upo vizuri dada.. hawo wabunge wenzio wa ccm upande wa tanganyika kazi kudhalilisha identity ya wazanzibari kisa wana jeshi.. ila waelewe kila kitu kina mwisho
Upuuzi mtupu mshaiuza tangu zamani halafu ss hv mnafunua matako yenu et muungano tunauhitaji sote hatutaki muungano uvunjeni tumechoka dhulma ya unyonyaji wa kibara wacha ubwege gonga like tuende sawa wasiotaka muungano
Nakupenda sana tangu nianze kukuona kwenye uwanja wa siasa,hawa ulipokuwa naibu waziri wa fedha,sauti yako,namna unavyoongea,mfano mzuri wa wanawake kujifunza kwako,heshima na uwezo uliyonayo .God bless you,
Kwani hawa viongozi wa Zanzibar wako wapi mbona wamekuwa hivi yaani Zanzibar inaonewa kiasi chote hichi Na nyinyi mumenyamaza , ndio tuseme hamuoni , hamsikii , hamuumii , Kwa kweli sijui hata tuwatafsiri vipi ,
Munajizalilisha wenye ccm wa Zanzibar sio sisi Raiya na bado mutazidi kuzarauliwa n Tanganyika mana nyie ndio munaungangania Mungano chama mumepewa n Nyerere vpi wasiwazarau na Mungu anawasubiri mutaenda kujibu insha Allah 🤣🤣🤣🤣🤣
Acha kuukubali Muungano .wewe sema tu .tuuvunje au mbara wewe. Au unaogopa kufa. Wewe sheni Barazuli .na hawa wabuge nyote tamaa ya pesa na hofu .semeni hatutaki tu
Mtabadirika tu leo hii mbunge wa ccm anaongea ukweli tena kwa jaziba ipo siku wote watakuwa na umoja wa kusema ukweli na ndipo serikali itakapo kaa sawa safi sana dada huo ndio mwanzo wa kukataa kuwa kama kaaa.
Mungano munautaka nyinyi t ccm wa Zanzibar coz unawaweka madarakani wekeni kura zamaoni kwa wazanzibar anaotaka n asieutaka mungano mutalata majibu hao waze wenu Nyerere n Karume wameuwa watu 1964 mulitegemea mutakua kitu kimoja mukiungana daima dhulma hailetii maendeleo Mutauwana wenyewe kwa wenyewe kama munavouwa watu tangu 64 adi 20 😡😡😡
Jamani kitu gani kikubwa walio nacho zanzibar mpaka tanganyika hawataki kuiyachia mtu yoyote anambia sione kikubwa kinacho zalishwa au faida ya visiwa vile vumbi tupu na njaa tu. Sukari gani ya zahabu
Kwa kweli sada umeongea hasaa has watanganyika ni madhulma bora muungano ufe kura 22 hatujitokezi tangu hapo hampati lakini safari hii ndio hatapata kabisaaa
Bakari Mngazija Dada yangu ile dhambi ya kumzomea Mwanasheria wenu Othman Masoud siku Ile ya Bunge la katiba inakuhukumuni sasa. Yeye alisimama na kukubali kupoteza nafasi yake kubwa na mshahara mnene bila woga. Ni nyinyi CCM zanzibar muliinuka kumzomea na wengine kukata Mabuno kama walevi. Lakini siachi kukushukuru na wewe kukutoka woga na kusahau mshahara mnono unaopokea Kwa ajili ya zanzibar ya zanzibar yako. Hats off.
Zanzibar mulishaiuza zamani, hata mupige kelele vipi. Na walioiuza ni nyie CCM wa zanzibar. Na mnaendelea kuiuuza maana mnabururwa. Yani unapomuona Ali sheni kama dubu fulani hivi hata uhai hana kwa kubururwa na Tanganyika.
we Saada huna lolote unaloliongea..nyie na ccm wenzio wanafiki ndio mmeshaiuza zenj.. nyie kama mnazani zenj ni sawa na bara ktk muungano hyo imekula kwenu. wenzenu bara wanakuchukulieni ka nchi kenu ka kijimkoa flani hivi ..na huto tusheria vyenu ni kama tu by laws tu kwa huku bara
Dada Saada Allah akubariki. Umeonyesha ukomavu wa kuipenda Zanzibar
Akiiona hii yeye mwenyewe bi saada atakuwa na msimamo kama huo Leo?
