JOTO LA MAANDIKO LAPANDA HUKU WAKRISTO WAKIHOJI KUHUSU WANAWAKE WA PEPONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии •

  • @josemu870
    @josemu870 4 месяца назад +7

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho bora

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 4 месяца назад +5

    Mashaa allah shekh ramadhani mungu atakupaa afiyaa njema ameen ya rabii

  • @mwanajaa-v5x
    @mwanajaa-v5x 4 месяца назад +4

    Masha Allah MUNGU awazidishie kheri kwa kazi mnayo ifanya

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z 4 месяца назад +6

    Mashalla mwenyezi Mungu awape maisha marefu na nguvu ❤❤❤shekh wetu

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 4 месяца назад +3

    MashaAllah Tabarakallah

  • @Alinuribrahim1
    @Alinuribrahim1 4 месяца назад +5

    MashaAllah shiekh ramadhan.
    I hope uko salama

  • @allymkumba70
    @allymkumba70 4 месяца назад +2

    Mwenyezimungu awape maisha marefu walimu na waimini wengine

  • @Khalifaathumani-cy5om
    @Khalifaathumani-cy5om 4 месяца назад +2

    The comments are very amazing mashallah. May Allah strengthen our iman in Islam amiin yarabb.

    • @Naw89
      @Naw89 4 месяца назад

      Allahumma aaamiin

  • @seifalli1544
    @seifalli1544 3 месяца назад

    Mashaallah Allah awape umrr umreff wenye manufaa inshaallah nawapend sana masheikh hawa

  • @husha6372
    @husha6372 4 месяца назад +2

    Shekhe Ramadhan Yudah 4:1 ndio hushutuwa Wakiristo WENGI na kuwafunga kwenye Imani

  • @shamimnorah9156
    @shamimnorah9156 4 месяца назад +1

    Waaa Masha Allah Allah awape maisha marefu 🤲

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 4 месяца назад +1

    Kazi kweli kweli,,, MashaAllah!

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 4 месяца назад

    In this modern world ignorance is never an excuse but a choice. Sheikh Ramadhan Allah akuzidishie subra.

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni 4 месяца назад +1

    مشأ الله تبارك الله

  • @samxx411
    @samxx411 4 месяца назад +1

    Sheikh Ramadhani hao wakristo wanafanana, jaribu kuwepo na control ikisha malizana na mmoja uende kwa mwengine

  • @skmtotowamama6797
    @skmtotowamama6797 4 месяца назад +9

    assalam alaikum, kwan si tushapata uhuru iki kiengereza nacho cha kutafuta tafuta ni cha nn

    • @ronaldmatimbo9691
      @ronaldmatimbo9691 4 месяца назад

      Basi ongea chako hapa tukuogope😂

    • @yasiniselemani8672
      @yasiniselemani8672 4 месяца назад

      😅😅😅😅😅hivyo sana hawa jamaa

    • @samxx411
      @samxx411 4 месяца назад

      ​@@ronaldmatimbo9691sie chetu kiswahili mbona mzungu haongei kiswahili

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 4 месяца назад +1

      Kwani hujui bila wazungu/KIZUNGU hakuna ukristo 😂😂😂 na kingereza ndio wahyi wao na BIBILIA YA kingereza ndio inaongea ukweli KULIKO YA KISWAHILI

    • @AzizaNurdin
      @AzizaNurdin 4 месяца назад

      ​@@SheeMaryam.M😂😂 tamu sana hii

  • @Adm9464
    @Adm9464 4 месяца назад +1

    Crowd control is needed here . Great conversations

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA 3 месяца назад

    MashaAllah tabarakallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 4 месяца назад

    Mashaallah Allha 💖💖💖

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 3 месяца назад

    MashaAllah mashaAllah

  • @raniahmamu2586
    @raniahmamu2586 4 месяца назад

    ❤❤ Masha'Allah

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 месяца назад +2

    Huyo wa jumper ya blue kwani si alizaliwa Kenya au? Kizungu mbovu mingi ni yanini 😅😅

  • @husseinmoha7959
    @husseinmoha7959 4 месяца назад

    Masha Allah

  • @mamawamuya
    @mamawamuya 4 месяца назад

    Ma sha Allah

  • @fatumaadan-n7d
    @fatumaadan-n7d 4 месяца назад

    الحمد لله على نعمة الاسلام

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 4 месяца назад

    Mashallah

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 4 месяца назад +1

    Sheikh Ramadhan unaruka ruka sana deal with one person only kama wengine kuna subject nyengine humalizi .

