563 Muislam bila dini hawezi ingia peponi ndio maana tumasimama imara katika dini yetu.
Allahu awanusuru ndugu zetu wa falastina na Waislamu sote popote tulipo
Uwongo mtupu
Natumaini huyu maisha yake yote hajawahi kutana na myahudi, kwanza Tz wayahudi hawapo, ila tokea utoto wake amefundishwa kuchukia watu ambao hawajui, hawa hawa hapa bongo wanabaguliwa na waarabu ila bado wanajipendekeza eti waarabu ndugu zao kisa babu zao walishika dini zao
MTUME NDIYE kasema MUISILAM NDUGU YAKE muisimu akiwa mzungu NI ngugu YANGU akiwa MUARABU akiwa mchina akiwa mmasai ilimradi NI muisilamu NI NDUGU YANGU haijalishi yupo nchi gani hata akiwa muyahudi NI muiisilamu NI NDUGU YANGU.
Kinacho zungumziwa hapo ni dini ya mwenyezimungu sio mwarabu na wala mwarabu haja anzisha dini ila dini niya mwenyezimungu na hapo hajazungumziwa mkristo wana zunguziwa mayahudi wewe unapaniki nn
@@shamiryporoto8732 kwamba unataka tuambia hiyo dini babu zako waliletewa na mwenyezi mungu sio na waarabu
Uyahudi ni itikadi
@@HamisAbdallah-cj2sc hata kama alisema huo ndio uhalisia, we kwa umri uliofikia unaona hao watu ni ndugu zako, itakua hujawahi ishi nao ndio udhibitishe hayo maneno yako
Yani ata sura inaonyesha wewe ni mwoga😢
Mwenyezi mungu mwenyewe analijua hili na ni lazima litimie sisi ni nani hata tupinge nenda ww kawatete ila mm nitabaki na Tanzania yangu yenye amani
Basi twendeni tukawasaidie Mana tukiongelea bongo tutakuwa hatujawadaidia🎉 wapalestina🎉
Awa wamezoea blablaa ni asili yao wanajiona wao ndio wanamjua Mungu wakati dini yenyewe ya kuletwa
Huyu anatafuta msaada ubalozi wa Palestina Tanzania,maana anaongea upuuzi,eti mlango wa mbinguni,Hii dini changamoto yake ni uvivu wa kufanya kazi na kufikiria.
@@vincentcharles4385 kabisa
Mimi sielewi kitu kimoja.hizi dini tuliletewa na Hawa watu weupe Kwa masilahi Yao walikuja Africa kama wakoloni misenary wakibeba biblia na quran wakatutawala wakatuua na kutuuza kwenye nchi zao kama nyanya leo hii tunajiingiza kwenye mambo Yao. mungu wetu wa Africa Yuko wapi? Mungu wetu anaetufanya tusamehe yote yaliotutokea huko nyuma enzi za ukoloni wao kwanini tunajitenga nae . Mungu wetu ni mungu wa amani mwenye kusamehe asielipiza kisasi anaejubu Dua zetu asietaka vita asiejilipua Kwa mabom mwenye subira huyu ndie mungu wetu wa africa Kwa nini tunamwacha yu wapi
Ww ni mtu wa mungu fundisha mambo yenye kuleta aman ,upendo na mshikamano,.inchi hii waumin wadini zote ni wamoja sana
Mungu awape subra ndugu zetu..Aamin 😢
Tuzidisheni duwa ummah hili swala n letu sote lazima tuinusuru dini ya allah habari zakuleta mzaha na mambo ya allah huo n uzembe waislamu sote n ndugu iwe uko kenya uwe uko bongo uwe uko ardhini uko angani madamu anaepigwa vta n muislamu n uislamu unaovunjika kumalzka kwa ummah c kumalzka kwa dini hawatoweza kuwamalza allah atalipa nguvu jeshi la uislam ishaallah.
Uisilam ni dini ya mashetani
Mmeshindwa kuwasaidia Mayatima na maskini wa kiislam hawajaisha mtaweza kuwasaidia kweny vita??😅😅 nendeni mkandwe
Aamiin Aamiin
Mungu atawatia nguvu Palestine aaamin
Kwani walio uwawa iziraili ni dini gani kwanini hatuwajali kama niwatu wamekufa. Tuaache udini tumjali Kila binadamu tusipotee kwasababu ya udini mungu atulinde .
