Amen Asante mtumisi wa mungu nimepokea maombi matakatifu ee mungu uwaponye macyline ,Rita kwamboka, Robina nyaboke, na samweli ombutora wapate uponyaji unaotoka kwako kwajina la yesu
Niponye Bwana Yesu kwa damu yako ya thamani, ninaharibu na kuvunja Kila uharibifu adui alioingiza ktk maisha yangu kwa njia ya ndoto, usinipite Yesu, usiniache huu mwezi ukaisha nikumbuke nami Yesu nipe kicheko kama Cha Sara😢🙏🙏
Naomba Kila pando walilolipanda kwenye maisha yangu liwarudie wenyewe Kwa jina la Yesu , uovu wowote uliofanywa kwangu uyeyuke ndani yangu na utoke Kwa damu ya Yesu, aameen
Mimi ni mberezako mungu sinambelewalanyuma tazamasinakazi nafamiliya wananitegemeya mungu semakitu kwenye maishayangu mazingi ninayoyapitiyakwasasa nitafauti nauwezo wangu
HALLELUJAH MUNGU kwa maombi ya madhabau ya siri za biblia BABA usinipite 🤲🤲🤲🤲🤲🧎🏻♀️🧎🏻♀️🧎🏻♀️🧎🏻♀️shugulika kwa yule ako na deni langu BWANA usinyamaze kwa familia,watoto wangu naomba ushuuda kupitia maombia haya dhihirika MTAKATIFU barikiwa sana pastor MUNGU akudishie maarifa,hekima yakutufunza AMEN AMEN AMEN
Mtumishi wa mungu, Asante sana kwa haya mafunzo ya biblia mungu akuzidishie na akupe tamanio la moyo wako.nafurahia haya mafunzo na nnazidi kufuatilia.asante.ni, violet nikiwa, Nairobi kahawa wendani.
Amen sana mtumishi , Kwangu Mungu kajidhihilisha yaani jana jioni waliokaaa kikako na boss ofisini kunitoa kwenye nafasi yng na akapewe yeye Mmoja kapata ajari na kalazwaa na watafuata wote Kila Mmoja mpk boss kwa kushawishiwa Nashukuru Mungu na nimemwambia bado mpk Kila m2 apata chake na wanijue kuwa Mimi ni chombo chako
🙏🙏🙏mungu akubariki mtumishi haya maombi yalikuwa ni kwaajili yangu pia maana Nina maadui wengi lakin kwa Imani hii ya maombi naamini watakwenda kusambaratika wote na wataangamia wote mtumishi naomba no zako nikuambie maana ninachangamoto nyingi mnooo mungu akubariki sana
Pamoja na vita zote zilizokuwa zimevaa maisha yangu hakuna sehemu nilipokuwa nimepewa upenyo sasa nimefufuka na nimekung'uta aibu na uchafu wote Damu ya Yesu imefuta aibu zote na sasa natembea nikiwa shujaa
Nakuamini mungu wangu 🥹 nakuamini Kwa Kila kitu kwenye maisha yangu naomba mungu uniongezee moyo wa ibada nipe kukujua mungu nipe kupenda wewe mungu wangu 🙌
Nina jambo nataka niwaelezee kupitia hii wiki venye nimepitia niwaelezee kila siku najitahidi niamke wakati wa usiku.ili nishiriki maombi ya usiku lakini najikuta nikiamka saa saba usiku na dakika ishirini....wakat ya kuwa mda wa ibada umeisha naomba mniweke kwa maombi ili vizuizi ivi vinavyonifanya kushikwa na usingizi mzito vitoke kwa maisha yangu....
