Very nice song kwa upande wa ujumbe mpaka mpangilio wa vyombo vipo vizuri sana na hii inaonyesha jinsi gani wanamuziki walikuwa na vipaji no computer assistance hapa
DDC Mlimani Park is Africa's greatest band. This outfit was formed during the Late President J. Nyerere. Then, every piece of music, forth coming from bands in Tz, was laden with sense, sound advise, ethics and proper norms. What the new Bongo madness is affording us today is diabolical crass.
Very nice song kwa upande wa ujumbe mpaka mpangilio wa vyombo vipo vizuri sana na hii inaonyesha jinsi gani wanamuziki walikuwa na vipaji no computer assistance hapa
Bichuka maisha yanakimbia mno leo tunasikiliza wahuni kwenye music natamani wakat urud nyuma jmn
Kama uko nami mwaka huu wa 2021 kubuludika na wimbo mtamu tujuwane apa.
DDC Mlimani Park is Africa's greatest band. This outfit was formed during the Late President J. Nyerere. Then, every piece of music, forth coming from bands in Tz, was laden with sense, sound advise, ethics and proper norms. What the new Bongo madness is affording us today is diabolical crass.
A timeless classic - the right name is NI NANI ALIYEMDANGANYA
safi sana ndani DDC karikoo mwana bichu..sio mchezo safi sana nguzo
Hii album ilirekodiwa Kenya mwaka 88.
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana niliipenda tangu nipo mdogo sasa hivi mtu mzima haiishi utamu sasa
kweli kabisa kaka
Ni nyimbo niliyoipenda toka mdogo mpaka sasa
wimbo mtamu Sana kwa vijana ambao ndio wanapefuka katika mapenzi
Irly like this song
Mchumba hasomeshwi,msg sent
Kweli yakale ni dhahabu jamani lakini mapenzi ni upofu kaka zangu bado wanasomesha wachumba na matokeo ni kama huu wimbo hahaha!!!!
Inacyekesha
Hakika, Bitchuka,a.k.a stereo
Poor mixing kwa kweli, wimbo mzuri sana kila kitu safi sana Ila mixing Kama 60s