Jinsi ya KURETOUCH NYWELE NGUMU kwa kutumia Dawa ya MOVIT | Hair Relaxer Kuweka dawa hatua kwa hatua

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 23

  • @الشاا
    @الشاا 3 месяца назад +1

    Good work

  • @arabianlady6304
    @arabianlady6304 Месяц назад

    Mashaallah wewe ndio unaenifaa sababu am sensitive kila nikieka naungua kichwa hata kabla hajamaliza kunipaka dawa lakini ubaya uko mbali niko kenya 😢

  • @berthatomas7125
    @berthatomas7125 3 месяца назад

    Somo zuri❤

  • @LeoniaErenest
    @LeoniaErenest Месяц назад

  • @Rukiarukyruky-zj8nk
    @Rukiarukyruky-zj8nk Месяц назад

    Naomba kuuliza kaz ya pink lotion kweny nywele ni nn

  • @bintimbuto5740
    @bintimbuto5740 Месяц назад

    Je ukipaka conditioner atakiwi kuosha nywele?

  • @SarahIsaya
    @SarahIsaya 3 месяца назад

    Bado najiandaa very soon nitakuja kujiunga❤

  • @NemaHaji-hg2cb
    @NemaHaji-hg2cb Месяц назад

    Da farda mm nata unifunze jnsi ya kutumia draya ila mm npo zanzbar

  • @ZureyaAlly
    @ZureyaAlly 3 месяца назад

    Zulfa abdallah nataka kujua jamani

  • @LilianMwalusamba
    @LilianMwalusamba 3 месяца назад

    Dafarida et ninawez kutumia jely nyeusi kulazia hizo za mbele

    • @faridaothman
      @faridaothman  3 месяца назад

      Nitawafundisha kuhusu jelly wiki hii kila jelly na matumizi yake

  • @YasintaPolycarpo
    @YasintaPolycarpo 3 месяца назад

    Madam naomba ushaur wako mimi nywele yng nikiweka movit inadunda kila nikiweka nitumie dawa gani?na nywele yngu ni laini2 cy ngumu

    • @faridaothman
      @faridaothman  3 месяца назад

      Tutaleta tutorial kwa nywele laini

  • @giftezekiel5871
    @giftezekiel5871 10 дней назад

    Kwa went fupi kabisa inafaa moviti?

  • @PaulinaKahangala
    @PaulinaKahangala 3 месяца назад

    madam mbona mm nikiweka dawa nywele yangu inakatika nitumie dawa gan?

    • @faridaothman
      @faridaothman  3 месяца назад

      Baada ya kuweka dawa unaosha kwa Neutralizing shampoo?

  • @Winifrida-j9w
    @Winifrida-j9w 3 месяца назад

    Dada inatakiwa ikae muda gani

  • @TrustGirl-v5e
    @TrustGirl-v5e 3 месяца назад

    Sorry madam nahitaji kuuliza dawa Zinaendan na nywele au ni kuweka TU dawa yoyote

    • @faridaothman
      @faridaothman  3 месяца назад

      Zinaendana na AINA ya nywele