  • @samuelondieki9164
    @samuelondieki9164 4 месяца назад +1

    Mavasi nikitambulizo kamili Kwa MTU yeyote

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 4 месяца назад

    Sheikh Ramadhani unafikisha ujumbe vizuri lakini usiwaruhusu hao jamaa kujitia kuongea kizungu na wao ni wakenya wanajua kiswahili

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 месяца назад

    Hawa kiboko yao ni Sheikh Salim 😅

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j Месяц назад

    Hawa waislamu wanaitaji kiboko yao ambaye ni ndacha,watakibia wote

  • @clewis520
    @clewis520 4 месяца назад +1

    Ramadhani bin Kaguo unakuwa mwoongo kwa kusema mtu anaweza salimishwa bila kukiri shahanda?

    • @samxx411
      @samxx411 4 месяца назад +1

      Mtoto yoyote mdogo ni muislam hata kama amezaliwa katika dini nyengine

    • @clewis520
      @clewis520 4 месяца назад

      @@samxx411 ….
      You mean all children are born as terrorists?

    • @clewis520
      @clewis520 4 месяца назад

      @@samxx411 …sayitaaan wewe

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j Месяц назад

    Huyu kijana mkristo ako sawa kabisa hawa waislamu wanachanganya wakristo akili,sheitan pia anajua kukonfuse watu

  • @samxx411
    @samxx411 4 месяца назад +1

    Wakristo bhana!!!! Toa andiko ukristo ni dini?? wamebaki Sara is originated...Islam is from 😂😂😂

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 4 месяца назад

      Ukristu ni kumfuata Kristo

    • @samxx411
      @samxx411 4 месяца назад

      @@noahwamalwa4385 wakati wa Adam waliitwa nani wanadamu, wakati wa Nuhu Wananuhu, Mussa wanamussa aaaa hapa umechemsha sana

  • @saidmbarak8083
    @saidmbarak8083 4 месяца назад

    Sheikh Ramadhan haruki ruki. Ni hawa jamaa ndio kila mtu anataka kujibiwa. Be fair. Hapa ni kuelemishana. Au sio?

  • @trutharchaeologist
    @trutharchaeologist 4 месяца назад

    Sasa Waislamu ndio Waisraeli na Yuda?😂😂😂😂
    Ukoo wa Yakobo?😅

  • @clewis520
    @clewis520 4 месяца назад +1

    …..
    Waizilamu ni wakora sana….

    • @Adm9464
      @Adm9464 4 месяца назад +1

      Where is the proof in the scripturs? We need evidence. We are in the digital age where everything can be verified by anyone. When the truth comes the lies goes out of the window.

    • @ufafanuzi4382
      @ufafanuzi4382 4 месяца назад

      Usilamu na ukora hauletani . Haramu hiyo bana, kuitiwa mungu mmoja ndo ukorofi. Haya, basi kaa ukisema yesu ambaye ni mtu , ni mtoto wa mungu, na ni mungu, na ako na mama na ako na baba , na ametumwa na mungu na ilyali yeye ni mungu. Na huyo mungu akafa ili yeye mwenyewe afe ndo akusamehe dhambi . Sasa haja gani kuwa mkristo, si huyo mungu atakufa tena anisamehe madhambi

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 4 месяца назад

      @@ufafanuzi4382 busu jiwe jeusi na kufuata mohammed ambaye alimbaka aisha

  • @kennodhiambo
    @kennodhiambo 4 месяца назад

    In other discussions about the Deity of Jesus Christ, Ramadhan can dispute scriptures like these:
    John 3:16- For God so loved the world that he gave his one and only Son, that whoever believes in him shall not perish but have eternal life.
    Luke 22:69-71. But from now on, the Son of Man will be seated at the right hand of the mighty God.” They all asked, “Are you then the Son of God?” He replied, “You say that I am.”Then they said, “Why do we need any more testimony? We have heard it from his own lips.”
    John 14:9 - Jesus answered: “Don’t you know me, Philip, even after I have been among you such a long time? Anyone who has seen me has seen the Father. How can you say, ‘Show us the Father’?
    John 10:30 - I and the Father are one.”
    John 20:27-28 - Then he said to Thomas, “Put your finger here; see my hands. Reach out your hand and put it into my side. Stop doubting and believe.” Thomas said to him, “My Lord and my God!”
    The best thing Ramadhan and his cohorts can say at the verses is that the Bible was changed especially the Book of John but if you ask them for the original one, they cannot tell you where it is. Also if you ask for the Scriptures the way it was before it was changed they can't respond. So it is okay to believe that Islam was there since the creation of Adam because Islam is submission to God thus they submitted to God but Jesus has to be dictated to admit that "I am God, worship me". I really pity those who follow the teachings of Islam

    • @ufafanuzi4382
      @ufafanuzi4382 4 месяца назад

      Odhis , ushaa chukua shahada nini. Mbona ckuoni

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 4 месяца назад +1

      @@ufafanuzi4382 Hiyo utangoja sana ndugu yangu.

