Young Daresalama - Kijukuu (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Kijukuu was Official released on 2013
    Prod by: Masoud composer/ZaChaa & Marco chali
    Contact: Dreamcityworldwide@gmail.com
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 80

  • @mwaramjuma9974
    @mwaramjuma9974 3 месяца назад +4

    Anaesikiliza Ngoma hii mwaka huu 2024 gonga like hapa

  • @avastprocess_tz
    @avastprocess_tz Год назад +8

    Naiskiliza leo tar 1/1/2024

  • @kutikavu270
    @kutikavu270 Год назад +3

    kifo cha nisher kimenileta tena hap

  • @ismaelsaed1158
    @ismaelsaed1158 4 года назад +34

    Namba moko kuskiza from +257 Burundi naomba wa bongo nipeni likes nifurai

  • @jumahassani8866
    @jumahassani8866 Год назад +1

    Wangap Bado wanao sikiliza Leo 2023

  • @rajabumajaliwa1904
    @rajabumajaliwa1904 2 года назад +4

    Ukiachana ukalii wa Ngoma tumpe sifa nisher

  • @HadijaMataula
    @HadijaMataula Год назад +3

    tulio kuja baada ya kifo cha nisher tujuane

  • @khanbaba8125
    @khanbaba8125 4 года назад +1

    Kat ya nyimbo zako zote utakazo toa kwenye maisha yako aziwez kuifunika iv ndo vitu voinavyotakiwa vitu vinavyoish ngoma za wabana pua wa kina mond baba ake kiba

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 4 года назад +8

    Top 5 songs ever 4 young D
    1.kijukuu
    2.sio mchoyo
    3.fununu
    4.bongo bahatmbaya
    5. Young daddy

  • @JumaMkumula-f2f
    @JumaMkumula-f2f 5 месяцев назад

    Nakubali young d🎉

  • @vichekeshotv5918
    @vichekeshotv5918 4 года назад +9

    hii ngoma ndo niliaza kukubali mzee baba mungu kupe wepesi🙏🙏

    • @iamnicasofficial2618
      @iamnicasofficial2618 4 года назад

      ruclips.net/video/Er4t84OBs-s/видео.html
      Please watch and share 🔥🔥

  • @mswalehmswazi2507
    @mswalehmswazi2507 4 года назад +4

    Great...... Gonga like kama unaikubali hii

  • @andersonmtui5427
    @andersonmtui5427 4 года назад +8

    Kijukuu .....bless up .mjanja kwenye jua kali

  • @praygodmass7809
    @praygodmass7809 Год назад +5

    RIP Director Nisher

  • @umojaafrika2447
    @umojaafrika2447 4 года назад +5

    Muziki mzuri sana ! Sielewi maneno kwa sababu mimi ni kutoka Ufaransa !

    • @rockjuma4183
      @rockjuma4183 4 года назад +1

      Kiki

    • @letisiamakonda3873
      @letisiamakonda3873 4 года назад +2

      Umewezaje kucomment kwa kiswahili?

    • @umojaafrika2447
      @umojaafrika2447 4 года назад

      @@letisiamakonda3873 Kwa sababu ninajifunza kiswahili. Mimi ni kutoka Karibi na ninataka kujua Afrika, kwa hiyo ninajifunza lugha ya Afrika moja wa Afrika. Nadhani koswahili ni kizuri sana

    • @umojaafrika2447
      @umojaafrika2447 4 года назад

      @@letisiamakonda3873 Ninaweza kusoma kiswahili lakini ni ngumu kusikia kiswahili vizuri

  • @emmanuelnyangwe3154
    @emmanuelnyangwe3154 Год назад +7

    Still hits harder 2023

  • @Rickson-t8o
    @Rickson-t8o 11 месяцев назад

    Tunafaa huyu young dar es salama was kitambo❤

  • @muujux
    @muujux 11 месяцев назад +1

    2024 🎉🎉

  • @mikelampkin7418
    @mikelampkin7418 4 года назад +1

    hii ilikua pw sna sna young dee

  • @classicmediaenter10ment44
    @classicmediaenter10ment44 Год назад +3

    Rip Nisher Hii video itafanya tukuenzi Master

  • @macdonaldadriano5979
    @macdonaldadriano5979 Год назад

    Kijukuu 🎉🎉🎉 proud of this brother. Kaza mangi wangu

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 4 года назад +1

    Afu jamani kiukweli nisha nashangaa mnamchukulia poa ...iv watz mpoje...actually nisher anajua na ataendelea kua noma...hiz video zake ndo miaka ya sasa kuna vtu vmeibgezeka kuduchu tu

