12 WAKAMATWA KWA KULA MCHANA HADHARANI ZANZIBAR, KAMANDA AELEZA "NI MAKOSA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 66

  • @NIUX007
    @NIUX007 8 месяцев назад +4

    Unamweshimu Ramadhani unazini mbele ya shabani

  • @RoseMalusu
    @RoseMalusu 8 месяцев назад +1

    KAMA HALI NDIO HII! BORA HUU MUUNGANO UVUNJIKE, KILA MMOJA AWE KWAO!

  • @HemedAli-fs5lb
    @HemedAli-fs5lb 8 месяцев назад +2

    Safi sana kamanda umefanya jambo zurii kuwakata hao ni njia moja ya kulinda amni ya Zanzibar inaepusha watu kuchukua hatua mikononi na kuepuka migogoro ya jamiii

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 8 месяцев назад +10

    Yaani hadi aibu, kumbe Zanzibar inaongozwa na mataahira?

    • @abdulkadirmaisara1628
      @abdulkadirmaisara1628 8 месяцев назад +1

      Munaumia nyie makafiri hii ni ukanda wa kiislamu makafiri wabaki uko bara

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 8 месяцев назад

      ​@@abdulkadirmaisara1628upuuzi

    • @SALIMMpimbi-e6o
      @SALIMMpimbi-e6o 8 месяцев назад

      ​@@abdulkadirmaisara1628 usinidanganye kwamba hujawahi kuacha ibada ya Sala kwa makusudi hata kipindi kimoja.
      Hapo umevunja nguzo ya IMANI. Je, ulishawahi kujisalimisha kituo cha polisi?

    • @rukkyxarat
      @rukkyxarat 8 месяцев назад

      Aibu yako wewe unaefata utamaduni wa aliyekutawala akakuletea utamaduni wao

  • @onlyyoujesus8232
    @onlyyoujesus8232 8 месяцев назад +2

    Hivi kauli ya "Serikali haina dini" inamaanisha nini kama watu wanazuiwa kula!!!

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 8 месяцев назад +1

    Kula hatharani ni ualifu kumbe

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 8 месяцев назад +3

    MNATULETEA MAMBO YA AJABU SANA MIMI NAITA UPUUZI . SIYO LAZIMA WOTE TUWE WAISILAMU.. FUKUZENI BASI WATALII HUKO ZANZIBAR..

  • @johnmsengi4501
    @johnmsengi4501 8 месяцев назад +1

    Swali kwa sheria ipi, imezuia kula mchana, Zanzibar ni eneo lenye ubaguzi mkubwa wa kidini, especially watu wa asili ya bara, wazungu wanakula hadharani Zanzibar. Ubaguzi huu hauwezi kwisha sababu chanzo sio Ramadhan, Ngoja tuone ila hakuna sheria kwenye katiba ya Zanzibar inamzuia mtu kula mchana wakati wa Ramadhani

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад +3

      Hakuna sheria yoyote inayokataza mtu kula hadharani. Hizi ni itikadi za kichochezi zinazoendelea kufugwa na Wazanzibari Waislamu

    • @abdulkadirmaisara1628
      @abdulkadirmaisara1628 8 месяцев назад

      Sisi uku dini ni moja tu uislam ukijichanganya kuja uku kisha ukala mchana usilaumu mtu

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад

      @@abdulkadirmaisara1628 Wapi huko dini moja wewe kenge? Makanisa yamejaa kibao au nayo ni misikiti? Hebu pambana na swaumu yako huko usituletee njaa za usiku

  • @davideditz2049
    @davideditz2049 8 месяцев назад

    Si nilijua hii nchi mambo ya kidini hawa amini

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 8 месяцев назад +8

    Wapeni watu uhuru wao, dini yenu isiwe kero kwa wengine ambao hawaiamini. Huu ni upuuzi na Waziri wa mambo ya ndani anafumbia macho. Kama mimi sijafunga kwanini unilazimishe nisile chakula kwa uhuru wangu

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад +2

      Wajinga hawa. Halafu ndio wanategemea utalii utakuwa kwa style hii... wamekalia uchoko, uchawi na roho mbaya tu

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 8 месяцев назад +1

      ❤❤❤❤❤❤ kwa maoni mazuri

    • @ommykhatib
      @ommykhatib 8 месяцев назад

      Hivi nyinyi waumini wa dini ya kikristo kwanini wakati wote mnakuwa na hasira sana? Nini tatizo

    • @ustawiwetu
      @ustawiwetu 8 месяцев назад +1

      @@ommykhatib ninyi ndio mna hasira za kipumbavu kwanini mnawapiga watu na kuwanyima uhuru wao wa kula chakula.

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 8 месяцев назад

      Kila uhuru una mipaka .huwezi kulawitiwa hadharani .kama huwezi kuka na mila za wazanzibari ONDOKA.

