UKIONA HIVI UJUE ANAKUPENDA SAANA ILA ANAOGOPA KUKWAMBIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #fafanuomedia #knowledgeforyourfuture #tujengemahusiano #subscribe

Комментарии • 173

  • @mujahidibnimrani3058
    @mujahidibnimrani3058 3 года назад +20

    No1 ku like na kukomenti 😁

  • @Saumukimbago
    @Saumukimbago 2 дня назад +2

    Mimi zote nimeziona kwang ❤❤❤

  • @ramadhanathuman990
    @ramadhanathuman990 6 месяцев назад +42

    Kwani likes zinafaida gani jamn? Naomben na mm like moja😂

  • @alexanton9183
    @alexanton9183 3 года назад +21

    Fafanuo media sina cha kuwalipa ila kweli mmenifanya dunia iwe rahisi kwangu

  • @Niika870
    @Niika870 4 месяца назад +7

    Uliona mwanamke anakuangalia Huku Bongo kimbia kabla hujaambiwa, baby Kuna kitu nataka nikuambie kama hutojali, Nadaiwa Kodi, cjala, TV, saboofer, napenda Gari Heee😂😂😂 kimbia kabla hujafa

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 года назад +6

    Asante sana kaka 💙💙💙

  • @HadiyaMuhammed-tt2xs
    @HadiyaMuhammed-tt2xs 4 месяца назад +1

    Beautiful friend

  • @KhalifaChuma
    @KhalifaChuma 25 дней назад +1

    upo vzur kwnye simuliz

  • @CalvinIbrahim-s4r
    @CalvinIbrahim-s4r Год назад +2

    Bravo ukovizur🎉🎉🎉

  • @budodilufega8597
    @budodilufega8597 2 года назад +9

    Noma Sana jamani😁😁😁😁kina kibiti hapa basi tuu mungu ana jua 👏👏👏👏👏

  • @martinireri5545
    @martinireri5545 2 года назад +6

    Your voice in ever convincing bro. 😍😍😊😊😂

  • @vionjo4735
    @vionjo4735 Год назад +8

    Shida unakuta mwingine a nakupenda lakini ukimtongozq tu mnakuwa maadui anaanza aibu aibu za ajabu

  • @AdinaniMpogo
    @AdinaniMpogo 21 день назад

    kwel kabisaaa❤❤

  • @TinahJohn-g9r
    @TinahJohn-g9r 3 месяца назад +4

    Kwa bongo ukimwangalia mtu sana huyo mtu anajua unamchukia

  • @glorychambi6559
    @glorychambi6559 Год назад +5

    Duh ni kweli kabxaaaa

  • @JosephMabele-n4h
    @JosephMabele-n4h Год назад +1

    Naipenda hiyo

  • @nyantebumarwa3271
    @nyantebumarwa3271 2 года назад +6

    Kuna MTU nampenda sana basi tu

  • @hermenegildangoty1812
    @hermenegildangoty1812 2 года назад +17

    Yupo anaeonyesha kunipenda ila anaishia kuwahadithia marafiki zake tu wala hanipi muda wa kuwa na yeye 😢 naumia mno coz na mimi nampenda ila naogopa kumwambia

  • @ronaldcr7156
    @ronaldcr7156 2 года назад

    Excellent

  • @arabicanarestaurant1940
    @arabicanarestaurant1940 Год назад +6

    🍓🍒 Ukiona kiashiria hiki ujue anakupenda ila anashindwa kukwambia

  • @Emilykid7
    @Emilykid7 Месяц назад +1

    Daaaah mekumbuka olevel😂😂😂😂😂

  • @uswegemwasanjala1465
    @uswegemwasanjala1465 6 месяцев назад +2

    Saizi baba kipengereeee saizi unarogwaaaa

  • @MbwanaAbdul
    @MbwanaAbdul 4 месяца назад +3

    Mimi sijaona ishala yoyote ile kwangu😂😂😂

  • @eddihmuzic6291
    @eddihmuzic6291 2 года назад

    Nce bro

  • @RebeccaGeorgemachila
    @RebeccaGeorgemachila 7 месяцев назад +16

    Mimi kuna mkaka huwa anakuja hapa home kuchukua chakula anakipeleka dukan kila hakiĵa huwa anapenda sana kuniangalia usoni hata nikimpa chakula mkonon anagusa mkonon na anapenda sana kunisogerea sana sielewi jaman ushauli plz🙏

  • @Empressever254
    @Empressever254 2 года назад +8

    Absolutely true 👌🤣🤣Hve fallen in love with someone but it's hard to express my feelings to him🤪am madly in love with him 😝lyk seriously

  • @thirdsigntz
    @thirdsigntz 5 месяцев назад +6

    Aaahhh kibongobongo ukiangaliwa sana ujue kichambo kinakuhusu 😀!