  • @jacksonmunuo5232
    @jacksonmunuo5232 4 года назад +5

    Mbona waturudisha nyuma wakati pumzi unayo

    • @achirova7109
      @achirova7109 4 года назад

      Hatimiliki kaka hii video haikuwa kwa account yake

  • @philljombs1151
    @philljombs1151 2 месяца назад

    One of the great tracks bro

  • @BEST2GET.
    @BEST2GET. 4 года назад

    mwanangu dee ludi kwene michano hii watoto wanatanuaaaaa sanaaaaaaaaa

  • @mikelampkin7418
    @mikelampkin7418 4 года назад

    nakubal mzee baba

  • @mtunecessary
    @mtunecessary 4 года назад +1

    Kuna Mabeshte ndani ya gari... Beat ya Esir hii ama naskiza vibaya

  • @herrysameer4782
    @herrysameer4782 4 года назад +5

    Haichoshiii💪

  • @blodinfx4670
    @blodinfx4670 Год назад

    noma kweli

  • @jbtv3858
    @jbtv3858 4 года назад

    Baba Dee Hii Ngoma kaliii sanaa

  • @Rickson-t8o
    @Rickson-t8o Год назад +1

    2024

  • @herrysameer4782
    @herrysameer4782 4 года назад +1

    Mwananguu sanaa

  • @augustinojonas1998
    @augustinojonas1998 10 месяцев назад

    Paka rappa

  • @oscararapha2393
    @oscararapha2393 4 года назад +2

    Ulitisha kwenye hii ngoma🤜🤛

  • @d4g_drilla88
    @d4g_drilla88 4 года назад +1

    Kama imetoka Jana kmke!!!

  • @Brandmedia2019
    @Brandmedia2019 4 года назад

    Ngoma yangu bora

  • @RashidMrisho-u7d
    @RashidMrisho-u7d Год назад

    Young rapper!!

  • @pascalgodfrey686
    @pascalgodfrey686 4 года назад

    Gonga za hivi sasa

  • @husseinseifsalim4316
    @husseinseifsalim4316 4 года назад +1

    Munguu tuu

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 4 года назад +8

    Beats za esir kenyan artists ile song yake “mabeste ndani ya gari”

  • @needsonfesto400
    @needsonfesto400 17 дней назад

    2025 magawa was here again

  • @salimpesa9494
    @salimpesa9494 2 года назад +1

    2022 kijukuu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rahmanramadhan8483
    @rahmanramadhan8483 4 года назад

    Uyu ndo dee ninaemjua mie(Not sharo boi)

  • @mcesto61
    @mcesto61 Год назад

    2023 my Fav

  • @peterflowin8303
    @peterflowin8303 Год назад

    🔥🔥2023

  • @Rickson-t8o
    @Rickson-t8o 3 дня назад

    2025❤❤

  • @opbeatsechoboyafrica2361
    @opbeatsechoboyafrica2361 4 года назад +1

    Mbna hii ngoma mmi ninayo toka niko Shule daaah ..na video ake kabisa ..sasa sijui ata nilitoaga wapi...?😊

    • @iamnicasofficial2618
      @iamnicasofficial2618 4 года назад

      ruclips.net/video/Er4t84OBs-s/видео.html
      Please watch and share 🔥🔥

  • @teddykioko1721
    @teddykioko1721 Год назад +1

    2023

  • @zenjonlinetv4953
    @zenjonlinetv4953 4 года назад +1

    Hhhhhh nakubaliiii

  • @barakarobart7415
    @barakarobart7415 4 года назад

    Young Dee BG boss

  • @computerjoshua96
    @computerjoshua96 5 месяцев назад

    Rip nisher 💔

  • @daviddaniel7663
    @daviddaniel7663 4 года назад

    Kazi nzr but unachoboa young killa huo utalatibu wakutoa nyimbo leo na kesho so pouw toa wimbo washabiki wako tukiwa tumemis kit kipy kutoka kwako now majuz tu umetoa ngoma yako bado inafany vzr umeongeza nyingne tena ubaoa yan unatoa wimbo half unajihalbia mwenyew mambo gan now me sjapenda

    • @BONGOSTARMEDIA
      @BONGOSTARMEDIA 4 года назад

      😂 😂 😂 Humjui unaemzungumzia

    • @t.h.u.g934
      @t.h.u.g934 4 года назад

      Ngoma ya zaman hii ww afu umesema nan ....😩

  • @mikelampkin7418
    @mikelampkin7418 4 года назад +1

    young dee

  • @binladen7727
    @binladen7727 3 года назад

    Nan anangalia 2021

  • @francoernest7213
    @francoernest7213 3 года назад +4

    2022 still my favorite songs 🔥

  • @jayproducts5871
    @jayproducts5871 3 года назад

    BAADA YA ILE POST YAKO NA NYANDU DUKANI KWAKE IMENIFANYA NIJE RUclips KUANGALIA HILI GOMA

  • @mukhtariabdallah8917
    @mukhtariabdallah8917 3 года назад +1

    Brother we need remix

  • @KizaBakangisha
    @KizaBakangisha 4 месяца назад

    24.9.2024

  • @juliusmkwiji283
    @juliusmkwiji283 3 года назад

    🔥🔥

  • @mzeewakazi2439
    @mzeewakazi2439 Год назад

    🦀

  • @kingndinyo9764
    @kingndinyo9764 4 года назад

    2021

  • @mchaletek2324
    @mchaletek2324 4 года назад

    ulkua unafnya enzi hzi sio saiv huna kitu eti mi naoa ,ndo nn

  • @HusseinJsmal
    @HusseinJsmal 8 месяцев назад

    Nkbl

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️

  • @DIRECTOR-CK-KIBONA
    @DIRECTOR-CK-KIBONA 4 года назад

    Oya young d unapatikan 0787827449 by producer costa

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 4 года назад

    Good song but bad video flame