Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Thanks for tichng us
Habari b
Thanks
Blessings
Cool🎉🎉❤
Haingii kwenye draya
After step 2 u doesn't require dryer
Kwa the sametime unatoa baada ya nutralize
Nataka huduma hii ila nywele ni fupi
Ukiziosha nywele unazikausha kwanza au unawekea dawa zikiwa mbichi?
Zikiwa mbichi usikaushe punguza maji maji ba taulo tu
Wakat was kuweka rolaz unakausha km kawaida??
Hapana usikaushe
Kama nywele ina dye?
Kama nywel ina dye plz usimuweke curl nywele hazitashika mawimbi na nywele zitakatika
@@movitsalonchannel asante
Co hakai Kwa draya? Madam
Yea hakai kwa draya
@@faridaothmanAnakauka na nn kama humuweki kwa dray da farida
Juani@@SophiaSophiaFacksady
Rolaz kama zako nazipata wap?
Je anakaa muda gan baada ya kuweka dawa mpka kuja kumuosha
Baada ya kumaliza hatua ya kuweka dawa (cold wave ) kamuoshe zitakuwa zimeshashika dawa
Haumkaushi
Zingatia huduma ya curl kupitia bidhaa za movit products hazihitaji moto