Tatizo, wayahudi wanataka kuuchukua msikiti wa waislamu
@@hassansingano1150kwani wakiuchukua kuna nn. Waache wao wapambane na mambo yao wewe omba uzima amani na upendo katika eneo lako.
@@hassansingano1150mbona waislam wamevunja sinagogi la wayahud lililojengwa na babu yao Suleiman
@@yaredmdabukoww kweli ujielewi yani wachukue msikiti uone kawaida ww utakua kafiri si muislam
@@goldmansun5859unaakilu sinagogi ni msikiti. Soma kwenye bibilia yenu ujue kafilimkubwawe
jazaka allah khair
اللهم إنا نسألك باسمك القّهار أنْ تقهر من قهر إخواننا في فلسطين، ونسألك أن تنصرهم على القوم المجرمين. اللهم اجعل نار أعدائهم عليهم برداً وسلاماً يا أرحم الرّاحمين.
Sio kila anaye Vaa kanzu na Barakashea BAS anaakili timamu....!! Tafadhali Tuchague mambo ya kuyaendea.
Namshangaa Mtu mweusi Tena wakutoka Nch masikini kama Tanzania Anahamasisha Upuuzi kama Huu. Hvi Lini Tutajitambua na Kuacha Kua Vibaraka wawatu Weupe...!? Hv Hii hali ingetokea Tanzania Hayo mataifa yangekua Miongon mwa Watoa Msaada Kwetu...!?
Hujui utendalo.pole sana.Tuachie shehe wetu na tunamsikiliza kwa umakini sana
Kamweee mfano si kongo sudani libya Gabon gene conackli hawazungumziiii awashobokeiii
Daa! Broo shule imekusaidi chukua maua yako sina cha kuongezea ila ulichoongea kinaitaji mtuuu ambae ajakimbia darasani
Ahsante sheikh tupo pamoja
Wayahudi wanakamilisha Mandiko nilazima itokee tuu
Walimuua YESU. Umesema mwenyewe shehe kweli kweli injiri inazidi kuingia ila mnabaki kuipinga tu. Yaan mnaujua ukweli lkn mnaukataaa. MUNGU awasaidie tu
Kwa imani yenu walimuua yesu. Usimsingizie sheikh hakuna muislam anaeamini hivyo. Waislamu wanaamini yesu hakufa ilaatakufa baadae.
Israel wakuawa... hamsemi... wakisimama kurudsha mashambulz inakuwa palestina na dn inaonewa.... Huu n uchochez... cha kushukuru Mungu yu pamoja na Israel
waislamu wengi hamjui dini yenu mnasubili kusimuliwa kama hivyo mtume wenu anaambiwa na mungu wake ukiwa nashaka na haya tunayokutelemshia nenda kawaulize manaswala,wakristo, ww na mungu wako nani anaakiri zaidi
Shekh samahan naomba kuuliza iv nani kamuanza mwenzie.
Kasome histor inayohusu nchi hizo mbili.utajua vizuri kuliko kimuuliza sheikh
Acha uchochezi,inaonyesha umekata tamahaa na maisha,unacho ,ongera ukifahamu,sisi tumeoa nakuoreana na waisramu Tena serekari muwahangalie vizuri watu kama awa wachochezi.
Jamani hivi vita waafrika havituhusu kongo wapo vitani Sudan na naija ila waafrika tulivyo wazembe tunashindwa kuwasaida tunasema walabu ndugu zetu kueni na akili wazungu na waarabu tusipo jielewa tutatawaliwa mpaka tufe
😢😢😢😢😢😢😢❤
Waislamu ni magaidi, uliona wapi dini inakuwa na vikundi vya kigaidi
@@faharierasto3032 ahahah pole wee
Wewe umenena havituhusu
Allah atamlani netanyahu na wafuasi wake.
Lini? Jua la kuku alimpati mwewe nyingi endeleeni kupiga makelele
Allah mwenyewe anamuogopa netanyahu
Hawafanyiwi WAISLAM tuu ndugu yangu, wao wanapigana kwa maslahi yao binafsi la msingi shekh umesema TUWAOMBEE. KWELI KABISA TUWAOMBEE. WAYAHUDI WAWACHE NDUGU ZENU NA KWELI KABISA WALIMUUA YESU.
