@AbdulMohammed-x2g mpira umeundwa na dhuruma , umpige mtu changa ili upite, so simba waliweza kumlaghai refa akapiga filimbi .Simba hajabebwa bali refa alidanganywa
Shomari Kapombe alikuwa mtu wa mwisho dat ya 46, na akacheza mwili wa mtu na akaachwa wakati ile ni straigh red card kama ilivyompata Bacca. Sema, mpir wetu una mazingaombwe kibao kwa waamuzi wetu mpaka nnashangaa hivyo vyeti vyao wanavitoa wapi maskini.
kama wewe mchambuzi kweli mbona ukishindwa kuchambua goli napeti dhidi yayanga na simba mliona sawa tu kiyoko alivyowabeba Leo ndiyo unajua kuchambua mpila wamwenzioooo
Hatumtaki kayoko hatumtaki R jiga tunahama ligi lkn leo wameshinda Kwa kubebwa kimyaa! ingekuwa ndo yanga kashinda hv ungesikia hzo kelele kwenye vimidia oooh kayoko oooh R jiga mara GSM kadhamini timu nyingi
@@EliaMkumbo-wn7bmGoalkeeper analindwa na sheria ,hatakiwi kuguswa wala kuzibwa kwenye eneo lake, Mpira unapofika eneo lake kisha yeye akawa wa kwanza kuucheza , akiguswa au kuzuiwa refari atamlinda kwa kupuliza faulo , Pia katika penalty iliyopatikana ,beki wa pamba pia alistahili Straight RED CARD kwamaana kacheza faulo 2 mfululizo na akiwa ni beki wa mwisho , lakini refa katumia busara zake TUWEKE UNAZI PEMBENI TUWE TUNAFUATILIA HATA KANUNI ZA MPIRA ILI TUEPUKANE NA LAWAMA KAMA HIZI,
Simba tubadilike Jaman. kufunga tunafunga Kwa shida hii sio Timu ya kufunga goli Moja Tena Kwa Penat Jaribuni kushut hata mkiwa mbali mbona wengi wanaweza Yani kupiga mpira Hadi muwe karibu na goli Tunataka tuone On target na Off Target Ziwe nyingi piga mpira mapema hata ukiwa mbali
Mpira unafanya watu wanakua waongo sana Yaani ipo wazi mchezaj wa pamba alimwekea kipa wa Simba mgongo ili aanguke ndipo ikawa faulu ila kwakua tuna mambo yetu yale, tunajaribu kulalamikia mambo yasiyo na msingi
@@kelvinwilfred-p2e rudia tena utaona kipa alkutana na mchezaji wa Simba na sio wa Pamba refa hakuwa na sababu ya kupuliza labda ingekuwa collision ya wachezaji wa tm 2 tofauti
Acheni upumbavu Kuna kanuni za kuluhusu gori wakati kipa kapata shida kwenye pox unazani Shelia ya kumlinda kipa eneo lake ni ipi tuzungumze mpila so ushabiki mandazi
Hakuna timu inayobakia kwenye ubora wake miaka yote,kuna kupanda na kushuka,Umeiona Wydad Casablanca ya Morocco ilivyoshuka msimu huu hawapo Caf champion wala Caf Confederation na bado msimu huu ligi kuu ya kwao wanapigania kurudi katika ubora wao,Kama mshabiki wa kweli wewe utakiwi kukata tamaa,ipende timu yako isapoti timu katika hali zote zipitiazo
Hawa marefa wa bongo sijui sheria za mpira wamesomea wapi? Beki kamvuta mtu anaeenda kufunga tena ni beki wa mwisho refa unapuliza filimbi kuashiria ni faulo halafu unashindwa kutoa kadi NYEKUNDU? Ingekuwa beki wa Pamba ndo kafanya hvyo ungeskia kadi NYEKUNDU ni ya halali!! Refa aliliona tukio vizuri na alitafsiri VYEMA!! Soka letu kivyetu vyetu!!
