Alafu nikisema alikuwa mjinga na mpumbavu kabisa mnaona kama namhukumu,badala yakutafuta msaada kama alivyosema amekuja kuendelea, na huyo rafiki yake,toka siku ya kwanza tu alipomuona mwenzake alimwambia , huyo si mtu mzuri lakini yeye akaona kama anamfatilia mambo yake,akaja akamwambia tena ,huyo rafiki yako Yuko kwenye makundi mabaya ,akamsimulia hadi stori ya rafiki yake kupoteza maisha kwasababu yakujiunga kwenye makundi mabaya lakini wapi ,yeye masikio na macho juu juu kama mnara wa simu, kiukweli anakwaza sana,na ndio hivyo anaanza kuchanganya changanya matakataka maana hata uzoefu wa kujua tu kwamba mm natumia aina gani hajui, jamani MUNGU nakuomba epusha watoto wetu
Veronica okoa mb zetu basi kwa kutorudiarudia sentensi zile zile ambazo umeshatusimilia,unatufanya Sisi wakaibu WA simulizi zako Jana Mercy na Elibariki,radio hazishiki,punguza marudio audio ya maneno
Watakua walikupigia matapel asa nyny mnadhn media kubwa kma hyo itatapel watu jamn c yatakua mambo y ajabu sn wanapt faid gn?? Kwahyo n veronik atakua tapel cyo kwl jmn

😂😂😂 yani watoto wengi wakushua hua hawajui vitu vingi na hua hawaamini mawazo ya watu wenehali yachini kiuchumi
AMINA🙏
Veronica okoa mb zetu basi kwa kutorudiarudia sentensi zile zile ambazo umeshatusimilia,unatufanya Sisi wakaibu WA simulizi zako Jana Mercy na Elibariki,radio hazishiki,punguza marudio audio ya maneno
Dada vero mungu akutuze me kipekee katika simulizi hizi nimejifunza mengi
Hii inafundisha ukiwa na Jambo linakusumbua acha kukaa kimya sema upate msaada naona kabisa alikua Teja aiseee inaumaa
Barikiwa sana Vero
Umezid kulemba
Nashukuru Mungu Mungu kwakuniepusha vitu ivo sijui ningekua mgeni wanani
😂😂😂😂😂😂😂MENO YAMEPANGIKA❤
Msichana mzuri tuseme alikuwa anakusubiri ww wakati wanaume wapo wwngi😂😂
Imalize hii simulizi inachosha sana da Vero!!
Shetani ni muongo sana😢😢
3 Some😂😂😂😂
Chezea uzuri wewe hakuna mwanaume anayeweza kushinda vishawishi mbele ya mwanamke mzuri ata awe mchungaji au muaminifu sana kwa mkewe, pole sana
😢😢😢😢😢
Dada veroo unasimuliaa vizurii sanaa❤❤❤ ilaa jamani vunadeleee niwaongoooooo sanaaa nilipigiwa sim tang tar3/5 mpaka leoooooo akunaaa kitu
@@clintonnjiku3616 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂pole udugu
Watakua walikupigia matapel asa nyny mnadhn media kubwa kma hyo itatapel watu jamn c yatakua mambo y ajabu sn wanapt faid gn?? Kwahyo n veronik atakua tapel cyo kwl jmn
😂😂🤣🤣🤣🤣
Nasikitika Sana jmn poleee
Hata huyu kaka aliekuwa anamsimamia nae bwege sana , hivi kweli we umepewa jukumu kama hilo unamsikiliza mtoto kweli hapana
Matangazo yamezidi kuwa mengi
Na hilo ndilo lilikuwa tatizo lake kujifanya mjuaji,kutokusikiliza ni nini mwenzake anamwambia
Akome mimi ananipa to hasira hapa
Yani kuna mambo mengi binadam tunakosea kutokana na matumizi ya akili pia nakuto fatiilia maandikoya M/MUNGU pole sana
Sio mshamba ni mwehu
Kweli huyo ni shetani
Sio arosto ya pepsi😂😂😂