Orchestre Mlimani Park - Pendo Kileo Cha Fikara

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии •

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 Год назад +4

    Kuna mtu mwingine yuko humu April 2023??!!!❤❤❤❤Old is Gold

  • @bakarichina9948
    @bakarichina9948 5 месяцев назад +1

    Daah,Machozi yananitoka wallah,Namkumbuka MKE wangu Ameshanitoka mda sana

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 4 года назад +8

    Dunia, Tanzania palikuwa sehemu Salama sana pa kuishi hakuna unyanyaswaji wa aina yoyote ile, Enzi nyimbo hizi zinapigwa RTD watu walikuwa wanapenda na kujaliana, siyo leo* cjui zile zama Kama zitarudi tena..

  • @ramadhanabdallah2603
    @ramadhanabdallah2603 7 лет назад +8

    asanteeeee
    max bushoke
    mshayasema
    sasa wanayarudia
    tu

  • @costamasuba1099
    @costamasuba1099 5 лет назад +4

    Dah muharami Said golden finger, hajatokea eva anayeweza piga rithimu ya masikitiko namna hii, ok the guywas very cleative ever, r. I. P, mkanyiasolo ,bass ngisha, aah ddc Kariakoo and Magomeni, also kingongobar,buguruni daah it waa our time

  • @khalidmakumulo8294
    @khalidmakumulo8294 7 лет назад +8

    Kweli kabisa pendo kileo cha fikara heko Max Bushoke na group zima la Sikinde kwa tamathali adhwiim za semi. No comment.

  • @costamasuba1099
    @costamasuba1099 5 лет назад +4

    Bichukakabaki mkiwa sana, michaelenock,abel batarzal, juma town, golden finger, ngoshana george Kessy daah, muziki kweli ulikuwa,

    • @humphreylwali1359
      @humphreylwali1359 3 года назад

      Sorry naomba unitajie jina la wimbo unaosema umebaki kuwagombanisha wenzio na waume zao wa sikinde

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 8 лет назад +6

    Nimeyatumia sana maneno haya ya Max! Bushoke kazi nzuri sana asanteni sana NGOMA kubwa

    • @tonyliwa3803
      @tonyliwa3803 7 лет назад

      Nimeipenda profile picture yako

    • @najmasaleh9231
      @najmasaleh9231 6 лет назад

      Tony Liwa karibu kaka naitoa bure wewe idrag tu hao watu ni kelo mpaka wakufike

    • @khamissalum431
      @khamissalum431 4 года назад

      Max bushoke unatisha sana

  • @nassormwaupeya5389
    @nassormwaupeya5389 3 года назад +1

    Of coz,aliponikubalia tuwe mke na mume niliomba dunia isimame japo kwa Sekunde moja........Very nice Songs

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 4 года назад +10

    0:59 Sikinde napenda Sana nyimbo zenu! Sijui mlisoma chuo gani? Wimbo mzuri Sana huu! Mnanikumbusha miaka ile tulipoanza mapenzi na mume wangu! Ilikuwa raha Sana .Aliponikubalia tuwe mume na mke nilitamani dunia isimame! Na taji tunalo!

  • @rubennsalika4297
    @rubennsalika4297 7 лет назад +6

    Eddie utatu mtakatifu Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani Joseph mulenga king spoiler solo, abel batazal rezm, suleiman mwanyilo computer bass hiyo Ndio nginde

    • @jafarimadeni2016
      @jafarimadeni2016 6 лет назад

      nikweli

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 4 года назад

      Wakati wimbo huu unarekodiwa 1984 mulenga na mwanyiro walikuwa bima lee

  • @saimonjohnsumley9198
    @saimonjohnsumley9198 Год назад +1

    Nimedanga sa Hii nimezeeka huu wimbo Nampa mke wangu ma Quinn

  • @pascalkazungu8798
    @pascalkazungu8798 4 года назад +3

    Pendo Kilio cha fikara.. unanikumbusha mbali, Sati ya Max Bushoke , weee acha tu!

