MKUU wa MKOA MWANZA - MTANDA YAMFIKA KOONI -AAMUA KUYATEMA -AFUNGUKA KUIVAMIA SIMBA -ATOA TAMKO HILI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 75

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 часов назад +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 7 часов назад +5

    Shughulika na masuala ya uchaguzi mambo ya mpira tuachie usichomekee visiasa vyenu kwenye starehe yetu.

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 6 часов назад +3

    Mzee usicheze na Simba chezea vingine hao watu huko vyumbani walikuwa wanafanya nin kama syo kutaka kurekodi mazoezi ya Simba..

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 5 часов назад +1

    Huyo mheshimiwa ni kati ya wakuu wa mikoa bora kabisa tulionao Tanzania. Amenyooka sana.

  • @evanckanyika5812
    @evanckanyika5812 7 часов назад +3

    Kwahiyo wakifubgiwa mlango ndo mkuu wa mkoa uje mwenyewe haipendezi mkuu kuongea uongo😢

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 часов назад +4

    Kwanini akupigie mkuu kwan ww polisi

  • @tobosha3236
    @tobosha3236 7 часов назад +9

    Mtu mzima kuwa muongo haipendezi kwaiyo unamanisha jeshi la police halina uweledi shame on you

    • @willenmtafungwa1920
      @willenmtafungwa1920 5 часов назад +1

      Point yake ni kwamba angewaagiza polisi wangetumia nguvu kubwa sana. Alienda ili ishu itatuliwe kwa amani

    • @tobosha3236
      @tobosha3236 4 часа назад

      @willenmtafungwa1920 hana point yyte nikujitetea tu ivi wewe kwako kutokee jambo lauvunjwaji sheria utapiga simu police ama kwa mkuu wa mkoa

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 4 часа назад

      Hebu twambie ukweli wewe! Si ulikua hapo wewe? Muone?

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 4 часа назад

      ​@@tobosha3236unajielewa kweli wewe

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 5 часов назад +1

    Mama samia huyu jamaa Hana sifa za uongozi,kiongozi ni kioo cha jamii sasa mtu ambae anaonekana ameuvaa ujana na kutaka kujikweza kutokana na cheo alichonacho,kila kitu ulichokifanya kipo wazi kimeonekana na kila mtu na waandishi wa habari ushahidi wanao

  • @denisosward7464
    @denisosward7464 5 часов назад +1

    Na ww umejitakia ulienda kufanya nini? Mkuu wa maniapaa alikuwa wapi?

  • @ManenoEmma
    @ManenoEmma 6 часов назад +2

    Uongo hao vijana walikua wanatafuta nini

  • @AmosMagesa
    @AmosMagesa 6 часов назад +1

    Duuh kaka RC uliaminika Sana kwa Sasa hamna kitu Ni aibu katika mkoa wako Mambo aya

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 7 часов назад +2

    Uwo uwongo umejichanganya mzee

  • @deodizo3093
    @deodizo3093 6 часов назад +1

    Kwamba Kwa bahat mbaya Timu ya simba imeingia hapa.... Timu ilikujaje bahat mbaya

  • @HaniffaOmary-v5r
    @HaniffaOmary-v5r 4 часа назад

    Sisi hatutaki kujua tunachotaka simba ishinde basi 😂😂😂 lasivyo tunawewe

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 4 часа назад

    Nawewe sasa maswala ya mipira usijihusishe utavunjiwa heshima sana mzee kaapembeni hiki nikizazi cha nyoka

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 7 часов назад

    Hiii timu linaendeshwa kihuni sana ndio maana nawapenda sana viongozi wa yanga ni very smart, brilliant, intelligent and very cool sasa mkuu wa mkoa ni kiongozi wa usalama wa mkoa lazima ahakikishe mkoa unakuwa salama yani nyie mnaanzisha vurugu uwanjani wenyewe na kuvunja viooo vya ofisi za mamenager wa uwanja na milango alafu mlitaka mkuu wa mkoa asije alafu mnaficha ujinga wenu kwa kutumia kivuli kuwa eti mkuu wa mkoa amekuja kwasababu ni shabiki wa yanga acheni izo nyie, naona mwaka huu mnautaka ubingwa kwa kufosi chezeni mpira acheni mbeleko kama ni ubingwa mtaupata endapo mnakikosi kizuri na mipango mizuri sio kwa kufosi ivyo ivi nyie mnazani msinge anzishavurugu wenyewe huyo mkuu wa mkoa angekuja hapo uwanjani?? Yani madunduka ni madunduka tu😆.....
    Walensi karia ni mwanachama na mshabiki wa simba lakini anaziongoza simba na yanga zote sasa nyie makolo mnachashangaa nini mkuu wa mkoa kuwa shabiki wa yanga au mlitaka awe shabiki wa simba🤣🙌.....
    Mkuu hata usitumie nguvu nyingi haya mazwazwa msimu huu yanautaka ubingwa kwa nguvu hayajui kwamba ubora na mipango ya timu ndio waga inaamua nani awe bingwa wa nchi

