🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 11 SIMULIZI YA TUPO KIGWE - MAY 7/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 60

  • @AsiaAbdallah-k9j
    @AsiaAbdallah-k9j 7 месяцев назад +7

    Da Vero napnda unavyoximulia cmulz jmn mumy❤️❤️ bye Asia from Moshi kilimanjaro

  • @CuttyZerish
    @CuttyZerish 7 месяцев назад +6

    Hakika hicho ni kipaji da Vero umetunukiwa♥️♥️

  • @MarvelousLight-t8p
    @MarvelousLight-t8p 7 месяцев назад +6

    Naomba namba za dada ake tupo jamani nimwanamke na nusu

  • @JenniferAidan
    @JenniferAidan 7 месяцев назад +5

    Da vero nakupenda

  • @zennahwambura9931
    @zennahwambura9931 7 месяцев назад +2

    Dada anaushauri mzuri sana na ukizingatia ni dada wa hiari

  • @anipelutego989
    @anipelutego989 7 месяцев назад +6

    hiyo kali ya mwaka maneno alikuwa anaambiwa nasasa anaanza kupata majibu yake alokuwa anaambiwa kichwa kinaanza kumuwasha upendo upo wapi sasa

  • @Iantussa
    @Iantussa 7 месяцев назад +3

    Kazi nzuri vero❤

  • @irenejoh1242
    @irenejoh1242 7 месяцев назад +3

    Jamani hata mimi mwanaume nilie nae alinipenda sana japo hajanioa niko nae mwaka wa3,, alikua hawezi kulala bila kunitafuta hawezi kushinda bila kunitafuta ila sasahv zinapita wiki3 mpaka mwezi hajawahi kunitafuta mpaka nimtafute mimi,, natamani kumuacha ila nashindwa

    • @eveliynejoseph7944
      @eveliynejoseph7944 7 месяцев назад

      Mmh pole dear,ukiamua kuachana Naye ni suala la siku moja maana bila mawasiliano hakuna mahusiano

    • @HanifaRashid-kt8ww
      @HanifaRashid-kt8ww 7 месяцев назад

      Mh kumuacha mwanaume ambaye unampenda so kitu rahisi jmn

  • @happynesmyeph
    @happynesmyeph 7 месяцев назад +1

    Asante da vero.nimepata kitu kwenye simulizi hii.sidanganyiki nimejua mbinu zao.bora uboreshe kwenye ndoa yako Hawa wa lnje matapeli tu.

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад +1

      Hakika. Kama ndio umeolewa it's better to be loyal ... 🤣🤣

  • @bakarimpundu81
    @bakarimpundu81 7 месяцев назад +2

    Ipo haja kweli ya jamii kubalika na kufuata maadili yaliyo ya kitanzania hamisi. Huwezi tafuta Amani ya moyo na nafsi yako Kwa kuharibu ama kuvunja Amani ya mwenzi wako.

  • @TheresiaMyala
    @TheresiaMyala 7 месяцев назад +2

    Imeisha vizur ❤❤

  • @samihaalawaidi9538
    @samihaalawaidi9538 7 месяцев назад +3

    AMSHUKURU MUNGU HAJAPATA MIMBA WALA HAJAPATA MARADHI MABAYA ATUBU SAAANA KWA MUNGU WAKE .

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 7 месяцев назад +2

    Hakika unatuelimisha kila iitwapo leo ' ahsante na mungu akubariki xan vero

  • @PriscaMwanjala
    @PriscaMwanjala 7 месяцев назад +4

    Iringa hatuwapati kabisa jamani Efm

  • @sifaisack7470
    @sifaisack7470 7 месяцев назад +1

    Daah Mungu asaidie huyo mume mtu arud salama aysee😢 haya maisha jmn

  • @sjju4215
    @sjju4215 7 месяцев назад +1

    Dada Vero sauti yako tu mungu akupe maisha marefu

  • @esthermohamed-lq3uo
    @esthermohamed-lq3uo 7 месяцев назад +1

    Da vero uk mtwar radio aishki baada ya kimbunga cha iday

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 7 месяцев назад +4

    Haya maisha tuyaache tuuu chagamoto tunazitafuta wenyewe

  • @MaulidKomboza-wh2ki
    @MaulidKomboza-wh2ki 7 месяцев назад +2

    We Dada mkali SANA NAKUPENDA japo umeolewa, niko na ww toka praise Power mlima wa moto.