NA KWELI INJLI ILISHUKA KWA AJILI YAO ILA BADO WABISHI, TUWAOMBEE TU NDUGU ZETU.
Uyu mjinga Sana Acha uchochez mana ata Palestinehawajazungumzia ujinga uwo kwamba wanapiga Waislam wew lnabid uchunguzwe yawezekana ni Gaidi
Unachosema ni sahihi.uislam ndio dini ya haki kweli.Tunateseka saana na vita hivyo.Tunaumia saaaana.wenye kuleta polojo tunawalaaaani sana.
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ukweli wauma makafiri dini yao ya usanii
@@fatmafatu1128 adi magaidi slam
Aliyekuambia Uislam ni dini ya haki Nani?Mnapenda sana kujipa Moyo,sasa nikuambie wewe usiyejijua, Islam ni dini ya kuzimu,kumbuka MUNGU wetu hana dini,yeye huangalia IMANI ya mtu kwake tu.
Dini ilianzishwa na wanadamu tu kama njia yao ya kumtafuta MUNGU. Lakini MUNGU Ana njia ya jumtafuta mwanadamu,nayo ni WOKOVU unaitokana na KRISTO YESU na siyo MOHAMMAD.
Amka ulikolala Kaka.😂😀
Atakuja mahdu wale sio waesrael ni wa zamanii ni wamerecani tu hv miaka maelfu mayahudi walikua wapi warudi leo uongo
Wapendwa jamani tusimkufuru Mungu na kuanza kuwasha moto usio zimwa. Haya mambo yapo kwenye unabii na kama unataka kufahamu kidogo, Fungua kitabu cha Biblia. Sikiliza hapo chini:
Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu; lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
Amosi 1:6-8.
Amiin
Uyu shehk anajikuta mwarabu sana anasahau kuwa yey pple from africa choko kabisa
Uwiiiii eti wangeletwa Uganda jaman
Naomba majib ustaadh kama vita c ya nch na chi sasa palestin walienda kuuwa wayahud kwa kosa lipi na pia je wayahud ni wakristo??
Watu hawajui kuwa wayahudi Sy wakristo
Adibika shekh huwezi kusema ya kwamba sisi vita hii Inatuhusu! wa islam msidanganyake ukisema hivi unatugombanisha sasa watanzania sisi kwa sisi kwa upumbavu wa kidini wa Tanzania kuweni na Akili
Mashaallah
Inshallah atashindwa ya HUD lkn kuna ya HUD wengne n wa Islam ingieni google,n 25"%ya wayahud,na Hiyo ALAQSA ni mskiti pili Madina n wa Tatu,
Acheni kupambana acheni😢😢😢😢😢😢 huu ni wakat wakukaa kwa amani na mazungumzooo
Duuuuh mtume alipanda kwenye jiwe kwenda Mbinguni harafu akarudi akafia na kuzikwa Macca , Duuuuh kweli kila mtu ana zake ??
Mashallah
Kwani waislamu mna shida gani na dini yenu? Watu wawili wakigombana na iwe kwamba mmoja mwislamu na mwingine dini nyingine,utasikia vita ya udini
Mbona masheghe wetu siwasikii wakizungumzia kwa uzuto huu, uonevu unaofanywa na ccm na Serikali yake kwa watu wa Ngorox2’s au sio ndugu zao? Inasikitisha kuona mishipa inamkaza kwa watu baki badala ya wananchi wenzake. Tusimlaumu Bali apewe pole kwa kuwa “brain washed”
Nenda kapigane, kama msikiti wako unapigwa , mapovu yanini, ila ujue PALESTINA wamechokoza ISRAEL, waacheni hakione, taifa la Mungu linalipa kisasi, Hadi waseme, NYETANYAAAAAH AKBARRRR,
Jamani tusubiri ukweli utajulikana tu,hakuna haja yakusema sisi Ni wahaki wale siwahaki acheni Mungu ayafunue yaliyositilika tutajua ukweli bayana.
