THE LIES FULL MOVE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 168

  • @mutetezilmusicboys7992
    @mutetezilmusicboys7992 2 месяца назад +21

    kipara is the best ...na kingereza chake....kAMA UKO NAMI GONGA LIKE

  • @philipadunga2787
    @philipadunga2787 4 месяца назад +7

    Kipara Wana Man Aweeeeeeee 😂😂 much love bana uko sawa

  • @kassongokittapa7762
    @kassongokittapa7762 4 месяца назад +15

    Mwasi ni aina ya wale WAREMBO ambao ni NATURALLY BEAUTIFULL

  • @NtakarutimanaAdidja
    @NtakarutimanaAdidja 3 месяца назад +4

    hahaaaa😂😂 zumba eti ninamyaka28😂😂😂

  • @danielamakalu8225
    @danielamakalu8225 4 месяца назад +9

    Kipara nukubali kazi yako sana ,Bik kaka Mbwela ,Dada Mwas unapendeza sana.....Bila kuwasahau ndugu zangu Zumba na Sengo

  • @GeoffreyMusau-m7r
    @GeoffreyMusau-m7r 4 месяца назад +4

    from kenya big up kakoso alf kipara amenifurahisha anaongea kizungu

  • @damarisnjomo278
    @damarisnjomo278 4 месяца назад +6

    sikujua kakoso ni kaka ya mwasi ,nawapenda sana

  • @TzSweetheart
    @TzSweetheart 3 месяца назад +4

    Kakoso ujawah kukualbu ww n nouma🎉

  • @jeckasshadrack6519
    @jeckasshadrack6519 4 месяца назад +5

    Sema nyie wamba mnajua mnajua tena 🎉😂 bravo and more congratulations

  • @niyatwesemethode
    @niyatwesemethode 4 месяца назад +6

    Nawapenda sana na movie zenu nazipenda sana

  • @magataimwita2756
    @magataimwita2756 4 месяца назад +4

    ❤❤Mnapendeza sana...Hapo behind the Scenes...

  • @RitahKedi-h3e
    @RitahKedi-h3e 4 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂it ok nice les go to your home 😂😂😂ongea kishwaili

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 4 месяца назад +4

    Ila Mwasi ni bonge la toto❤❤❤

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis Месяц назад +1

    The lies,ni movie nzuri, na waigizaji wote mahodari ,mungu awabari,na awazidishie nguvuu katika kazi zenuuuu

  • @AbeylOmar
    @AbeylOmar 4 месяца назад +4

    Oooh 1love mwasi😅😅

  • @nainermfyule9335
    @nainermfyule9335 3 месяца назад +6

    Ila mwasi mzur jaman manshallah❤

  • @SakinaMuba
    @SakinaMuba 2 месяца назад +3

    kakoso mungu akubariki sana na kipaji chako na akupe afya njema zaidi

  • @rehemamutua44
    @rehemamutua44 2 месяца назад +3

    Olo in olo ila kipara nae huu umombo sjw kausomea wap wait my family sister and braza😂😂😂

  • @JilaindeDeKenyanBoy
    @JilaindeDeKenyanBoy 4 месяца назад +6

    watching from Kenya🎉🎉🎉

  • @MwangiraniElvis
    @MwangiraniElvis 4 месяца назад +10

    Aliye elewa hii movie inacho maanisha haezi nyimana likes ❤❤❤❤❤ big up sana kakoso❤❤❤❤❤

  • @teargas1900
    @teargas1900 2 месяца назад +5

    Hii group inafanya makubwa movie zenu Kali 😅😅

  • @DatiusRegasila
    @DatiusRegasila 2 месяца назад +3

    Movie kali sana kakoso chukua 🌹🌹 yako ila kipara zamu hii mhhhhhhh urud kulee best friend ukasome some

  • @bpongoi1327
    @bpongoi1327 4 месяца назад +12

    kazi safi sana director, ila kipara na kingereza chako kapeleke huko mstuni

  • @starvisionmediapro
    @starvisionmediapro 3 месяца назад +7

    Bwana Kipara wachana na kizungu......

