FIX YOU: Siku ya kwanza tu amekutana na boyfriend wake alishika mimba! Kilichofuata hatosahau!

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 19

  • @SabraAbdallah-y7y
    @SabraAbdallah-y7y 8 часов назад

    Hongera sna umeweza❤

  • @agneskoku4022
    @agneskoku4022 3 дня назад

    Binti utafika mbali, changamoto ya Ujana ambayo bahati nzuri Ina Baraka ya Mtoto, imekufungulia mlango wa kufikiri na kutenda yale yaliyo positive na ku think big!!Keep it up and let the sky be your limit

  • @deboranicoraus4866
    @deboranicoraus4866 2 дня назад +1

    Mungu ni mwaminifu siku zote na hawezi kuacha ukatesek

  • @JokhaSaid-e1c
    @JokhaSaid-e1c 2 дня назад +2

    Mtangazaji kwanza muulizie introduction sio kuanzia katikati jamani

  • @lilasuliman552
    @lilasuliman552 3 дня назад +1

    Irene yupo vzr natamani arudi

  • @husseinwenger7712
    @husseinwenger7712 2 дня назад

    Ila binti 1st date we mwenyewe ulikuwa hujamtambuwa unae tembea nae kwenye mahusiano ni bahati2 ilikuangukia ila uko vizuri kwa kuongea ni Hussein nipo Johannesburg south Africa Mzawa wa Rumonge Burundi

  • @ELIWITNESSPHILIPO
    @ELIWITNESSPHILIPO 2 дня назад +1

    Jamani, wanawake siku hizi Wana akili

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 3 дня назад +1

    Mwmba alihudumia kila kitu 100%na bdo akazaa na mwngine😂😂😂jifunze kitu apoo

  • @neemamollel840
    @neemamollel840 2 дня назад

    Nitamani siku nifikie kwenye interview niwape history nzuri sana

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 22 часа назад

    Unamtafakari mtu wakati ushampa mwili wako tayari mbona inashanfaza

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal96 2 дня назад

    I got pregnant on first date too na we got married for only 2yrs tukaachana 😢

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 3 дня назад

    🔥🔥🔥👌

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 дня назад +1

    Hakuna cha mimba ya ghafla, kuna mtu huenda kufanya ngono bila kujua huwa matokeo yake ni nini? Mbona hufanywa kwa siri kama hawajui matokeo yake siyo matarajio yao?

  • @GeraldMsagara-r5f
    @GeraldMsagara-r5f 3 дня назад

    Dada umechambua mpk nimekupenda bure unayajua maish dada

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 2 дня назад

    Ushauri,mngekua mnakata vipande 3 video zenu ili itazamwe na wengi elimu iwafikie wengi

  • @ndolehamisi5567
    @ndolehamisi5567 3 дня назад

    Heri yake mwayaaa alijibiwa