🔴LIVE :RIPOTI YA LEO [LEAH SEHEMU 1] - 02 DEC, 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 21

  • @JenifaNyamhanga
    @JenifaNyamhanga 13 дней назад +8

    Jamani tumuombe mungu sana daah😢😢😢

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 13 дней назад +1

      Sana, Africa sio Sawa. Mungu aturehemu na kutupigania

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 13 дней назад +6

    Kifo km iki ndo kifo kilichomkuta baba angu allah mjalie gher namwanga mzee wangu

    • @treyvissy9854
      @treyvissy9854 13 дней назад +2

      Pole sana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 13 дней назад +2

      Pole sana, yaani Afrika watu wanatuharakisha tutangulie kabla siku za Mungu. Lakini ndo hivyo, inabidi tukubali Tu!

    • @omanlove3968
      @omanlove3968 12 дней назад +2

      @@MsAggie5 kweli kabisa wengi wanaokufa siyo mapenzi ya Mungu

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 12 дней назад

      pole kipenzi kwa kumpoteza baba yako . Tuzidi kujifunika kwa damu ya Yesu tukiomba na kukemea roho za mauti

  • @SatwantHoogan
    @SatwantHoogan 12 дней назад +4

    Uyo Bibi yake Leah! Ni Mchawi,😢 na hapo kwenye msiba amefika haraka...kwasababu ametumia usafiri wa kuruka na Ungo!😱hatari Sanaaa!

    • @ScholarPeter
      @ScholarPeter 11 дней назад

      Huyo na mwanae tayari kashaingia kwenye chama

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 10 дней назад

      au alivofikishwa stand ya basi alikaa sehemu akisubiri kisha akarudi maana huenda alijua kitakachotokea

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 13 дней назад +1

    Afrika tunatisha, haya mambo yapo, na wengi wanahara kishwa. Mungu aingiliae kati

  • @EndobileHerman
    @EndobileHerman 10 дней назад +1

    Huyo mama anasema hakuamini kilichomkuta mmewe wakati wakati siku mbili kabla walikuwa wanapanga na mama ake (bibi wa Leah)

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo 13 дней назад +3

    Mtihani sikila kifo nimpango WA M / mungu jaman dah😢😢

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 13 дней назад +2

      Ndo hivyo hivyo hasa huku kwetu, wengi Wana harakishwa

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 11 дней назад

    Inaogopesha wallah

  • @yohanatweve5721
    @yohanatweve5721 13 дней назад +1

    Shukulani kwakutufuna inauma sana

  • @yohanatweve5721
    @yohanatweve5721 13 дней назад +1

    Uishi maisha marefu Vero kalibu sogwe

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 12 дней назад

      sogwe tena kwani sio songwe

  • @NammaNammma
    @NammaNammma 12 дней назад

    Hamjambo

  • @AgripinaBabwira
    @AgripinaBabwira 13 дней назад +2

    Daaah inauma 😢