Mimi ni Yanga , nakili Simba haijabebwa maana refa alipuliza filimbi kabla ya mpira kupigwa golini
una zaidi ya akili yaani. Utafika mbali
Walikuwa wenyew na waligongana wenyew ukwer walibebwa
@AbdulMohammed-x2g mpira umeundwa na dhuruma , umpige mtu changa ili upite, so simba waliweza kumlaghai refa akapiga filimbi .Simba hajabebwa bali refa alidanganywa
@@MichaelMbamba-w9g angalia mech zot za simba lazima kuwe na mbelek tukitaka mpira wet ufike mbal kweny ukwer tuwek ukwer na kweny malala mik wa2 walala mike
Mkuu wa mkoa ilo goli ni zawadi Yako na kwa heshima Yako tumefunga Moja tu kwa heshima Yako muheshimiwa 🙏
Amna uwezo bila mbeleko ya muamuzi ila ipo siku mtajua hamjui mbwa nyie
Kwan nyie mmebebwa mechi ngapi mbna hatuongei??wafungwe pamba muumie nyiee@@msafirigilla5157
Jiwe moja tu limepiga watu watatu..Pamba, Mkuu wa mkoa pamoja na Utopolo
Ubaya ubwela ❤❤❤
Marefa wa Tanzania ni wa hovyo kweli ,goli la Pamba lilikataliwa kwa sababu gani? Nauliza swali nikiwa kenya
Shomari Kapombe alikuwa mtu wa mwisho dat ya 46, na akacheza mwili wa mtu na akaachwa wakati ile ni straigh red card kama ilivyompata Bacca.
Sema, mpir wetu una mazingaombwe kibao kwa waamuzi wetu mpaka nnashangaa hivyo vyeti vyao wanavitoa wapi maskini.
...namsalimia sana MKUU WA MKOA
🤣🤣🤣🤣🤣
Ila marefa mnatuharibia ligi maana ap0 walikuwa wenyewe kwa wenyew tena unt0a foul ielekezwe pamba mh
Simba nguvu moja chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
mchezaji wa pamba hakuwa nakosa lolote zidi yakamara kwani waligongana wao kwa wao hivo lilikuwa goli halali
kama wewe mchambuzi kweli mbona ukishindwa kuchambua goli napeti dhidi yayanga na simba mliona sawa tu kiyoko alivyowabeba Leo ndiyo unajua kuchambua mpila wamwenzioooo
ndoo mjue kua ikiwa sisi msilalamike pamba leo kanyimwa goli halali
We kiazi refa alishapuliza filimbi mapema sanah kabla jamaa hajascore
Leo tuseme tu ukweli simba wamebebwa mpira ulikwa sale
@@MonicaJohn-h7jbdo ujasema
Hatumtaki kayoko hatumtaki R jiga tunahama ligi lkn leo wameshinda Kwa kubebwa kimyaa! ingekuwa ndo yanga kashinda hv ungesikia hzo kelele kwenye vimidia oooh kayoko oooh R jiga mara GSM kadhamini timu nyingi
Asante MUNGU tumepata ushindi Simba nguvu moja 🙏🙏🙏
Atebaaaaaaaa mtangazaji nimekupenda buree ulinyoitamka hiyooo
Wamebebwa hadharani kabsa na aibu hawana duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
Kijana tafuta pesa mamipira yatakuuwa
Penalty ni halali, lakini pamba wamenyimwa goli halali, haikuwa faulo
Ateba. Ateba. Ateba nakuita mara 3 unashitakiwa. Kwa kosa la kutoboa nyavu mahakama inakuhusu
Eti ateba ni kama Christiano 😂😂😂 Christiano maviiiiiii😂😂😂😂😂😂
Pamba tumenyimwa goli daah
Huyu cammara bonge la kipa
Sijawahi kuona, wachezaji wanegongana wao kwa wao eti unakataa goli? Uchezeshaji wa hovyo
Kaangalie fainal ya inta Milan na ac Milan utaelewa panya weweee
@@SupaJr-j1o😂😂😂😂😂
❤simba 🦁💪🔥
