🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 12 SIMULIZI YA TUPO KIGWE - MAY 08

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024
  • 🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 12 SIMULIZI YA TUPO KIGWE - MAY 08
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
    Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

Комментарии • 112

  • @DorinMremi
    @DorinMremi 7 месяцев назад +6

    Yani dada Vero sauti yako inakosha sana Yan inavutia mtu hachoki kusikiliza unajua unajua Tena🙌🤗♥️♥️

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 7 месяцев назад +7

    Nimejifunza Sana, sitaruhusu ya Tupo yanikute.

  • @verombena4630
    @verombena4630 7 месяцев назад +6

    A very big lesson 🙏

  • @josephkilamian9903
    @josephkilamian9903 7 месяцев назад +12

    Wakina tupo ni wengii San mtaaaniii

  • @SalmaMasoud-ry4pg
    @SalmaMasoud-ry4pg 7 месяцев назад +8

    Mungu wangu Mungu wa woote aweee Tupo umejivuaa ndiooo🌚Sasa lakin wanawake sisi tunaliaaa kuomba ndoa ok tukishaoleka tunawadharau waume wetu tunawaona kifurushiii 😩Allah nijalie Mume mwema Naombaa Ndoaa 😭🫂Allah please for give me😭😭Nikumbuke Allah ::Tupo TupoTupo Mhm Yaani unaenda kupoteza Mwezi Kwa kuhesabu Minyootaa😩🤔SAAITAKUAJEEE MIMBAA 🤸

  • @tilifozakikoti5046
    @tilifozakikoti5046 7 месяцев назад +5

    Lakini wanawake jamanii Mungu atusaidie sana maana baadhi ya wanawake hawabebeki kama hivyo namuonea huruma mume wa tupo jamaniiii 😢😭😭😭

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 7 месяцев назад +4

    dah yaani niko ktk nikiskia Tupo ni mjamzito..nimeisimamisha- nimelia kweli..naksikia kuogopa kwa ajili ya Tupo. Tupokigwe wetu jmni..aiii Mungu wtu Wewe Mkuu Baba yetu usameheaye dhambi zetu Mkumbuke Tupo wetu😰😰😰😥ukamrehemu Baba

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 7 месяцев назад +2

      ukiwa hujitambui maisha lazima yayumbe mtu umeolewa ndoa saf mme ana hela unaanzaje kuhangaika

  • @racheljeremiah5068
    @racheljeremiah5068 7 месяцев назад +2

    duh maisha haya wanandoa wanataman kutoka kwenye ndoa zao... wasiyoolewa wanataman kuolewa

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 7 месяцев назад +3

    SIMULIZI HIKO🔥

  • @wilsonsanga
    @wilsonsanga 7 месяцев назад +5

    Jamana mbona uku mbeya radio haikamati Tena wengine hawan cm kubwa walikua wanafutilia kwenyée radio

  • @OnesmoJeremia
    @OnesmoJeremia 7 месяцев назад +3

    Nime jifunza kitu ukiwa mwema kwa mtu Mungu mwenyewe ata kudhihilishia uovu wake kwako

  • @zennahwambura9931
    @zennahwambura9931 7 месяцев назад +2

    Mwanza jamani hamsikiki Efm

  • @corneliamagnus5186
    @corneliamagnus5186 7 месяцев назад +1

    Wanaume ni waongo Sanaa wanasubir wakuharibie kwaza Mungu atalipa kwa wakati wake kwa kwl 😢😢😢😢

