Nay Wa Mitego - Mikono Juu (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 фев 2018
  • written and performed by: Mr Nay (@naytrueboy)
    Music Produced By: Awesome (At FreeNationRecords)
    Video Directed By: Nicklass
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 565

  • @GidionNgala
    @GidionNgala Месяц назад +1

    mr ney the dragon❤❤🎉🎉 bonge la ngoma

  • @sumayakubaty4019
    @sumayakubaty4019 6 лет назад +9

    Nay you killed it in this song .....mob love from Kenya #mombasa#

  • @hanshellen5310
    @hanshellen5310 6 лет назад +1

    Siku zote hakunaga kama Ney the true boy chapaaaaa wape uponyaji FREE NATION

  • @irinekuvuna9277
    @irinekuvuna9277 6 лет назад +5

    Nay bwana ..!! Mwenzako karibu nifunge macho nikisubiri maombi

  • @frankkabulunge8441
    @frankkabulunge8441 6 лет назад +1

    Nakukubali sanaaa Mr ney upo vzr sanaaaaaaaa

  • @queenmaa7892
    @queenmaa7892 6 лет назад +11

    Nyimbo za nay zinakuanga balaa...big up bro much respect from +254

  • @mtenyagegoyo1150
    @mtenyagegoyo1150 6 лет назад +1

    big up Mr nay nakukubali

  • @masanjakisabo1503
    @masanjakisabo1503 6 лет назад +1

    sana Mr nay bonge LA nyimbo uko vizuri

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 6 лет назад

    Naitwa nani baba yaga bingwa la kuvaa midabwada......tisha sana nay #free_nation

  • @saidathuman9544
    @saidathuman9544 6 лет назад +1

    😀😀😀 Nay bhana big up Bro bonge la ngoma

  • @mpangomustafa4968
    @mpangomustafa4968 4 года назад +1

    Safi sana ney nakubali kaz zako

  • @issaamiri104
    @issaamiri104 6 лет назад +1

    Mzee BABA Nay hapa umeua video ni kalii mno saluti kwako Mr Nay

  • @christopherdamian8329
    @christopherdamian8329 6 лет назад

    nay we n fire yani tena juu hyo nyimbo nimeilelewa sana embe....

  • @hassanmakweto4012
    @hassanmakweto4012 6 лет назад

    Et hapendi kunyonya embe anapenda kunyonyaaa,,,,, wewe #Ney #mungu anakuona ujue 😁😁😁😉😉😉😉😉

  • @allyabdallah3282
    @allyabdallah3282 6 лет назад +1

    Nouma sana Idea ya video kalii pia jamaa kaShine kwenye sana one luv mzee huu muziki unaitwa muziki muzur #Good_music_for_life

  • @boniphacefidelis5021
    @boniphacefidelis5021 5 лет назад +1

    mnyamaaaa nay wa mitego

  • @juniors_trim
    @juniors_trim 6 лет назад +1

    Nakubali Sana
    mkubwa Wao

  • @abdulrahmanomar6963
    @abdulrahmanomar6963 6 лет назад +1

    Wape neno walipoke......All the way from Qatar state representing Bongo

  • @babuu4098
    @babuu4098 6 лет назад +1

    Mr ney true boy komando mwenye haseh harifu goma kali mikono juu🙆

  • @raiphodytzkaundatz5380
    @raiphodytzkaundatz5380 6 лет назад

    ww dada ulie nunuliwa bia baa na una mpango wa kumkimbia alie kununulia weka mikono juu
    ww ulie kopa mkopo benk na aujui utaulipa vp weka mikono juu
    wale ndugu zangu wanao kaa kwenye za kupanga na mda wa kulipa umefka na auna ktu wema mikono juu🙌🙌🙌🙌🙌🙌
    nay senge sana dadek
    mtoto mdogo ana bonge la tako😂😂😂😂😂