  • @asashajunior7628
    @asashajunior7628 2 месяца назад +4

    Olo in olo ,,hii kizungu ya kipara ndo inanibamba 😁🤣😂

  • @BLVWETEONLINETV
    @BLVWETEONLINETV 4 месяца назад +10

    Director kakoso kwanza asante kwa kazi yani hii kazi ina funzo lakutosha ambalo tunasthik kujifunza pia nimefrah una idea ya pke yko ambayo umefkiria kwa sbbu kwanz story ni fupi tu ila imeanza uzur nkumaliza vizur hmna alolalamika kua story haiyeleweki au vip tunkushkur cna vjana wako mngu azid. Kukulinda

  • @DenaMwinyi
    @DenaMwinyi 4 месяца назад +5

    Much love🎉🎉🎉 from congo

  • @MatupaMuemedekapakapaKapakapa
    @MatupaMuemedekapakapaKapakapa 4 месяца назад +4

    Pra mim esse kipara está me rir so😅😅

  • @IOSALive
    @IOSALive 3 месяца назад +3

    DIRECTOR KAKOSO, Subscribed because your videos are so much fun!

  • @FaithSagina
    @FaithSagina 4 месяца назад +4

    😂😂😂hicho kizungu cha kipara aah😅

  • @Jozuine
    @Jozuine Месяц назад

    😂😂😂😂kipara rudia kizungu sijaelewa hapo😅😅😅😅😅😅😮

  • @Finamontez
    @Finamontez 2 месяца назад +3

    Mwasi amenifurahisha sana ,ni wale wakishapenda hawatambui,afu amesema yuko single,,mwambie namdai tu sana Niko Nairobi kenya

  • @FatimaJuma-v1m
    @FatimaJuma-v1m 2 месяца назад +3

    Kipara hicho kizungu jamani😂😂

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 4 месяца назад +4

    Kipara nimependa unavyo omba msamaa kwa kakayako mh.. mwasi uganga unaendakufa sasa😂😂😂

    • @RoseRophers
      @RoseRophers Месяц назад

      Bwana kipalawewe unajuakuigiza😅❤

  • @ABDALLAHMCHOPA
    @ABDALLAHMCHOPA 2 месяца назад +3

    Ndugu yangu Tupo pamoja KAZI nzuri

  • @damarisnjomo278
    @damarisnjomo278 4 месяца назад +4

    i love you guys from kenya

  • @AbdijabarAdan
    @AbdijabarAdan 4 месяца назад +3

    Kipara all the way❤

  • @RoxanaChuwa-pc7lt
    @RoxanaChuwa-pc7lt 3 месяца назад +5

    Kiparaaa 😂😂😂....Kizungu flani cha kinyamwez 🤣🤣

  • @Mbonde-f9l
    @Mbonde-f9l 3 месяца назад +3

    Kipara Wana man aweeee😂😂😂

  • @RaulyMega
    @RaulyMega 3 месяца назад +4

    Mwass nakupenda sana

  • @danielbrizzy
    @danielbrizzy 4 месяца назад +3

    kazi saf kaka❤🎉

  • @muhamadmachude
    @muhamadmachude 4 месяца назад +8

    Wakwaza naombeni like 3

  • @angelvenson5520
    @angelvenson5520 4 месяца назад +13

    Mnao mkubali mwakatobe nibeni like zenu

  • @mildredowino7323
    @mildredowino7323 Месяц назад

    Kipara bwana😂😂😂😂😂kizungu c kizungu 😂😂😂😂😂www acha tuu 🎉🎉🎉

  • @KalamaChiro
    @KalamaChiro 4 месяца назад +4

    Kipaŕa want man🎉😢😢😢

  • @ngaizaprofx
    @ngaizaprofx 2 месяца назад +3

    I love you mshangazi❤❤❤❤❤

  • @MomanyiJustine
    @MomanyiJustine 4 месяца назад +7

    Kazi safi sana lakini kipara unaharibu

    • @MomanyiJustine
      @MomanyiJustine 4 месяца назад

      Director ntafanyaje nijiunge na nyinyi hamuoni kama ni vizuri sana mkiwa kabira mingi kwa mchezo ndo ikuwe tamu mm ni mkisii kutoka kenya