    • @IsmailKisoma
      @IsmailKisoma 5 месяцев назад

      Da utakuta wadada wawili Kila siku nikipita lazima wanitazame hao hao yaani Hadi sie lewi yani

    • @thirdsigntz
      @thirdsigntz 5 месяцев назад

      @@IsmailKisoma hahaha sasa hapo kaka una homework yakufanya 😀 itabidi utafute njia ili upate kujua kwanini wanakuangalia kila ukipita!

    • @estermsafiri2940
      @estermsafiri2940 4 месяца назад +1

      Uhakika lazm usemwe

    • @thirdsigntz
      @thirdsigntz 4 месяца назад

      @@estermsafiri2940 na ukiruhusu hili la "sijui wananisema ama vipi" litakuvuruga 🙂 bore kufokasi namambo yako!

    • @RashidMkenda
      @RashidMkenda 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂iyo buza iyo

  • @IkiraamKirangai
    @IkiraamKirangai Год назад +1

    😅Safi iyo

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 2 года назад +3

    Nikweli kabisa kuna aibu na unamwanhalia kwa kumwibia akiwa around unatamani asiondoke japo una story nae uwepo wake tu unanenepa

  • @MustafahamisMulapon
    @MustafahamisMulapon 2 месяца назад +1

    Wap

  • @humble2549
    @humble2549 3 года назад +1

    Nice

  • @AminaIssa-m5h
    @AminaIssa-m5h 18 дней назад

    Kueli kabisa

  • @husseinmohamed-b3f
    @husseinmohamed-b3f 4 месяца назад

    Saihh kak

  • @MossesMaleck
    @MossesMaleck 4 месяца назад

    😅😅Dah,,sio kweli nwenyew nimeziona sana hizo ishara.

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 27 дней назад +1

    Mwajuma uwa anaongea sana

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 4 месяца назад +2

    Weeee,sio kila anae kupenda atakutazama sana,kuna mwengine anaweza akakutazama nawe ile bahati mbaya,ukimtazama then anakupa bonge la sonyo au ana benua midomo kana kwamba wamchefua!😢

  • @HafidhMakami
    @HafidhMakami Год назад +2

    Halow Mimi sijawahi kupenda Wala kupendwa mapenzi yauaa

  • @AmiryTanu
    @AmiryTanu 5 месяцев назад

    Really

  • @RehemaMahamudu-x4g
    @RehemaMahamudu-x4g Месяц назад +1

    unaongelea tabia ya mtu mmoja sio wote wapo hivyo

  • @RurakwiyeJacob
    @RurakwiyeJacob Год назад

    Mmmmh,ok

  • @MwanakheirOthman-sb5jl
    @MwanakheirOthman-sb5jl 3 месяца назад +1

    Uongo

  • @ProsperJoseph-g3s
    @ProsperJoseph-g3s 28 дней назад +1

    Imenigusa hyo namba 6

  • @austinfoster4512
    @austinfoster4512 3 месяца назад

    Kaka, dada, and Baba 😂😂😂😂😂

  • @FatmaNgoo
    @FatmaNgoo 5 месяцев назад +1

    Duuuh! Sa suluhisho ni nn, au tutumie njia gani ili kufikisha ujumbe kama kusema tunashindwa.❤😢

  • @RashidRamadhani-b5o
    @RashidRamadhani-b5o 5 месяцев назад +1

    Penda penda usimpende Mume/Mke wa mtu 🙅🙅🙅

  • @giftyrau321
    @giftyrau321 2 года назад

    Good

  • @SalomeSidi-e1j
    @SalomeSidi-e1j Год назад

    Kweli

  • @AnnaJoseph-ni3kd
    @AnnaJoseph-ni3kd 10 месяцев назад

    waoooo❤❤❤❤

  • @JladyKadzo
    @JladyKadzo 9 месяцев назад +14

    😂😂😂😂😂😂😂hiyo nayo maybe zama za kale sio sahi ukiona unaangaliwa sana maybe unakosolewa ama ukiitwq mpenzi inamaanisha wewe ni kipenzi kitazamaji😂😂😂

  • @barakasimon-gz1pn
    @barakasimon-gz1pn Год назад

    Kweli😋😋😋😋

  • @MartineJoseph-x9j
    @MartineJoseph-x9j 25 дней назад

    Kwl kk?

