Solo hapo Mulenga,bass Abel, rhythm Gama,Sax King Enock,waimbaji Gulumo,Bichuka na Maalim Kinyasi,hiyo timu ya Taifa haijawahi na haitotokea tena nchi hii
Lakini nakurudishia uamuzi wako! Asante Bichuka na sikinde kwa ngoma hii kali! Tena raha yake sikiliza mpaka mwisho yaani hizo ala,drum na gitaa ni tamu balaa!,Unabaki tu ukijitingisha tingisha huku ukikata mauno! Daah! sinkinde.... Napenda sana ngoma zenu!
Enzi hizo redio inakuwa karibu na baba tu ikiwa imenikwa na kitambaa safi kilichofumwa kwa ufundi na Mama, Hapa redio zilizokuwa zinatumika ni zile National za mbao nyuma inakuwa na picha ya mende na maandishi ya DUDU PROOF, Na redio aina ya Philips,Hakika nyimbo hizi ni kumbukumbu nzuri.

Kwa kweli king Michael Enock kwenye midomo ya Bata hapo kanikumbusha enzi za utoto wangu na redio ya mbao -277
The real or genuine Tanzanian musicians.
Enzi hizo redio inakuwa karibu na baba tu ikiwa imenikwa na kitambaa safi kilichofumwa kwa ufundi na Mama, Hapa redio zilizokuwa zinatumika ni zile National za mbao nyuma inakuwa na picha ya mende na maandishi ya DUDU PROOF, Na redio aina ya Philips,Hakika nyimbo hizi ni kumbukumbu nzuri.
Nakumbuka nilikuwa steel rolling mills mwaka 1982 kiwanda cha chuma tanga drawn wire section
Nyimbo hizi ukizisikia unaweza tokwa na machozi
Mheshimiwa Eddie, this is incredible! huwa unazipata wapi? Huu wimbo unanikumbusha sana Uncle J. Nyaisangah, enzi hizo Club Rahaleo Show, mwaka 1982
Hahahaa,Stephen burudika kaka zipo nyingi tu wewe pekua tu
Machozi ata siwezi kufuta yakaisha
Yes wanamilimani park walikuwa wametimia full nondo asante Ali Jamwaka na tumba zako
Twila Mtumbi Nice
Maneno ayo jamani😭
Kitu Safi saaaaana zaidi ya saaaaana 1919 bado nzuri
Hapa kikosi cha DDC Milimani Park ilikamilika
Thanks Eddie for this.
Chakura chakura maktaba.ukipata ngoma yoyote ya kimulimuli ni shukrani tu
Photo album ipo hewani erick!
Kwa kweli solo gitaa aliyepiga ni mtaaalam, king Enock ndio kamaliza kila kitu, hizo sauti Sasa zinatusahaulisha hata na matatizo tuyonayo sasa
Huu ni utunzi wa Mulenga-King spoiler akimpa kijembe Chidubule cosmas 1982 alivyohama bend
Alihamia bendi gani baada ya kutoka Mliman Park?
@@abdallaabdulrahman8319 Bendi ya Remmy Ongala
@@abdallaabdulrahman8319Vijana jazz
Hamis Juma, Muhidini, Bichuka mko poa
Solo hiyo ya nyuzi 12-kombora ,Hamisi Juma alikuwa Maalim Kweli amewahi kufundisha Madras
Solo ya Mulenga baraaa
Duh,nani anasema siku hazigandi?
Kwa hiyo huu wimbo na Neema wa cosmas ipi uliotoka mapena?naomba kujuta wapigaji wa solo,rhithym na bass gitaaa
Huu wimbo patapotea ulikuwa wa kwanza ,mwaka 1982,NEEMA ulitoka 1985