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 7 лет назад +8

    wimbo huu ulitoka mwaka 1984 baadaya dede mwanyiro na mulenga kwenda bima Lee

    • @patriciamaganga3891
      @patriciamaganga3891 6 лет назад +1

      Ally Nayomo wow kweli kabisa ndiyo naenda jeshini

    • @ughcleo7746
      @ughcleo7746 5 лет назад +4

      Kaka huyo ni Henry Mkanyia na Muharami Said Golden Fingers,hapo pia kuna Charles John Ngosha wakichukua nafasi ya Michael Enock ,Abel Baltazar na Mulenga walio kwenda Bima Lee!
      DDC Magomeni hiyo hadi saa 2 hujaingia ndani gate keeper Kitwana hakuruhusu kuingia kumeisha jaa!

    • @najmasaleh9231
      @najmasaleh9231 Год назад +1

      @@ughcleo7746 hapo bado awajaondoka kwenda Bima Solo kapiga batazar , mwanyiro kagonga Rizim na Gama katwanga Bass walibadilishana magitaa msikilize Bichuka hapo anamuita Batazari

    • @edgarliheluka5097
      @edgarliheluka5097 15 дней назад

      @@najmasaleh9231Asante kaka

  • @issaali1321
    @issaali1321 5 лет назад +2

    RIP my friend Ali Mkweli that was his favor song .here in Toledo Ohio 2019.Mlimani park orchestra ilikuwa mwisho wa matatizo.

  • @sixtusleo7537
    @sixtusleo7537 4 года назад +4

    Hizo ndio nyimbo cyo hzi za ssiv km karanga amna kitu

  • @flowila82
    @flowila82 10 лет назад +6

    baba asante, hongera kwa wana sikinde ngoma ya ukae, pendo ni ahadi ya mke na mume

  • @رمضانالكيني
    @رمضانالكيني 6 лет назад +5

    Nyimbo inanikumbusha mwaka 1984 nikiwa darasa la saba katika shule ya msingi mkinga mkoa wa tanga

    • @patriciamaganga3891
      @patriciamaganga3891 6 лет назад +1

      Mرمضان الكيني Hakika nilikuwa Jeshini baadaye Chuo Kikuu

    • @kokombwana8625
      @kokombwana8625 5 лет назад +1

      Nikiwa Kwakivesa shule ya msingi,Handeni

  • @fredricketabale9377
    @fredricketabale9377 4 года назад +1

    Mawaidha yenu ya natokana na kuangazia Hali halisi ya jamii siyo kusoma katika chuo

  • @saimonjohnsumley9198
    @saimonjohnsumley9198 Год назад +1

    Nampenda mke wangu mama queen

  • @wilkinsonndigajustus33
    @wilkinsonndigajustus33 2 года назад

    Max Bushoke akipishana sauti na bichuka .Iahara kuwa sikinde ilitmia kabisaaaa!

  • @chrishugo1283
    @chrishugo1283 4 года назад +4

    Kaka Max nakukubali. Wimbo umenigusa mengi. Kizazi hiki wanatakiwa kujifunza. Penzi la sasa ni ATM mbele.

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 5 лет назад +2

    Tandika azimio,nyumbani kwa mwl Essau Ngadala wa Kibasila secondary school

  • @najmasaleh9231
    @najmasaleh9231 Год назад

    Solo ya Mbabe wa muziki Abed Batazari, Rizim Mwanyiro na bass Gama Mzee Joseph Mulenga yeye kasimama tu anatazama Bartazar anavolitendea haki gitaa la Solo

  • @khamissalum431
    @khamissalum431 4 года назад +2

    Sikinde ndio bendi ambayo naipenda sana

  • @salehesalufu5047
    @salehesalufu5047 7 лет назад +3

    safi sana wana nginde nakumbuka mbali sana LAELA SUMBAWANGA

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 5 лет назад +3

    RIEP my friend Mwanaisha Omary Kitenge...Mgambo JKT 😭😭

  • @heriissagombera5168
    @heriissagombera5168 9 лет назад +3

    asante kaka. sema wimbo unaitwa pendo kileo cha fikara

  • @noahmwaipopo9142
    @noahmwaipopo9142 3 года назад +1

    Vigoma vilikua moto sana aisee

  • @wilkinsonndigajustus33
    @wilkinsonndigajustus33 2 года назад

    Bushoke na Bichuka sauti zao zipishana na kukubalianaa wee.Hamna ugomvi

  • @mbarakamwayungu3485
    @mbarakamwayungu3485 6 месяцев назад

    Penzi letu liwe kwenye thiki na faraja,tukiishi vizuri ni taji kwa wapendao.bonge la ujumbe.