    • @SULEIMAN-l8v
      @SULEIMAN-l8v 6 часов назад

      ndomana wanadaiwa na kina Okra kwa ueledi wao sio

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 6 часов назад

      Jinga utaliona maelezo mengi

    • @pacomezouzoua9175
      @pacomezouzoua9175 6 часов назад

      Cheki haya majinga majinga mnazani ubingwa mtaupata kwa kufosi😆😆😆

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 6 часов назад

      Akili huna Utopolo acha ujinga

    • @joshuahamis2738
      @joshuahamis2738 6 часов назад

      We ni pimbi tu sawa na wengine wa porini​@@pacomezouzoua9175

  • @JumaSaid-t1s
    @JumaSaid-t1s 5 часов назад

    kwenda mungo

  • @yoelsbutati2871
    @yoelsbutati2871 6 часов назад +2

    Acha kuweka matabaka mzee

  • @MombokaMomboka
    @MombokaMomboka 3 часа назад

    Wewe hufaikua mkuu wamkoa. Achakujitetea

  • @SimonAmon-dr8xw
    @SimonAmon-dr8xw 5 часов назад

    Tuonyeshe ushahidi na sisi tukuonyeshe

  • @AllySalumu-x7k
    @AllySalumu-x7k 5 часов назад

    Hata kama yanga timu ya ccm basi musiiujumu simba maana simba aina chama chochote

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 5 часов назад

    Habari mbona ipo nusu nusu kama matahira

  • @AllySalumu-x7k
    @AllySalumu-x7k 5 часов назад

    Ww ni polisi hiyo kazi ya polisi mheshimiwa basi ww uwe mkuu wa mkoa na uwe polisi pia

  • @kyambarungwe6960
    @kyambarungwe6960 2 часа назад

    Tunataka kauli ya serikali wahuni huni kwenye uongozi atuutaki simba ni kubwa sana raisi tunataka kusikia kauli yako tutolee huyu atufai

  • @boniventuresingino7405
    @boniventuresingino7405 6 часов назад

    Hao viongoz walikuwa wanafanya nn huko chumban?

  • @iddykivu050
    @iddykivu050 5 часов назад

    Huyu kilaza ni Muongo Sana

  • @aboubakarymasalanga1887
    @aboubakarymasalanga1887 6 часов назад

    Yani simba ikifungwa kwa hujuma zako kazi huna icho tuuu kaaa omba simba ishinde icho tuuh

  • @denisosward7464
    @denisosward7464 5 часов назад

    Polisi walikuwa wapi?

  • @denisosward7464
    @denisosward7464 5 часов назад

    Unamaanisha polisi hawana weledi wa kutimiza majukumu Yao.

  • @AbdallahSaidy-u9b
    @AbdallahSaidy-u9b 6 часов назад +1

    sio kweli mzee majukumu yamekulevya

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 6 часов назад +1

    MZEE UMEELEWEKA ILA TTZO NYINYI VIONGOZI HAMTAKIWI KUONESHA UTASHI WENU WA TIMU MNAZOSHABIKIA WAZWAZ SBB NYIE NI WAWOTE

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 6 часов назад

    Huyu sio mkweli kashaogopa

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 6 часов назад

    Mama huyu mtu hafai kabisa kiuongozi

  • @MarygetrudeKyauke
    @MarygetrudeKyauke 5 часов назад

    Ww linda amani ya mkoa , achana na mpira , ww inatumika na timu ya yanga.

  • @RashidRamadhanmkunda
    @RashidRamadhanmkunda 6 часов назад

    Kwani hapo wilayani hakuna mkuu wa wilaya mpaka uende wewe Mkuu wa Mkoa?