Usichanganye Yesu na Issa ni watu wawili tofauti. Elewa pia Israel ni taifa teule la Mungu. Kama una akili sawasawa ujiulize waisrael ni wachache lakini mnashindwa kuwaangamiza. Na safari hii wachokozi ni Hamas wako haohao, halafu Mbinguni haendi mwenye dhambi hivyo Marehemu Muhamad hakuwahi kwenda na hayupo Mbinguni acha KUDANGANYA wasiojuwa.
NENDENI MKAUNGANE NA HAMAS SASA. :KAMA NANYI NI HAMAS WA TZ.
Ukiilani ISRAEL UNALAANIWA na ukiibariki ISRAEL UNABARIKIWA.
Sisi atulani Israel tunalani wa Zionist
Dah, umepigwa
Kweli kapisa❤❤
Nyamaza hujui kitu wewe. Kama hujui kitu usicomment. Hao waiziraeli wanawachukia wakiristo hawawataki kama hujajua.
Ukimlaan Ibrahim na wewe unalaaniwa sio myahudi.Myahudi amelaaniwa kwenye vitabu vya dini .Hajatofautiana sana na firaaun
Umeona palestina tuu ukrein husemi au sio wanadam alaah
Sisi tunawalilia. Waislam wenzetu na sio makafiri kwani wapo warabu wengine ni wajristo na kila kabila wapi wema nawaovu sisi ndugu zetu ni waislamu wenzetu hata aweko uchina na ulaya huyo niwetu tu we kafiri lisikuume hilo endelea na maisha yako .
Kinachoniuzi mm niviongozi wa dini kuitumia dini kuchochea watu kugombana
Wewe nimchochezi atahivyo Ukishindana na Israel umeshindana na Mungu. Ukitaka kuelewa vizuri Israel na Palestina Soma Biblia Takatifu inaeleza ukweli.
Kifupi nikwamba Hawa watu niwatoto wa Baba Mmoja Ibrahimu. Lakini wenye ahadi za Mungu kuhusu Ardhi na Mji Mtakatifu Yerusalemu ni Wayahudi.
Yaani ni jinga linachochea...uislam n ukristo sisi unatuhusu nini...acha ubwege
Dini inaingiaje hapo mbona sikuelewi hii ni vita ya aliyempiga mtu Sasa anamfundisha adabu ielewekehivyo wadanganye wenziwe Israel SI wa Kristo ukiristo upo nje ya Israel hao tunawaita watu wenye maagano na Mungu tangu Abrahamu hakuna dini hapo jibuni hoja
Kwani ukreene hakuna wasilam ivo ni Vita vyao kwanza waarabu waliwatesa Sana Babu zetu wabagunzi wew pingania nafsi yako iede pepon
Hao ni ndugu, vitukuu na vilembwe vya Yakobo na Esau ächa wapigane
Usituingize kwenye ugomvi wa kindugu
Waswahili wanasema ndugu wakigombana kaa pembenii
Kweli nyie ni watumwa wa waarabu mbona hamujali vita vya Ukrein,Sudani, na Congo we mjinga sana acha kuleta chokochoko hapa bongo Kama kweli wew unaweza toa mfano kwanza yaani uende ukatoe mchongo
Ndo kazi uliyo nayo shekh wangu, ya kujaza fitina kwa waumini wako? Kwa hiyo kama wale ndugu zetu; sawaa! Je hoja yako unataka na sisi tukapigane au vp, msiwe na maneno ya kichochezi ivo
Kasome hujui kitu ww unaropoka tu ka waulize vizuri waislam walio soma dini Wacha kuuchafya uislam
Mungu wanusuru viumbe wako tuache udini
Unafundisha uongo, historia huijui kabisa, umehadidhiwa hii story
Kweli Hajui histori kabisa,wanaangalia Israel kuanzia 1948,ndio maana anaropoka tu,
Amosi 9:14-15
[14]Nami nitawarejeza tena watu wangu Israeli waliohamishwa, nao wataijenga miji iliyoachwa maganjo, na kukaa ndani yake; nao watapanda mizabibu katika mashamba, na kunywa divai yake; nao watafanyiza bustani, na kula matunda yake.
And I will bring again the captivity of my people of Israel, and they shall build the waste cities, and inhabit them; and they shall plant vineyards, and drink the wine thereof; they shall also make gardens, and eat the fruit of them.
[15]Nami nitawapanda katika nchi yao, wala hawatang’olewa tena watoke katika nchi yao niliyowapa, asema BWANA, Mungu wako.