Nakukubali sana kipa wetu manula hujawahikutuangusha simba❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ubaya ubwela , upwilu ubaya 🚩💞
Ushind hafifu San intakiwa tukaze
Sana na tena san
Muhimu ilikuwa point 3 ama ujui tuna mechi ya kimataifa
Wolai tena bao la pamba Jiji jamani marefa 😂
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🦁🏆🏆💪💪💪💪🙏🙏🙏
❤❤❤
Ubaya ubwela
Kikubwa point 3 wanaokerwa mkafute msimamo wa ligi .😂😂😂
Simbasc #Nguvu moja
We mbona unaongopa like sio gori we ujaisikia filimbi ya lefali
Goli la pamba lilikua halali
Enhee ikawaje likawa sio Halali tena kaka
Sema kaucheza mpira ikiwa refa kashapuliza kipyenga Yaani kafunga goli refa tayali kashapuliza kipyenga
Sasa refa alipuliza kipyenga Kwa faulo gani ni nani aliyefanya faulo semeni tu ukweli refa kapewa bahasha huyo maamuzi ya kijinga kabisa kapombe katoa mpira yey lkn refa anaelekeza pamba daaa mpira bongo
@@EliaMkumbo-wn7bmGoalkeeper analindwa na sheria ,hatakiwi kuguswa wala kuzibwa kwenye eneo lake,
Mpira unapofika eneo lake kisha yeye akawa wa kwanza kuucheza , akiguswa au kuzuiwa refari atamlinda kwa kupuliza faulo ,
Pia katika penalty iliyopatikana ,beki wa pamba pia alistahili Straight RED CARD kwamaana kacheza faulo 2 mfululizo na akiwa ni beki wa mwisho , lakini refa katumia busara zake
TUWEKE UNAZI PEMBENI TUWE TUNAFUATILIA HATA KANUNI ZA MPIRA ILI TUEPUKANE NA LAWAMA KAMA HIZI,
Azam waongeze dakika za highlights dk 7 chache sana
Yanga awajachez ila tumewazid na point moja acha kujiondoa ufaham wew😮😮😮😮😮
Fine
Aya tuone na uyu refa atapewa adhabu gani ngoma ilikua sare wamenyimwa golo pamba mchana kweupe
Unateseka ukiwa wap kwan huon kipa alivusukumwa dah wabongo tutaishia makund tu kwa stail hii
Hiyo ndio maana ya ubaya ubwela
🦁🦁
Simba tubadilike Jaman. kufunga tunafunga Kwa shida hii sio Timu ya kufunga goli Moja Tena Kwa Penat Jaribuni kushut hata mkiwa mbali mbona wengi wanaweza Yani kupiga mpira Hadi muwe karibu na goli Tunataka tuone On target na Off Target Ziwe nyingi piga mpira mapema hata ukiwa mbali
Game ijayo itakubidi ucheze ili ufunge bao la ontarget
@@RahmaRodrick-ic2fv😂😂😂
Charles anataka kila penalti acheze yeye😂
Goal limefungwa baada ya filimbi kupigwa,unaiuzaje kama goal lingefungwa kama filimbi isingepigwa.
🦁
Mkuu wa mkoa yule kilo 800 alijichanganya hii ndo simba Sc
Ndiyo maana sipendi Mpira wa bongo
Mshambuliaji wa kufunga penati tu😂😂
Inakuuma eti
Wa kwenu wanayo mangapi ata ya mkono
Si tu ya mkono hata ya penati wanakosa 😂😂😂😂😂😂
Mbona kunashogayako alieibiwa Simu juzi mbona alikosa Penart na tabora
Camara 🥶🔥🔥
Ubaya ubwela moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤
Mpira unafanya watu wanakua waongo sana
Yaani ipo wazi mchezaj wa pamba alimwekea kipa wa Simba mgongo ili aanguke ndipo ikawa faulu ila kwakua tuna mambo yetu yale, tunajaribu kulalamikia mambo yasiyo na msingi
Itakuwa Pamba walibaa rangi Nyekundu dak ya 76. Wachezaji wawili wa Simba ndio waliogongana na kipa wao.