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 4 часа назад

    Uongo uliokithirii

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 4 часа назад

    NIMESOMA COMMENT ZA WANA SIMBA YAANI NI KWELI MUTAFUNGWA HII YOTE NI KUTAKA KUJITETEA NDIO MUMEANZA VIJWAZO

  • @JumaSaid-t1s
    @JumaSaid-t1s 5 часов назад

    muongouyo kaonesha waziku kuayeyeni yanga kwaku2miamadalakayake akome mpira sio siasa

  • @godlovenkya1972
    @godlovenkya1972 7 часов назад +1

    Wewe ulijuaje kuwa ukiwaagiza polisi wataenda kufanya kazi bila weledi? Mbona hilo ni tukio dogo sana kwa Mkuu wa Mkoa kuingilia kati? Dah! My Country...... INA MAANA POLISI HAWATEKELEZI MAJUKUMU YAO KWA WELEDI NI MPAKA WEWE UWEPO?

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 7 часов назад

      We hujui polisi mda wote huwa wanatumia nguvu hasa wakiwa na wameagizwa

    • @shaelshael2191
      @shaelshael2191 6 часов назад

      ​@@robertzamani5612 mhh

  • @AbdallahSaidy-u9b
    @AbdallahSaidy-u9b 6 часов назад

    Wapo wapi walalamika wacha uongo

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 7 часов назад

    Mnafiki Mzee ww watu watakutenga kujionyeaha ww upande gani

  • @wahidabakar
    @wahidabakar 7 часов назад

    na kwanini uambiwe wewe hao watu wasitoe taarifa polisi

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 5 часов назад

    HÙEĹEWEKI KULIKUWA NA. NIA ÒVU KŴANINI POLICE HÀŴAWÈZI ĶÙFANŸA ĶAZÌ MPAKA ÙWÈPO?

  • @kiluiWanguvu
    @kiluiWanguvu 7 часов назад

    hawa simba wanamamlaka gani mpaka mkuu wetu wa mkoa atoke officen aache kazi za muhim aje kwa ajili ya wapuuzi wenu kazi za kufanya mtoke DSM mpaka mwanza kwa ajili ya mpira kweli wenda wazimu unanjia nyingi eti commando niuzembe na kuendekeza ushirikina

    • @shaelshael2191
      @shaelshael2191 6 часов назад

      Sasa happ asiye na akili nani, kati yake na simba??? Tangu lini mkuu wa mkoa aende mwenyew afuatilie kesi ndogo kama hyo.

  • @khadijayusuph5815
    @khadijayusuph5815 7 часов назад

    Kwani hakuna polisi mpaka wewe

  • @sospeterkisenha3546
    @sospeterkisenha3546 6 часов назад

    Makolo acheni kelele , mpaka mkuu wa mkoa mpumbavu kweli , heshima Iko wapi . Na mnaamlisha aondolewe madarakani mmesoma shule Gani? Acheni ushikina wenu wachawi wakubwa mpaka mlienda kuloga Africa kusini. Hamkujua kule Kuna Masangoma ? Kweli nyie ni makolokolo pure

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 7 часов назад

    Acha uongo mtumzima haifai kuongeya uongo acha ujinga wako pumbavu nn

  • @Shafiingaeka
    @Shafiingaeka 6 часов назад

    Viongoz wa simba hawan akili

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 7 часов назад

    Wewe acha uongo hata wewe mmoja wao umelete hamasa ya fujo

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 4 часа назад

    Halina hata aibu unajitetea hapa ili iweje? Wew subiri panga likupitie hufai kabisa, hao makomando wa Simba wameanza kuwavamia vijana wa Pamba bila kosa lolote? Unatuona majinga? Ko unasubiri wao ndo wamerikodi Simba hakuna alieridoki videos? Ukiwa pia uwanjani subiri sasa

  • @yoelsbutati2871
    @yoelsbutati2871 6 часов назад

    Hufai kua kiongozi wewe

  • @wahidabakar
    @wahidabakar 7 часов назад

    mzee unajitetea tu wewe

  • @khadijayusuph5815
    @khadijayusuph5815 7 часов назад

    Tumesjakujua wewe ni nani

  • @iddykwangaya2794
    @iddykwangaya2794 3 часа назад

    Pointless

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt 8 часов назад

    Hahaha

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 7 часов назад

    MUONGO

  • @boniventuresingino7405
    @boniventuresingino7405 6 часов назад

    Ll

  • @ThomasGersonn
    @ThomasGersonn 8 часов назад

    Ll