And I will plant them upon their land, and they shall no more be pulled up out of their land which I have given them, saith the LORD thy God.
Waislam tunapozungumza hayawahusu wakristo kwa sababu wakristo na mayahudi ndio sababu mauwaji yote ulimwenguni waliuwa manabii itakua watu wakawaida
Wakati huo wanamsulubu Yesu, wanataka kumuua Yusufu na uchafu wote walioufanya walikuwa waishi wapi?
Tafuta Historia Ya Mtu Mweus Vizuri Sisi Weusi Sio Wakristo Wala Waisilamu Sisi Ni Watumwa Bado
Huku ni kuonyesha kwamba tumekua vibaraka wa kupitiliza
Kwa hakika hii si vita ya wapalestina Bali hii ni vita ya waislamu.
Ndio maana wachina na wahindi hawataki hizi dini kutoka mashariki ya kati (Islam & christian)
Wewe unaudini wakijinga unafikiri wote tukifanana nawewe dunia itakalika peleka ushetani wako huko kumbe shamburio la hamasi Israel ulilifurahia Sana sasa ngoja washugurikiwe magaidi
Nachowapendea waisrael ukiwagusa tu wao wanafanya😂
Nyuma yake akiwepo mmarekani
@@hassansingano1150sio mmarekani tu hata sisi watanzania tuko nao,, Sasa wewe jichanganyeni uone
Tena wanakufanya sana 😂😂
@@hassansingano1150wale hata bila marekani wanashinda nenda kaulize imamu wako akupe history vizuri juu ya Israel maana kunavitu vipo hata kwenye Vitabu vyenu kuhusu uwezo wa Wayahudi atakwambia ila mfate chemba siyo mbele ya watu pia hao Israel ndiyo wanao tengeneza hizo silaha hapo marekani pia waoo ndiyo wanamiliki uchumi wa Dunia hao ndiyo waanzilishi wa mabenk yote pia hao ndiyo wenye teknolojia pia nakupa Aya hii ili utambuwe ni TAIFA lililo Barikiwa na Mungu kuliko watu wengine mapaka siku ya kiyama
Quran 45:16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote.
17. Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana.
Wekawazi pia kwamba unawapenda kwakua ndiowanaounga mkono mashoga?.
Palestina ikiuwa safi tuu ilawegine
Ilo swala la parestina na Israel hakuna hawezae kulitatua Ila MUNGU pekeee,unapoteza muda wako,angalia usije ukahubiri injili chonganishi yenyekuleta mafarakano na vifo.
😢kila mtu anasema yake ila twajua kwamba israel 🇮🇱 ilikuwa tangu zamani sana sasa palestine wana taka kuifanya isiwepo haiwezekan kama kweli islamic wapo sahihi wasinge pambana hata kidogo.piah wasinge guswa pia tunajua sana kwamba gaza ni sehemu ya Israeli 🇮🇱 🇮🇱
Tushukuru huo msikiti Aqsa haukuwa Africa
Ungezungushwa maduka yote😂
Kisha mngekaa mkatukana ahli ya mtume(masharifu) na kubishania mawlidi 😂
Na pia kuongelea tenda za serikali 😂
Halafu maneno ya kihuni kama mpo vibaraza vya kahawa😂
Ila tunawaombea wapalestina kwa kuwa ardhi ya palestina ni haki yao .wapo waislam na wakristo.
Allah awajaalie Ushindi na Allah ainusuru Aqsa.
