Mchungaji ajaribu kuleta utata alipoona wanafunzi wake wamelemewa wakristo wahoji waisilamu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 56

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 9 месяцев назад +8

    Ramadhan Karim inshaa llah but twaomba sheikh ali tulia unampa sheikh salim hard time kweli wallah

  • @oklahommy9838
    @oklahommy9838 9 месяцев назад +3

    Sheikh Ali anafaa kuwa na subra kama vile mwalimu anapokuwa darasani kuwafundisha wanafunzi mpaka waelewe.....sheikh salim unafanya kazi nzuri MashaAllah kwenu nyote

  • @samxx411
    @samxx411 9 месяцев назад +3

    Sheikh salim kweli unajuwa, nakukubali inshallah Allah akuzidishie elimu ya dini

  • @molee00
    @molee00 9 месяцев назад +2

    MaShaAllah, so much Subra shown by Ustad Salim.
    Ai huyu Bishop macho4 anajua ku ONGEZEA maandiko, na kusema UWONGO fluently
    Kwani hutu Bishop HAJUI, ata ONGEZEA MAPIGO na Mungu Aki badilisha na, ku ONGEZEA maandiko?
    HAJUI HIVYO?
    NA hio NATIONAL ANTHEM yao ya Isaiah 9:6, katika 1100BC, SIO UTABIRI, kwa sababu kuna PRESENT Tense humo, kama alivyo point out Ali Sheikh.
    Mbona muli i kimbiza hilo Verse, as if ni UTABIRI?
    Huuyo Macho4 ame tumwa ku POTEZA wakati wenu na POROJO ZAKE!
    APART from that Ustad Salim did VERY Well in controlling the issues!
    TabarakAllah wote walio support Team.
    Alhamdulillah tor ISLAM.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад +1

      Kabisa ila mchungaji alingangania ikabidi tutake kujua uongo wake utafika wapi maana bila uongo wachungaji hawawezi kuongea

  • @jamaamaalim6781
    @jamaamaalim6781 9 месяцев назад +2

    Ndugu zetu wahubiri mashujaa nawatakia kwanza Ramadhan mubarak na Mungu awajalie jazaa zenu na awafanikishe hapa duniani na huko akhera.

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 9 месяцев назад +2

    Wachungaji wako class, wana take notes. Hatariii!!!! Ramadan mubarak to you all.

  • @mufid707
    @mufid707 9 месяцев назад +2

    MashaAllah Tabarak Llah ❤❤❤

  • @aishasalim9546
    @aishasalim9546 9 месяцев назад +3

    Salim nakukubali ndugiyangu .WAKRISTO Salim anajaribu KUWATOWA kwa moto kuwapeleka peponi

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 9 месяцев назад +2

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @mamawamuya
    @mamawamuya 9 месяцев назад +2

    Ma sha Allah

  • @jumamsembe1213
    @jumamsembe1213 9 месяцев назад +2

    Hawa jamaa hawajui lolote hata dini yao hawaijui yani hapo walipo ndio kwazza wanasomeshwa...hawajijui hawajitambui balaa tupu..Allah awaongoze Insha Allah.

  • @musanike3079
    @musanike3079 9 месяцев назад +2

    Ramadhan Kareem❤

  • @josemu870
    @josemu870 9 месяцев назад +1

    Mash Allah

  • @samxx411
    @samxx411 9 месяцев назад +2

    Sheikh Ali anakera tena wakati mwengine

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 9 месяцев назад +1

    Ramadhan Mubarak sheikhs

  • @sheemaryam
    @sheemaryam 9 месяцев назад +4

    Mtu ako Portugal anaua na kufanya maovu mtu ako Israel ni yy anabeba dhambi zake😂😂😂😂
    Ukiskia jina kevo, murife run 🏃‍♀️ 🏃‍♀️ 🏃‍♂️ nima player sana😂😂😂

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 9 месяцев назад +1

    Allah amjalie saum makbul

  • @diangasahad
    @diangasahad 9 месяцев назад +2

    Ramadhan mubarak

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 9 месяцев назад +1

    Maa shaa Allah ❤

  • @isahbarasa
    @isahbarasa 9 месяцев назад +1

    Alhamdulilla Ramadan Mubarak

  • @shafiiabdallah1088
    @shafiiabdallah1088 9 месяцев назад +2

    Asalam aleykum…..hawa wakiristo wako na shida sana aisee tuzid kuwafunza

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @Ismaelnoton2543
    @Ismaelnoton2543 9 месяцев назад +1

    Aslam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh. Ramadhani mubarak

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @MohamedQureishAdan
    @MohamedQureishAdan 9 месяцев назад +3

    Sheikh Ali tulia tafadhali ukisikia kitu unapenda au hukupenda wewe tulia tu

  • @khadijayusuf7968
    @khadijayusuf7968 9 месяцев назад +1

    Asalaam alaykum warahmatullah wabarakat walimu wetu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @abdallasuleiman8785
    @abdallasuleiman8785 9 месяцев назад +1

    Huko background kuna pastor amekula ukali anafoka ile mbaya.

  • @salimiddi7583
    @salimiddi7583 9 месяцев назад +1

    Asalaam alaykum Ramandhan Karimh

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @isaa_ogutu
    @isaa_ogutu 9 месяцев назад +1

    Wakristo mko na shida haswa....tokokeni mbio mkuje kwa uislamu....wachungaji watawamaliza kwa kunyonya pesa bure😂😂😂

  • @josemu870
    @josemu870 9 месяцев назад +1

    Nimeamini nanimejitolea kuwa muislamu
    Bila kulasimishwa na mtu yeyote ntaanzia wapi?

  • @samxx411
    @samxx411 9 месяцев назад +1

    Wakristo watupu kweli, yaani ndio tayari walikuwa wameshakubali kwa kudanganywa kilaini bila ushahidi wa biblia

  • @achimoramadhanimataka1208
    @achimoramadhanimataka1208 9 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 9 месяцев назад +1

    Mtoto kaziliwa wakati Isaia , wakati wa yusu ni bado

  • @MaulidMkessa
    @MaulidMkessa 9 месяцев назад +1

    Shekh Salim hiyo Aya ya Isaya haisemi kuwa mtoto atazaliwa Bali imesema mtoto amezaliwa ,maana yake huo sio utabiri Bali tukio lililofanyika wakati wa Isaya

  • @JabamanJeve2015
    @JabamanJeve2015 4 месяца назад

    Wakiristo hawana akili mweli

  • @JabamanJeve2015
    @JabamanJeve2015 4 месяца назад

    M,a

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 9 месяцев назад +1

    Kibano

  • @sulleysidey2844
    @sulleysidey2844 9 месяцев назад +1

    Ramadhan mubarak

  • @shafiiabdallah1088
    @shafiiabdallah1088 9 месяцев назад +1

    Asalam aleykum…..hawa wakiristo wako na shida sana aisee tuzid kuwafunza

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  9 месяцев назад

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh

  • @JabamanJeve2015
    @JabamanJeve2015 4 месяца назад

    Wakiristo hawana akili mweli