NGOMA NZITOO ! MAWAKILI ARUSHA KUWABURUZA MAHAKAMANI VIGOGO WA JESHI LA POLISI IGP, RPC WATAJWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 90

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 8 дней назад +1

    Asanteni kwa uelewa mkubwa.Jamii imewakubali san jop la Mawakil Arusha chukuen🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ hapo kwenye maadili umewagusa wengi.

  • @salomemasonga932
    @salomemasonga932 7 дней назад

    Pole my dear valerian

  • @salama1113
    @salama1113 9 дней назад +6

    Hapo kwenye madai msiwaonee huruma🤣🤣🤣

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 9 дней назад +3

    Asanteni kiwasheni jmn nchi haieleweki hii

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 8 дней назад +1

    Arusha kumechangamka😂

  • @JojoKaja-l1w
    @JojoKaja-l1w 9 дней назад +2

    Safi sana viongozi

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 9 дней назад +6

    Mawakili wote mngekuwa na msimamo kama huo polisi wangeacha kunyanyasa raia

  • @sakurantillya
    @sakurantillya 9 дней назад +1

    Arusha nawapenda sana

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 9 дней назад +1

    Safi sana kaka, kumbe tuna watu wazuri na wenye uelewa wa hali ya juu kiasi hiki kama huyu na wengine, tangu nisikie jamaa akisema wachawi walikufa , nilishangaa na kujiuliza wachawi walikuwa kina nani na waliwaloga kina nani na ili nini na sasa wanafaidika nn baada ya hapo ndio wakaona watu milion 60 hakunye mwenye uwezo wa kuchuana na samia ndio wakaamua wampitishe awe mgombea pekee. Ili waendelee na yao. Amkeni jamani.

    • @YourMoor-px1rd
      @YourMoor-px1rd 8 дней назад

      NCHI HII RAIA TUNANYANYASHWA SANA NA BAADHI YA WAKUBWA WA SERIKALI WASIOKUWA NA DHAMANA NA VYEO VYAO

  • @thadeusmahendeka4466
    @thadeusmahendeka4466 8 дней назад

    Safi

  • @HeriMohamedi
    @HeriMohamedi 9 дней назад +1

    Safi sana

  • @NicholasMgay
    @NicholasMgay 9 дней назад +1

    Mungu awasimamie kuwa adabisha wasiona uzalendo wakinidhamu kwa kila kilamtumishi

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 8 дней назад

    Hembu jitahidini na Mungu wa HAKI ATUSAIDIE maana itakua ushindi kwa wanaoonewa kila iitwapo leo

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 8 дней назад

    Hongereni Mawakili wametuzoea mno Hawa police .

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 8 дней назад

    Nimependa sana fanyeni hivo nchi nzima unyanyasaji upo Kila siku nanchi nzima

  • @NasaelManya
    @NasaelManya 9 дней назад +7

    Safi sana mawakili, Naona mnaanza kujitambua sasa, Hongera Mwambukusi...

  • @bjshio3249
    @bjshio3249 9 дней назад +3

    Nawaunga mkono mawakili wa Arusha.

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 8 дней назад

    Nadhani baada ya Mwabukusi kushinda urais wa TLS na sasa Tundu Lissu uenyekiti wa CHADEMA, tanzania kunaanza kuchangamka.

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 9 дней назад

    Sio Kwa nchi hiii.. mnapoteza ela zenu tuuuu... Niko paleeeee 😂😂😂

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 8 дней назад

    Tena tunahitaji msaada wa tanzania wanasaidia hata kutuibia kura zetu hao mapolisi wanaonea sanaa

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 8 дней назад

    Ichi Haina sheria

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 8 дней назад

    Mahakama za Tz hazina Meno!
    Where are those rights come from?
    Police ndio Wana play part kama ndio mahakama!
    This isn't right 👍

  • @SwaleheLiyoba
    @SwaleheLiyoba 9 дней назад +4

    Ndiyo dawa yao wanajiona miungu

  • @MangaikwelaMatengo
    @MangaikwelaMatengo 9 дней назад +3

    Kama nyie mnalia sisi tusio na elimu ya sheria tumekwisha

  • @jerome3143
    @jerome3143 8 дней назад

    Wapekeni mpaka waele luwa nchi inaongozwa kwa sheria zipo amri

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 9 дней назад

    Mpo sawa

  • @ndimizarohomtakatifurichar9802
    @ndimizarohomtakatifurichar9802 9 дней назад +1