Muongo shekh acha vita vya wa midle East ukiona yanakuhusu nenda kapigane kwa maneno hayo ulipaswa uwe umeshafika front
Hakika hivi ni vita vikubwa vya kidini
Lakin hili nijambo la kiundani Zaid naiona vita halisi bado haijatokea na kinachofata nalioneshwa urusi inaenda kuingia katika vita hivi
Hakuna Vita ya kidini hapo acha kujichanganya,hii vita ni mwanzo wa ule utungu,mwenye kujitakasa na ajitakase sana,na mwenye kutenda dhambi na atende kwa bidii ili NENO litimie🙏🏻🙏🏻
Ndugu zangu msiseme hivyo tunamkufuru Mungu na tunataka kuingizana kwenye moto usioweza kuzimwa. Jambo hili Lipo wazi ukisoma kitabu cha Amosi 1:6-8,
Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu; lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
Itafute Biblia soma Amosi 1:6-8
Amina, kabisa mtakatifu azidi kujitakasa
Mimi naona sisi kama wa Africa hii vita ya Palestine na israeli tu wape macho tu maana wenyewe ni ndugu ukisha leta udini ndani yake basi unataka ku aribu kila kitu
Sheikh ulatoka usingiziniii unaotaaa acha uongo
Islamic ni wapinga cristo .mmewachokoza wenyewe waislael acha mkione cha moto
We ustadhi ni mpumbavu hakuna vita ya udini vita hii ni ya kugombea ardhi hats sisi inakuja soon kaeni kwa kutulia kuwatoa Masai Ngorongoro yanakuja hayo huko mloko wapelekanwatakataliwa miaka ijayo tulieni TU mtaona
Aman haisimam bill upanga📢
Someni amosi 1:6 msishabikie mambo msio yajua
Chanzo cha vurugu zinazoendelea Gaza ni Wapalestina kupitia Hamas kuwaua kinyama Waisraeli wakiwa kwenye sherehe.
Acha hawa Wafilisti wabondwe tu.
Hacha kuchochea udini kwenye nchi yetu ww,hii nchi mbona inaelekea pabaya jmn
Jamani achaneni na wajsrael nyie hivi mnakumbuka makabila yaliyokuwa mbele ya Israel wakati wanatoka Misri kwenda huko waliko wslivyokuwawanapigwa? Waisrael ni taifa teule na hiyo nchi ni yao. Nawaambieni ondokeni ukingo wa Gaza na bado hamjapigwa mbwa nyie waislamu!
Vipi wanavyoteswa Wamasai ngorongoro ndani ya nchi yao kwa sababu ya ardhi yao auwaoni unakazana na dini ya kuletwa na mzungu na mwarabu jitafakari kwanza kabla ya kukurupuka kuongeza yasiyokuhusu
Hapa ni ukolofi wa islael na uonevu wao dhidi ya wapalestina tu sio dhidi ya uislamu.
Waislael wengi wao ni wayahudi sio wakristo tusidanganyane hapa
Mwongo
Wafundishe hao wasioujua uslamu nini
Uwezi kushindana na Mungu 😮😮😮
Unaonaje ukienda kumlingania dini rais wa Korea ya kaskazini bwa kiduku. Maana yeye anajua kutengeza siraha tu dini hataki kabisa. Na ukikutwa na kitabu Cha dini unanyongwa.
Tatizo ni maarifa madogo! Huyo jamaa anataka vita vya kidini! mbona congo wako vitani miaka na miaka! hiyo vita ya Palestina inakusaidia nini mbona hujaenda kupigana Ukraine! wapeleke waumini wako congo!
Mbona waislam wote ni ndgu yetu?
Jaribu uone, nenda kule utakacho kutana nacho utajua! Unachochea kitu usichokijua! Jaribu kuwalaani au kupigana na Israel tuone.
Nendeni ndgu zetu mkampiganie allah mkifa mnafika mbinguninaliko mtume wenu kufeni sana mfike mbinguni, hivi hawa wahindi ambao wanaabudu sanamu kama ng'ombe nawo huwa wanampigania Allah au ni ninyi tu ??
Tunaomba amani tu. Hatutaki vita popote
Acha ujinga,Muislam gani anapigwa vita?Hamas wameanza wao kuipiga Israel, sasa ulitaka waangaliwe tu?wao kama Nani?
Sasa Wapalestina watspigwa hadi was he ujinga wao,na kama unaiona ni vita ya hiyo dini yako usieneze simu kwa wengine,nenda kapigane wewe na familia yako!!
Utafanya nini kiladha wewe
Mfumuko wa bei tu unashindwa kupambana nao utaweza hiyo vita
Wewe na ao wenzako tuko teal kuwapiga waislamu wote tupo teal vita na waislamu vivi israel
Wewe mchochezi wa dini hebu acha. Maramoja unataka kutoa msaada njia neupe unaluhusiwa kwenda parestina nasio kutoa mafunzo ya uchocheze utashughulikiwa mda si mlefu utazima kama mshumaa