UCHAMBUZI WASAFI FM,CROWN FM | JEMEDARI,OSCAR,KITENGE,EDO GOLI LA SIMBA SIO OFFSIDE,SIMBA HII YAMOTO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 62

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika Месяц назад

    First and second Goal was clear Goal

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban Месяц назад +4

    Huyo hans ni utopolo na pia hajui sheria ana mihemko na anabisha ili ajue...kibu hakupiga mpira kwa ngoma alioiga golini na ngoma hakuhusika na ule mpira kipa alivyoutema ngoma ndio akahusika offside inakuja vipi hapo

  • @BrunoNamanga
    @BrunoNamanga Месяц назад

    Poleni sana

  • @yasiniSebarua
    @yasiniSebarua Месяц назад +3

    Jemedali na kama tunge kua na kamera za juu tungeona Lile goli alifunga kibu mana Melinda mlango alitolea mpila ukiwa umeisha vuka goli line

  • @AnicethDamiano
    @AnicethDamiano Месяц назад

    Kwanza uyo hans hana hadhi ya kuchambua mpira

  • @BarkeAliy
    @BarkeAliy Месяц назад +4

    Mpira umetoka kwa kipeer ndo ukaenda kwa Ngoma ,haujatoka kwa kib ukaenda kwa Ngoma ,goli ni halali

  • @fanmuzikiindustryentertain3211
    @fanmuzikiindustryentertain3211 Месяц назад

    Hans kweli ni mchambuzi maandazi...

  • @edsonruhasha2003
    @edsonruhasha2003 Месяц назад

    Offside inahesabika ikiwa mchezaji atafaidika na mpira uliopigwa na mchezaji wa timu yake akiwa eneo la kuotea. Hii haihusishi mpira wa kurusha, kona na goal kick.
    Lile goli kisheria, litakataliwa ikiwa kutakuwa na uthibitisho kuwa Ngoma ama alicheza au kuathiri maamuzi ya walinzi ( including Keeper) wa timu pinzani kabla mpira haujarudishwa kutoka golini.

  • @ObedMwankina
    @ObedMwankina Месяц назад

    Hans ni choko

  • @idriskinye1190
    @idriskinye1190 Месяц назад

    Dah jef toka zaman mimi nakuheshim Sana ila kwahili

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban Месяц назад +1

    Uchambuzi wa hans ni wa vibanda umiza

  • @edsonruhasha2003
    @edsonruhasha2003 Месяц назад

    Goli alilofinga Ngoma ni halali kwa kuwa;
    1. Licha ya Ngoma kuwa eneo la kuotea, hakuingilia wala kucheza mpira wowote uliotoka kwa mchezaji mwenzake.
    2. Ngoma alicheza mpira baada ya kipa wa Azam kuurudisha(rebound)
    3. Ngoma hakuathiri uchezaji wa kipa wa beki wa Azam wakati wa kuokoa mpira zaidi ya kucheza mpira uliokwisha okolewa.

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Месяц назад +1

    Tatizo ni mshika kibe ndera na refa😂😂😂😂😂😂😂aibu

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 Месяц назад +2

    Kama kipa kaucheza na umerudi mchezoni inakuaje offside?

  • @badmanvibees
    @badmanvibees Месяц назад

    Hans nawebnu msenge sasa Ngoma alifunga mpira kutoka kwa Kibu ama kipa??

  • @saydkassim5742
    @saydkassim5742 Месяц назад +2

    Hans kuna muda unapenda kuwa tofauti ila sio kila jmbo uwe tofauti ata kama liko sawa unafeli mzee unabowa now 😂😂

  • @WedelAlmas-ns3vd
    @WedelAlmas-ns3vd Месяц назад

    We nimatako tulizamkundu kioaakisha temampra hamna of sidi kumawewe ondokaapo hunaunachojua

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c Месяц назад

    Mtapigasana kelele nabadi

  • @islamIbrahimmussa
    @islamIbrahimmussa Месяц назад

    Hajui mpira huyu fala

  • @KessyOmary-cr9pg
    @KessyOmary-cr9pg Месяц назад +1

    Ila bongo hatuna wachambuz wa mpira kwel xx apo kuna shda ya kutumia akil nying sana ukwel uwekwe waz mshika kibendela kateleza

    • @SaidJumanne-j1e
      @SaidJumanne-j1e Месяц назад

      Unateleza wewe kwa kutokuwa na uelewa juu ya hilo au ushabki uliokujaa unasingizia referee

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina Месяц назад

    Uyanga utakuhalibia hans rafael

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 Месяц назад

    Huyu hans hakupaswa kuitwa mwanaumee huyu ni halimaaa kengeee huyuu

  • @patrickkaite3822
    @patrickkaite3822 Месяц назад

    Uyo Hans shoga limuona Kwa p ddy

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 Месяц назад

    Hans mpira keeper aliuchezaa ndio alivunja offside

  • @yohanakayinga9279
    @yohanakayinga9279 Месяц назад

    Mpira ulitoka kwa kibu na kwenda gorin kipa karudisha ngoma akafunga sio offsed ungetoka kwa kibu na kumkuta ngoma ingokuwa ofside

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula Месяц назад +1

    Mpira wa kibu haukuenda kwa Ngoma ulienda kwa golkipa akautema wewe mbona muongo

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp Месяц назад

    Yanga utafunga simba subutu.hapana maduka yenu pale.vijana wanapambana na ata bd.