    Polisi Hawa zingatii Sheria Wana bebeabebwa kama watoto wadogo waliovalishwa pampasi Wana bebwa na mama hawajui lakufanya

  • @alfanmohamed2750
    @alfanmohamed2750 8 дней назад

    Asanten sana hata mkitaka mchango semeni jamani tuko tayari kuna maonevu sana uku kwa wanachi kuonewa tunaomba msiache iyo kesi njiani tunaomba sana mpaka kieleweke heshima hirudi mkizidiwa tuko kwajili yenu kuchangia ili msikwame uwonevu sasa kwisha

  • @MickyMgeri
    @MickyMgeri 9 дней назад +4

    Mnawapeleka mahakama gani jaman,hizi hizi mahakama za serikali ya ccm au nyingine?,yangu macho.

    • @DavidDeus-qb2uh
      @DavidDeus-qb2uh 9 дней назад +1

      acha upungufu wa akili kwan mahakama zimeandikwa ccm

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 8 дней назад

    HAKI HUINUA TAIFA HIO MBEGU IKUE ILI KILA MTU APATE HAKI HADI KUTANGAZA MATOKEO KUSIHUSISHWE NA MABOMU

  • @MichaelMwambije
    @MichaelMwambije 9 дней назад +1

    Sio alushatu nchi mzima tusaidien tunajeshi LA kijambaz jeshi LA kkinyang'anyi

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 9 дней назад +1

    Kesi ya Kima kwa Simba haitakaa ipande. hakuna mwanasheria wa Kushtaki polisi tanzania, huko ni kupoteza muda tu

  • @RobertChacha-si1js
    @RobertChacha-si1js 9 дней назад +1

    Kuna watu TANZANIA wako juu ya Sheria, polisi wanategemewa na CCM kwenye uchaguzi mahakama hizi sidhani Kama mtapata haki

  • @DonatusBernard
    @DonatusBernard 9 дней назад

    Huyu mrithi wa mwambukusi aisee. Yupo vizuri

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 9 дней назад +5

    kelele nyingi hamna kitu kitafanyika hata kule mbeya mlisema mnampeleka awadhi kotini baadae mkaufyata mwingine alijitia kumpeleka polisi kesi ya binti wa yombo akaishia njiani

  • @menaceian6735
    @menaceian6735 8 дней назад

    Sasa hapa ndo nimeona makali yenu

  • @PRAYGODJOHN-w8s
    @PRAYGODJOHN-w8s 9 дней назад +1

    Hakuna lolote hapo litakaloendelea tutaona mwisho wa hizi kauli hata tundu Lisu alisema ana ushahidi wa Makonda kupitia tigo Hadi Leo yupo kimya

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 9 дней назад +1

    Polisi wa tanganyika ni baada ya mungu niwaoo kaka sasa nyiie mkojuu siee wahuku chini inakuajee??jiulize inakuaje uswahilini??

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 8 дней назад

    Polisi inasomamia HAKI na Sheria Wana Sheria wanatafsiri Sheria lkn mwanasheria anapatwa na madhira kwa polisi je bodaboda atatokaje hapo kama KESI insuwezo wa kubadilika ndani ya polisi anaelinda raiya na Mali zao .zao sjaelewa vzr Mali zao hao polisi au zao hao raia

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 9 дней назад

    Tunatamani sana mawakili kama hawa

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 9 дней назад

    Shida nchiii hii..mtu akiwa kwenye field yake anajikuta yeye no Mungu mtu akosei .na polisi na yeye yupo kwenye field yake ya ulinzi..kenge nyinyi..kwani kuwa wakili ndio assurance ya kutokuwa mhalifu au haukosei.....😅😅😅

  • @MrijoHC
    @MrijoHC 8 дней назад

    Mawakili wote wa Tanzania waishtak police 😂 kila mtu mkoa wake 😂😂😂wataliaa

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 8 дней назад

      Hawawezi kushitaki police wote ,hapo wanapoteza tu muda

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 9 дней назад

    Labda uwe na Mahakama yako siyo Mahakama zetu za Tanzania

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 9 дней назад

    Wanasheria wangekuwa kama Mawakili wa kenya polisi wangekuwa na displinie

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 8 дней назад

    Mawakili nanyie mnatumia bangi? Au mna uchawa wa chama cha siasa? Sio kwa vurugu hizo.

