SIMULIZI YA KUSISIMUA: MAISHA YA UBAHARIA/ MIAKA 18 BAHARINI/TULIZAMA/ SOMALIA (S02EP05-PART 10)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 40

  • @salimgharib9888
    @salimgharib9888 Год назад +1

    Dahhh sio pow kabisaa yaani, Naamini tunajifunza Sana kupitia maisha ya Travellers na Sailors na hii haina kubanga mkono mmoja mpaka kielewke in sha allah. Home sweet home All the way here from Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿.. ndio kwanza nipo nina miaka miwili ila tunasonga sana Al hamdulillah

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Год назад +2

    ASSALAAMU ALEYKUM BROTHER HAJI BEST 🌊 SEAMAN MY ALLAH ALWAYS MAKE U HAPPY WITH UR LOVELY FAMILY IN 🇿🇦 ZANZIBAR. I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON. BUT I AM ORIGINAL FROM 🇰🇪 KENYA MOMBASA ALLAH BLESSED WHOLE WORLD AND 🌎 ALSO OUR 🇿🇦 ZANZIBAR. LIT OF DUA FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS.

  • @hadijaramadhani4801
    @hadijaramadhani4801 Год назад +1

    Nimefrai sana kaka haji nakupa hongera nyingi nakufatilia nikowa oman 🇴🇲 inshaallah tupee namba zako tukirud tuje kukisalimia😊

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 2 года назад +1

    Merci beaucoup brother dumba Na grand-père Aji apo tupo pa moja paka mwisho wa mchezo tuna jivuza vitu vingi Tu kutoka kwa babu aji apo Je suis ici Mayotte je suis comme un réfugié🇾🇹🇨🇱🤲🇹🇿🙏🇾🇹🇨🇱

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Год назад

    BROTHER HAJI SEAMAN FROM 🇿🇦 ZANZIBAR IAM REALLY LOVE UR STORIES BUT SOME ITS TOO SAD THE WAY TREAT U IN BAD WAY BUT ALLAH ALWAYS WITH YOU AND MY DUA ALWAYS WITH YOU UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 2 года назад

    Shukran sana kake Haji na mbanga tv pamoja

  • @abdallazuberi414
    @abdallazuberi414 2 года назад

    Dachman watching all the way from dubai.
    Salute kwa babuhaji.

  • @simonzabron5487
    @simonzabron5487 2 года назад

    Nimeipenda hii simulizi

  • @JumaHaji-kk8pw
    @JumaHaji-kk8pw Год назад

    👏👏👍👍👍

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 года назад +1

    👍
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 года назад

    Yeah noma sana brother 🔥🔥🔥

  • @mansourmakame355
    @mansourmakame355 2 года назад +2

    Babu haji angetupa ata namba ili tumsalimie na kutupa mafunzo ya maisha zaid kwakweli nimtu mkarim sana na hana majivuno

  • @rashidmohamed5724
    @rashidmohamed5724 2 года назад

    Nakubali sana brother Dupa

  • @kheriramadhan4603
    @kheriramadhan4603 2 года назад

    🔥🔥🔥

  • @ahmedrashid2486
    @ahmedrashid2486 2 года назад

    Babu is 10 katika mabahia wote number one true story

  • @omaryvenas4377
    @omaryvenas4377 2 года назад

    Duh!! Babu Adji kweli jembe la hukweli. Nimefata toka ep 1 hadi ep 10. Nimegunduwa kwamba mzee Adji ni mfano wa kuigwa.

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 года назад

    Nic story

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 2 года назад

    Kabisa bro

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 года назад +2

    Waarabu hawana cha dini wala utu licha ya kujiwa na uislamu roho zile zile tu za kijahilliyaa!!!!

  • @lizzybby2392
    @lizzybby2392 2 года назад

    🤗🤗

  • @khamisiramadhani3380
    @khamisiramadhani3380 2 года назад +2

    Tatizo lenu mkishaona story hinapendwa sana malingo yanakua mengi mala j5 msiweke mmeweka haichezi maanake nn sasa

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 2 года назад

    From qatar 🇶🇦

  • @ttss7716
    @ttss7716 2 года назад +1

    Huyu babu ajuwa kuhadithi yani kama movie😁

  • @Ahmedsaid-cu3kh
    @Ahmedsaid-cu3kh 2 года назад +2

    Sijawihi kuchoka kumsikiliza babu hajji

  • @lucymtuka6393
    @lucymtuka6393 2 года назад

    Story nzuri Sana ila muendelezo wa babu Haji lini

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 2 года назад

    Mbona leo dakika kidogo sana

  • @saidothmansleiman6322
    @saidothmansleiman6322 2 года назад

    Mm nimekosa kazi jana kwa sababu siwezi kuogelea

  • @nassorabdallah4203
    @nassorabdallah4203 2 года назад

    Nice day

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 2 года назад

    près de Mayotte grand-père Aji

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 года назад

    Twende kaZi season 2 na baharia haji

  • @yourboyayyad3197
    @yourboyayyad3197 2 года назад

    Sasa inaendelea lini hii

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 2 года назад

    Maisha yake mengi ya kusafiri toka 1984-2010 amekumbuka kujenga kujenga familia”

  • @khamisiramadhani3380
    @khamisiramadhani3380 2 года назад

    Hasa mbona haichezi sasa

  • @zahoralkharusi727
    @zahoralkharusi727 2 года назад

    Naomba number ya babu Haji

  • @selesaid8215
    @selesaid8215 2 года назад

    Tuko pamoja na mzee haji

  • @ismailkenge7085
    @ismailkenge7085 2 года назад

    Mze alikua na sifa sana ndoomaana anafukuzwa sana

    • @khalphanmanzi3900
      @khalphanmanzi3900 2 года назад

      Wewe umefatilia vizuri hii stor au umekurupuka tu kusema ulichokisema

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 года назад

    Hata huko ubaguzi wa rangi uko

  • @yusofyousuf9553
    @yusofyousuf9553 2 года назад

    Boti haipinduki boti huzama