  • @ommystar8827
    @ommystar8827 3 года назад +1

    Nakuli. Baba yanga

  • @abdulmiki5075
    @abdulmiki5075 6 лет назад

    Katika nyimbo za ney zooote..nyimbo hii kapoteza....haina ladha wala mistari....Ney hii umepotea...Embu turushe kama ulivyo tusuuza nyoyo na makuzi...kicky na kadhakika

  • @eliahjohn5519
    @eliahjohn5519 6 лет назад +1

    Kaka kazi nzuri sana nakuelewa sana

  • @jombylikwet8067
    @jombylikwet8067 6 лет назад

    daaaaa..... ila Bro Ney wa mitego we nomaa

  • @samweljames
    @samweljames 6 лет назад +1

    Nakubali sana ney

  • @japharimandalafamily6868
    @japharimandalafamily6868 6 лет назад

    sana true boy kama unampango wa kumpinga mr true boy bc wekamikonojuu
    kisha miuno kdg

  • @adamrutaha4257
    @adamrutaha4257 6 лет назад

    nyimbo mbovuuuuuuuuuuuuuu....video ndio kabsaaaaaaaa

  • @zamaKitch
    @zamaKitch 11 месяцев назад +1

    Moto sana

  • @josephmolelwa9320
    @josephmolelwa9320 6 лет назад +1

    I don't know why you're like this song but it's so cool

  • @ramadhaniissa7749
    @ramadhaniissa7749 6 лет назад +1

    director nicklass gud job

  • @Swahilisoaptv
    @Swahilisoaptv 4 года назад

    Nipo uku kuzimu hii ngoma ndo wimbo wetu wa taifa

  • @emelyneza8956
    @emelyneza8956 3 года назад

    Kushoto kulia kaka duuh miuno kidogo💪❤

  • @Fingolee
    @Fingolee 2 года назад

    Half cast la kinyaki .....Tanzania is not ready for you

  • @rockjimmy3978
    @rockjimmy3978 6 лет назад +1

    Yinbo za Nay wa mitego uku ulaya tunazisikia sanaa atamimi apa mshabiki mkubwa wa Nay True boy nakukubali sanaa bro djo marekani upige show brother

  • @raheemjb98
    @raheemjb98 6 лет назад

    Ngoma kali video kali nadhan Zilla alikengeuka kidogoo...Ila saiz atakuwa anaweka MikooJuu kidogo

  • @alexisonkwizera172
    @alexisonkwizera172 2 года назад +1

    Good Directing umetisha nipeni lik hapa mnao saport hili

  • @makakawillys4133
    @makakawillys4133 6 лет назад +1

    Hhahahha!!!! Did you hear that!!! "Mtoto Mdogo Bonge la Mkungu wa....NDIZI".BiG LOVE, Listening from Nairobi, Kenya.

  • @aswellalihoka4373
    @aswellalihoka4373 6 лет назад +1

    nzur sana

  • @bbmmzuzu0724
    @bbmmzuzu0724 6 лет назад +16

    Umetisha. Mshamba hawezi kuelewa

  • @kalongaalex8262
    @kalongaalex8262 5 лет назад

    Mtoto Mdogo ana Bonge LA mku....... Wa ndizi,, hahahahahahaaaa True boy bhna

  • @drxpxd-5094
    @drxpxd-5094 4 года назад +2

    The best rapper ever in Tanzania

  • @trueboymwindi369
    @trueboymwindi369 6 лет назад

    baba yaga hujawai tuangusha watyu wakooo fireee

  • @ibrahimpatrickmwafute
    @ibrahimpatrickmwafute 6 лет назад +1

    Mr 966 nakukubar kinoma

  • @Busilana
    @Busilana 6 лет назад

    Mzee Baba kutoboa Kimataifa sio leo Nyimbo zKo z kawaid alf za Matusi

  • @digonzakeimbe8435
    @digonzakeimbe8435 11 месяцев назад +1

    Salute bro..