  • @NtakarutimanaAdidja
    @NtakarutimanaAdidja 3 месяца назад +3

    kazi nzuri sanaa

  • @DevisPartrick
    @DevisPartrick 4 месяца назад +3

    Sema mwasi mzuriu

  • @WinfredKatua-w2b
    @WinfredKatua-w2b Месяц назад +1

    Kipara hio kizungu nataka ukuje tufanye upgrade nitafute much love guys your work is wonderful

  • @EnuelAbunimkali-rl1jj
    @EnuelAbunimkali-rl1jj 4 месяца назад +5

    From naija! Xafi xana !

    • @StanleyaStella
      @StanleyaStella 24 дня назад

      Uko Nigeria na unajua kiswahili vizuri au ni mtanzania

  • @BakariBamvua
    @BakariBamvua 2 месяца назад +4

    Jamani nampenda mwasi ata mm npo single 🇰🇪 🇰🇪

  • @E.M-i2s
    @E.M-i2s 3 месяца назад +4

    Kiparaàaaa 😂😂😂😂

  • @ngaizaprofx
    @ngaizaprofx 2 месяца назад +4

    Jamani mshangazi ni Crush wangu🥰

  • @MwasitiJuma-lk7fi
    @MwasitiJuma-lk7fi 4 месяца назад +5

    Kipara nakupenda ila unakela ingilshi zanini

  • @Kaloki-hv7dx
    @Kaloki-hv7dx Месяц назад

    Mwasi mwasi nakuita mara gapi😂😂😂😂 nakupeda 😂

  • @AsheyAmey-hl5em
    @AsheyAmey-hl5em 2 месяца назад +8

    Anayetaka kutafsiliwa kingereza cha kipala apite hapa😂

  • @danielamakalu8225
    @danielamakalu8225 4 месяца назад +5

    Mwas nipo single pia naweza kupata tafadhali from Kenya

  • @OthumankibabiKocho
    @OthumankibabiKocho 3 месяца назад +5

    😂😂😂 ila mwakatobe

  • @omaar5693
    @omaar5693 2 месяца назад +4

    6:34 kipara ukiacha kuongea kizungu navunja ushabik kwako

  • @hamisisalumu-bk8to
    @hamisisalumu-bk8to 2 месяца назад +4

    Am not a liar from today onward 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ShafiiMwenyula
    @ShafiiMwenyula 4 месяца назад +4

    Namkubali kipala wanamani

  • @muhamedaddja
    @muhamedaddja 4 месяца назад +5

    Iyo kali kabisa

  • @khamisimakini6694
    @khamisimakini6694 4 месяца назад +4

    Road pilots 💪

  • @ibrahimsaidi2145
    @ibrahimsaidi2145 3 месяца назад +3

    Kipara wana man kipara jaiva aweee

  • @henrywilson9298
    @henrywilson9298 3 месяца назад +3

    kibara hajana na kiingereza, tumia kiswahili. Ila kazi nzuri

  • @davidimdoe1188
    @davidimdoe1188 3 месяца назад +3

    Kizungu is typing

  • @hassanbombole1868
    @hassanbombole1868 4 месяца назад +4

    Nice one

  • @MayassaKiumbo
    @MayassaKiumbo Месяц назад

    😂😂 kipara anajua kinomanoma 😂😂😂😂😂😂😂

  • @fikirinimahamudu6488
    @fikirinimahamudu6488 Месяц назад +1

    Muv nzuri lakini umekosea mvuto tangato kila mara

  • @MichaelMakokha-dp1jz
    @MichaelMakokha-dp1jz 3 месяца назад +4

    😂🎉sawadi yake

  • @TrubinokXMaisha-v5t
    @TrubinokXMaisha-v5t 4 месяца назад +5

    Nampenda

  • @SPENSABOYTV
    @SPENSABOYTV Месяц назад

    Kazi nzuri kaka zangu ila naomba kufanya kazi na nyinyi natokea Kenya nitafurahia kuwakikisha wakenya

