Jinsi ya Kumjua Mungu kwa Undani Zaidi ll SWAHILI SERVICE ll PASTOR GEORGE MUKABWA ll 17/11/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
    Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
    M-Pesa Lipa Namba : 5252176
    MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
    -Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
    Gospel Teachings for soul winning Purpose

Комментарии • 36

  • @MosesAndrea-t7v
    @MosesAndrea-t7v Месяц назад

    Hapo kwenye ndoa baba mungu amekuongoza vyema sana kwasababu vijana wengi tumefungwa hapo

  • @SofiaKayombo-b1d
    @SofiaKayombo-b1d 2 месяца назад

    Amen mtumishi wa Mungu natamani roho wa Bwana anitembelee

  • @GraceKivolwe
    @GraceKivolwe 2 месяца назад

    Imgn wiki mzima nikifuatia ili somo nikiweka fullstop. Waa kumbuke jibu langu lilikua hapa be blessed mtumish

  • @StellaMutinda-h2j
    @StellaMutinda-h2j 2 месяца назад

    Naomba mungu anifungulie nafasi siku moja niabudu huyu mungu manyi

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 2 месяца назад +1

    Amen. Am really blessed. Naomba mungu anipe kiu na njaa ya kumjua zaidi. Pastor may Almighty Continue to bless you and your family. Hakika neema ya mungu isipite ndungu ,family na marafiki zangu. AMEN.

  • @winfridamakori8738
    @winfridamakori8738 2 месяца назад +1

    Naomba niwe na kiu ya kumjua mungu

  • @violethnyangasa9495
    @violethnyangasa9495 2 месяца назад

    Namshukuri Mungu sana kwajili Yako mchungaji natoa sadaka yangu kwajili ya MAFUNDISHO haya nambariki Mungu Ili nibatizwe na kiu na njaa ya kumjua zaidi

  • @GraceKivolwe
    @GraceKivolwe 2 месяца назад

    Baba nipe kiu na njaa ya kukujua zaidi

  • @RachaelCharles-g5z
    @RachaelCharles-g5z 2 месяца назад

    Nimeshukuru mtumishi kwa neno zuri nimejifunza kitu kikubwa kwa kweli ubarikiwe

  • @IreneBeda-q9x
    @IreneBeda-q9x 2 месяца назад

    Ameen bab naomba Bab unipe kiu yakukujua wew katika nyakat ngumu nazokutan naz Yesu univushe

  • @NDAYISHIMIYEChristine
    @NDAYISHIMIYEChristine 2 месяца назад

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu .unatufundisha kwa kweli.Tuko Bujumbura. Ubarikiwe.

  • @EliasSimwanza-w8r
    @EliasSimwanza-w8r 2 месяца назад +1

    Amen nimebariwa am blessed man of God

  • @ROPHENCEBENDERA
    @ROPHENCEBENDERA 2 месяца назад

    MAY. GOD BLESS YOU, Hakika nimebarikiwa sana

  • @Judith-p5m8i
    @Judith-p5m8i 2 месяца назад

    Nimebarikiwa Sana mungu akubariki

  • @carolinChambangwe
    @carolinChambangwe 2 месяца назад

    Amen 🙌🙌 God bless you pastor..

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 2 месяца назад

    Ameeen. Mungu wangu naomba unipe KIU ya kukujua wewe pekee.

  • @kisangprisca8328
    @kisangprisca8328 2 месяца назад

    Hakina nimebarikiwa. Mungu wetu atukuswe. Hili ni ombi langu: kiu na njaa ya Mungu.

  • @ErnestOkiya
    @ErnestOkiya 2 месяца назад

    Amen√

  • @GRace-hm9ek
    @GRace-hm9ek 2 месяца назад

    Amen 🙏🙏 ubarikiwe sana mtumishi kwa neno zur 🙏🙏🙏🙏🙏mungu akuzidishiye

    • @shshygibb2236
      @shshygibb2236 2 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeen Hallelujah Ameeen Hallelujah Ameeen Hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 2 месяца назад

    Eee Yesu unipe kiu na njaaa ya kukaa na wewe siku zote

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 2 месяца назад

    Matendo yako ya ajabu ,Wew ni BABA ,ni MUNGU,Amina

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 2 месяца назад

    Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @joyfenderotwori4817
    @joyfenderotwori4817 2 месяца назад

    Hallelujah I need to know God more

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 2 месяца назад

    I was blessed with today's sermon, Glory be to God.

    • @shshygibb2236
      @shshygibb2236 2 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤hapa patakatifu. Ubarikiwe Kuhani Pastor GM❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @prisca4612
    @prisca4612 2 месяца назад

    Amen!!!!!

  • @GiftNambozo
    @GiftNambozo 2 месяца назад

    Glory

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 2 месяца назад

    MUNGU WANGU BABA YANGU NAOMBA NIWE NA KIU YA KUKUJUA WEWE ZAIDI.

  • @GiftNambozo
    @GiftNambozo 2 месяца назад

    Amen

  • @salomengugi6442
    @salomengugi6442 2 месяца назад +1

    Amen and Amen

  • @furahalumande1901
    @furahalumande1901 2 месяца назад

    Amen

  • @yvettembavu9306
    @yvettembavu9306 2 месяца назад

    Amen Amen Amen

  • @RebecaYesaya
    @RebecaYesaya 2 месяца назад

    amen amen

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 2 месяца назад

    Amen