Naomba Mungu unipake mwisho mwema
Amen Mtumishi Asante sana 🙏
Amen.... asante Mungu 🙏🙏
. Mungu wagu unipiganie
Haleluya haleluya haleluya haleluya asante sana Yesu
Amina
Amen Hallelujah Glory to GOD
Narejesha heshma juu ya uzao wang
Amen Amen 🙏 🙌 👏
Mungu usinipite
Amen
AMEN it's enough
❤
Bwana kashughulike na wa
Sintantembea katika aibu kamwe
Asant baba
Amen. Asante Mungu. Watesi wangu wamefika mwisho
Wote walionipangia mabaya waaibike kwa damu ya Yesu
Naijulikane
🙏🙏🙏
Amen
Asante mtumisi wa mungu nimepokea maombi matakatifu ee mungu uwaponye macyline ,Rita kwamboka, Robina nyaboke, na samweli ombutora wapate uponyaji unaotoka kwako kwajina la yesu
Niponye Bwana Yesu kwa damu yako ya thamani, ninaharibu na kuvunja Kila uharibifu adui alioingiza ktk maisha yangu kwa njia ya ndoto, usinipite Yesu, usiniache huu mwezi ukaisha nikumbuke nami Yesu nipe kicheko kama Cha Sara😢🙏🙏
Najikonekt najikonekt na madhabahu ya SIRI ZA BIBLIA
Najojikonekt na madhabau❤
Mungu usinipite unapobarikiwengine nami usinipite pigana nawanaopigana nami shindana nawanao taka kushindana nami pigana naaduizangu
Naomba Kila pando walilolipanda kwenye maisha yangu liwarudie wenyewe Kwa jina la Yesu , uovu wowote uliofanywa kwangu uyeyuke ndani yangu na utoke Kwa damu ya Yesu, aameen
Yesu Kristo asifiwe na jina lake libarikiwe hakika leo.ninashkuru kwa wakati mwengine tena
Ai bu iwarudiye kwa jana la yesu kristo
Mungu wangu unavyonipenda ....sijui hata nikulipe nn sina maneno ya kusema lkn naomba neema ya wokovu nimalize safari salama....
Amina
Asantee Yesu Kwa neema Unazozidi kunionekania katika maisha yangu 🙏 naomba damu ya Yesu iendelee kunilinda na kunitetea🙏🙏
Yohana 1,2, 19 Amen
MUNGU wangu niondolee mbegu walizopanda ndani yangu ya ndoto mungu nionekanie na familia yangu ameen😢
Najiungamanisha na ibada ktk jina la Yesu napokea uponyaji na kibali mimi na familia yangu ktk jina la Yesu amen
Mungu pigana nao wanaopgana nami.....wengine hatuwajui ni ndugu zetu....
Mimi ni mberezako mungu sinambelewalanyuma tazamasinakazi nafamiliya wananitegemeya mungu semakitu kwenye maishayangu mazingi ninayoyapitiyakwasasa nitafauti nauwezo wangu
Neno la Bwana linisimamie na kunitetea na familia yangu. Mishare irudi kwa walioituma
Kila mipango yote waliyopanga mibaya yawarudie wao Kwa jina la Yesu Kila maneno yanayotamkwa yenye laana natafuta Kwa Damu ya Yesu amen 🔥🔥
Bwana yesu kristo apewesifa
HALLELUJAH MUNGU kwa maombi ya madhabau ya siri za biblia BABA usinipite 🤲🤲🤲🤲🤲🧎🏻♀️🧎🏻♀️🧎🏻♀️🧎🏻♀️shugulika kwa yule ako na deni langu BWANA usinyamaze kwa familia,watoto wangu naomba ushuuda kupitia maombia haya dhihirika MTAKATIFU barikiwa sana pastor MUNGU akudishie maarifa,hekima yakutufunza AMEN AMEN AMEN
Aibu irudi kwao kwa damu ya Yesu
Thanks you my God kila mipango waliyoipanga kwaajili yakuhalibu maisha yangu iwaludie wao wenyewe kwa jina la yesu kristo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubarikii sanaa mtumishi nimepokea kwajina la yesu nimepata amani ndani ya moyo wangu
AMEENI MUNGU FUNGA KINYWA CHANGU NIFANYE MAMBO YANGU KWA SIRI NIKUTABISHE NA WATU SAHIHI 🙏
Amen mtumishi wa mungu akupe maisha malefu
Mtumishi wa mungu, Asante sana kwa haya mafunzo ya biblia mungu akuzidishie na akupe tamanio la moyo wako.nafurahia
haya mafunzo na nnazidi kufuatilia.asante.ni, violet nikiwa, Nairobi kahawa wendani.
