GB 64: TUMEMSAJILI KARIM KIMVUID STREKA MPYA SIMBA SC

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии •

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 16 часов назад +1

    Nakukubali sana mtu wangu🙏❤️💪

  • @MartinKaimaima
    @MartinKaimaima 5 часов назад

    Nakubali brother

  • @YohanaPeter-x2m
    @YohanaPeter-x2m 7 часов назад

    Kwel kabisa kaka🎉

  • @SaidAlawi-m6x
    @SaidAlawi-m6x 5 часов назад

    Hamna kaka gb 64 msamehe mzee said kakisea usimwambie kitu cc sote ni Simba. Simba nguvu Moja kuteleza kuko kateleza mzee wetu

  • @amanimohamedi-y1g
    @amanimohamedi-y1g 4 часа назад

    Somtym fungukeni ya kweli acheni fitina tu

  • @AbduliLutengele
    @AbduliLutengele 3 часа назад

    Pamia sana kaka

  • @mpinabaharia2247
    @mpinabaharia2247 8 часов назад +1

    Hili jamaa utalichukulia poa lakini lina madini ya hatari hasa kwenye data

  • @RamadhaniShemdoe-v7g
    @RamadhaniShemdoe-v7g 10 часов назад +2

    Amebuni supu

  • @EliyaOnnesphory
    @EliyaOnnesphory 3 часа назад

    Watajua hawajui eti sijui nini ile eti inafungwaje??? Mfano ni ule ule wa Tabora walichokifanya, na bado, ndio maana semaji letu la caf, haliwezi kusemea wachovu kama wale wanao nyanyaswa na Tabora! Semaji ni sahihi kuwa mgeni lasmi bwana 🎉🎉🎉🎉maua yako!!!!

  • @ShadiaSingano
    @ShadiaSingano 3 часа назад

    Wamebuni supu yavibudu 3:59

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 7 часов назад

    Mkuu wa mkoa wa mwanza ndo alifaa kuwa mgeni lasmi😂😂😂😂😂

  • @swamadujumanne795
    @swamadujumanne795 6 часов назад

    Mbona nyie waandishi hamjui kuuliza maswali muulize mtu alievaa sanda ndie alikufa kwaio hizo tim ambazo hazijavaa sanda haziwez kucheza namait

  • @VedastoSembe
    @VedastoSembe 10 часов назад

    Hakika hiki ni kichwa nawekaga bando kwa ajili yake.

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli 11 часов назад

    Kwann asingelipewa yulekayoko

  • @AbduliLutengele
    @AbduliLutengele 3 часа назад

    Pmja xana

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 11 часов назад +2

    Ahmed Ally bana hamna kitu huyo anabebwa na brand ya Simba hajui ata kuhamasisha wachezaji abu msaidieni hakuna msemaji wajazeni upepo wachezaji kwa kuwakubali wachezaji wetu Joshua mtale bonge la mchezaji mnamvunja moyo afu msemaji awezi ata kumtetea ajui mpira huyo Ahmed Ally porojo tuuuuu

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 16 часов назад

    Pmj sanaa

  • @FaustineTango
    @FaustineTango 12 часов назад

    Nani kasikia neno diagaspo