Good and constructive contribution thanks a lot madam Saada
Hassan Kapungu ILUNGA. ameshayamaliza maneno. Allah amrehem
upo vizuri dada.. hawo wabunge wenzio wa ccm upande wa tanganyika kazi kudhalilisha identity ya wazanzibari kisa wana
jeshi.. ila waelewe kila kitu kina mwisho
Ni vizuri wafaham hawa mahasidi wa bara
Upuuzi mtupu mshaiuza tangu zamani halafu ss hv mnafunua matako yenu et muungano tunauhitaji sote hatutaki muungano uvunjeni tumechoka dhulma ya unyonyaji wa kibara wacha ubwege gonga like tuende sawa wasiotaka muungano
Nakupenda sana tangu nianze kukuona kwenye uwanja wa siasa,hawa ulipokuwa naibu waziri wa fedha,sauti yako,namna unavyoongea,mfano mzuri wa wanawake kujifunza kwako,heshima na uwezo uliyonayo .God bless you,
Huyu Dada inamuuma sana Zanzibar ila anataka kuongea mengi ila anahofu kidogo
umezungunza vizur sana sana Mh
Allah akuzidishie kutokuogopa mtu mamaa
Very nice msg kama wana akili washafaham
Kama wabunge wa CCM wote wangekuwa kama huyu Dah
Kwani hawa viongozi wa Zanzibar wako wapi mbona wamekuwa hivi yaani Zanzibar inaonewa kiasi chote hichi Na nyinyi mumenyamaza , ndio tuseme hamuoni , hamsikii , hamuumii , Kwa kweli sijui hata tuwatafsiri vipi ,
Dada upo sahihi sana Allah akulinde
Safi sana Muheshimiwa Saada waambie wape ukweli wapumbavu hao
Congratulations sada mkuya
Mama Allah akulipe.
tumechoka wazanzibar tunahitaji nchi yetu na sisi
Kwani Zanubar ni nchi?
@@MilloWamilonga-ft8irwacha kejeli matako wewe hakuna lisomwisho na mwisho ushafik it is the matter of time nothing else
@@KhamisHaroub-uj5ci usilete matusi choko wewe jibu hoja.
Zanzibar ni nchi?
Jibu swali isitoe povu la kiurojo humu shwain.
Zanzibar ndio nini? Tanganyika colone?
Asant sanaa Dada na unajielewa sanaa Asante
Munajizalilisha wenye ccm wa Zanzibar sio sisi Raiya na bado mutazidi kuzarauliwa n Tanganyika mana nyie ndio munaungangania Mungano chama mumepewa n Nyerere vpi wasiwazarau na Mungu anawasubiri mutaenda kujibu insha Allah 🤣🤣🤣🤣🤣
Hauna faida tamoja zaidi ya kuwapa vichogo fursa ya kuingia Zanzibar
Mama huyu uzanzibar mwingi sana hakupaswa kuwa hata waziri wa JMT katika maisha yake. Everything embedded to Union..
Kichwa maji weww
ZANZIBAR KWANZA mengine baadae
Huyo alikuwa waziri wa fedha hakusema kitu wakati anajuwa zanzibar inadhulumiwa mpumbavu tu ccm wala hawajali kabisa kuhusu Muungano
Hamna ishu nyinyi mbona kwenye bunge la katiba muliufyata,munakumbuka kujifunika shuka wakat kumekucha
Huna lolote sada. Mumechelewa ccm zanzibar, wacha kudogoshwa. Subirini na nyinyi mumalize muda wenu mufukuzwe. Ccm wanafiki.
Madam nice nice madam
Ipo siku utavunjika tu huo, we waache wajitie kiwewe ,watauvunja wenyewe hao wanachuki sana hao,tunawajua sisi
Dada Asante sana Dada sanaa sanaa
Yo made it madame
Nenda uko ww mwenyewe ni msaliti kwa Zanzibar
Wazanzibari hatutaki muungano kabisa
Dada leo imeongea jambo moja la maana sana
Huyu mama sijui Kwa nni hawampi uwasiri alfu sijui alikua mwalimu.
Acha kuukubali Muungano .wewe sema tu .tuuvunje au mbara wewe. Au unaogopa kufa. Wewe sheni Barazuli .na hawa wabuge nyote tamaa ya pesa na hofu .semeni hatutaki tu
Ipo siku utavunjika tu huo, we waache wajitie kiwewe ,watauvunja wenyewe hao
Mtabadirika tu leo hii mbunge wa ccm anaongea ukweli tena kwa jaziba ipo siku wote watakuwa na umoja wa kusema ukweli na ndipo serikali itakapo kaa sawa safi sana dada huo ndio mwanzo wa kukataa kuwa kama kaaa.
