W'salaam kaka, sheria haikatazi kuchukua udhu ukiwa mtupu wakati unaoga josho la janaba lakini inapendeza zaidi na hushauriwa usiwe mtupu wakati wa kuoga hata kama ni kuoga josho la kawaida.
W'salaam dada, vp umempata huyo mwenza? Kama hukumpata nakushauri kuwa mtulivu ili aje yule ambae mwenye kuijua thamani ya dunia na dini na awe mchamungu Insha'ALLAH.
Ustadhi umesema unapo chukuwa maji ukatiya kwenye kichwa nihayo hayo unatiya na masikioni je mm nikitumiya nikapata kwenye kicha kisha nikashota.mengne nikapaka masikioni je hapa inakuwaje
Kumbe Kuna sehem ilikuwa nakosea.ahsant sana shekhe
Shukran sana mwalimu ,,Allah akulipe kila lenye kheri nawe
Amina Rabbi
Thanks
Good job
Jazakallahu kheir
Mashallah n shkrn kwa drsa
Very useful mashallah...shukran sheikh jazakallah kheyr
Karibu sana akhii, mtuambie tuwaletee nini ili tuwe sote ktk kheri Insha'ALLAH.
Khyran brother
Masha Allah jazakallah khaira
Alhha akijalie
Amin
Mashallah mung akulipe kher
Mashallah😊
Mungu akubarik
Amin, Atubariki sote mimi, wewe na wote wenye kupenda mambo ya kheri.
NYIE JAMANI MUNGU MKUBWA USIKUTE TUNAOSHUKURU WOOTE WADHINIFU MUNGU ATUEPUSHE🤝🏾🙏🙏
Amin
Somo muhimu sana
Masha Allah tabaraka Allah
Mashalla 🎉
Maa shaa alla
That's great
Mashaa Allah
Mashallah
Naomba kuniwekandanila group yenu
Mwezimungu akuzidishie kola lakheri
Amin
Maashaallah
Nice nice
Asante sana mungu akupe kheli Kila kukicha
Amin x 3 🤲
mungu akulipe kila lakheri
Amin x 3 🤲
MashaAllah
maashaallah
Shukran 🙏
Nimekuelewa sheikh
Asante
Karibu sana
Mashallah
Shukurni
🙏🙏
Asantini sanaa
Inshallah
Shukran kk
Shukran Sana shekhe
Asante
Asalam aleykum nauliza hio kutia udhu wakati waoga janaba ni ubakie na boxer au uchi?
W'salaam kaka, sheria haikatazi kuchukua udhu ukiwa mtupu wakati unaoga josho la janaba lakini inapendeza zaidi na hushauriwa usiwe mtupu wakati wa kuoga hata kama ni kuoga josho la kawaida.
Shukran
karibu sana
Asalam alaika jamani mm nahitaji mwenza wangu
Upo serious dada?
W'salaam dada, vp umempata huyo mwenza? Kama hukumpata nakushauri kuwa mtulivu ili aje yule ambae mwenye kuijua thamani ya dunia na dini na awe mchamungu Insha'ALLAH.
❤❤❤❤❤
Masha Allah
Mashaallah
ahsante💖💖💖 god bless
Ustadhi umesema unapo chukuwa maji ukatiya kwenye kichwa nihayo hayo unatiya na masikioni je mm nikitumiya nikapata kwenye kicha kisha nikashota.mengne nikapaka masikioni je hapa inakuwaje
Ni sawa tu haina tatizo
Shekhe mimi nina swali hapa kwamba je unaweza kuengeza kujitia maji zaidi ya mara 3 ikiwa kama umekoga kwa sabuni ili sabuni imalizike?
Naam
Hii timu bado ipo?
Naam
Na je kama ume anza na kusoto alafu uka kumbuka badae uta fanyaje
Utakuwa umekosa sunna
Masha Allah
Mashaallah
mungu akulipe kila lakheri
@@Iqraakey Amin
Maashaalah
Alhha akijalie
Amin x 3 🤲
MashaAllah