  • @richardmganyasi6963
    @richardmganyasi6963 9 дней назад +1

    Shida hamsemi huyo wakiri muharifu alifanya nini au alituhumiwa na nini.naona mnapiga tu mayowe.

  • @Majebelemathias
    @Majebelemathias 9 дней назад

    Tanzania nzima mawakili wote muache kuwatetea mapolice wanajiona wao ni mungu

  • @JoelZacharia-n6k
    @JoelZacharia-n6k 9 дней назад

    Huy anahitaj ulinzi Wamungu

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 9 дней назад +1

    Hamna kitu nyie kwani nyie mpo juu ya sheria acheni sheria ichukue mkondo wake

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 8 дней назад

    Yaani kiongozi wa mawakili ila akili hauna!!?

    • @alfanmohamed2750
      @alfanmohamed2750 8 дней назад

      Wewe chawa umetumwa na uyo polis au au wewe ndo unataka shitakiwa hapo

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 9 дней назад

    Hawa polisi wamezoea kuonea watu washughulikieni ,leteni namba watanzania tuwachangie muendeshe kesi

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 8 дней назад

    Upigaji umeanza tena?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 9 дней назад

    Police kweli hicho ni kituko😮

  • @ndimizarohomtakatifurichar9802
    @ndimizarohomtakatifurichar9802 9 дней назад

    Mta wanyoosha mwaka huu

  • @PaschalBoi-z8h
    @PaschalBoi-z8h 9 дней назад +2

    Tuna polisi wa kijinga kbx na serikali ya kipuuzi

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 9 дней назад

    Nendeni mkaonane na Mh Makonda

  • @secundawabura7902
    @secundawabura7902 9 дней назад

    hivi wewe hujapata shida polisi wakusaidie,wenzako waliosaidiwa na polisi hawathubutu kuongea unavyoongea,watu hawalali kwa ajili ya maisha yao.
    acha kabisa kuongea hivyo uwe na shukrani kumbuka kuweka maanani positives badala ya negatives

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl 9 дней назад

    Mtafanikiwa zaidi kama mtakuja na mbinu za kuwawajibisha mahakimu na majaji wa tza ambao hawatendi haki.. wanafuata maelekezo toka juu ..wanajali matumbo yao kuliko haki na uhuru wa raia

  • @chigugukajala7081
    @chigugukajala7081 9 дней назад

    Tuwaeshimu polisi nao niwasomi kama ss ndg tuondoe zana ya miaka ya 70

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 9 дней назад

    Mmeona sasa tafuteni haki ,je sisi tusioju sheria inakuaje? Jiulizeni na mtafakari sana

  • @DavidDeus-qb2uh
    @DavidDeus-qb2uh 9 дней назад +1

    Tanzania tuna wasomi wengi ila bahadhi yao ni wajinga inasikitisha sana

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 9 дней назад

    Tunaunga mkono

  • @SUNDAYMASHELLE
    @SUNDAYMASHELLE 8 дней назад

    mjinga mmoja kala maharage yake huko ameshachafua hali ya hewa unafukuza watu kama nani kwa sheria ipi? unachafua nchi kijingakijinga tu fikiria huko taarifa zinarushwa sasa mpaka nje ya nchi, huku kuna utalii kuna mambo mengi, tunaoonekana banana republic kwa mjinga mmoja tu. Fukuzeni kazi wajinga wa namna hii

  • @mussamuna900
    @mussamuna900 9 дней назад

    Onyesheni mfano

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali 9 дней назад

    Mmh🫣

  • @franksiame8441
    @franksiame8441 9 дней назад

    Acha kutishia polisi wewe mudomo utakuponza

    • @georgechiwango7381
      @georgechiwango7381 9 дней назад +2

      Tunahitaji kujenga nchi inayofuata misingi ya kisheria na siyo ubabe na unyanyasaji.

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 9 дней назад +1

      Acha kutishia watu wasomi wanajua wanavhokifanya polisi waajibu wao ni kulinda raia

    • @JojoKaja-l1w
      @JojoKaja-l1w 9 дней назад

      Franksiame8441 wewe ni k.m. tu na chawa wa kijani😂

    • @BarikiJSAssey
      @BarikiJSAssey 9 дней назад +1

      Utakuwa chawa wa kijani wewe

    • @mwaamwetahussain9947
      @mwaamwetahussain9947 9 дней назад

      Ww ni mmoja wao ama

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 9 дней назад

    Safi Sana

  • @BarikiJSAssey
    @BarikiJSAssey 9 дней назад

    Safi sana