Tazama Chopa ilivyoshusha kombe la Yanga, ndani ya Dimba la Benjamin Mkapa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • #NBCPL: Hivi ndivyo chopa ilivyoshusha kombe la ubingwa wa 30 kwa Yanga, katikati ya Dimba la Benjamin Mkapa…..
    Je, umewahi kuiona wapi hii????
    Mechi nane (8) LIVE ndani ya kisimbuzi cha #AzamTV
    Yanga Vs Tabora United LIVE #AzamSports1HD
    Simba Vs KMC LIVE #AzamSports2HD
    Azam Vs Kagera Sugar LIVE #AzamSports3HD
    Singida Vs Geita Gold LIVE #SinemaZetu
    Namungo Vs TZ Prisons LIVE #ZB2
    Ihefu Vs Dodoma Jiji LIVE #AzamONE
    Mashujaa Vs Mtibwa Sugar LIVE #AzamTWO
    Coastal Union Vs JKT Tanzania LIVE #UTV
    #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam #MechiNaneLIVE #AzamTV
  • СпортСпорт

Комментарии • 55

  • @user-bl6rd4pq4k
    @user-bl6rd4pq4k 22 дня назад +16

    Wananchi Ilove your yanga hongera zenu wanajeshi, kamati ya ufundi, viongozi wetu wore na washabiki wenzangu tz na duniani kote naomba niwaone hapa kwa like nyingiiiiii

  • @JaneChristopher-ep1re
    @JaneChristopher-ep1re 22 дня назад +4

    Jamn nmechelewa lakin naskia raaaah nkiwa Iringa nahis npo dsm💛💚💛💚💛💛

  • @BennyJumah-hd8yf
    @BennyJumah-hd8yf 21 день назад +2

    Mniuweee tu hii timu yangu Mpaka mungu aseme bas

  • @kelvindatius4160
    @kelvindatius4160 22 дня назад +3

    Kombe lizungshwe nchi nzimaaa

  • @user-lm6wc8gw3z
    @user-lm6wc8gw3z 22 дня назад +2

    Yanga forever

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 22 дня назад +1

    Yangaaaaa forever 🎉🎉🎉🎉

  • @user-rp6ev9ux1o
    @user-rp6ev9ux1o 22 дня назад +2

    Wananchi ni motooo!!!

  • @tabithalimo2399
    @tabithalimo2399 22 дня назад

    Yanga 🎉🎉❤

  • @Josung08
    @Josung08 22 дня назад +1

    Kombe lizunguke nchi nzma

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 22 дня назад +2

    YANGAAAAAAAAAAAAAAA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEE YANGAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAÀAAAAAAAAAAAA

  • @allygunda3616
    @allygunda3616 21 день назад +2

    Kuna watu Wana umia sanaaaaaa😅😅😅😅😅

  • @piusmapunda5900
    @piusmapunda5900 22 дня назад +2

    Kwa Yanga hiiiii iii...........watapata taaaaaabuuuuuuuu sana mpaka wasemeeeeeee. Mtu akitaka nafuu basi ahamieeee Yanga kwa mkopo kushabikia Wananchi iii iii iii iii iii iii iii.

  • @GodwiniFwelo
    @GodwiniFwelo 18 дней назад

    Yanga the only is one in Tanzanian

  • @AlfredBulenya
    @AlfredBulenya 14 дней назад

    Asat

  • @DjstarBoy7-bb7cz
    @DjstarBoy7-bb7cz 22 дня назад

    💛💛💛💛

  • @EmmanuelKishiwa
    @EmmanuelKishiwa 22 дня назад +2

    Ipi siku ya Simba kufanya hivi Kwa UBINGWA yaani kudherehea UBINGWA namna hiii ???
    Acha ushamba wewe mdada mbona hufai kuitwa kolo jamaniiiii 😅😅😅

  • @user-hy3en6vk5f
    @user-hy3en6vk5f 22 дня назад

    Yanga ime advance sana

  • @dvjkelly8449
    @dvjkelly8449 22 дня назад +1

    HUYO DREVA ILICOFTA YUKO VIZURI SANA, ANAJUA KUIPIGISHA MISELE ILICOFTA VIBAYA SANA

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 21 день назад +1

    Sherehe wameorganize vizur mashabiki wamewaangusha ilipaswa UWANJA ujae hadi ufurike vibe la kwenda

