Eee mungu wangunaomba kupitia kongamano hili la Leo juma pili la kuchovya miguu kwenye mafuta naomba nimubebe mume wangu tufunguliwe na kuanzia Sasa tumefunguliwa na tunaenda kubariki ndoa yetu nakufa ukiwa kiuchumi kimaendeleo mumewangu huko aliko namubebea Iman apandishwe cheo na kuongezewa mshahala nami naomba nipate nauli ya kunifikisha kawe na kurudi mungu naomba unitendee baba
Mutume Mungu akubariki sana mim nilikuwa naumwa tumbo nilikuwa natokwa damu miezi mitatu kila siku laklni baada ya maombi ya family nimepona kabisa Asante Mungu

Nashukuru apostle kwa kutulea vizuri kiimani mungu ampe maisha marefu
Amina 🤲🤲🤲🎉
Nataka niongezewe mshahara mungu nisaidie
Eeh mungu naomba mkomboe MMewang anijali na tufunge ndoa
Yesu endelea kutufungua Mimi na mume wangu yfamilia . wakwe zetu majirani zetu mataifa yot baba tusaidie mfalme najiunganisha
Eeh yesu najiunganisha na mazabau ihi ili niweze kombolewa mim na familia yang amen
Eeh yessu naomba nikomboe katika maisha yang uweze kuniondolea maden
Ee MUNGU nakuomba mfunguwe mume wangu akapate kazi ambayo Ni sahihi katika maisha yake 🙏🏻
Mungu naomba uniponye na magonjwa yote mwili mwangu fungua biashara yangu mwezi huu uwe wa baraka sana naomba wateja wanizid ofcn
Ee I received in name of Jesus
Mungu naomba nifungilie kwa jina la yesu
Amen 🙏
Mutume Mungu akubariki sana mim nilikuwa naumwa tumbo nilikuwa natokwa damu miezi mitatu kila siku laklni baada ya maombi ya family nimepona kabisa Asante Mungu
Mungu naomba nipate mume sahii na kazi sahii niwe wa kumtukuza mungu cku zote
Napoke kufunguliwa Mimi na familia yangu 🙏🏻
Ee mung naomba utubadilishie maisha yetu mim na mmewangu na familia yang
Napokea amen 🙏
Mungu naomba unisaidie npokee .uzma biashra na nipoke anyaa
Ehe yesu naomba nipate ela kiulais ya mtaji na nifungue biashala nying za aina mbali mbali
Amém
Nambuo mungu atukombowe Leo family yangu na watt wang na mme wangu pia
Eeh yesu naomba uniponye kuondoa uvimbe tumbon na niwe na wateja weng kwenye biashala yang na kutufungulia kiuchumi
Eeh yesu naomba niinue kiuchumi na nipate usafili wa kutembelea
Napokea dabodabo kwajina layesu napokea watoto mapacha napokea kuzidiwa nawateja napokea uponyaji napokea kibali kwajina layesu
Naomba nisafishie nyota yangu iweze Kung,aa na kuwa na mvuto wa biashara yangu
Eee mungu naomba unipe uzao
Naomba nipate wateja weng kazn kwangu
Deus estou a pider dinheiro fácil pagar minha dívida fácil
Naomba niponye presha kwa nguvu ya mafuta
Naomba mmewang apate wateja weng na tufanikiwe kwa kila jambo
Eemungu nipe mume sahii
Eeh yesu naomba mkomboe Bibi angu uwez kumkonya awez kupona
Eeh mung naomba nipate mimba na watoto wawili mapacha wakike na wakiume amen
Nataka nipate Uhamisho kirahisi
Kila mjini yalio hapa kz yalio kwetu kilayalpo ynayochexea masha yngu yanguke n ykufeee niwe huruu kwayesu
Naomba yessu nikomboe nipate wacha na nijenge nyumba ya kifaali
Mugu naomba mumewangu turidiana kwa ngufu ya mafuta na maji hee mugu nisaida 😂
Mkomboe mmewang aache pombe aache zalau na awe anawai kulud nyumban