Kwani huo muungano ni lazima? Watanganyika wapeni nchi yao wazanzibari,kwani nchi yenu tanganyika haiwezi kusimama bila ya zanzibar?
kabisa dada
Kweli dada tanzania ni moja kwanini Zanzibar!?
Tatizo nyie wabunge mpo kwa ajili ya masilahiyenu tu binafsi sio kwa zanzabar ndio tumefika hapo na lazima watanganyika watudhara
Ni kweli kabisa.
Huna ishu kuchneiii
Mungano munautaka nyinyi t ccm wa Zanzibar coz unawaweka madarakani wekeni kura zamaoni kwa wazanzibar anaotaka n asieutaka mungano mutalata majibu hao waze wenu Nyerere n Karume wameuwa watu 1964 mulitegemea mutakua kitu kimoja mukiungana daima dhulma hailetii maendeleo Mutauwana wenyewe kwa wenyewe kama munavouwa watu tangu 64 adi 20 😡😡😡
Lengo la muungano bado amjajua lakini tutajua tuu
Jamani kitu gani kikubwa walio nacho zanzibar mpaka tanganyika hawataki kuiyachia mtu yoyote anambia sione kikubwa kinacho zalishwa au faida ya visiwa vile vumbi tupu na njaa tu. Sukari gani ya zahabu
Kwa kweli sada umeongea hasaa has watanganyika ni madhulma bora muungano ufe kura 22 hatujitokezi tangu hapo hampati lakini safari hii ndio hatapata kabisaaa
HATUUHITAJI TUMESHACHOKA LAZIMA TUWEWAZI. SASA MNATAFUNANA WANACCM MLIPOAMBIWA HAMKUTAKA KUELEWA SASA YAONENI. SISI HATUTAKI MUUNGANO.
Bakari Mngazija
Dada yangu ile dhambi ya kumzomea Mwanasheria wenu Othman Masoud siku Ile ya Bunge la katiba inakuhukumuni sasa. Yeye alisimama na kukubali kupoteza nafasi yake kubwa na mshahara mnene bila woga. Ni nyinyi CCM zanzibar muliinuka kumzomea na wengine kukata Mabuno kama walevi. Lakini siachi kukushukuru na wewe kukutoka woga na kusahau mshahara mnono unaopokea Kwa ajili ya zanzibar ya zanzibar yako. Hats off.
Hana lolote huyo dada wote mafisadi tu hakuna Kiongozi zanzibar bhn
Zanzibar mulishaiuza zamani, hata mupige kelele vipi. Na walioiuza ni nyie CCM wa zanzibar. Na mnaendelea kuiuuza maana mnabururwa.
Yani unapomuona Ali sheni kama dubu fulani hivi hata uhai hana kwa kubururwa na Tanganyika.
🤣🤣🤣Hebu niache mie
Saad mama jikaze manake mukikaa kimwa nd tunazid kuzalilika nayonchi hii hata kama
Sio wote tunaohitaji muungano huu
vichogo munazinguwa some time najilaumu kuwa mwanaccm
Mdada anajua kuongea , hakuna kitu cha busara km kuheshimiana,
Madikteta hao wanaisakama zanzibar baba karume imo wako tunaangamia
we Saada huna lolote unaloliongea..nyie na ccm wenzio wanafiki ndio mmeshaiuza zenj..
nyie kama mnazani zenj ni sawa na bara ktk muungano hyo imekula kwenu. wenzenu bara wanakuchukulieni ka nchi kenu ka kijimkoa flani hivi ..na huto tusheria vyenu ni kama tu by laws tu kwa huku bara
Dada wewe ni mtu hao wengine ni viatu tu humo bungeni sjw waliingiaje
Maadamu yumo katika haohao wanao dhalilisha taifa letu. point yake haina maana. wazanzibari tunajijua na tunajuana. Uzalendo hauko huko uliko dada.
Bunñgeni leo
Mama utaniliza
Mutajiju
hakuna haja ya kuubembeleza muungano wavunje tu
wasizingue.sisi zanzibar hatuna shida ya muungano wa kijinga.wakaungane na wacongo uko
acha waburuzwe hawajitambui
ccm hujui unachokisema pumbavu
pumbav mama ako
magufuli anawanyoosha wote ccm na upinzani,
Ilo lakokeni nikweli mnaachiana wanakamatwa asubui mchana wakonnje kama kwerekwe sokoni unga una uzwa adharani wala awaogopi polisi
Wacha kuzungumza Utumbo wa kuku
Wape dada hawajielewi haooo wape vidonge vyao
Madam nice nice madam