Mashaa llah kazi Safi ila twaomba sheikh Ali awache kugejeli maswali ya jamaa wanao uliza na kuwakatiza hawa hawajui wamekuja kusoma sheikh salim Yuko ndio mwenye kujibu ww msomaji bc mpe sheikh salim nafasi ajibu
Mm namuelewa huyu Ali,wajua hii kazi sio rahisi..yataka moto sana..we wadhan ni rahisi mtu wamueleza hivi na yeye anasema hivi..ww wamuinyesha njia yeye anajiona sawa
@@Mzalendo-n8q hata kma kwani ni yy anao onyesha kimya yy WA kusoma maneno mingi hata unao waonyesha wanachukia mbona Salim na Hassan hawafanyi hivyo yy apunguze mdomo mwingi kukasirika haraka
Masha Allah Alhmdulilah najivunia kwa uslam kuwa dini yangu Quraan ni kiboko ikisomwa yanipa Raha zaidi nikisikiza najiona tajir hatakama sinakitu inasema waslamu niwenye nyoyo thabiti mbele ya makafiri 😂😂 Tena ss tuna amini tusivyo viona sio mambo Yamiujiza 😂😂
Aslm alkm.NASEMA HIVI.KUNA WALE WAKRISTO HAWAJUI UKWELI NA WANATAKA KUJUA.NA KUNA WALE KAMA KINA NDACHA.WANAJUA UKWELI NA WANAPINGA.KAMA HUYO KAKA AMEKASIRIKA AMESEMA HATARUDI HAPO.ANGEPELEKWA POLE POLE
Assalam aleykum warahatullahi wabarakatu....allahdulliah kwa mafundisho mema ya uislamu...am always blessed day by day and learn alot being amuslim is a blessing 🙌 🙏..I wish I new this earlier
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.. Maa Shaa Allah...Allah awahifadhi nyote na awalalipe....huyo jamaa ni mmoja wa waliokabidhiwa injili ya wasio tahiri
😮Anataka MAMBO YA WALAWI 19:28 ..... msichanje miili yenu wala........ Huu mstari ndio ulimfanya Bob Marley akatae kufanyiwa UPASUAJI ktk kidole gunda cha mguu wake ili kundoa cancer , hata akapoteza maisha.
71: Wala hapana yeyote katika nyinyi ( BINADAMU) ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe. 72: Kisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti. 71: And there is none of you ( MANKIND) except he will come to it. This is upon your Lord an inevitability decreed. 72: Then We will save those who feared Allah and leave the wrongdoers within it, on their knees. QURAN CHAPTER 19 MARYAM
None of us chose islam but Allah subhanahu wata'ala chose us to be Muslims..Alhamdulillah for the gift of islam
Allahamdulillah kwa neema ya waislamu
Shukran mashekh wetu kwa Kazi kubwa sana, Allah awape kheri kubwa
Aamiin amiin amiin
Asanteni sana mungu abalike, inshaallah
Mashaa llah kazi Safi ila twaomba sheikh Ali awache kugejeli maswali ya jamaa wanao uliza na kuwakatiza hawa hawajui wamekuja kusoma sheikh salim Yuko ndio mwenye kujibu ww msomaji bc mpe sheikh salim nafasi ajibu
Kweli kabisa.
Kweli Ali awape time ili Salim awapr dozi waje kwenye dini ilio ya kweli, ukiwakashif watachukia tuwafanye waone uzuri wa Uisilamu
Mm namuelewa huyu Ali,wajua hii kazi sio rahisi..yataka moto sana..we wadhan ni rahisi mtu wamueleza hivi na yeye anasema hivi..ww wamuinyesha njia yeye anajiona sawa
@@Mzalendo-n8q hata kma kwani ni yy anao onyesha kimya yy WA kusoma maneno mingi hata unao waonyesha wanachukia mbona Salim na Hassan hawafanyi hivyo yy apunguze mdomo mwingi kukasirika haraka
@@andallaathman3856 hio n tabia ya mtu..huwezi mrekebisha..ni yeye mwenyewe aamue
Masha Allah Alhmdulilah najivunia kwa uslam kuwa dini yangu Quraan ni kiboko ikisomwa yanipa Raha zaidi nikisikiza najiona tajir hatakama sinakitu inasema waslamu niwenye nyoyo thabiti mbele ya makafiri 😂😂 Tena ss tuna amini tusivyo viona sio mambo Yamiujiza 😂😂
Masha Allah barakallahu feek
Alhamdulillah kwa neemah ya uislamu
Alhamdulillah
Alhamdulillah
Nikiona wakristo nashukuru sana Allah kwa kuniokoa
Kuokolewa na nini? Soma sura Mariam 71 -72. Halafu soma Yohana 14:6
@@NathanielNathan-m4o 😅😂 sindano nyengine kali mno. Panadol mbili mara tatu kwa siku itakupunguzia ukali.
