MKRISTO ASHINDWA KUTHIBITISHA UGAIDI WA WAISLAMU PALESTINE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025
  • #muhubirimwaipopo #universityfilms #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

Комментарии • 21

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 3 дня назад +1

    X imam ametoa ushahidi kuwa yeye alikua imum sasa bado wewe, umeulizwa ujibu

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 3 дня назад

    Wewe nimvivu kweli
    Tafuta pesa Archana na Palestine Israeli maana awajawai kujua mataifa mengine.

  • @TitusIbrahimu-n8j
    @TitusIbrahimu-n8j 3 дня назад +1

    Tunaomba na wewe ulete ushaidi wa kuwa WEWE ULIKUKUWA MCHUNGAJI Usema ulikuwa unachunga kanisagani kisha na waumini wako wakushuhudie kuwa ni kweli ulikuwa unachunga kanisa hilo. Maana huyo uliyekuwa unamsakama kuwa hakuwa muislamu tena imamu leo ameweka ushaidi wa waliokuwa waumini wake

  • @hassangalgallo8496
    @hassangalgallo8496 2 дня назад

    Uisilamu ndio Iko na chuki saaana

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 3 дня назад

    Unatakiwa ujibu x mum amekuuliza swali kule kwenye channel yake, alikua live. Una deni unatakiwa ujibu.

    • @Anonymous-w9v-i1p
      @Anonymous-w9v-i1p 3 дня назад

      Mtu kakaa kwenye uislam miaka 20+ na hajui hata alif 😂 atajibu hoja gani. Kweli huyu Mwaipopo ni kilaza. Si ajabu hata alifeli shule darasa la kwanza tu..

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 3 дня назад

    Wakristo Akili zao mbovu kabisaa. Kwanza wanamuamini mungu ni yesu na ni mwana wa mungu. 😂😂 . Mungu wao akafa siku tatu kauwawa na binadamu na kusulubiwa 😂😂.
    Kisha wamekubakl paulo ni mtume kwa kuanzisha ukristo. Lakini kumbe paulo aliuwa wakristo kibao 😂😂😂.
    Matendo 22.
    4 “Nilifanya kazi kwa bidii na kuwaua wanaume na wanawake wanaoamini kama ninavyoamini leo. Nikawafunga minyororo na kuwapeleka gerezani. 5 Kiongozi mkuu wa kidini na viongozi wa watu wanaweza kukuambia jambo hili ni kweli. Nilipokea barua kutoka kwao ili kuwapelekea ndugu zetu Wayahudi katika jiji la Damasko Nilikuwa nikienda huko kuwafunga Wakristo minyororo na kuwaleta Yerusalemu ambako wangepigwa.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 дня назад

    Maamuma Mwaipopo, Umeona huko kwenye Chanel ya Mwalimu chaka na Mwalimu Ismael? Maamuma wa Ismael wametoa ushahidi kuwa alikuwa imamu wao!! Sasa na wewe Mwaipopo tunaomba utoe ushahidi kama huo wa waumini wakushuhudie ulikuwa Mchungaji wao na jengo ulilolitumia kuwafundisha!!

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 дня назад

    Maamuma Mwaipopo kwa mujibu wa khadith na Qur'an yenyewe Uislamu ni dini ya vita na ugaidi jana nimetoa aya kuthibitisha hivyo ukasoma aya moja tu ya Surat At-Towba 9: 29 zingine umeziacha umeogopa nini?

  • @JoeZeno-q1b
    @JoeZeno-q1b 3 дня назад +2

    Tatizo Muhammad alipokwenda MADINA alianza kutangaza Uislamu kwa Jazba, Chuki na Mihemuko! Muhammad Alishindwa kuwelewa kwamba Miaka ijayo atawaingiza Waislamu kwenye Matatizo Makubwa! Hao MAGAIDI wanaoUwa Wakristo na watu wasiokuwa na hatia Sio Wajinga, wananukuu AYA za Quran na Hadith!

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 3 дня назад

      Nyinyi ndio munaosema mwanadamu ni mungu kisha mungu akauliwa na binadamu , kwa hakika akili hiyo hamko sawa. Kisha nyinyi munakubali Paulo ni mtume wa mungu . Nendeni mukasome habari za Paulo alovo wauwa wakristo .
      (Matendo 22 )
      4 “Nilifanya kazi kwa bidii na kuwaua wanaume na wanawake wanaoamini kama ninavyoamini leo. Nikawafunga minyororo na kuwapeleka gerezani. 5 Kiongozi mkuu wa kidini na viongozi wa watu wanaweza kukuambia jambo hili ni kweli. Nilipokea barua kutoka kwao ili kuwapelekea ndugu zetu Wayahudi katika jiji la Damasko Nilikuwa nikienda huko kuwafunga Wakristo minyororo na kuwaleta Yerusalemu ambako wangepigwa.
      Huyo ndio mtume wenu , sasa nendeni mkangalie kifo chake alivo uwawa na wafuasi wake.😂😂😂.

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 3 дня назад

      Wewe mkosa adab achana n'a Muhammad sio sawayakooo

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 3 дня назад

      Ulimuona apo alikuwa anahubili kwa jazba nachuki?hakuna mtume hata umoja ambaye aliwah kuwa n'a tabiya mbovu hâta umoja wote wamitume walikuwa ni wachamungu.mpumbavu weee acha uongo ndo ivyo mko mnawafundisha wauminiwenu maneno ya chuki nakaraha ili wasije kwenye uislam mbaki mnakusanya sadaka matumboyenu yavimbe

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 3 дня назад

      Sasa kama sheikh yuko anaonya nduguzake waislam wewe unaumizwa Nani?yanakuusu?

    • @KabatoniBoraa
      @KabatoniBoraa 3 дня назад

      Asante sheikh kwa maoni yako allah akulipe kila heri

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 3 дня назад +1

    Wakristo Akili zao mbovu kabisaa. Kwanza wanamuamini mungu ni yesu na ni mwana wa mungu. 😂😂 . Mungu wao akafa siku tatu kauwawa na binadamu na kusulubiwa 😂😂.
    Kisha wamekubakl paulo ni mtume kwa kuanzisha ukristo. Lakini kumbe paulo aliuwa wakristo kibao 😂😂😂.
    Matendo 22.
    4 “Nilifanya kazi kwa bidii na kuwaua wanaume na wanawake wanaoamini kama ninavyoamini leo. Nikawafunga minyororo na kuwapeleka gerezani. 5 Kiongozi mkuu wa kidini na viongozi wa watu wanaweza kukuambia jambo hili ni kweli. Nilipokea barua kutoka kwao ili kuwapelekea ndugu zetu Wayahudi katika jiji la Damasko Nilikuwa nikienda huko kuwafunga Wakristo minyororo na kuwaleta Yerusalemu ambako wangepigwa.

    • @hassangalgallo8496
      @hassangalgallo8496 2 дня назад

      Paulo alikuwa anawauwa wakristo kabla ya kuamwamini Yesu kristo

    • @ExcitedChefHat-ef5jt
      @ExcitedChefHat-ef5jt 2 дня назад

      @hassangalgallo8496
      Ok sawa kabisa kisha baadae alikuwa mtume wa mungu sio ?
      Kisha alimtukana mungu
      (Wakoritho 1:25 )
      Kwa maana upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu Jee mungu ni mpumbavu ?