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo 7 месяцев назад +7

    Honey we hanii 😢😊

  • @marthaQueen-nl2mc
    @marthaQueen-nl2mc 7 месяцев назад +4

    Jamani mimi ni mdau mpya, napenda kusikiliza simulizi,kwakweli wadada tujifunze

  • @EverhappyBakuza
    @EverhappyBakuza 7 месяцев назад +3

    EFM HAISIKIKI KABSAA SEHEM NYINGI INCLUDING MOSHI

  • @MAGRETHDANIEL-gy1bk
    @MAGRETHDANIEL-gy1bk 7 месяцев назад +1

    Imeniuma sana japo mm sijaorewa ira nimekuwa kamando mm nimepitia hayo maumivu jaman tupo lait agerijua daaah inaumiza sana jaman nimejifunza sana hapo natamani hata kupata namba ya tupo

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад +1

      Pole snaa. Ni sijaolewa na sio sijaorewa, ni ila sio ira. Tofautisha l na r mamie magreth

    • @vailetadam3366
      @vailetadam3366 3 месяца назад

      😂😂😂​@@gladyrobbin

  • @PriscaMwanjala
    @PriscaMwanjala 7 месяцев назад +5

    Jaman huku Iringa hatuwapati please tusaidieni 😭😭😭😭

    • @SifaJasitin
      @SifaJasitin 7 месяцев назад

      Ata huku mwanza radio haishiki

    • @racheldavid6816
      @racheldavid6816 7 месяцев назад

      Hta Mbeya ni hivyo hivyo

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 7 месяцев назад +3

    dada vero iring hatuwapati 😣

  • @JudithTwibonisye
    @JudithTwibonisye 7 месяцев назад +4

    Kuna kitu cha kujifunza wanawake .Tupo anavuna alichokipanda .cha muhimu wanawake mlio bahatika kuwa kwenye ndoa ni kuwa waminifu kwenye ndoa zenu

  • @annanelson8078
    @annanelson8078 7 месяцев назад +4

    Tupo ushajua dada n wamjin kweli anajua jiji lina hidaya😂😂😂😂kivumbi leo

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 7 месяцев назад +1

    dada V umenichekesha, kwenye anapenda sana , anatamani mtoto wa kike

  • @ShaniHussein-gm8ur
    @ShaniHussein-gm8ur 6 месяцев назад

    Ila sisi wanawake Mungu anatuona tuna dhambi sanaa

  • @Sabrasulley
    @Sabrasulley 7 месяцев назад +2

    Hbr yako dada Vero iringa hatuwaapati kabsa tokea juma3

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 7 месяцев назад +1

    Duuh maisha haya Asante kusher na sisi tupwe kweli tunakuona mjinga lkn umetufunza kweli siwaamini Wanaume jamani sijuwi kama ntaolewa nimekuwa na hofu sababu kuumizwa na Hawa Wanaume

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 7 месяцев назад +1

      ukiolewa ukiamua hakikisha unakuwa na msimamo wako sio unayumbishwa na wapumbav wenye tamaa

  • @MonicaDamiani-vs4ej
    @MonicaDamiani-vs4ej 7 месяцев назад +2

    Usisahau watu wa Mbeya

  • @ScholarPeter
    @ScholarPeter 7 месяцев назад +1

    Tupo una bahati sana kupata dada ambae siyo mnafiki na hana wivu kabisaa nakupenda sana, ila umechemka

    • @magrethkapinga1811
      @magrethkapinga1811 6 месяцев назад

      Mimi mwanzo wa story nilijua dada yake tupo ndio atakuja kumuharibia au uyo mwanaume ndio atakuja kumuharibia kumbe tupo mwenyewe jamani Aya mambo sio yakumcheka mtu tuombeane

  • @emmydavison8736
    @emmydavison8736 7 месяцев назад

    Simuliz ya Hassan mbona siioni

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 7 месяцев назад +4

    😂😂 simulizi tangu imeanza nikonayo tupo kishaliwa kwampalange kakutupa siulimuona mmewako fala haya sasa