  • @sarahmasuba
    @sarahmasuba 3 месяца назад +6

    Nikimuona mwasi na kakoso naona mwili mmoja

    • @WemaElly-v1w
      @WemaElly-v1w 2 месяца назад

      😂😂

    • @FridaIlomo
      @FridaIlomo Месяц назад

      Umeona eee.we unajicho la tatu utafika mbali

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un 4 месяца назад +17

    Wapi like za 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PaulineShee
    @PaulineShee 3 месяца назад +4

    Good job

  • @baemma
    @baemma 2 месяца назад

    Dah.... kumbe Mr nice Bado yupo hai tanzania

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 4 месяца назад +4

    Vizur

  • @SleepyFlyingSaucer-oy2if
    @SleepyFlyingSaucer-oy2if 2 месяца назад +5

    Kipara bona kingereza kikali

  • @ElishaOlemammboneNancy
    @ElishaOlemammboneNancy 4 месяца назад +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MerciBidetwa-ip9tk
    @MerciBidetwa-ip9tk 4 месяца назад +5

    Mwasi amenifuraisha sana katika uhigizaji wake,, kwaiyo nipeni namba zake ili nimpe mauwa yake

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 3 месяца назад +5

    Mwakatobe sifa zimemzidi mpka anakera

  • @IddiHassan-e3m
    @IddiHassan-e3m Месяц назад +1

    Kazi zenu nzuri kwakwel

  • @NumerousHashazimari
    @NumerousHashazimari 26 дней назад

    Kipara amageuka mwongereza🤣🤣🤣🤣sema awe🤣🤣🤣much respect to all team

  • @hassansalim5263
    @hassansalim5263 2 месяца назад +2

    Mwasi Ndio kiboko yao filam Zote Za Mwasi Ziko poa kabisa..Nikiwa Toronto Canada 🇨🇦

  • @FlorahKhakasa-h4d
    @FlorahKhakasa-h4d 4 месяца назад +5

    Nice one but that English of kipara 😅😊❤

    • @VERENICEMICHAELY
      @VERENICEMICHAELY Месяц назад +1

      😂😂😂na akiacha hiyo English siwii shabikii yake.

  • @JavanNandwa
    @JavanNandwa 2 месяца назад +2

    Kipara anaudhi na kingereza chake sana

  • @angelvenson5520
    @angelvenson5520 4 месяца назад +7

    Wapi uno la sogojo

  • @MovinKhatiti
    @MovinKhatiti 2 месяца назад

    Hii movie n noma sana just love 💖 for it

  • @TonyEvance
    @TonyEvance Месяц назад

    Sasa kipara c uongee kiswahili2,😂🙌sema unajua kichizi✊

  • @IsmailIbrahim-uu9xx
    @IsmailIbrahim-uu9xx 3 месяца назад +4

    Wa tz kiboko yao

  • @mkarekidhuku3473
    @mkarekidhuku3473 3 месяца назад +5

    Kipara anaharibu na kizungu chake

  • @charming389
    @charming389 2 месяца назад

    kizungu babaa kizunguuu 😂😂😂

  • @SakinaMuba
    @SakinaMuba 2 месяца назад +4

    mdomo umemponza mke wa kakoso ujuaji tu

  • @jumannehussen475
    @jumannehussen475 4 месяца назад +5

    Unyama n mwing

  • @mimahmimah1595
    @mimahmimah1595 4 месяца назад +4

    We kipara unaharibu movie kuongea kizungu kisichoeleweka movie nzr lakin ww sasa unaiharibu

  • @MerciBidetwa-ip9tk
    @MerciBidetwa-ip9tk 4 месяца назад +5

    Mnipee namba sa mwasi nimcheck mimi

  • @AnnahBiyaki
    @AnnahBiyaki 24 дня назад

    Kipara congratulations 👏👏👏👏👏👏👏👏 vizuri saana

  • @NyanyamaNkombe
    @NyanyamaNkombe 4 месяца назад +3

    But olo in olo 😂

  • @Laktiza_Og
    @Laktiza_Og 3 месяца назад +3

    Tunahitaji snek boy