ZIMWI ,AFIKA MSIBANI KWA PEMBE AFUNGUKA ALIZANI ATATANGULIA YEYE MARADHI YA MUDA MREFU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 17

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 месяца назад +2

    Dah pole sana kwa maradhi brother mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma atakuondolea yoote na utakaa sawa kama zamani

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 2 месяца назад

    ❤❤❤dimwit umesema ukweli big love from kenya

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 2 месяца назад

    Mashaallah zimwi sasa ana nafuu mungu ni mwema allah amrehemu mzee pembe

  • @HawaJumanne-uy4eu
    @HawaJumanne-uy4eu 2 месяца назад +3

    Nimefurahi kumuona zimwi jamani kuna kipindi aliumwa sasa alhamdulillah r i p pembe

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 2 месяца назад

    Pole Sana ndugu

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 2 месяца назад

    Inalilah wainalilah rajuuni poleni sana family

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 2 месяца назад

    Na sisi raia wa kawaida muwe mnatutembelea kweli waandishi

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 месяца назад +1

    KUUMWA SO KUFA KILA MTU ATAONDOKA KWA MUDA WAKE UKIFIKIA ALLAH NDO MPANGAJI

  • @AyubuHamiss
    @AyubuHamiss 14 дней назад

    Dash pembe kafaa

  • @BahatishaSarai
    @BahatishaSarai 2 месяца назад +1

    Niko mm natka kwenda kanada mm

  • @TinaSodom
    @TinaSodom 2 месяца назад

    Pole sana kaka yangu

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 2 месяца назад +6

    WANDISHI MUWE MNAFANYA UTARATIBU WA KUWATEMBELEA WATU SIO MPAKA KWENYE MATATIZO... ALLAH AMSAMEHE PEMBE ALIPO KOSEA KAMA BIN ADAM MKAMILIFU NI MUNGU....JAMAN TUISHI KAMA ALIVYO SEMA MTUME MUHAMMAD (S.A,W) KWAKUPENDANA... SIJAWAH ONA UKOROFI WA KINGWENDU,ZIMWI,MTANGA,PEMBE NAWENGI WAO WA KOMED KAMA WALE WA MZEE MAJUTO NA MZEE JANGARA...VITUKO SHOW.

  • @HalimaMaulidmangorosho
    @HalimaMaulidmangorosho 2 месяца назад +2

    😢😢

  • @RaviShija
    @RaviShija 2 месяца назад

    sjaelewa zimwi hana pesa kwa nini? inamaana komedian wa zaman hawakuweza kupata pesa

    • @JacksonMayunga-u5r
      @JacksonMayunga-u5r 2 месяца назад

      Mwamba alijisahau pombe sana adi leo anaishi nyumba ya ndugu Mbagala 7saba

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 2 месяца назад

      M,mungu amuongoe na aendelee kumpa takhfif inshaallah​@@JacksonMayunga-u5r