Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Najiunganisha madhabahu hii niweze kupewa mkataba wa kudumu kwa damu ya yesu amen
Mungu naomba uniinue kiuchumi na nipate kazi kiurahsi , na maisha yangu yasiwe ya kutangatanga
Ee Mungu wangu naomba nipate mimba ninyonyeshe mtoto wangu niombee mtumishi nimefika mwisho kwakweli
(2) Mungu naomba ulete amani kwenye familia yangu
Mungu naomba uponyaji kwa herieth naomba kufunguliwa na familia yangu
Mungu naomba amani itawale kwenye familia yangu
Mungu naomba kuzidiwa nawateja naniongezeke dhaid kipato
(1)Mwenyezi Mungu naomba uniponye.
Mungu naomba nipate pesa ya mchezo sasaiv aaameen
Ee mwenyez mungu naomba amani itawale maisha yangu na familia yangu, bila kumsahau wato wangu, ndoa yangu, kazini kwangu amni iwe kubwa sana, ameen
komboa famila yangu uchumi watoto biashara kilimo na mifugo ndoa ajira napokea kupokelewa amen
(4) Mungu nakuomba kwenye familia ustawi na maongezeko
Naomba uponyaji kwenye nyumba yangu mungu naomba dabo feza mtendee josee
Mungu naomba uniponye kifua na kipandauso
Mungu elieti mponye
Ameni
Ee mungu inatosha sasa naomba nipate mimba kabla mwaka 2025 haijafika naamn imekuwa
Mungu naomba kibali mbele zako
Eee mwenyezi Mungu Naomba Aman ktk moyo wangu na familia yangu Amina.
Mungu simama na kipato chang
Naomba nilipwe madeni ninayodai pia nami nilipe maden kilahis
E mwenyez nami napokea upako siku ya leo
Mungu nataka nijenge nyumba kabla ya miezi mitatu niwe umenitendea na pia nibaliki nikuwe kiuchumi
Napokea uponyaj
Naomba kibali Cha kipato ktk kazi zangu za mikono Amina
Mungu naomba Aman hekima na upendo kwenye familia yangu