Alhmdhulillah
❤
5:11 Refa alipuliza filimbi kabla ya goli so hakujua kuna goli linakuja ili alikatae. Watu tupunguze ushabiki wa chuki.
Yaani mpeane faulo nyie wenyewe kisha ipigwe filimbi huu ni umama kabisa
Alipuliza kwa kigezo kipi?
jamani kipa anacheza kwa mikono ila analindwa sana akiwa ndani ya eneo lake so nisawa aliugusa mpira wao wakamsukuma
@@kelvinwilfred-p2e rudia tena utaona kipa alkutana na mchezaji wa Simba na sio wa Pamba refa hakuwa na sababu ya kupuliza labda ingekuwa collision ya wachezaji wa tm 2 tofauti
@@msafirigilla5157 VAR haitumiki bongo Kwa hiyo kibinadamu labda hakuona ni nani haswa aliyefanya foul ila aliona keeper kabugudhiwa
ushindi wa mbeleko
Wew ndi0 mbeleko😂
Makoroboi mbeleko fc
Mbeleko yanyokooo
Mbeleko ya nyoko
Huna akili penalty halal kabisa ito
Pamba wamekataliwa goli la halali kabisa
Ila kipyenga kilipigwa kabla gol kuingia
Kipyenga kilishalia kabla hata ya kupigwa kwa ule Moira
Simba❤❤
Mwendoa wa kuwaweka2
Ss ateba nd achane net😂lijamaa Lina nguvu😂😂
San huyu jama namkubl af pia anakuja San kuficha mpira
Nyavu mbovu zile wewe, zimeshonwa shonwa kama za wavuvi, halaqfu we unasifia 😂
@@uhurusamora860 mbovu gan jamaa kampapatua sana pale kw ukooo nd kaanguk mwamba yule mtu na nusu
Pamba jiji wa dar wamenuna
Nawashinyanga wamenina
Hongera MNYAMA umenifanyo nipono malario 😂
mamae refa kama huyu
ateba kachana nyavu
Wakwanzaaa hap
Wakwanza unaanzaje chini
Ubaya ubwera🎉
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ngada sc, mbeleko fc, kolo_dani, mishangazii sc.... Bila kubebwa yangekuwa nafasi ya 9 💃🥒
Mama yako ndio mbebaji
Bado haujatombwa na utatombwa sanaaa😂
Katobwa na kak akoo saw nimekujibu ata kma ujanijibu mim kenge www
😅😅😅😅😅
Mama huyu mkuu wa mkoa wa Mwanzaa tuendeleee nae au?
Mtumbue wewe uliyemteua kuwa RC uteue kolo mwenzako awe RCwa MZA
Tumtoe hafai ana sifa sana
kubebwa kwing mamae
🎉🎉🎉
Tumefunga tim 4 wazee wa bahasha mkuu wa mkoa, pamba GSM wadhamin wao na utopolo
Pinipini CAMARA 🎉
Simba raha jamani
😮😮😮😮
Pumbavu zako mla rusha lefa hilo ni goli halali muache usenge nyie njaa lefa njaa zitawauwa
Hujui mpila mshamba wee
Goli la pamba halali kabisa lkn bahasha imetumika
Huuu ni usenge wa refa kukataaa goli la pamba kwa vigezo vip
Huyo mchezaji wa Pamba we unaona aliruka juu au aliwategea wenzie mgongo 😂😂😂?
@TM.Sullusi kaaangalie vizuri yule mchezaji wa pamba kasukumwa na mikono ya kamara ndio kuanguka chini wala sio yeye kuinama
Ingekuwa mechi hii ilivyoamuliwa na refa ni mechi ya YANGA tungesikia mengi
unaumia kutokea pande zipi mwenzangu???
