SAJNA ft. JOSEFLY - MGANGA_YAMENISHINDA (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2025
- Video mpya ya SAJNA ft. JOSEFLY, wimbo unaitwa MGANGA, na wa pili unaitwa YAMENISHINDA.Ni story moja ndio maana nyimbo zote mbili zote zipo katika video moja. Imetengenezwa na kampuni ya SHOWBIZ DEFINED chini ya Eryne D. Epidu. Video script imeandikwa na JOSEFLY. Mganga Audio produced by Amba na Yamenishinda audio produced by Kid Bwoy, Tetemesha Recordz.
Kama umefika 2024 salama na hi nyimbo nipeni like zangu wadheee
😂
Tupooo
Pamoja mkuu
Alhamdulillah
Tuko hapa
Wanao itazama Ngoma hii 2024 like please
Pamoja sana
Dah naikubali sana ii ngoma kama bado upo nayo gonga like hapa 2023
Huyu Mganga aliechana hapa yuko wapi aisee??? 🙌🔥😂,, 2024
Huyuu mganga sio katobe eti ajee chapu tupige kolabo
2024 apa ngoma bado inogile🔥🔥🔥
Hii Ngoma itaishi
Weee sajna tumekumiss kwenye game
Weka like zakutosha hapa tumerudi tena wajuba trh3/11/2024
Huyu mganga noma kweli...Rapa mmoja mkali mno...hata sijui jina lake...here in 2024 kujikumbushia
mistari ya mganga kama umekubali gonga like yako hapo 2018_2019
Saidi kal Nassoro kama Hume hikubari
you
Yani amemkataa kiaina
Nimeipend iko poa
Ver
Nitampata wap wakati mim mwenyew mtoto wa buhigwe kasulu ya zaman😂😂 kama umesikia neno hilo gonga like twend sawa🙏
Tunao tazama 2024❤❤ like hapo
Mganga nimekupenda kweli sio kwa kuflow huko
Doctor are u artist or Reality witch
Mganga ana flow Kali sana
@@ilhamirfan9994 his is an Artist see the way he flows
Nakubali Sana2020 bdo 2naitizam
Ingeimbwa mwaka 2024
Mganga angekuwa mwakatobe humu😅😅😅
😂😂
😂😂😂
Sajina wew mkali, gonga like kama unamkubali
Daahh kitambo sana. Leo naitazama 2024
Undio mziki uno takiwa siyo matusi❤❤🎉🎉
Aisee jamn anayejua sagna Yuko wap au ana # yake aweke hapo tufanye job
Sunday, August 22, 2021..
Wangapi wako hapa na hii ngoma bado iko kwa playlist.
na miss sana
2019 ngoma bado inatazamwa...gonga like kama unaikubali forever
Mizk zamin bwana sas hiv du fullu shida
Old is gold, Mungu atusaidie soote tunaotazamia kuuendea mwaka 2025 kwa neema zake
Nani mwingine anamisi ngoma kali kama hizi😅😅gonga like twende sawa
Hii ngoma ilinibamba sana enzi zile, bado naipenda sana 🔥 🔥 🔥
Dah wapi like zenu kwamala nyingine. Sijui uyu jaama ameenda wapi.
I had to come back in 2024 and listen to this song which made my childhood memories live.
Mnipe likes zangu
Daah enzi hizo nipo darasa la kwanza nilipenda sana kuimba hii song😂
Kama kunaaliye muelewa mganga. Aliposema namimi nimonimo. Atupiye like
😂😂
Km unaangalia hii ngoma 2025 like tuondoke 4:02
Sajna rudi broo gem bdo linakuitaji
mm nina endelea pley hadi leo 2019 kma niwe kati yao gonga like
Uko vizuli kimv
@@philbertcharles1814 na mim haha sema kalii
15/11/2024
Kwanza anapokuja aje na kanga kama umesikia hiyo achia like
Wangapi tupo 2020
Sajna nowadays uko wapi,,nyimbo zako zilikuwa Zina ujumbe Sana mzee🙌🙌
kama unamkubali mganga dondosha like
Namkubali sana mganga
Yeap , excellent boy keep it up
Sajna wewe mkali mwanawane....dah, mganga anaflow hatari!!!!Great Job
Tujuane 2024 mapema
Kwa kweli enzi za kale ngoma zilikua juu sana imgne beb wNgu nlimuoa coz ya kumuimbia hio song if you still ❤ hio song ngota nayo
sajna likuwa kiboko ila mepotea mpaka leo.baada ya kushindwa mashart ya wimbo wa mganga
😃😃😃😃
Kama bado unaisikiliza hii ngoma 2024 like kama zote
Naomba nyimbo nyingine alowahi kuimba huyu mganga,tafadhali nawaombeni
SAJNA SIJUI YUPO WAPI KIPAJII SANA HUYU JAMAA 2024
Mistari ya mganga inaweza kukufanya uzimie
😂😂
Kama umefika huku gonga likeee
siku ya mwisho ya mwaka 2024,nimekuja kubarizi pande hii
Gonga like wangap mnaimiss 2019
Sio poa Sajna
❤Nimekubali hii Ngoma ni Noma sanaaa
Kama upo hapa 2025 likes hapa❤
''Una nyota ya kichaga ila una moyo wa kichina'' balaa sana huyo mganga namkubali
hii dunia ni yetu lkn wachache tunaijua na hao mabinti wazuriwazuri niwakwetu tumeumbiwaaa😂😂😂😂mgangaaaaa noumaaaa Dec 2020 bado tupo
ngoma unazo towa saivi hazifiki kama best nasso kaka we we n fire. toka mkoa rudi dar utahiti kama zamani tafta intaview kwa wingi
Kama bado unaamini old is gold likes siusike 2023
Hivi huyu mganga yupo wapi aisee!! Ni mashineeee balaaa.
