ZUCHU AWAGOMEA MADANCER WAKE ZANZIBAR AWARUDISHA KUUCHEZA WIMBO WA ZAWADI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 фев 2024

Комментарии • 90

  • @rashidfatma2137
    @rashidfatma2137 3 месяца назад +10

    Zuchu is very Strong, Maasha'Allah.Yote yalotokea, I'm very proud for you!👏👏👏❤❤❤❤

  • @TabuItra
    @TabuItra 2 месяца назад

    Jamani dada zuchu matamani niwe dancer wako kwasababu Mimi nakupenda sana❤🙂🎉 upendo mpaka unamwagika me ni Joyce

  • @ArnaudAkanakimana-cr4sq
    @ArnaudAkanakimana-cr4sq 3 месяца назад +4

    Zuchu tunakupenda sana ❤❤ ukimuacha simba tunajipa sumu ninimesha anda kikombe chakuja sumu

  • @NasraCholo
    @NasraCholo Месяц назад

    Km mama kijacho ivi ana presha

  • @louloubika8603
    @louloubika8603 3 месяца назад +2

    Beautiful Zuchu 💞 💕 ❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelSumari-pp4op
    @EmmanuelSumari-pp4op Месяц назад

    Hongera take😅😅😅😅😅

  • @mgandotv
    @mgandotv 3 месяца назад +6

    Amazing sanaaa

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 3 месяца назад +11

    WATU WASILETE MAMBO YA MUNGU KWENYE USHETANI,,,CHAGUA KIMOJAWAPO FANYA,,,,UKIONA RUclips IMEKULETEA KITU HUPENDI KUKIONA RUKA PAGE.

    • @sheehamadnganzi8317
      @sheehamadnganzi8317 3 месяца назад

      Your very idiot person,munkari we must condemn every time, don't be stupid man,go back to madrasa you an academic dwaf

    • @user-uc8ei8kn3l
      @user-uc8ei8kn3l 3 месяца назад

      Kabsa

    • @edinamwinuka-tg3ws
      @edinamwinuka-tg3ws 3 месяца назад

      Uko sahihi,wanaingia kwenye pages za watu na kukoment vibaya kama vile wamelazimishwa.

    • @user-wg8hs4tu7w
      @user-wg8hs4tu7w 2 месяца назад

      Na wanajiona mitume wasio na dhambi ukute ndo walimu wa dhambi duniani, uzinzi tu umewajaa na umbea Kama sio uchawi

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 месяца назад +16

    Subhanna Allah 😭😭 bora niwe ivi na mungu anachonipa namshukuru ila so kutafuta pesa kwa njia hii ni msiba mzito wallah 😭😭😭

    • @zenahmugo1974
      @zenahmugo1974 3 месяца назад +6

      Eii akina mitume mnafanya nini RUclips 😂😂😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 месяца назад

      @@zenahmugo1974 nimekufuata wewe uliojipendekeza kwenye comment yangu

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 3 месяца назад

      ​@@zenahmugo1974hahahaha eti akina MTU wako you tube ncheka sana mie

    • @HalimaSalumuNgakupea
      @HalimaSalumuNgakupea 3 месяца назад +1

      😂😂😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 месяца назад +4

      @@zenahmugo1974 haujielewi 😭😭😭

  • @HospoTv
    @HospoTv 3 месяца назад +5

    Hospo Tv Wakwanza Naombeni like 100 tu

  • @SaidaNyinge-bf5wk
    @SaidaNyinge-bf5wk 2 месяца назад

    Waaa imeweza

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 3 месяца назад +4

    Beautiful and natural Zuuh❤❤❤❤

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx 3 месяца назад +2

    Mungu ambadilishe!!

  • @Rosemaryhamisi
    @Rosemaryhamisi 3 месяца назад +1

    Nkmemuon ashurey much love

  • @user-cw6jq7cv2k
    @user-cw6jq7cv2k 3 месяца назад

    That new song ni the best, you surprise us every day my girl

  • @getrudemulungwe2215
    @getrudemulungwe2215 9 дней назад

    Title of this song

  • @KINYONGAMASAUTIY
    @KINYONGAMASAUTIY Месяц назад

    Mnajifanya mnampenda zuch wanafiki wakubw umaskini2 ndo unawafanya mmpende

  • @mariamsimba-cn1yy
    @mariamsimba-cn1yy 2 месяца назад

    Wow🎉❤❤👏💕

  • @SallmaXg
    @SallmaXg 3 месяца назад +2

    Tafuta mandacer wa salasa ndo wataweza huwo wako my

  • @user-ig3wo3td2x
    @user-ig3wo3td2x 3 месяца назад +1

    Mazoezi naona mziki hsujaanzs

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 3 месяца назад

    Mbona kama anaimba na huluma vile😂.

  • @user-it2tr7ny8d
    @user-it2tr7ny8d 3 месяца назад +1

    Msenge tu😂😂😂

  • @fahadalsaid4050
    @fahadalsaid4050 3 месяца назад +2

    🎉🎉

  • @user-vj1ek5us4r
    @user-vj1ek5us4r 2 месяца назад

    Kakosa nyimbo huy zakuiba Malaya huy

  • @milcahNanjala-to9gq
    @milcahNanjala-to9gq 3 месяца назад +1

    ❤❤❤🔥🔥

  • @Bungejackson
    @Bungejackson 3 месяца назад

    Zanzibar amnakitu jau tu😂😂

  • @MaulidMtaji-mc5fr
    @MaulidMtaji-mc5fr 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 3 месяца назад +4

    Yn siku zote hamwoni. ?ikifika mwezi mtukufu ndo mnasema?

