MAKAMU WA KWANZA AFUKUA SIRI YA HISTORIA YA ZAIDI MIAKA 100 PEMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 20

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Месяц назад +3

    Masha Allah huyu anafaa kua rais wa nchi yetu kwa kuifahamu zaidi nchi yake Allah amuhifadhi na kila shari na amjaalie awe rais wetu 2025 ya rabbiii

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb Месяц назад +4

    Mashallah shukran sana kwa hadithi nzuri ❤

  • @BakariKhamisi-b7i
    @BakariKhamisi-b7i Месяц назад +1

    Allah akuwek atufanyie wepesi kwa pamoja nakupenda sana makamo wa kwaza

  • @salehali976
    @salehali976 Месяц назад +4

    The guy is on top of the game

  • @Ibnshomar
    @Ibnshomar 27 дней назад

    Historia ni kitu Muhimu sana ktk Jamii

  • @niyaabdi
    @niyaabdi Месяц назад +1

    MashaAllah

  • @niyaabdi
    @niyaabdi Месяц назад

    MashaAllah shukran ❤

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 Месяц назад

    Wazanzibar tutaamua mambo yetu pale tutakapokua tayari.
    saivi bado tunahadaliwa na tonge

  • @ChainesBoufee
    @ChainesBoufee Месяц назад +2

    Zanzibari kama watu wataacha uchawi tu bas mamb mmb mazur.

  • @AshaMussa-zp2no
    @AshaMussa-zp2no Месяц назад

    Ahsante makamo

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 Месяц назад +2

    Licha ya kuijua siasa na historia ipo kichwani

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 Месяц назад +1

    huyu ni mtoto wa maalim omar masud. bakora mtu kama hujuwi kusoma.

  • @baraghash4964
    @baraghash4964 Месяц назад +1

    Bila Shaka Mwenye akili anazungumza na wenye akili na wanamfahamu, hii ni zaidi ya thamani, kua na kiongozi mwenye kujua nn historia ya nchi yake na jambo gani linahitajika kuilinda nchi hiyo

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 Месяц назад +1

    DUH ,SASA NAAMINI NYERERE KUWAMALIZA WA ZANZIBARI NAKUWAJENGA WANA CCM ILI WAIPOTEZE ,MADIO MWINYI ANA JIPANGA KUKUMALIZIA YEYE NA WENZIE K7NA MASAOUNI NA VIJANA WA CCM ,MUNGU AKULINDENI WANA (ACT WA ZALENDO ).

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Месяц назад +1

      WAMETOKA WAINGEREZA
      ZANZIBAR
      SASA WATANGANYIKA✝️
      Kwa sababu ya Nyerere, Watanganyika wanakuja Zanzibar kutawala baada ya Waingereza kuondoka.
      Hussein Ali amewekwa Zanzibar kulinda Ukoloni wa Tanganyika dhidi ya Uislam wa Zanzibar.

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya Месяц назад

    Tanganyika Tanganyika katiba mpyaa Hawa Jamaal ndivyo walivyo kata inaitawa Tanganyika 😂😂😂

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 Месяц назад +1

    baba yake alikuwa boş wa. sikuli yapandani mwalimu mkubwa

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад +1

    ILI UWE KIONGOZI BORA LAZIMA UWAJUWE UNAO WAONGOZA

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 Месяц назад

    Hadithi za zamani kiasi hicho ni za kitumwa , let us suspend mental slaves