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 лет назад

    #Tausi kanichekesha mpaka basi... #TrueBoy
    #MOFAYAAA

  • @yusufjuma2647
    @yusufjuma2647 6 лет назад +1

    Ila hiii ngoma ni kali

  • @hassanmakweto4012
    @hassanmakweto4012 6 лет назад

    Kweli @asha ally# nakubaliana na ww

  • @Ududututu9406
    @Ududututu9406 6 лет назад

    Sikuizi sinyonyi embe napenda kunyonya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mabondecolumbus2385
    @mabondecolumbus2385 6 лет назад

    Mtoto mdogo ana mku........wa ndizi hahahahahaha u me happy the true boy

  • @MNYARUBAKERY
    @MNYARUBAKERY 6 лет назад

    Hatunaga kazi mbovuuuu#mrNay

  • @misskimdorry4039
    @misskimdorry4039 6 лет назад +1

    hatariiiiiiiii

  • @francessimime3208
    @francessimime3208 6 лет назад

    hiiii ngoma ni fireeeee the true boy

  • @enochlewa6187
    @enochlewa6187 6 лет назад

    Ngoma kali! washamba wakaifungia

  • @kingnaydj4934
    @kingnaydj4934 6 лет назад

    Mr. Nay daaah ww noma mtuwang

  • @marcomwaimu3979
    @marcomwaimu3979 6 лет назад

    Sijajua kilichosababisha huu wimbo ufungiwe

  • @swaggagamingtv6841
    @swaggagamingtv6841 6 лет назад +22

    Kalisana

  • @saalimkariim2511
    @saalimkariim2511 6 лет назад +1

    KAZI nzuri Sana true boy

  • @neyostarmapoz7924
    @neyostarmapoz7924 5 лет назад +1

    True boy forever

  • @yohanamuumbe4628
    @yohanamuumbe4628 6 лет назад

    Ngoma Kali sana naikubali noma sana

  • @sadamsteven8771
    @sadamsteven8771 5 лет назад

    Binge LA Ngoma kama unakubali muziki mzuri gong like yako hapa

  • @jumerramadhan1617
    @jumerramadhan1617 6 лет назад

    Mzee baba naikubali hio.... game limeanZa kuuma Mr yaga anakat kiuno hyo

  • @saidimakala233
    @saidimakala233 6 лет назад

    mbayaaaa nimemaliza mb zangu bule

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 6 лет назад

    kufungiafungia kila ngoma ni kuuwa muziki wa bongo flaver maana wasanii wengi hutumia tafsida

  • @frenklionje5640
    @frenklionje5640 6 лет назад

    asante nay bonge la kibao ongera sana

  • @jacobfredy5677
    @jacobfredy5677 6 лет назад

    ha ha haaaaaa saw ney nyakyusa product.........

  • @maithamhassanmohamedmohame2484
    @maithamhassanmohamedmohame2484 6 лет назад

    Eti wimboo umefungiwa nashangaa mm wanasemaa hauko kwenye maadili vip jmaan naombaa mnaofahamu mtuelekezee

    • @stevenpeter2260
      @stevenpeter2260 6 лет назад

      Maitham hassan mohamed Mohamed
      Walioufungia ni malaya ndo maana wanamalizia maneno yao mabaya. Yaan wanashindwa kuweka mkungu wa ndizi wanaweka mkundu wa ndizi hata maana inakosekana.... 😂 😂 😂 😂 😂 😂

  • @mreallashy3525
    @mreallashy3525 6 лет назад

    Nmekuja kuona hicho kiuno nmeskia mtaa wa pili umetisha trueboy

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 5 лет назад

    Huyu jamaa anajituma sana,kama unakubali like it

  • @pooshekasheka1354
    @pooshekasheka1354 6 лет назад

    pamoja san mzee baba nakuelewa san ndugu

  • @dullygooners974
    @dullygooners974 6 лет назад

    Kiboko ya mabishow, Kula wao

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 лет назад +2

    Fireeeeeee.... hahaha I still haven't got enough of this video... true definition of creativity.
    Big up #TrueBoy

