Huu wimbo Kara ya maji ninaukubari sana , hasa mpangilio wa Sauti ya Max Bushoke, na Hamis Juma (Maalim Kinyasi) na Max Bushoke,, na Drums zimepigwa vizuri na Chipembele Said
Kata ya Maji Ukweni. Nakumbuka kuwaona "live" OSS pale Dar Railway Station 1987 au 1988 kama kumbukumbu zangu ni sahihi - opposite na Central Police Station. OSS walikuwa wanatumbuiza wananchi tukisubiri kumpungia mkono msafara wa Makamu wa Rais wa Zambia wakati huo (Kebby Musokotwane) akitokea airport kwenda Ikulu. Baada ya msafara kupita, wakamaliza kutumbuiza na Muhidin Maalim Gurumo akasema "Dezo imekwisha, ukitaka kusikiliza Zaidi njoo Safari Resort"
Ahsante sana! Imenipa tabu sana hii nilipoona imeandikwa Mlimani Park nikahisi nnazeeka vibaya! Kumbe tuko sahini sana Mzee, hilo ni Super Ndekule na wala sio Nginde
Inawezekana. Nusu ukweli na nusu sio sahihi. Huu ni mali ya Mlimani Park. Baada ya kutunga wimbo huu, sehemu kubwa ya wanamuziki wa Mlimani walihamia Orchestra Safari Sound. Kwa hiyo OSS inawezekana waliucheza katika mzingira hayo.
+Heri Issa Unajua Heri baada ya wakina Bushoke, Chidumule, Hamisi Juma na wengineo (awamu ya pili) kutimukia OSS; bado tune ilikuwa ile ile ya Sikinde. Kwa hiyo ni wachache sana wawezao kuona tofauti hii
+Fredy Lucas : Nikiwa mpenzi mkubwa wa Sikinde hii move za wanamuziki wa sikinde kwenda OSS nilizifuatilia sana miaka ile ya 85 na 86; Na kwa kweli kama mpenzi wa bendi nilichukizwa na hatua za kikatili za Hugo Kisima (mmiliki wa bendi ay OSS wakati huo) dhidi ya bendi ya DDC Mlimani Park Orchestra Kwanza, huu wimbo wa kata ya maji ukweni ulitungwa na ni wimbi la pili la wanamuziki baada ya kuhama kutoka Sikinde kwenda OSS. wakati huo Marehemu Abel Bartazar alikuwa ametoka OSS na kujiunga na magereza Jazz Band. Kwa hiyo nakubaliana na Heri Issa kuwa wakati huo marehemu Kassim Rashid ndiye alikuwa lead soloist. Kwanza hata upigaji wa solo gita huu sio upigaji wa Abel Bartazar - it is typical Kassim Rashid
+Fredy Lucas nashukuru kwa taarifa. Abel alikuwepo Ndekule ndiye aliwashawishi awa wanamuziki wajiunge na OSS sema kama utalisikiliza vizuri hili solo ni upigaji wa Kizunga. Abel alikuwa mvivu sana wa kupiga gitaa ingawa ndio alikuwa Katibu wa bendi. lakini kama una uhakika nashukuru kwa taarifa. maana hapa ni sehemu nzuri ya kujifunza

Kitu hakijawahi kuisha utamu kwangu ni kata ya maji ukweniiiiiiiii.💃💃💃💃💃💃💃.naburudika mnoo
Huu wimbo Kara ya maji ninaukubari sana , hasa mpangilio wa Sauti ya Max Bushoke, na Hamis Juma (Maalim Kinyasi) na Max Bushoke,, na Drums zimepigwa vizuri na Chipembele Said
Hii nyimbo ni yasafari sound na siyo ddc
Leo Tarehe 1/1/2021 mwaka mpya naisikiliza hii ngoma dah bado tamu, Bushoke, chidumule, kinyasi, zamani hiyo
Kata ya Maji Ukweni. Nakumbuka kuwaona "live" OSS pale Dar Railway Station 1987 au 1988 kama kumbukumbu zangu ni sahihi - opposite na Central Police Station. OSS walikuwa wanatumbuiza wananchi tukisubiri kumpungia mkono msafara wa Makamu wa Rais wa Zambia wakati huo (Kebby Musokotwane) akitokea airport kwenda Ikulu. Baada ya msafara kupita, wakamaliza kutumbuiza na Muhidin Maalim Gurumo akasema "Dezo imekwisha, ukitaka kusikiliza Zaidi njoo Safari Resort"
Wesley Nsomba 🤣😃😃😃😃😃🤣dezo imeisha
Ahsante sana! Imenipa tabu sana hii nilipoona imeandikwa Mlimani Park nikahisi nnazeeka vibaya! Kumbe tuko sahini sana Mzee, hilo ni Super Ndekule na wala sio Nginde
Ni Oss na wala sio DDC Mlimani park .Rekebisha sisi ndiyo wadau WA nyimbo hizo tutafute
😅🤣😂
Hao no sikinde huyo no Beno vla ànton
@@suleimanrajab717siyo sikinde ni oss (Ndekule),hao wanamuziki walitoka sikinde wakahamiaga oss
Mr nguzo vipi umeweka cover ya asha bora ya ddc lakini wimbo tunaomba ni kata ya maji Ukweli ya ndekule kuwa makini kaka
Nitafutie nyimbo ya shabani Dede inayoitwa Mama mkwe karibu, aliyoimba akiwa na DDC mlimani park
Ni nyimbo Kali sana
Ya no safar sound sio sikinde
Kwani nyimbo za kale nzuri munadhindwa kutuwekea kama maana ya tanga war maneti?