  • @eveliynejoseph7944
    @eveliynejoseph7944 7 месяцев назад +1

    Hao ndo wanaume wa kibongo,😂😂😂😂 sio wte lakn baadh n Matapeli wa mjini haloooo penzi likidumu mwaka katoe ushuhuda tupo mshukuru dada yako

  • @subirarichard3236
    @subirarichard3236 7 месяцев назад +2

    Iringa hatukupati

  • @irenejoh1242
    @irenejoh1242 7 месяцев назад +1

    Da vero mambo mimi pia nna simulizi jamani

  • @PriscaMwanjala
    @PriscaMwanjala 7 месяцев назад +3

    Iringa hatuwapati please tusaidieni jaman Toka jumamoc

  • @LilianKiswaga
    @LilianKiswaga 7 месяцев назад +3

    Jmn huku iriga redio haisikiki tunakosa vipindi jmn

  • @PendoJohn-lz1je
    @PendoJohn-lz1je 7 месяцев назад +1

    Hatimaye leo nimekuona da Vero kumbe uko smati sana.hongera dada

  • @NayraRaphael-rp9ke
    @NayraRaphael-rp9ke 7 месяцев назад +3

    Huku 92.5 chanel haishiki shida ni nini maan sio mara moja tunapata shida yaan hadi uwe na bando utafute kwenye youtube

  • @GODFREY-je9xq
    @GODFREY-je9xq 7 месяцев назад +2

    Ènyi wanawake wenyetabia hii MUNGU ANAKUONA Acha mara moja

  • @eneafrancis9166
    @eneafrancis9166 7 месяцев назад +2

    Hii story inamafundsho makubwa sanaaaa

  • @MaulidKomboza-wh2ki
    @MaulidKomboza-wh2ki 7 месяцев назад +1

    💟💟💟

  • @faustinebuhatwa2191
    @faustinebuhatwa2191 7 месяцев назад +2

    mwanza haishiki jameni

  • @PRETTYADAFATE
    @PRETTYADAFATE 7 месяцев назад +3

    Mm hata ctaki kuickia hiyo vuna dairy Yan nimecheza wee ila cshindi

  • @france153
    @france153 7 месяцев назад +2

    Kilimanjaro 93.9 Efm haishik jamani leo cku yatatu

  • @Tusekile-s5y
    @Tusekile-s5y 7 месяцев назад +2

    Iringa efm haishiki jaman

  • @graciousmwacha
    @graciousmwacha 7 месяцев назад +2

    Heee tupo

  • @BenjaminNchimbi-gt8fn
    @BenjaminNchimbi-gt8fn 7 месяцев назад +2

    Redio imekata mwanza jamani

  • @AnteryoThadei
    @AnteryoThadei 7 месяцев назад

    Sauti Yako ni imebarikiwa da v,,,

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 7 месяцев назад +2

    Nimependa jins unavyocheka unapotuambia udhaifu wa dada ake TUPO ni pesa

  • @RoseOmary-ls5nk
    @RoseOmary-ls5nk 7 месяцев назад

    Jmn huku iringa tunakosa simulizi wiki ya pili xaxa

  • @GraceKibelenge
    @GraceKibelenge 7 месяцев назад +1

    Uyu kaka alaniwe ila tupo siwezisema ubaya juu yako ila ukiwamshamba wa mapenzi unakufa vibaya

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 7 месяцев назад +2

    😂😂na bado tupo,utakumbuka maneno alokwambia mumeo kuhusu huyo mwanaume

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад

      Yani mume kakwambia mapema ila hakumsikia kabisa. 🤣Huyu dada hafai Kwa jamiii

  • @RoseJohn-bu9xb
    @RoseJohn-bu9xb 7 месяцев назад +2

    Du

  • @EliasMkumbo-sm9xr
    @EliasMkumbo-sm9xr 7 месяцев назад

    Mwanza ampatikan kwenye redio

  • @MagdalenaJoseph-mc9zm
    @MagdalenaJoseph-mc9zm 7 месяцев назад

    Da Vero simuliz nzuli San ila Simliz za usalit zinaumiza San

  • @AnithaJohnny
    @AnithaJohnny 7 месяцев назад +1

    Hapana chezea pesa wewe dadeki 😂😂😂😂😂

  • @lydiajuma01
    @lydiajuma01 7 месяцев назад +2

    😂😂😂😂dada katisha chezea pesa wewe