  • @vascombembela3632
    @vascombembela3632 Месяц назад

    Kinachomsumbua Hans Rafael ni ushabiki wa timu yake ya kijani. Na ndo maana juzi Keen Gold wamefunga goli halali kabisa yeye amebisha na leo anataka abalance story kuwa kila timu imeshinda goli moja, timu yake ilipocheza aliyegemea wafunge goli nyingi Ila ikawa tofauti, na pia Jana alijua Simba itafungwa matokeo yake ikawa tofauti sasa anaumia sana

  • @nasrimohamed7556
    @nasrimohamed7556 Месяц назад +1

    Km unaenda kchwa kchwa tu na matokeo yko kchwani na mahaba yako huwezi muelewa Hans ndo sbb utaishia tu kusema kipa kaucheza ila Hans yupo sahihi clear offside

    • @NNONGWA
      @NNONGWA Месяц назад

      Poyoyoo shut up,huna unalojua n'gombeee

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 Месяц назад

    Mpira wa Kibu haukwenda kwa Ngoma. Alikwenda kwa Kipa akautema Ngoma akafunga. Kipa kutema ule mpira kuliivunja offside ya Ngoma.

    • @yohanakayinga9279
      @yohanakayinga9279 Месяц назад

      Kweli kabisa kuna baadhi ya wachambuz hawajui hawana uwezo wa kutafsil mpira

  • @IddyyFumbwe
    @IddyyFumbwe Месяц назад +1

    Hizo sheria za chandimu, ngoma alikus of side ndio kipa kaucheza angefunga kibu ingekua hakuna of side, yaani ukae kwa kipa ukifunga ni goli, ngoma alikua na mikimbio wakati mpira uko hewani, hiyo ni of side.

    • @monelayongola419
      @monelayongola419 Месяц назад

      Shreria haipo hivyo. Haitotafsilika Ni ofside kwakua mfungaji alipewa pasi na golikipa. Hiyo Haijawahi kuwa ofside . Fatlia vzr

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Месяц назад

    Hilitangazaji ziro kipa nimoja ya mchezaji akigusa teali kaua offside ungegonga mwamba basi Ngoma angekua offside ila kitendo cha kugusa mpila kipa basi kaua offside ndiomaana kunamechi zingine kipa anakua amedaka mpila akiweka chini mshabukiaji hata kama alikua nyuma ya kipa akauwai mpila akafunga linakua Goli msitake kisa uto wanabebwa basi mtake kusema nayo Simba inabebwa huo niuzwazwa

  • @lameckmongo4510
    @lameckmongo4510 Месяц назад

    Goli la Ngoma ni offside. Mpira ulipopigwa Kibu alikuwa onside lakini wakati Kibu anapiga kichwa tayari Ngoma alikuwa offside kwa hiyo golikipa alipoutema mpira Ngoma alinufaika akiwa offside.Ngoma hakuufuata mpira uliotemwa na golikipa akitokea onside bali akitokea offside.

    • @NasibuAlban
      @NasibuAlban Месяц назад +1

      Mpira wa kibu haukwenda kwa ngoma ulienda kwa kipa kipa akaucheza off side inakua imekufa ungetoka kwa kibu ukaenda kwa ngoma ingekua off side

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n Месяц назад

    kocha wa Azam ameiva maan amekaangwa

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev Месяц назад

    Na lile goli kipa aliokolea ndani

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 Месяц назад

    Goli la pili ni offside clear, Geofrey na Jemedari wote ni mashabiki wa Simba.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga Месяц назад

    Tunzeni kauli zenu.

  • @jacksonmtenga1276
    @jacksonmtenga1276 Месяц назад

    Hivi wewe Hans unajithitishiaje kuwa wewe ndio mkweli, toa tu kama maoni yako usouthibithibitishie uma kwamba wewe ndio mkweli

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂off sedi bao la pili

  • @MohdMwigongo-s2k
    @MohdMwigongo-s2k Месяц назад

    Lifuteni bc

  • @reginaldnyinge8802
    @reginaldnyinge8802 Месяц назад +1

    Hans anatimiza maelekezo ansyopewa na hao utoronyo fc kupinga kila mchezo ambao Simba inacheza. Shame on you little boy acha uchawa wa kijinga be realistic ili uwe mchambuzi mzuri siku zijazo. Toka lini rebound ikawa off side??

    • @asmaSheha
      @asmaSheha Месяц назад

      Najemedar nae anapewa maelekezo na makolo kukubali kila kitu

  • @Gameontz
    @Gameontz Месяц назад

    Nyie kenge Simba endeleeni kuwapa waandishi hela ili wawasifie subirini tukikutana tena msipo mfukuza uyo kocha wenu sijui jana Simba mlibebwa kenge nyie

    • @simonzelote5998
      @simonzelote5998 Месяц назад

      😮Ila kiukweli yanga ya msimu huu haipo sawa angalia walivyoanza ligi hawajachangamka ligi Ni ngumu sana

    • @makindimarco560
      @makindimarco560 Месяц назад

      Yanga itapigika sana 😂

    • @MusaMkembela-ex6ev
      @MusaMkembela-ex6ev Месяц назад

      Hiyo yanga itapigwa sana

    • @piusmwakyembe4545
      @piusmwakyembe4545 Месяц назад

      Kwa mpila upi ule unaocheza na pamba au endelea kukalili

    • @MusaMkembela-ex6ev
      @MusaMkembela-ex6ev Месяц назад

      @@Gameontz Kwa butua butua mliyocheza na ken gold