Cry more..😂😂
Penalty halali
Hatumtakii kayoko. Hatumtakii kayoko. Hatumtaki kayoko.£££££
Ht mm nimekpnd❤
Sasa Ile Penati yetu walikumbia Mwaka 1999 ndo tumeipiga Leo
Acheni upumbavu Kuna kanuni za kuluhusu gori wakati kipa kapata shida kwenye pox unazani Shelia ya kumlinda kipa eneo lake ni ipi tuzungumze mpila so ushabiki mandazi
Aliesababisha ni beki wake
UBAYA UBWELA 🦁🦁
Watasema Simba wamebebwa
Wamebebwa wapi faulo ya wazi kabsa labda wao ndo wabebwaji wakubwa
Ubaya ubwela point 3 tushapata
Apo ilibidkad nyekund
Kwa kosa gani??
❤❤❤
@@MrTop-wj7no Kwan yule mchezaj wa yang alifany kos gan
Hata mm nimeshangaaaa sana
Alistahili kadi nyekundu
Iyo ndo simba
Mkuu WA mkoa usikose kuwapa wachezaji ahadi yako ya shilingi milioni 50 ulizowaahidi na usipotoa utapata zambi
Jaman wana Simba Msijali Kapigwa mtoto wa mtu mdhamin Ana timu 6 kwenye ligi moja jaman 😂😂😂😂😂😂 UBAYA UBWELA kwa herufi kubwaaaaa
Tumezifunga timu mbele na chura akihusika hahaa
Siku zinahesabika kuongoza ligi kwa mchezo huu wa makolo mbovu kuna vichomi vyao vitawatuliza
Sema hivyo bila kulia..😂😂
IPO SIKU TUTAACHANA NA HUU MPIRA NA KURUDI KWENYE SIASA.......NA TUNAENDA KUPOROMOKA KISOKA HIVI PUNDE......
Kwenye siasa kuna kuibiwa kura hadi yakwako inaibiwa unapata kura 0
Hakuna timu inayobakia kwenye ubora wake miaka yote,kuna kupanda na kushuka,Umeiona Wydad Casablanca ya Morocco ilivyoshuka msimu huu hawapo Caf champion wala Caf Confederation na bado msimu huu ligi kuu ya kwao wanapigania kurudi katika ubora wao,Kama mshabiki wa kweli wewe utakiwi kukata tamaa,ipende timu yako isapoti timu katika hali zote zipitiazo
Sasa hivi ukikuta GSM ni ubaya Ubwela tu ni kuFyekelea mbaliiiii
Hawa marefa wa bongo sijui sheria za mpira wamesomea wapi? Beki kamvuta mtu anaeenda kufunga tena ni beki wa mwisho refa unapuliza filimbi kuashiria ni faulo halafu unashindwa kutoa kadi NYEKUNDU? Ingekuwa beki wa Pamba ndo kafanya hvyo ungeskia kadi NYEKUNDU ni ya halali!! Refa aliliona tukio vizuri na alitafsiri VYEMA!! Soka letu kivyetu vyetu!!
Ungetoa wewe 😂😂😂😂😂
walikuwa mstari sawa na beki mwingine wa Simba hakuwa wa mwisho
Haka kajamaa kana utopolo ndani yake 😂😂
Naona katafsiri kwamba ni ndani ya box atoe adhabu moja kubwa bila kufikiri mpigaji anaweza kukasa pia
@@fredypaul6714 Achana na ushabiki tuongee kitu reality
Refa kachukue mizigo yako kazi tumeiona,au ushaingiziwa kwenye account???
Ubaya ubwela 😂😂😂😂
Kunyimwa ndo vzr
Hii ndiyo simba
Ukiona Simba anaongoza League jua Yanga hajacheza😂😂😂
Mwambie achezeeeee😂😂😂😂😂
Ukiona yanga anaongoza ligi ujue Simba ajacheza.@@frankshirima4029
Penati halali kbs
Kuna watu hawajui mpira ni mihemko tu
😂😂
Ubaya ubwela point 3 muhimu
Ubaya ubwela kama wote 😂😂😂