    • @athumanmsuya2688
      @athumanmsuya2688 21 день назад +1

      Mimi ni yanga ila nikiri TU Simba wanatuzidi mashabiki,wao ni wengi sana

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 20 дней назад

      wananchi tumezingua sana kutokujaza uwanja 😢

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 22 дня назад

    Nikweli Sisi Tuliokosa Lakini Tutafanhanini Kama Mimi Nipo UAE Abu Dhabi United States Agalf

  • @OctavianJohn-og7wg
    @OctavianJohn-og7wg 22 дня назад

    Hii ni historia kwetu Wana yanga

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 22 дня назад

    Ila kelele za marefa msimu hakuna ngoja upepo ubadilike utasikia marefa hawafai

  • @user-vx2us7gg2c
    @user-vx2us7gg2c 21 день назад +1

    Uwanjani watu wawili

  • @blackmouthtv4613
    @blackmouthtv4613 22 дня назад +1

    Wakwanza Mimi leteni mauwa yangu

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 21 день назад

    Jaman wengi kazi mwisho saa 12 ukitoka njiani foleni tuwieni radhi nani mwanachama na shabiki tuamue tu kutokwenda?

  • @timcee2670
    @timcee2670 22 дня назад

    Ilibidi kombe lishishushe na kuna Ally kamwe kuwe na vibe, hakuna cha jabu hapo

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 22 дня назад +1

    Uwanja pia hawakujaza ovyosana

  • @MusaHalima-hl8yh
    @MusaHalima-hl8yh 22 дня назад

    0

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 22 дня назад +1

    Wananchi hatuna jambo dogo.

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 22 дня назад +6

    Kwani wananchi wako Dar peke yake? Kwanini usifanyike utaratibu wa kulizunguusha kombe nchi nzima?

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 22 дня назад

    Mnamchokoza simba mtakuja kulia

  • @Selemani-ny5qq
    @Selemani-ny5qq 22 дня назад

    Makolo kula chuma hicho

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 21 день назад +1

    Uwanja mtupuuuuuuu

  • @sharifushabani3906
    @sharifushabani3906 22 дня назад

    Hahaha wanaiga iyo ilifanyika simba day

  • @user-wl8fg8ne1f
    @user-wl8fg8ne1f 22 дня назад

    Simba msimu ujao ni zamu yetu

  • @moshiiddy643
    @moshiiddy643 22 дня назад +1

    Sema Azam mna-ukike sana.....Yanga mko nae ktk mkataba lkn why matukio ya Yanga haswaa hili la leo hamkutaka kulirusha????
    Mbali na hili matukio kibaaao ya Yanga hamko nayo makini

  • @ashaaudi2021
    @ashaaudi2021 22 дня назад

    Ilo kombe wala halihamasishii

    • @Mgema001
      @Mgema001 22 дня назад +1

      Bado haujasema

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 22 дня назад

      Linahamasisha la shirikisho😂😂😂😂😂

    • @emmanuelpaul5704
      @emmanuelpaul5704 22 дня назад

      Nafasi ya pili imekushinda je ungepata kombe si ungezimia😅

  • @user-zw4hy3bn1z
    @user-zw4hy3bn1z 14 дней назад

    mbona sisi tunao tumia kompyuta atuoni mpira tunasikiliza kamaredio Yanga ni ☠☠💀💀💀

  • @Seifan_tiktok
    @Seifan_tiktok 22 дня назад +1

    Hio sio chopa ni helikopta nyie vp acheni ushamba bas😂

  • @AthumanMiraj
    @AthumanMiraj 22 дня назад +2

    Dah furah kwawenzet tabu kwetu but yatapit😢

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 22 дня назад

    Ila yanga wanajua kuiga kwan cmba pia c walifanya cmba day manara na diomond walishuka kwa helcopter xaxa happy cha ajabu ni nn waache ushamba