@@NathanielNathan-m4o😂😅
@@NathanielNathan-m4o😂😅😂😅
@@NathanielNathan-m4o😂😅😂😅
Alhamdulillah ashukuriwe Allah muumba wa mbingu na ardhi na kutuletea dini nzuri ya kiislam yenye maadili mazuri
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
Alhamdulillah nshkr pia kw kua muislam
Aslm alkm.NASEMA HIVI.KUNA WALE WAKRISTO HAWAJUI UKWELI NA WANATAKA KUJUA.NA KUNA WALE KAMA KINA NDACHA.WANAJUA UKWELI NA WANAPINGA.KAMA HUYO KAKA AMEKASIRIKA AMESEMA HATARUDI HAPO.ANGEPELEKWA POLE POLE
Assalam aleykum warahatullahi wabarakatu....allahdulliah kwa mafundisho mema ya uislamu...am always blessed day by day and learn alot being amuslim is a blessing 🙌 🙏..I wish I new this earlier
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh it's never too late
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu.. Maa Shaa Allah...Allah awahifadhi nyote na awalalipe....huyo jamaa ni mmoja wa waliokabidhiwa injili ya wasio tahiri
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh 🤣😂😂🤣😂😂 2:7 wagaratia
Barak Allahu feek
Na wapongeza kwa dawah safi mwenyezi Mungu atupea nguvu zaidi ya kueneza haki yake
Aamiin amiin amiin sote
8/1203- وعَنْ أَبي هُريرةَ ، عَنِ النَّبِيِّ ﷺ قَالَ: الفِطرةُ خَمسٌ، أَوْ خمْسٌ مِنَ الفِطرةِ: الخِتان، وَالاسْتِحْدَادُ، وَتقلِيمُ الأَظفَارِ، ونَتف الإِبِطِ، وقَصُّ الشَّارِبِ مُتفقٌ عَلَيْهِ.
الاسْتِحْدَادُ: حلْقُ العَانَةِ، وهُو حَلقُ الشعْرِ الَّذِي حَوْلَ الفرْجِ.
9/1204- وعَنْ عائِشة رضيَ اللَّه عنْهَا قَالَتْ: قالَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ: عَشرٌ مِنَ الفِطرَةِ: قَصُّ الشَّارِبِ، وإِعفَاءُ اللِّحْيَةِ، وَالسِّوَاكُ، واسْتِنشَاقُ الماءِ، وقَصُّ الأَظفَارِ، وغَسلُ البَرَاجِمِ، وَنَتفُ الإِبطِ، وَحلقُ العانَة، وانتِقاصُ المَاءِ قَالَ الرَّاوي: ونسِيتُ العاشِرة إِلاَّ أَن تَكون المَضمضَةُ، قالَ وَكيعٌ وَهُوَ أَحَدُ روَاتِهِ: انتِقَاصُ الماءِ، يَعني: الاسْتِنْجاءَ. رَواهُ مُسلِمٌ.
10/1205- وَعَن ابنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّه عَنْهُمَا، عن النَّبي ﷺ قالَ: أَحْفُوا الشَّوارِبَ وأَعْفُوا اللِّحَى مُتفقُ عليهِ.
Asalam aleikum warahmatulah wabarakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
😂😂😂😂😂😂 ina onekana Yuko nakifumbu 🤪🤪🤪
Ustadh tafadhi kama itawezekana kuna mtu anauponda uislam utalia ukimsikia. Nuru Masihi tv
Hao jamaa ni wa S.D.A huwa wanalipwa na kanisa kufanya hivyo
😂😂😂😂jamani. Ati wanaume watembee na sweater zao😂😂😂😅
Hahaaaaaaa 😂🤣😂😂
🤣🤣🤣🤣aise..hataarii.nahizo.sweta
😮Anataka MAMBO YA WALAWI 19:28 .....
msichanje miili yenu wala........ Huu mstari ndio ulimfanya Bob Marley akatae kufanyiwa UPASUAJI ktk kidole gunda cha mguu wake ili kundoa cancer , hata akapoteza maisha.
71: Wala hapana yeyote katika nyinyi ( BINADAMU) ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
72: Kisha tutawaokoa wale walio mchamngu; na tutawaacha madhaalimu humo wamepiga magoti.
71: And there is none of you ( MANKIND) except he will come to it. This is upon your Lord an inevitability decreed.
72: Then We will save those who feared Allah and leave the wrongdoers within it, on their knees.
QURAN CHAPTER 19 MARYAM
Eleza inamaanisha nini?
@@NathanielNathan-m4oukweli unaumiza. Panadol mbili mara tatu kwa siku itakupunguzia maumivu
@@NathanielNathan-m4o😅😂
@@NathanielNathan-m4o😂😅😂😅
@@NathanielNathan-m4o😂😅😂😅