  • @user-ly8go5qy6w
    @user-ly8go5qy6w 2 месяца назад

    Oooh

  • @user-gt1so2ew9y
    @user-gt1so2ew9y 3 месяца назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 3 месяца назад +1

    Zuchu ana stress

  • @ArafatMalangiza
    @ArafatMalangiza 28 дней назад

    haaahahahahah😂😂

  • @ShufaaOmary-rl7nq
    @ShufaaOmary-rl7nq 2 месяца назад

    kimekulamba

  • @S__Official24
    @S__Official24 3 месяца назад +2

    Wazanzibar mpo wapi jaman kaja kuwaonyesha km mmeshindikana kukaa uchi live😂😂😂

    • @zenahmugo1974
      @zenahmugo1974 3 месяца назад +3

      Wewe nawe kwani Yeye ndo wa kwanza kuvaa Ivo 😏unataka wajae sound check ama 🤔

    • @YahyaMakame
      @YahyaMakame 3 месяца назад +1

      Huyo sio mzanzibar

    • @S__Official24
      @S__Official24 3 месяца назад +1

      @@YahyaMakame Wa wapi kumbe?🤣

    • @S__Official24
      @S__Official24 3 месяца назад

      @@zenahmugo1974 Jiulize ww sasa kwa nn mnawakataa wa Bongo

  • @user-zg4dr8gn6y
    @user-zg4dr8gn6y 3 месяца назад

    Akukubal mnoo

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 3 месяца назад +2

    Mbona hakuna watu

    • @lucia20240
      @lucia20240 3 месяца назад +1

      Ushaambiwa rehearsal (mazoezi)show usiku

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 3 месяца назад

      Umesugua masikio?toa inta hiyo

    • @MUSEROJanet
      @MUSEROJanet 3 месяца назад

      ​@@tanzcanmediatv4473😂😂😂

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 месяца назад +1

    Wimbo huu wa zawadi, kuna sauti kaiingiza, ya muimbaji mmoja aliitwa Sophia George wimbo wake uliitwa Girlie Girlie, pale alipoimba young man you too Girlie Girlie, hicho kipande ndio zuchu ameingiza hiyo sauti. Utafuteni huo wimbo wa sophia mtasikia hiyo sauti. Ni wimbo wa 1986.

    • @soundmale
      @soundmale 3 месяца назад

      Kulanina😂

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 3 месяца назад

      @@soundmale nanilaku wewe mara 1,000 😅😅😅😅

    • @user-wg8hs4tu7w
      @user-wg8hs4tu7w 2 месяца назад

      Kama kaingiza haya kuhusu we kikubwa burudika ya ngoswe mwachie ngoswe, usilete ujuaji kwny Sanaa ya mtu bro😂😂

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 2 месяца назад

      @@user-wg8hs4tu7w zumbukuku ulimwengu uko huku, ndio yanahusu kila mmoja, kaiba sauti za watunzi wengine kwani uongo? Kwa kuwa nyie ni bendera hufuata upepo, mkipelekwa mashariki haooo, kusini 🤣🤣🤣😂😂😂 sauti ya sophia George 1986.Uongoooo?

  • @rosemwaka2924
    @rosemwaka2924 3 месяца назад +2

    ❤❤❤

  • @user-kv4cw9ei9s
    @user-kv4cw9ei9s 3 месяца назад +2

    ❤❤❤❤

  • @user-vj1ek5us4r
    @user-vj1ek5us4r 2 месяца назад

    0vyo

  • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
    @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 3 месяца назад +1

    Kumekucha

  • @user-vy6st5ki2v
    @user-vy6st5ki2v 3 месяца назад

    😂😂😂😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 3 месяца назад +3

    kama kijini vile😂😂😂

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 3 месяца назад +5

    Nauliza2
    Hivi huyu nimzanzibar kweli mbona nimalaya hivi alafu kakosa haya
    Hivi

    • @khadijachacha3156
      @khadijachacha3156 3 месяца назад +6

      Sio hivyo unavyo fikiria ww anavaa hivyo kuttokana na kazi yake ww unataka avae madira

    • @user-xl3xy6db2g
      @user-xl3xy6db2g 3 месяца назад +3

      Mh! Tayari... iv malaya anakuaje kwan? Mbona unamwita malaya mtu ambaye haujawahi na wala haitotokea wewe kumvua chupi au umesimama kutuaminisha husda na choyo chako kwa mafanikio ya mtu acha upuuzi tafuta pesa we kijana usije ukawa mchawi maana mkikosa pesa waswahili tunawajuw 😂😂😂

    • @user-lf9qf9gz8k
      @user-lf9qf9gz8k 3 месяца назад +1

      Kama ww sio

    • @stonetown578
      @stonetown578 3 месяца назад +1

      Kila mtu na shimole 😂

    • @stephenmsanzu9850
      @stephenmsanzu9850 3 месяца назад

      Malaya ni wewe na families yako ng,ombe wewe