kata ya maji ukweni inanikumbusha mbali sana safi sana nguzo tupe mambo
Oss Vocal Maxmillian Bushoke ktk kilele cha mafanikio kata ya maji ukweni duuh!!@ will never forgotten
Yes hii ni nzuri
Sauti za Max Bushoke, Cosmas Chidumule na Maalim Kinyasi zilikuwa si mchezo
Sisi ni wadau wa mziki wa dansi tukizisikia hizi tunaacha kazi zoote
saidi mzalamo au masila uko wapi
Dingituka Molay hajawahi kuimba Sikinde, Cosmas:- "Kama wametimiza hilo, lakini nnakataa, ahadi yao hoo!" anaemchombeza ni Molay "Ohh oo! ahadi yaoo!"
Inawezekana. Nusu ukweli na nusu sio sahihi. Huu ni mali ya Mlimani Park. Baada ya kutunga wimbo huu, sehemu kubwa ya wanamuziki wa Mlimani walihamia Orchestra Safari Sound. Kwa hiyo OSS inawezekana waliucheza katika mzingira hayo.
Hiyo oss na sio DDC badilisha. Ni faida kwawasiojuwa
Flash back ni Mlimani park. Chidumule hakuwahi kuimba OSS
@@kheirmwinyi9705 ni OSS, Chidumule kaimbia OSS.
ndekule ngoma ya wajanja
Memories of my final year at UDSM 😢😢
Wapi ulipo dada yangu siku hizi? The last time we met ulikuwa Wizara ya Afya.
MSUKUMA MWENZANGU
@@wesnsomba za siku? Ulikuwa TANROADS? ni Mjasiriamali
@@armstrong_007 Wabheja 🙏
@@patriciamaganga3891 naam dada
Ya kale dhahabu,kata ya maji ukweni.
Kanyanganywa na mate mdomoni,kabaki na kiu yake baba oh!
hii nyimbo ni ya OSS siyo Sikinde. lkn hii album ilikuwa ya ukweli. kulikuwa na ajali ya Aminani, elimu ufunguo nk. mbaaaaaali sana
Ni ddc mlimani
Kwa kweli ya kale ni dhahabu
Sio sikinde ni oss wana ndekule
aah
kaka tupia mwanisengenya bure
Ochester safari sound
waimbaji ndio wamekuchanganya hiyo ni oss sio sikinde
Oss tupia ukimwi, elimu ni ufunguo was maisha. Tupia qeen kase. Msondo.
Ulitungwa sikinde ukatolewa ndekule
Dafi sn,
Hao ni OSS na sio DDC. Badilisha kaka
+Heri Issa
Unajua Heri baada ya wakina Bushoke, Chidumule, Hamisi Juma na wengineo (awamu ya pili) kutimukia OSS; bado tune ilikuwa ile ile ya Sikinde. Kwa hiyo ni wachache sana wawezao kuona tofauti hii
+Anthony Kisondella kweli kaka. maana hapo drums Bob Chipe, solo Kassim Rashid, waimbaji wengi walikuwa wa Sikinde
+Fredy Lucas : Nikiwa mpenzi mkubwa wa Sikinde hii move za wanamuziki wa sikinde kwenda OSS nilizifuatilia sana miaka ile ya 85 na 86; Na kwa kweli kama mpenzi wa bendi nilichukizwa na hatua za kikatili za Hugo Kisima (mmiliki wa bendi ay OSS wakati huo) dhidi ya bendi ya DDC Mlimani Park Orchestra
Kwanza, huu wimbo wa kata ya maji ukweni ulitungwa na ni wimbi la pili la wanamuziki baada ya kuhama kutoka Sikinde kwenda OSS. wakati huo Marehemu Abel Bartazar alikuwa ametoka OSS na kujiunga na magereza Jazz Band. Kwa hiyo nakubaliana na Heri Issa kuwa wakati huo marehemu Kassim Rashid ndiye alikuwa lead soloist. Kwanza hata upigaji wa solo gita huu sio upigaji wa Abel Bartazar - it is typical Kassim Rashid
+Fredy Lucas nashukuru kwa taarifa. Abel alikuwepo Ndekule ndiye aliwashawishi awa wanamuziki wajiunge na OSS sema kama utalisikiliza vizuri hili solo ni upigaji wa Kizunga. Abel alikuwa mvivu sana wa kupiga gitaa ingawa ndio alikuwa Katibu wa bendi. lakini kama una uhakika nashukuru kwa taarifa. maana hapa ni sehemu nzuri ya kujifunza
+Fredy Lucas nashukuru kwa taarifa. Abel alikuwepo Ndekule ndiye aliwashawishi awa wanamuziki wajiunge na OSS sema kama utalisikiliza vizuri hili solo ni upigaji wa Kizunga. Abel alikuwa mvivu sana wa kupiga gitaa ingawa ndio alikuwa Katibu wa bendi. lakini kama una uhakika nashukuru kwa taarifa. maana hapa ni sehemu nzuri ya kujifunza
Hiyo ndy nginde