Allah akupe mwisho mwema shekh othman... Cha kukulipa hatuna kwa mawaidha haya lakn za kwetu ni duwa tu kwako kipenz chetu.... Nakupenda kwa ajili ya Allah ❤️
MashaaAllah..hali ya sasa ya maasia ndio imetuletea majanga tunayoyaona sasa.Turejee kwa Allah kwa kutubia na kuendelea na maamrisho na kuacha makatazo..shukrani. shekhi kwa ukumbusho .Allah akuhifadhi ..
Mashaallah Asante shukran sheikhe wetu kwa Mawaidha mazuri yenye kutuelimisha Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha sisi na vizazi vuetu vinavokuja nakupenda sana kwa ajili Ya Allah
@@mohammedsaleh2202 😂😂acha zako bado unanyonya ww mmpaka uwe katoto kadogo halafu unazungumza meno yote yashaota kunautoto tena umejikaza eti katoto Faiza mpe mke huyo mkewe nae amuunge hapa kwenye comment chat na kama nae mke atakua katoto basi👉🍼inawahusu bili nitalipa mm😂😂😂😂😂😂🍼🍼🍼🍼🍼🍼🍼🙌
Naam sana tu lakini waja wa akheer dunia hasa watawala wa siasa ndio kabisa wanajishau kabisa kama Allah Mtukufu ana nguvu kuliki wao lakini wap wanadanganyika na silaha zao kweli sie waja bora ndio akhasi Allah awahidi atuhidi na sie tusitaqabar
Shukran kwa mawaidha mazuri sana mungu hawajaze afya njema insha'Allah
Jazzaka Allah kheir
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher inshallah 🙏
Mashallah shekh wetu Allah akuzidishie
Allah akuzidishie ilimu sheikh akujalie umri wenye afya njema sheikh Othuman uzidi kutuelimisha mashaallah shukran
MashaALLAH baraka ALLAH fikum ALLAH akujaalie kheir nyingi sn kwa unatupa chakula cha roho
Mashaallah Mungu akuzidishie uzima na afya shukran
Ma sha Allah napenda sana mawaidha za shk othman from garissa kenya
Mashaallh
ALLH Akujalie mwisho mwema 🤲
Allah akupe mwisho mwema shekh othman... Cha kukulipa hatuna kwa mawaidha haya lakn za kwetu ni duwa tu kwako kipenz chetu.... Nakupenda kwa ajili ya Allah ❤️
MashaaAllah..hali ya sasa ya maasia ndio imetuletea majanga tunayoyaona sasa.Turejee kwa Allah kwa kutubia na kuendelea na maamrisho na kuacha makatazo..shukrani. shekhi kwa ukumbusho .Allah akuhifadhi ..
Mungu akupe afya bora shekhe ulie jitoa kwa ajir ya Allah.neema kubwa Sana kwa kuwa na shekhe Kama wewe.
Aamiin
Allah atupe mwsho mwema
Mashaallah Asante shukran sheikhe wetu kwa Mawaidha mazuri yenye kutuelimisha Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha sisi na vizazi vuetu vinavokuja nakupenda sana kwa ajili Ya Allah
Jazaaqa llahu khayr shekhe
Mashallah Allah akuzidishie yarabbi
Mashaa Allah shk wetu
Subhanallah wanaadam sisi niwatu madhaifu lakini wapo wenye kiburi jeuri nyingi sana
MashaAllah tabarak Allah
Mwenyezi mungu akuzidishie inshallah
Allah akupenguvu uzid kutuelimisha
Yaani,. Sheikh. Nami napenda hadithi yako . Mwenyenzi mungu atuepushe na Shari tunayotenda kipindi tunavyo ishi duniani . Ahsante.,ubarikiwe kabisa.
Ya sheikh 🥰🥰
Asante sana Riyadh tv
Mohammed saleh shikamoo
@@faizasaid8262 marhaba hujambo vizuri faiza
Mohammed saleh sjjambo wwe t
@@faizasaid8262 nipo vizur lakin mimi faiza bado katoto kidogo tu
@@mohammedsaleh2202 😂😂acha zako bado unanyonya ww mmpaka uwe katoto kadogo halafu unazungumza meno yote yashaota kunautoto tena umejikaza eti katoto Faiza mpe mke huyo mkewe nae amuunge hapa kwenye comment chat na kama nae mke atakua katoto basi👉🍼inawahusu bili nitalipa mm😂😂😂😂😂😂🍼🍼🍼🍼🍼🍼🍼🙌
Subhannallah
Faiza Said MashaAllah
Allah atujalie tuwe wenye kuitegeshea mgongo dunia Allah atujalie mwisho mwema kwa sote kwa rehema zake mwenyewe Allah
Mungu akujalie maisha marefu na afya atupe sote pamoja inshaalah
Alhamdulillah sh.!
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
Allah barik
Shukran
Ramadhan hamisi nice
Asalam nghalaikum.
Maashallah
Maashaa Allah
Zayyat njoo habibaty Mohammed kawahi hajatudokoa bwana harusi huyo
Faiza Said MashaAllah
Dada zayyat sijamuona bado
Mashallah
Miss you Faiza hujambo uhaligani wambaje Shukran nimefika 👂
zayyati yusufu sijmbo nashukuru vipi nawwe
@@faizasaid8262 Alahamdullah sijambo ndugu yangu khofu kwako
Thabarakallah
Ma sha allah
Swallallahu alayhi wasallam
Naam sana tu lakini waja wa akheer dunia hasa watawala wa siasa ndio kabisa wanajishau kabisa kama Allah Mtukufu ana nguvu kuliki wao lakini wap wanadanganyika na silaha zao kweli sie waja bora ndio akhasi Allah awahidi atuhidi na sie tusitaqabar
ALLAH AKBAR
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu wadau wa Riyadh na koo zima ya Riyadh Tv online Znz
Aamiin
Maashaallah 🙏🙏🙏🙏
allahu akbaru
ABDI NASIR
Hakuna mwenye nguvu isipokuwa ww allah
Alaskan
Shukran
Shukuran shekhe wetu
Mashallah
Shukran
Mashallah
Mashaallah