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 8 месяцев назад

    Waliosoma wakaelimika wanauelewa kuwa dini inaathiri utamaduni wa sehemu husika kwa hiyo si ajabu kwa znz nchi yenye waislamu wengi kuzuiliwa kula hadharani mchana wa ramadhan. Hilo litashangaza kwa nchi kama tanzania bara ambapo dini mbili zina nguvu inayolingana

  • @maheitumdintunya2928
    @maheitumdintunya2928 8 месяцев назад

    yani nimefikiria mbali sana

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 8 месяцев назад +1

    Nimaajabu kweli kweli mtu akila mwache alee niuhuru wake msimlazimishee mambo ya kishamba kabisaa kama ana matatizo ya kiafiyaa

  • @muuminsaid-bd6cm
    @muuminsaid-bd6cm 8 месяцев назад

    Safi lazima wezi huu uhushimiwe na isishie shiria hii tu

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад

      Ukiuheshimu wewe na familia yako inatosha

    • @KelvinAlex-x2i
      @KelvinAlex-x2i 8 месяцев назад

      Ovyo kbisah

    • @SALIMMpimbi-e6o
      @SALIMMpimbi-e6o 8 месяцев назад

      Mwezi uheshimiwe au Aheshimiwe Allahu subhnahu wa taala.
      Mnaruhusu watalii wanatembea uchi zanzibar ila mnachora mstari kwenye mwezi wa ramadhani.

  • @juniorndambalilo66
    @juniorndambalilo66 8 месяцев назад

    Kwanini wasipewe sebure yao tuwaone kama wanayaweza?

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 8 месяцев назад +1

    Hii sheria za wapi??..Kweli Polisi unaenda kumkamata mtu kisa anakula hadharani🤣🤣.. Naona Polisi wa Zenji wamekosa wahalifu inabidi tuwapelekee panya road

  • @juniorndambalilo66
    @juniorndambalilo66 8 месяцев назад

    Kwahiyo sheria ya serikali zanzibar inaongozwa kidini

  • @Keyjop
    @Keyjop 8 месяцев назад

    Ila majiraji 🤣🤣🤣🙌

  • @juniorndambalilo66
    @juniorndambalilo66 8 месяцев назад +1

    Huyu kamanda choko sana

    • @abdulkadirmaisara1628
      @abdulkadirmaisara1628 8 месяцев назад

      Choko weww na babaako

    • @juniorndambalilo66
      @juniorndambalilo66 8 месяцев назад +1

      @@abdulkadirmaisara1628 naona choko mwenzake umemjibia...huku Tanganyika tunaanza msako tuwachinje machoko wote

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 8 месяцев назад

    Kwa hiyo ZANZIBAR inafuata sharia raw? Ndo nasikia leo! Dhambi nyingine ruksa kula hadgalani jela mmmh

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 8 месяцев назад

      Wewe unaleta fitna .KAFIRI

  • @xl6941
    @xl6941 8 месяцев назад

    Sio Kila anayevaa miwani ana akili. 😂😂😂

  • @AllyMwenda-w4g
    @AllyMwenda-w4g 8 месяцев назад

    😅😅😅

  • @fredykaitani595
    @fredykaitani595 8 месяцев назад

    😂😂😂 amna iman bora na nyie mule tu mnakaa na njaa buree

    • @abdulkadirmaisara1628
      @abdulkadirmaisara1628 8 месяцев назад

      Kula wewe ushibe lkn usile hadharani kwenye hii zanziba ishia ukouko ukichomoza uku usilamu mtu

  • @innocentkyungai1138
    @innocentkyungai1138 8 месяцев назад

    Kula adharani sio kosa kama mtu unaye simamia sheria apo umebugi dhairi unaeza kuongoza watu kufanya uhalifu kisa udini utoshi!.

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 8 месяцев назад +2

    Huyo kamanda wa hovyo

  • @eliathomas8446
    @eliathomas8446 8 месяцев назад

    Huyu askari amesoma wapi😂😂😂Yaani hata haoni aibu??? Kwanza matukio haya mnayoyafanya mnaidhalilisha dini ya kiislamu

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад +6

    Kanchi kadogo ila kamejaa ujinga mkubwa. Ndio maana bara tunaendelea kuwakalia na kuwanyonya na kamwe hatuwaachi ng'oo...
    Endeleeni na ujinga wenu.

    • @MaulidAbdullah-nw9wu
      @MaulidAbdullah-nw9wu 8 месяцев назад

      Koma wewe hujui lolote

    • @Anuarmustafa4128
      @Anuarmustafa4128 8 месяцев назад

      Ujinga kama wa mama ako alie kuzaa wewe mpaka mtanyooka

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад +1

      @@Anuarmustafa4128 Yaani hata mfanyaje tunabaki kuwaona ni majinga tu

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 8 месяцев назад

      Nyinyi wenyew mmekalia... Au unajidanganya mko huru... Kawaulize wajinga wenzako wa ngorongoro. Umeshawahi kujiuliza kwa nn mafuta yanayoshuka bandar ya dar yanauzwa rahisi zaid burundi kuliko tz

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад

      @@sultansallah8772 Ona sasa ulivyo na akili fupi.. sasa kodi za Burundi na Tanzania zinafanana? Hata Zanzibar tu hapo vitu ni bei rahisi kuliko Tanzania.
      Sema nyie tuna sisi ndio tunawakalia na hamuwezi fanya lolote. Muungano hamuupendi lakini kamwe hamuwezi kuuvunja hata iweje!

  • @juniorndambalilo66
    @juniorndambalilo66 8 месяцев назад

    Hawa watoto wa merehemu mwisho wanaipeleka pabaya nchi yetu

  • @NIUX007
    @NIUX007 8 месяцев назад

    😂😂😂😂😂