Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Et angelala na mimi wiki nzima 😂😂😂
Haaaaa😂 kweli muhuni ni muhuni jamn. Daaa mc balaa umeuwa aise hapa
huyo bibie alivyo serious dah ...hahahaha sema safi sana
Kwanza angelala na mm wiki mzmaa😂😂😂
Na mna bahati mwanangu ana mwili mdogo lakini angekuwa mtu wa gyme,heehe 😂😂😂😂Namkubali sana mwanangu 🔥🔥🔥🤞
Oya kwanza ndugu yenu kweli auuuu sio😂😂😂😂 wauni wanataka kuangusha nae wiki😅😅
Kama kweli sanya anaunyama nipe like nimpelekee❤
Sema like nyingi kwadada kajua kukiwasha
Bangi ishachemka hapo kichwani😂😂
😂😂😂
WCB pamoja sana ❤❤
Watu washakula zao ndum unawaletea prank 😂😂😂
Wahuni siyo watu wazuri atachinja mtu hapo😂😂
Yaani hapo kuna mtu kashaibiwa tayari usicheze na wahuni😂😂
Asimin umeuwaaaa❤❤❤
Hahahahhaahaha leo mumepatikana na balaa hehehe imebidi mujieleze
Hahaha Ana mkwala uyo balaa😢😢😢 eti ata oysterbay aende
Maisha kweli kaka 😂😂😂
23:17 Anaingia Mlemle 😂😂
dah huyo dada mumpe hela nyingi sana maana kahatarisha maisha yake sanaa
Uking'atwa na nyoka lazima uongeze unajibu safi sana balaa
Show inachekesha sana hii kweli nimipinduko sema balaaa mpaka nimwmuonea huruma dah
Daah wasani wasingeli bangi nyingi 😂😂😂😂
Tatzo la wasaniii wa singelii mudaa woteee wanawaza kulogwaaa ndo maana Mambo ya umetumwaaaa😅😅
Angalia tena video hujaelewa amemind kwasababu matukio kama aya yamemtokea na akaibiwa vifaa vya studio sasa kulogwa kumeingiaje hpo
Nakubali
Moo Town katika hv ni kweli hii mwanang umepqtkan yan kuliko zote
Watu wa singel na ugomv wa silaha😅😅, ila nimemuelewa mc balaa kwa nyakat alizopitia
Balaa yupo sahh wanatakiwa wabadilike uwez juwa mtu yupo ktk mawqzo gn
WASANII ACHEN BANGI
Jama yangu apo kapata moto😮😮😮
Balaa balaaa kweliiii😂😂😂
Kweli wee n balaa😂😂
Mdada aleko singo nakupenda 😢❤
Hii
@@Abdul-zb8on upo singo mai
Kwanza jela ana chumba chake 😂🔥
Haaaa eti nikiwa nyumban naweka usanii mfukon😂😂😂 uwiiiiiiii
Singeli tu ze woldi😅
sanyaaaa
Ni hatariiii 😅😅😅
Hii vurugu ngoma nagwa anasubiri 😂😂😂😂😂😂mc balaa sio kuimba tu hadi kuigiza unajua°°
🎉🎉
Yani nilukuwa namkubali lkn Leo sijuh kwann kanitoka
😂😂labda kwa sababu ya hasira alizo zionyesha
Which name of your president 😮
Ila bangi izi
Angelala na mimi wiki nzima kwanza ni ndugu yenu Ausio" 😂😂😂😂
Hivi ni Kweli 🗣️🗣️🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂🤣😂😂😂🤐🤐
Ya leo angeumia mtu
Mc balaaa amekamatika😂😂😂😂
NAISUBIRI YA CHID BENZ😂😂
AAAah watajuta kwnn wamemuektia😂
Kuna ya Adam mchovu 😂
😂😂😂😂
Mo town sanya 🔥🔥🔥 Halaaaaa 😂😂😂😂
Xagent najafa ap nakubali
Ivi ni kweli daah monta sanya kakutana na mc banazo kichwa bangi
Wasafi ni media kubwa sana,, jamaa alijiiona mbali zaidi😢,, af gafra demu analeta mizengwe aaaaaa harari amind😂
Huy ndo mwana ume sas co platifoma ana lia lia t😂😂😂😂
Balaa Mc kwa uhuni huu sitokuja kukuamini ukija kusema umezurumiwa na Promota hela show 😂😂😂 Mapromota nahisi wamemuelewa vzuri Balaa Mc hapa 😄
Balaaaaaaaah
Sanya leo mumeyakanyaga kwa wahuni
Wa kwanza mimi nipeni like zangu
Bonge moja la kipindi ❤❤❤❤❤ nipe like hapa
Hivi hivi hivi hivi 😂😂😂😂😂
❤❤❤❤
Bro ebu ongeza dakika basi haha😡😡😡😡😡
😂😂 wakiendaga police wanatolewaga hao
huyu jamaaa kweli ni BALAA😂
Kwanza ndugu yenu kweli au😂
Mmmmh ipo siku watu watapigana kwel
Watauwana kweli, maana kila mtu na hasira zake. Kujuta badae.
Usicheze na mhuni😂😂😂😂
Yani naaribu show SIM yako nachukua af Amna kitu chochote mtanifanya
😂😂😂 Wameyamuny
Kisu wapi umeshindwa kumchapa hata kofi na ulkua naye karbu😂😂
😂😂😂😂😂Leo angepigwa mtu
Mumeenda kuhoji mvuta bange 😅😅😅
Angekutana na chibuduma nipe Tena nipe sijaona kingewaka🤣
Duuuu!!!!!' Kumbe waimba singeli uwa ni wahuni kweli
Mzee inabid uangalie na wasanii wakuwafanyia kipindi
Leo ndio nimeamini mziki wa singeli ni wawahuni ukizingua wanaondoka na wewe😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅 duuuuh
43 namba
Hivi hiviii
mmh hiyoo ingilishii au English 😂😂😂😂😂😂
Sema mo hiyo michezo acha itakuja ikutokee puani nakwambia kama hapo angemchoma kisu tu kesi kwako
Kuna siku hki kipind litatokea tukia baya maan prank mnazofany na haya maisha haya yet mach
Dk 0 tu wahuni wanachafukwa😂😂😂
Kuweni makini na hawa watu 😂😂😂
hatariiiiiiii sana
Ana machungu
😅😅😅😅Sanya katumia mda mwingi kumtuliza balaa ashakubali liwalo na liwe yani ile ubaya ubwela ndo hii 😂😂😂😂
Balaaa
Balaaa mc kajaaa vizuri ad raha😂😂😂
noma sanaa kweli hii kweliii hiviiiii duuu
Chukua maik 😅
😂🤣🤣😂😂waimba singeli Ndo mnahasira ivo
Mhuni hapingwi Yani Sanya me hata kama mko na kipindi chenu me sitaangalia kwamba ni challenge nitatoa mtu damu tu
motown bonge la creator 😮
Oya Leo mmeingia mizik ya wahuni😂 ila balaa kma ameptia hayo yote pole sela
Kama ningekuwa mimi ningempasua Sanya fasta, pranki siyo ustaarabu
Ebwana
Xaxa tibuduma mbn kafunga mlango😅😅😅
Ila hiki kipind huwa cyo poakitakuja kuleta majanga ckumojah
Wana vya Arusha vinakolea kichwan hapo hawaelew hapo
Mc balaa bangi zote kwisha😂😂😂
uyooooo😂😂😂