Oyaa so poa kitamboo sana dah so poa mpaka leo hai kherii kwa woteeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sajna tunakukosa sana kk
Mgaangaa kama umemkubali gonga like
2024 inanikumbusha kipindi flan iv🎉🎉🎉
Mganga bwana anafurahisha sana yaan na yeye anasema, wanawake wazuri tumeumviwa sisi,,,,kaah!
Huyu mganga anafanana na sam wa ukweli.. mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
😍😍😃😃😃😃huu wimbo bhana ni wa siku nyingi lkn ukiusikiliza unakubamba😃😃😃😃😃😃
wangap tupo pamja 2019
pa 1 sana enzi ilikuwa 🔥🔥🔥🔥🔥
2gether as 1
Pamoja saaaaaana
kwizera nadia sana tu
@@bonifacekongwa9006 atariisajna ulikuaunaweza
Kama bado unaendelea kuingalia naomba like yako hap0
Noooooumah!.. sana ❤❤
Iyo nyimbo n noma ad leo 2024 bado n kal
Ukisikia nyimbo zinaishi Ndo kama hizi (2019)
Kama ume rudi kuangalia 2024
Duh yaan hiz nd nyimb zilikuwa dah hawa sijui wap waliend yaan ni nzuri hichok kusikiliz
Kidbwoy mrudishee jamaaa tetemeshaaa akisanue tenaaaa jamaaa anawezaaaa
Nice song inanikumbusha mbali sn Enzi izonahangaikia mapenz
Kama umeyakubal maombi ya sajina gonga like
Daaah ngoma makin sana hadi leo me uwa na sikilizaaa
Wanaoitazama hii nyimbo 2021 gonga like hapa🤝
Wanaotizama hii nyimbo 2023 gonga like twende
thats done old music ni nzur sana kulko sasa @john chande hapa kama unakubali vitu vya zamani kama mm gonga like. mganga kafeli
Natamani wakati ungerudishwa nyuma enzi hizo. Mziki mziki kweli si mikorogo haieleweki.
Hizi ndizo nyimbo zinazoishi masikioni halaaaa sajna
Watu tupo apa 2024 dah mganga kanikosha sanaa🎉🎉🎉🎉
Dahh bado tupo hapa it still on fire
🇰🇪 Representing kambi nyege 2023
Miaka hii diamond alikuwa hasikiki nyimbo zilikuwa zinatamba hizii
Mgaga katisha 2023
Hii ngoma kali sana 🔥🔥🔥 2024
Anapo kuja kwangu awe na khanga 🙈 🙈 twende sawa 2020
Maganga nakukubali sana
What the current artistes are missing creativity bro you just great much love from +254
Ngoma hatariii Sana kweli napenz ya kweli hayapo kwa waganga
Mistari ya mganga ilitisha sana jamani
Jamaa yupo vzr sijui yupo wapi kwa sasa
Aki waganga😂😂😂😂😂❤❤❤
Daaah mzee baba uko wapi Sajna.. Tumezimisi sana kazi zako kaka
Kama unaangalia twent twent.weka like
Uyo mganga alomtukana ndio alomroga apotee ktk game
Ahahaaahaaaaa
dracula Babaiyo ngoma kali hii ww kukaa kimya labda kaamua tu huwez Jua ana tatzo gani, we nadhani unapenda nyimbo za siku izi hazina content mistari yao sijui tukiwa chumbani sijui go down waoneshe, yani sijui hata wanaimba nini
Hahahahhahaha
Daaaah
Uzuri wake zaid ya hathi ya ikuru ntampataje mtoto wa matombo....😖😖😖😖😖😖 Dah like za 2011 nazitaka leo 2019
Likes watu wa 2023 😅🎉
Sajina daar nimefurai Sana kuixikia nyimbo yak
Umepotelea wap sajna kid bway yupowapi sikuiz
huyu jamaa fundii saaana kapotelea waaapii
Miaka hiyo nachinga viatu tunduma❤❤
Goma kali leo ndio nimeona
nimeikubali yamenishinda mganga
Wangap wa leo 24.2.2019 piga like ksma tupo sawa
JUMA SETUMBI so kipole pole
Thr10 mwezi6 2024 niko hapa mganga masharti yatanishinda