  • @SekelaKibasa-lf7ek
    @SekelaKibasa-lf7ek 7 месяцев назад +2

    Jamani iringa redio aishiki tusaidien

  • @irenejoh1242
    @irenejoh1242 7 месяцев назад +6

    Na huku mwanza wanaume ni matapeli hapana

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 7 месяцев назад +1

      wasukuma wakat mm ndo naaategemea jamani 😂😂😂😂😂😂😂

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад

      Sio poa Kwa kweli

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад

      Pole sana

  • @lucymbuma681
    @lucymbuma681 7 месяцев назад +2

    Jmn kwakweli redio zinagoma lakin nshukulu kuisikia hihi kwenye RUclips kwakweli malipo ni hapa hap duniani wanawake tujifunze kuridhika kwani hakuna anayeolewa na mtu anayempenda ila mapenz huji kdr munavyozidi kuish

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад +1

      Umeonaeeh . Yes mwanaume ndio Huwa anaanza kupenda ila akikupa mda wake, akionyesha mapenz, akikujali pia unakuta wewe kama mwanamke unaanza kumpenda huyo mwanaume

  • @wemanjau5102
    @wemanjau5102 7 месяцев назад +4

    Maake kwanza ncheke😅😅😅😅😅😅😅😅😅tupo limekupwerepweta

  • @ZuleykhaIsmail-rc5ly
    @ZuleykhaIsmail-rc5ly 7 месяцев назад +5

    Kumbe mke wa mtu sumu 😀😀😀

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 7 месяцев назад +2

    Kwakweli mungu atusaidie wanawake hatujuagi tunataka nn 💋💋

  • @VickEdson-z1d
    @VickEdson-z1d 7 месяцев назад +3

    Nimejifunza kitu kupitia hii story

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 7 месяцев назад +2

    Somebody say Yeyooooooooooooooo🎉🎉🎉🎉

  • @AgnetaMpulu-xe4tf
    @AgnetaMpulu-xe4tf 7 месяцев назад +1

    Tunafurahi sana hiki kipindi lakini tunaboek@ sana pale ambapo baadhi ya mikoa haishiki hususan Mwañzà tena hapa mjini

  • @HappynesJovenary
    @HappynesJovenary 7 месяцев назад +1

    Me nasoma tu comment 🏃

  • @christinaabelmwaipungu-5727
    @christinaabelmwaipungu-5727 7 месяцев назад +2

    Ni bora mimba kuliko upewe gonjwa, maana hata ukiachwa utalea mwanao. Story ya kawaida sana. Ziko wapi zile story za kusisimua kama ya mama wawili nk

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад +1

      Hiyo ya mama wawili siku isikia ila hii ya tupo imenifunza mengi kuhusu mahusiano na ndoa pia . Eh na nimemuonea huruma mwanaume wa watu ambayye alipenda ila akaumizwa na mke wake

  • @ccmmbele5161
    @ccmmbele5161 7 месяцев назад +2

    jaman mm ni mdau mpya nafatilia sana nimejifunza mengi sana

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 7 месяцев назад +1

    Huku Moshi redio hazishik siku ya nne sass mtukumbuke E F zM

  • @corneliamagnus5186
    @corneliamagnus5186 7 месяцев назад

    Tupo jmn 😢😢😢😢

  • @irenejoh1242
    @irenejoh1242 7 месяцев назад +3

    Nna rafiki hana tofauti na tupo

    • @SifaJasitin
      @SifaJasitin 7 месяцев назад

      Mshauli askilize hii simulizi jaman

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 7 месяцев назад

      ​@@SifaJasitinmapenz upofu

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 7 месяцев назад +1

      Mshauri snaa 🔥 uwekama dada yake tupo yasije yakamkuta zaidi ya tupo

  • @AminaYohana-px6mh
    @AminaYohana-px6mh 7 месяцев назад +2

    Najifunza kila itwapo.leo.