Asante yesu nakualika maishani mwangu mungu ingilia Kati nakuomba😢😢
Kwa kweli nimesikia mwili wote unauma gafla asante Mungu Wangu wewe ni mponyaji wangu.
Amen sana mtumishi ,
Kwangu Mungu kajidhihilisha yaani jana jioni waliokaaa kikako na boss ofisini kunitoa kwenye nafasi yng na akapewe yeye Mmoja kapata ajari na kalazwaa na watafuata wote Kila Mmoja mpk boss kwa kushawishiwa
Nashukuru Mungu na nimemwambia bado mpk Kila m2 apata chake na wanijue kuwa Mimi ni chombo chako
Asante mungu nimebarikiwa kwa Neno na maombi Mungu atukuzwe ,mtetezi wangu yu hai
Tuko pamoja mtumishi namshukuru mungu kwa kunikutanisha nawe
Zidi kumtumikia mungu mchungaji
Asante kwa maombi haya mtumishi Mungu akubariki
Mungu akubaliki mtumishi akuinue zaidi na zaidi 🙏🙏
🙏🙏🙏mungu akubariki mtumishi haya maombi yalikuwa ni kwaajili yangu pia maana Nina maadui wengi lakin kwa Imani hii ya maombi naamini watakwenda kusambaratika wote na wataangamia wote mtumishi naomba no zako nikuambie maana ninachangamoto nyingi mnooo mungu akubariki sana
Pamoja na vita zote zilizokuwa zimevaa maisha yangu hakuna sehemu nilipokuwa nimepewa upenyo sasa nimefufuka na nimekung'uta aibu na uchafu wote Damu ya Yesu imefuta aibu zote na sasa natembea nikiwa shujaa
Ee mungu usinipe usiwapite watot n'a mme wangu🙌🙌🙏🙏
Nimepokea uponyaji kea jinalayesu
🙏🙏Narejesha Kila kilichoibiwa na adui kwa damu ya Yesu
Hallu jah mungu Kwa maombi ya Siri bibli Baba usinipite 👏👏👏👏
Nakuamini mungu wangu 🥹 nakuamini Kwa Kila kitu kwenye maisha yangu naomba mungu uniongezee moyo wa ibada nipe kukujua mungu nipe kupenda wewe mungu wangu 🙌
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Naomba mifugo yangu ikaniletee utajili kwa Jina la yesu
Nina jambo nataka niwaelezee kupitia hii wiki venye nimepitia niwaelezee kila siku najitahidi niamke wakati wa usiku.ili nishiriki maombi ya usiku lakini najikuta nikiamka saa saba usiku na dakika ishirini....wakat ya kuwa mda wa ibada umeisha naomba mniweke kwa maombi ili vizuizi ivi vinavyonifanya kushikwa na usingizi mzito vitoke kwa maisha yangu....
Shetani ashindwe kwa Damu ya Yesu 🙏
Amen Mungu akubariki sana mtumishi ennocent akupe maisha marefu uendelee kutufundisha ukweli wa neno la mungu
Nimepokea uponyaji kea kina LA
Mungu akubariki Mtumishi wa Bwana
Niko mbeya najiunganisha na mabahu hii
Amen.Mtumishi weka namba tutoe sadaka
Mahali hapa ni pazuri kama nini,Neno na Mungu tamu sana nimejikuta masaamatatu yote nimeyatumia kufuatilia haya mafundisho
MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI WA SIRI ZA BIBILIA
Asant sana pastor
Amina😢😢❤
Niponywe bwana mimi na Emanuel kusekwa
Nikweli kupitia hiii madhabahu nimewatambua adui zangu Cha kufanya Sina Mungu naomba ushughurike nao
Kila adui anaye nipiga vita mabaya yamurudie na njia yake naiwe giza na utelezi
Naomba amad akanilipe pesa yangu usiku hii asilale awaze deni langu asipate usingizi anilipe naowadai wasipate usingizi
Naomba laana zote zinazompata Emanuel kuzifuta kwa Jina la yesu naomba akafunguliwe akili zake
Narejesha heshima juu ya mume wang