NI HATARI! ENERGY ZAGEUZWA CHAI, WATOTO WANAKUNYWA NA MAANDAZI WAENDE SHULE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 28

  • @khadijaabdalla1011
    @khadijaabdalla1011 13 дней назад +3

    Dada wa kazi au msaidizi wa kazi

  • @danielmwandenga5369
    @danielmwandenga5369 10 дней назад +2

    Energ ni hatari tunatengeneza wagonjwa wa moyo miaka ijao taifa litangamia kwa non communicable disease, energ tabia yake nikusismua misuli ivo kufanya moyo utanuke na kufany moyo ushindwe kupampu damu kwa kiwango kinachostaili , kimapenz caffein inakusismua kwa mda tu njia nzuri vijana mtumie pilipil kwa wingi hufany mzunguko w damu kuw mzuri n uongeza oxygen ktik damu ivo uwezo wa tendo unakuwa mzur zaidi , ustumie chumvi , maharage , mafuta ndipo uende fanya tendo l ndoa

  • @michaeljames3480
    @michaeljames3480 10 дней назад

    Energy nzur sanaaa walaa hazina madharaaaa

  • @GuraidyBoniphasy
    @GuraidyBoniphasy 12 дней назад +2

    Mimi nikinywaa moyo unaniumaaa

  • @sophiaselemani2474
    @sophiaselemani2474 День назад

    Sinywi hata Bure niliwah shobokea nilikuwa mjazito ilitoka

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 13 дней назад

    Hii nchi mnapanga tusikilize nini na mtutisheje😢haya bhana

  • @LeonardMdegela
    @LeonardMdegela 13 дней назад +1

    Ndugu zangu Figo nitatizo kubwa sabab ni vyakula na vinywaji,natamani Kila mtuu ajue ninayopitia Figo inanitesa

    • @leonardjackson269
      @leonardjackson269 13 дней назад

      Imesababishwa na enrgy au pombe kali

    • @LeonardMdegela
      @LeonardMdegela 13 дней назад

      @leonardjackson269 nilikua sio mnywaji madokta wanasema nilikua nasembea na presha ikiwa juu sana

  • @RajabMganda
    @RajabMganda 13 дней назад +1

    Wengine wanatia panado moja ndan ya enegy afu anatkisa ilo balaa lake sasa kwenye game uspime wabongo wakemia bana

    • @AlexMdamla-b7q
      @AlexMdamla-b7q 13 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @web2.095
      @web2.095 11 дней назад

      Ni Wengine au wewe?

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 13 дней назад

    Energy drink,sisi kenya tunatumia tukitafuna mirungi

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 13 дней назад

    Kwa hao wamama umaskini unachangia. Serikali iangalie iwasaidie

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 13 дней назад

    Yani figo presha macho hakika hiki kinywaji kisipo zuiliwa tuna angamia kwa magonjwa hayo wanatengeneza hawanywi 😂

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 11 дней назад

    Sasa mna ipromoti au ,mnakemea au? mepewa tanagazo,

  • @romwaldkabwebwe6747
    @romwaldkabwebwe6747 13 дней назад +1

    Serikali imeamua kuwadhuru wananchi wake kwa kutumia hiki kinywaji. Kuna nchi hapa hapa Africa hiki kinywaji hakiwezi kuuzwa. Nchi za Ulaya ndio kabisa utafungwa kwa kwesi ya kuua

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 13 дней назад +1

      Sikwel hakuna nchi ambayo energy haziuzwi !! Madhara tuaanbiwa Ila hatusikii na imeandikwa Kama ilivo sigara

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 дня назад

      Muongo

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 13 дней назад +2

    Tunakufa huku tunajiona

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 13 дней назад

      na serikali inaangalia

  • @KhalidiMpindo
    @KhalidiMpindo 13 дней назад +1

    Ata sisi mafundi ujenzi tunatumia.kunawia au kusafishia mikno inaondoa cement unakua saf kbisq

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 13 дней назад +1

      Kama inasafisha cement kiasi hicho inakuwaje ikiingia tumboni? Twafa

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 9 дней назад

    😂😂😂😂😂

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 13 дней назад

    Tatizo ni Maarifa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 13 дней назад

      Kwa hao wamama ni umasikini pia

  • @michaeljames3480
    @michaeljames3480 10 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