UZINDUZI KITABU CHA YANGA | Mwana FA ataja sababu za kuvutiwa na Yanga, asema yeye Coastal Union
HTML-код
- Опубликовано: 26 сен 2024
- Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma anaeleza sababu za kushiriki shughuli za Yanga, aipongeza kwa mafanikio na kufanya kwa vitendo mambo wanayokusudia kuyafanya, ampa maua yake Rais wa TFF, Wallace Karia.
Ni katika uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Yanga LIVE kutoka Hyatt Hotel, Dar es Salaam.
#YangaSC #UzinduziKitabuYanga #Kitabu #KitabuChaHistoriaYanga
Huyu kijana huwa nampenda sana akiongea nimtulivu nimwerevu na anajitambua sana namuazii mungu amlinde
Mungu Akutangulie Mwana Fa.💛💛💛💚💚💚💚👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏
Asante kaka najuwa mzuri sana
Allaah Akbar
Mwana FA ni mtu na nusu ni kiongozi bora na wa mfano pongezi kwa mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliona hili kabla ya sisi wengi...!!!
Big up Brother🎉🎉🎉🎉
Yaani yanga inanipa Raha saaaaana i❤ you yanga
Hiyo Ndo yanga
Hongeleni wananchi
Asante sana
❤ME WA KWANZA LEO 😅 NIPENI LIKE,👍