  • @aje6
    @aje6 7 месяцев назад

    Pole dada Tupo

  • @JoshuaMbugano
    @JoshuaMbugano 7 месяцев назад

    Dada Vero wew wakipikee sana

  • @tilifozakikoti5046
    @tilifozakikoti5046 7 месяцев назад +2

    Tupo jamaniii hadi huruma jumba bovu limemuangukia hilo

  • @GiannaGeorge-sm1im
    @GiannaGeorge-sm1im 7 месяцев назад +2

    Hahaha tupo sasa unajionea wanaume wa Dar jinsi walivyoo

  • @oliviainner9619
    @oliviainner9619 7 месяцев назад +4

    Hahaha wanaume wa Dar eti honey😂😂😂😂

  • @beoemmy9602
    @beoemmy9602 7 месяцев назад

    Morogoro pia network ni changamoto wakati mwingine efm haikamat

  • @dabagamedia
    @dabagamedia 7 месяцев назад +1

    Jaman tusaidien Iringa hatuwapati

  • @maryammaryam444
    @maryammaryam444 7 месяцев назад +1

    Uwiiiiiiii😂😂😂😂😂 at mke wa mtu ni sumu

  • @AbbubakarHamad-nu1ug
    @AbbubakarHamad-nu1ug 7 месяцев назад +1

    Namkitikia tupo jamanii

  • @MryMakao
    @MryMakao 7 месяцев назад

    Jamaniiii kina tupo tujuane

  • @NeemaMhila
    @NeemaMhila 7 месяцев назад

    Dodoma hamsikiki jaman efm

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 7 месяцев назад +1

    Mshahala wa dhambi nimauti hakuna B bila A imekula kwako

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 7 месяцев назад +1

    mke wa mtu sumu ila wanaumee waongoo😂😂

  • @veronicaluambano19
    @veronicaluambano19 7 месяцев назад +1

    Jaman iringa redio haishiki kabisa tangu juzi

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 7 месяцев назад +2

    Kumeshakucha Kwa tupo 🤣🤣🤣🤣

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 7 месяцев назад +1

    Somebody say YEYOOOOOOOOOOOOOOOOOO🎉😅😅😅

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 7 месяцев назад +1

    Kimekuramba Tupo

  • @wemanjau5102
    @wemanjau5102 7 месяцев назад +2

    Kirambooooooooooo😅😅😅😅😅😅😅

  • @LightMbuya-nn8nj
    @LightMbuya-nn8nj 7 месяцев назад

    Huku Moshi hatuwapati hewani kabisa

  • @aggymchaga-rj1mq
    @aggymchaga-rj1mq 7 месяцев назад +1

    Hii harati

  • @UpendoMkwama
    @UpendoMkwama 7 месяцев назад

    Ata iringa redio haishik jaman

  • @AnteryoThadei
    @AnteryoThadei 7 месяцев назад

    IRINGA haisikiki da v

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 7 месяцев назад

    Mi bora nikose ndoa ila mimba sitoi kamwe

  • @wemanjau5102
    @wemanjau5102 7 месяцев назад +2

    😅😅😅😅

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 7 месяцев назад +1

    😂😂😂😂2po pole mwaya

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 7 месяцев назад

    Mungu tusaidie wanawake

  • @neymseluka2077
    @neymseluka2077 7 месяцев назад

    Mbeya hatuwapati kabisa imekata toka jumatatu hampo jamani mwee

    • @hildapeter5385
      @hildapeter5385 7 месяцев назад

      Daah mwenzetu jumatatu ipi hyo maana mm nina zaid ya mwaka mbeya haijakamata hongera yako😂😂

    • @neymseluka2077
      @neymseluka2077 7 месяцев назад

      Nimeisikia toka tarehe 1may siku3 tu ikakata

  • @KhalifaBozy
    @KhalifaBozy 7 месяцев назад

    Nimejifuza san ila huyo dada ni waajabu

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 7 месяцев назад

    Tupo mwana kufind

  • @RamadhanMatimbwe
    @RamadhanMatimbwe 7 месяцев назад

    🤣🤣🤣🤣kimbunga jaman