  • @alexkazimotocomedyke488
    @alexkazimotocomedyke488 2 года назад +4

    Pitia kwangu nausubscribe

  • @GalileAmani
    @GalileAmani 5 месяцев назад

    Iyo ni kweli kaka

  • @fatumaabdallah-ui7pj
    @fatumaabdallah-ui7pj Год назад

    Ni kweli kabisa

  • @ChrisantMwairwa
    @ChrisantMwairwa 5 месяцев назад +2

    siyo watoto wa 2000

  • @KulwaTungu-y8d
    @KulwaTungu-y8d 5 месяцев назад +1

    Kuna mtoto wa mtu ananichanganya 🎉

  • @WycliffeDavid
    @WycliffeDavid Месяц назад

    Sijawa kuona mm 😮

  • @AbdullrazackHussein
    @AbdullrazackHussein 3 месяца назад

    Mimi sijawahi ona hata moja kwangu niujinga mtupu😂😂😂

  • @DuniaNdogo
    @DuniaNdogo 6 месяцев назад +3

    toka nimezaliwa nna miaka 26 sasa wallah sjawahi kuona mtu ananipenda 😂😂😂😂😂

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 5 месяцев назад

      Labda huinekanibmdo maanaa😂😂😅

    • @DuniaNdogo
      @DuniaNdogo 5 месяцев назад +1

      @@MerlinaKubadesha 🤣😂

    • @MbwanaAbdul
      @MbwanaAbdul 4 месяца назад

      Duh hatuchekani kumbe😂😂😂

    • @ميريالشمري-ح9ب
      @ميريالشمري-ح9ب 4 месяца назад

      Basimimi najikupendea😢😮😮😅😅😂😂❤❤

    • @maalimzhen9981
      @maalimzhen9981 3 месяца назад

      😂😂😂 viapo ivo ujue 😂😂😂

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 2 года назад

    🙋🏼‍♀️🙋🏼‍♀️🙏🙏🙏🙏jamani

  • @ClassicboyDieume
    @ClassicboyDieume 3 месяца назад

    12 ni kweli nimeyaona kwangu

  • @LOVENESSANGALO
    @LOVENESSANGALO 2 месяца назад +1

    Dahh mapenzi n??

  • @CarlosNGelvas
    @CarlosNGelvas Год назад

    Begup man

  • @mulhatnassir9500
    @mulhatnassir9500 4 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @EmediEmedi-f4d
    @EmediEmedi-f4d 27 дней назад

    Broo sikuhizi pesa tu mana kilakona Kuna njaa

  • @ZawadiNjiuka
    @ZawadiNjiuka 4 месяца назад

    😮😮

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR Месяц назад

    KWELII KABISA KUNA MTOTO WA MTU ANANIPENDA ALAFU ANAOGOPA KUNIAMBIAAA AKINIONA ANANTIZAMA

  • @BrendaLoth-iv4ky
    @BrendaLoth-iv4ky Год назад +2

    Je kama unampenda alafu yeye akupendi utafanyaje ili akupende

    • @tashashaback
      @tashashaback 10 месяцев назад

      Kama haujapendwa pumzika wako atakuja😂

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 5 месяцев назад

      ​@@tashashabackumeongea bro

  • @mulhatnassir9500
    @mulhatnassir9500 4 месяца назад

    Kivipi

  • @hussenaaghe2760
    @hussenaaghe2760 Год назад

    Je nitafutie

  • @MousaJaymo
    @MousaJaymo 5 месяцев назад +1

    Ukweli mtupu!!!?😂😂😂😂😂😂

  • @HafdhiAllig
    @HafdhiAllig 10 месяцев назад

    SIJUI JMN MM NAONA SIPENDWII

  • @SuleimanRubebe
    @SuleimanRubebe Месяц назад

    Acha kukoleza watu, Je! kama anakuangalia nishari?