  • @KumbukaniKalonga
    @KumbukaniKalonga 4 месяца назад

    Prove it with the Bible

  • @kennodhiambo
    @kennodhiambo 4 месяца назад

    Islam is slavery - at least Ramadhan has admitted. No Muslim has a free will, he must be dictated to worship God. Mbona nipangiwe masaa ya kuomba, kufunga, n.k. Come to Jesus Christ and you will be free from slavery
    Matthew 11:28-30
    28 “Come to me, all you who are weary and burdened, and I will give you rest. 29 Take my yoke upon you and learn from me, for I am gentle and humble in heart, and you will find rest for your souls. 30 For my yoke is easy and my burden is light.”

  • @kennodhiambo
    @kennodhiambo 4 месяца назад

    Ramadhan is just another clown! Yaani akielezea uislamu ulikuweko tangia jadi anatumia dhana ya unyenyekevu eti unyenyekevu (Islam) ulikuwa nyakati za Musa, Ibrahimu na manabii wengine kwa hivyo walikuwa waislamu. Lakini ikija kwa mambo mengine, Wapi imeandikwa ukristo ni dini? Wapi pameandikwa utatu? Wapi Yesu alisema mimi ni Mungu niabuduni? So with Islam it is okay to interpret but with the Bible it has to be exact

  • @kennodhiambo
    @kennodhiambo 4 месяца назад

    Ramadhan is a great liar just like Al-Makir (The Great Deceiver). Dini ya kwanza ilikuwa uislamu wapi uongo peupe. At least umesoma mahali watu waliitwa wakristo huko Antioch - Je mwanzilishi wa uislamu alikuwa amezaliwa ata!!!

    • @ufafanuzi4382
      @ufafanuzi4382 4 месяца назад

      Uislamu ulikuwepo kabla ya ukristo kwa kuwa wakristo wanaamimi utatu. Ilhali kwa agano la kale na watume wa kale wote waliomba mungu kama waislamu na wakajisalimisha kwa huyo mungu mmoja. Fikra ya kuabudu mungu mmoja bila shirika na kujisalimisha kwake ndo uislamu.

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 4 месяца назад

      @@ufafanuzi4382 Hebu nikuulize ndugu uislamu ni fikra ama ni dini? Labda hujui dini ni nini. Dini iko na mfumo, itikadi na mpangilio ambayo waumini wanastahili kufuata. Kama saa hii nikisema mimi ni muislamu, kuna utaratibu fulani ambao ninastahili kufuata - jina, mavazi, swala, ibada, nguzo tano n.k. Nisipofuata utaratibu uliowekwa sidhani kama ninahitimu kuwa muislamu.

    • @ufafanuzi4382
      @ufafanuzi4382 4 месяца назад

      @@kennodhiambo odhis you getting it all wrong . Islam is not a new message or religion . Islam is a continuation of the messages of God that came through the previous messengers . If one has to convert to islam you have to say the statement of faith or shahada. Believing and stating it makes you muslim. I will show you in times of moses and jesus peace be with them , similar statement was there . In times of moses, you had to believe that he was sent by God , and also the 1st comandment clearly states that you should not have any other gods beside God. When you come to jesus , he said " the eternal life is this , that they know you as the only true God and jesus christ whom you have sent . And in order for one to be muslim you have to say " there is no God but allah, muhamad pbuh is his prophet and messenger" and thats the first pillar of islam.

    • @ufafanuzi4382
      @ufafanuzi4382 4 месяца назад

      And for that same reason muslims must believe all the previous messengers of God mentioned in the quran. That basically completes the statement of faith from adam all the way to muhammad pbuh. Welcome to islam odhis . Mi ntakupa hata jina nzuri sana

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 4 месяца назад

      @@ufafanuzi4382 heri nikae bila dini lakini nisiingie uislamu. Siwezi kuwa muislamu abadan kataan eti nitoke katika nuru niingie katika giza totoro, sio mimi

  • @kennodhiambo
    @kennodhiambo 4 месяца назад

    Muslims do not have assurance of salvation. It is a waste of time to discuss salvation with them. Biblia haina utata ni waislamu wanaweka utata katika Biblia na kuamini maandiko ya mtu mmoja ambaye hata haelewi kama ataingia peponi

    • @ufafanuzi4382
      @ufafanuzi4382 4 месяца назад

      Odhis , talking of sslvation omera, when jesus was speaking of how to get eternal life, he said " the eternal life is this , they may know YOU as the ONLY true GOD and jesus christ whom YOU have SENT. We call that shahada in islam, and we believe that 100% . Now tell me what other salvation you looking for!

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 4 месяца назад

    #armie2palestine
    #WorkForChange
    #WorkForPeace
    #WorkForKhilafah

  • @seifalli1544
    @seifalli1544 3 месяца назад

    Mashaallah Allah awape umrr umreff wenye manufaa inshaallah nawapend sana masheikh hawa