  • @emmanuelkaswaka7422
    @emmanuelkaswaka7422 2 года назад

    Nisaidie wimbo unaosema Kwa kauli yangu ya ukiwa siwalaumu enyi wakwe.kumpenda binti tajiri

  • @kalundeone3583
    @kalundeone3583 6 лет назад +4

    Huu ndiyo ulikuwa muziki siyo sikuhizi muziki hauimbwi mpaka mtu ashike nyeti....

    • @patriciamaganga3891
      @patriciamaganga3891 6 лет назад +1

      Kalunde One 🤭🤭🤭😄😄😄😄😄😄😄

    • @edithembwana7529
      @edithembwana7529 5 лет назад

      Hahaha eti anashika nyeti,hapa kenya wanaita swag bure kabisa miziki ya kisasa..hazina mausiam

  • @gladwella7818
    @gladwella7818 6 лет назад +4

    penzi letu liwe moja lenye dhiki na Faraja

  • @mohamedikilinga2889
    @mohamedikilinga2889 6 лет назад +4

    Yaani sisi wengine hatukua na akili vizr kipindi hicho ila nakumbuka nikiwa darasa la kwanza mwaka 87 shule ya msingi mapinduzi handeni tanga,,,hizo nyimbo ndo zilikua zinatawala anga la tanzania kupitia RTD
    Mpaka machozi yananitoka nikikumbuka dunia ilivyokua sehem salama pa kuishi enzi hizo
    Mungu awalaze pema peponi wote waliotutangulia

  • @charlesokwengu4714
    @charlesokwengu4714 2 месяца назад

    Love the solo guitar

  • @barinabrusmkaili6981
    @barinabrusmkaili6981 8 лет назад +4

    Ngoma kubwa ama hakika in mabingwa Wa muziki

    • @najmasaleh9231
      @najmasaleh9231 8 лет назад

      Barinabrus Mkaili Hiyo ni kweri wala ujapotea

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 6 лет назад +4

    Memories of Mgambo JKT 835 KJ

  • @gilbertmasaki795
    @gilbertmasaki795 8 лет назад +3

    Wimbo wa mawaida haza wenye wanafunga ndoa

  • @gladwella7818
    @gladwella7818 6 лет назад +3

    daaa mziki mzuri saana

  • @conesmo5266
    @conesmo5266 2 года назад

    Max bushoke, wimbo mzuri sana.

  • @OmaryBurra-og6fb
    @OmaryBurra-og6fb Год назад

    Hakika sikinde ilikuwa Haina mpinzani ktk bendi za hapa Tanzania ukianzia ktk safu za uimbaji wakina bichukaa na wenzake na WA magitaa wkiongozwa na Joseph mulenga hakika walitia fora

  • @benjaminkapingu4167
    @benjaminkapingu4167 4 года назад +2

    old is gold

  • @majidsuleiman4935
    @majidsuleiman4935 Год назад

    Maks bushoke ni mpango mzima

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 2 года назад +1

    Memories 🥲🥲

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 7 месяцев назад

    RIEP my friend Mwanaisha Omar Kitenge, Mgambo JKT 235 KJ

  • @jamirambwana6309
    @jamirambwana6309 2 года назад

    Ongera SA max

  • @SylvesterMizambwa-fj7ms
    @SylvesterMizambwa-fj7ms Год назад

    Nipo 2023shytzasubuhi

  • @swalehkoja7868
    @swalehkoja7868 8 лет назад +2

    Muziki kamili.

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 Год назад

    ❤❤❤

  • @ClarenceKimaro
    @ClarenceKimaro 8 месяцев назад

    👏👏

  • @mlamanlike_abdul2534
    @mlamanlike_abdul2534 4 года назад +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fortunatusgallus6145
    @fortunatusgallus6145 2 года назад

    Vita imana

  • @saimonjohnsumley9198
    @saimonjohnsumley9198 Год назад

    Bitchuka nampenda!!

  • @almasiomary2416
    @almasiomary2416 4 года назад

    Twan

  • @paulnyingo7316
    @paulnyingo7316 4 года назад

    P