  • @berthantenga9848
    @berthantenga9848 2 года назад +6

    Bas kuna mkaka nampenda mweeeh naogopa kumwambia jmn

    • @officialfainece7366
      @officialfainece7366 2 года назад

      Ni mm hapa😋

    • @angelathanas5993
      @angelathanas5993 2 года назад

      Mimi pia jaman🥰

    • @officialfainece7366
      @officialfainece7366 2 года назад

      @@angelathanas5993 nipe no zak za wtsp tuzungumze kidg

    • @odiliamathias5424
      @odiliamathias5424 2 года назад +1

      Mwambie shoga yangu usipomwambia itakutesa milele ata kama utakuja kuolewa utakua unamuwaza yeye tu, tafuta namba yake ukiipata mtumie sms

    • @nawfalmohamed3470
      @nawfalmohamed3470 Год назад

      zubaa utajiju utakuja kupishana

  • @Kalokindonye
    @Kalokindonye 27 дней назад

    Kila Ishara ina sambu zake

  • @samuelsandey4003
    @samuelsandey4003 2 года назад

    Like

  • @LevoBadiboyBernard
    @LevoBadiboyBernard Месяц назад

    Mimi anaye nipenda simpendi sijui kwa nini

  • @alfredrweyemamu7807
    @alfredrweyemamu7807 5 месяцев назад +1

    Acha nitafute pesa tu mapenzi yataniua

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 2 года назад

    Shukrani

  • @joshuarobert2491
    @joshuarobert2491 2 года назад +1

    Simi duke rmx

  • @djwawa-h6y
    @djwawa-h6y 22 дня назад

    nawapenda sana

    • @djwawa-h6y
      @djwawa-h6y 22 дня назад +1

      🤐🤐🤐oy nimeamini maskin hakipata uwa anabadilika jamani😚🤔😚

  • @veronicanyabuto4915
    @veronicanyabuto4915 2 года назад

    Kweli kabisa

  • @OfTHUg00
    @OfTHUg00 10 месяцев назад

    😮

  • @Trustmusicbaby
    @Trustmusicbaby 4 месяца назад

    😢😢😢

  • @dennismatoke5179
    @dennismatoke5179 2 года назад

    Ukweli kabisa

  • @OmarAbedy
    @OmarAbedy 28 дней назад

    haya mamb ya kwli au

    • @OmarAbedy
      @OmarAbedy 28 дней назад

      😮😮😮😮😮

  • @ruthmoses6565
    @ruthmoses6565 Год назад +1

    Hiyo ni kweli kbsa

  • @Germain-t5s
    @Germain-t5s 7 месяцев назад

    Mimi iyo yakwanza mpaka ya 3 niyangu.

  • @MickDe-y5t
    @MickDe-y5t 5 месяцев назад

    Kkwangu Mimi hao Ni wengi wananitaka rakll llll

  • @MohamediMohamedi-u8s
    @MohamediMohamedi-u8s 5 месяцев назад

    Go direct to the point unajizungusha SANAAA shenziiiiiii🗿

  • @philipinakaserikali
    @philipinakaserikali 2 года назад

    Kumb

  • @SamwelJohn-ni1bc
    @SamwelJohn-ni1bc 7 месяцев назад

    Wasoma comment tujuane

  • @LucasHaile-dy9kd
    @LucasHaile-dy9kd 6 месяцев назад

    Sasa nini cha kufanya, maana unaweza kumtongoza akakuzingua

  • @MudumbiJedeon
    @MudumbiJedeon 9 месяцев назад

    'namba moja picha yako

  • @kizazijeur7518
    @kizazijeur7518 2 года назад

    Asee kuna manz inanielewa sana lakin inaogapa kuniambia.

  • @shukcan9463
    @shukcan9463 2 года назад

    Blood vZr cn

  • @clintonomariba8069
    @clintonomariba8069 2 года назад +1

    Video zenu zimenifunza mengi

  • @Paulvoli-ly3wf
    @Paulvoli-ly3wf Год назад

    Good

  • @ruthmoses6565
    @ruthmoses6565 Год назад +1

    Hiyo ni kweli kbsa