  • @Rama_Mwaguya-254.
    @Rama_Mwaguya-254. Год назад

    Aaaah weeeeh! Nay wanikosea bwana. Yani huu wimbo naugundua leo hii 30/10/2022 miaka minne ishapita? Hapana. Kazi safi. Mombasa🇰🇪

  • @josephmtemele8597
    @josephmtemele8597 6 лет назад

    kazi ya kawaida sanaaaaaaa

  • @hamisimapalala2379
    @hamisimapalala2379 6 лет назад

    nyimbo mbovu mbayaaaaaa

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah1571 6 лет назад

    Kumbe haki kufungiwa ndio! Kwanza naskiza leo km sio basata ningeona unaonewa Tu.

  • @Elmago966
    @Elmago966 6 лет назад +3

    Niko hapa napenda Sana ngoma Za ney

  • @frankphilimoni6255
    @frankphilimoni6255 6 лет назад

    nimekubali ngoma Mr nau

  • @esaulwing7057
    @esaulwing7057 6 лет назад +1

    Nakukubali Sana Kaka

  • @detectivehenry339
    @detectivehenry339 6 лет назад

    mbaba umetisha kwa nyimbo hizoo......

  • @afrednasson5664
    @afrednasson5664 6 лет назад

    Nakukubali sana kaka. Endelea kutukimbiza tupo nyuma yako kaka

  • @neemasimba9644
    @neemasimba9644 6 лет назад

    mtoto Mdogo unabonge la.......
    ...

  • @mosesamisi2208
    @mosesamisi2208 6 лет назад +1

    U kill it

  • @nellymollel4672
    @nellymollel4672 6 лет назад +1

    amazing like it
    classic track big up my artist nay free nation! 966

  • @muhandokilo620
    @muhandokilo620 6 лет назад

    wanafungia fungia nymbo hawajui azabu wanazopata wasanii

  • @fatmabare7693
    @fatmabare7693 4 года назад

    We ndo kamaandaaa

  • @jameskang1436
    @jameskang1436 6 лет назад

    kidogooooooo!!!!!!!!

  • @jayleizerofficial
    @jayleizerofficial 6 лет назад

    yooooooh boy..mr.true boy

  • @georgegozbert1100
    @georgegozbert1100 6 лет назад

    Salute mzee baba

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 6 лет назад

    Ney nakuelewa sanaaaa

  • @yazidu_tz
    @yazidu_tz 6 лет назад

    Aya sasa wadada mlio kunywa bia za watu mskimbie

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 6 лет назад +41

    Broo unajua hamna pingamiz Gonga like kama unakubaliana nami

  • @josephjuliussilayo4452
    @josephjuliussilayo4452 6 лет назад

    Alie muona diamond mikono juu

  • @gerrymasimba8985
    @gerrymasimba8985 6 лет назад

    Killing huu mzigo ni nyoko

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 лет назад +116

    TRUE BOY NAY WA MITEGO FRE NATION kiboko Chao gonga like chini kwa sapoti ya True boy naona ka fungua koki Sasa

  • @koja_26
    @koja_26 6 лет назад +3

    Voice of WaMiTeGo **Fire 🔥 🔥 **

  • @kamalamofelix707
    @kamalamofelix707 6 лет назад

    ayaa hatariiiii

  • @heribwana7846
    @heribwana7846 6 лет назад

    nakukubari Sana ney wamitego kiukweli

  • @pendondossy2158
    @pendondossy2158 4 года назад

    Hapo kwenye miuno jmn

  • @lionardo1168
    @lionardo1168 6 лет назад

    Nice song also we need makuzi song bac to RUclips