SIMULIZI YA KUSISIMUA: MAISHA YA UBAHARIA/ MIAKA 18 BAHARINI/TULIZAMA/ SOMALIA (S02EP05-PART 08)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 48

  • @aminaali792
    @aminaali792 2 года назад +2

    Yaani huyu mzee akiuza hii story Hollywood atapata bonge la deal jamani hii ni stoy ya kuskitieha ya huyu mzee but ni bonge moja la movie kabisa 👌🏼❤️❤️

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 года назад +2

    Mzee ndo baharia wa kweli visibitisho anavyo Masha"Allah

  • @theroots2743
    @theroots2743 2 года назад +9

    Kuna vijana wengi wa ki TANZANIA waliopata elimu ya vitendo kutoka mataifa mbali mbali lakini hapo nyumbani hawajapata kuthaminiwa

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 2 года назад +4

    Babu Hajji tuko life mpaka kieleweke
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 2 года назад +2

    Babu Haji tuko pamoja, Shukran unanifanya kazi yangu iwe nyepesi masaa yanaenda haraka haraka Tupe storry ndugu zangu WATANZANIA tujifunze toka kwake

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 2 года назад +3

    Babu haji kiboko yao sio mzee wa Makaveli ni uongo na ukweli ndani yake, ila Babu Khaji nimemkubali sana

  • @mooking7913
    @mooking7913 2 года назад +3

    Big up yourself brother babu Haji your story is very inspirational to me and I wish you all the best from your fellow Tanzanian brother.

  • @johnmaniha8417
    @johnmaniha8417 2 года назад +2

    Simulizi safi sana

  • @mohamedallyrajabu8301
    @mohamedallyrajabu8301 2 года назад +6

    Huyu mtu sio wa kawaida serikali yetu hawathamini watu wenye skulls zao

  • @devmwalabu3193
    @devmwalabu3193 2 года назад +1

    Mzee namkubali kinoma noma

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 2 года назад +2

    Tupo pa moja babu aji na brother apo sema Nini brother unachelewesha Sana kipidi kwakweli sema tunashukuru Sana kwakweli from Mayotte 🇾🇹 à France 🇨🇱🇾🇹🇾🇹💯🔥👊 it's me bocha ochu

    • @saidyabdillah6249
      @saidyabdillah6249 2 года назад

      Babu Haji Story amesharecordiwa yote sehemu ya kwanza TEAM DAR 24 wanairusha kila wiki vipande viwili au ki1 na huo ndio utaratibu....SEHEMU YA PILI ITAKUWA INAHUSU MAISHA ALIOISHI MAYOTTE

    • @nahishakiyeassuman5541
      @nahishakiyeassuman5541 2 года назад

      Okay sawa saidi tunataka tuone apo Mayotte alishi aje Mimi Nipo apa

    • @saidyabdillah6249
      @saidyabdillah6249 2 года назад +1

      Yaani hii anayoitoa hv sasa kuanzia sehemu ya kwanza hadi hii ya 8 ni rasha rasha tu ya manyunyu lkn mvua yenyewe haswaa Brother Haji Omar ilimnyeshea Mayotte yaani Mayotte life lilimpiga na kumchakaza vibaya mnoooo yaani hyo ya Mayotte ni kali kuliko hii anayoisimulia hv sasa KAA MKAO WA KULA MZIGO UKO NJIANI UNAKUJA....ameishi Mayotte miaka mi4 anaijua Mayotte very well

    • @saidyabdillah6249
      @saidyabdillah6249 2 года назад

      Huyu Brother Haji mm ndio nimemkutanisha na Dupa, tupo wote huku ZANZIBAR na wote tupo ktk harakati za kibaharia

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 года назад +2

    Naipenda hii story

  • @salehkhamis3000
    @salehkhamis3000 2 года назад +2

    Wabongo wengi ndizo tabia zao mkiwa nje ukimpa kitu akuletee home hafikishi.

  • @rashidmohamed5724
    @rashidmohamed5724 2 года назад +1

    Pamoja brother Dupa

  • @mikeraphael957
    @mikeraphael957 2 года назад +2

    Ipo siku nitarudi Tz niwape mikasa ya maisha yangu!! Naishi USA na yaliopita ni historia kwangu!

    • @khamisiramadhani3380
      @khamisiramadhani3380 2 года назад +2

      Adi uje uludi sio leo fanya kujirecord tupia ss tutakusikiliza

    • @dupamdupange5918
      @dupamdupange5918 2 года назад +1

      naomba namba zako wa whatsup tuwasiliane ili tujue namna ya kuwasiliana

  • @jaydenkariuki6595
    @jaydenkariuki6595 2 года назад +1

    Shukrani baba mkubwa

  • @noahkiptanuikurui7330
    @noahkiptanuikurui7330 2 года назад +2

    Tumengoja sana

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 года назад +1

    Blessing bro jah bless 🙏

  • @selesaid8215
    @selesaid8215 2 года назад +3

    Tuko pamoja mwamba 💥

  • @mathew5133
    @mathew5133 2 года назад +1

    Nakubar mzee wa kuchechemua

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 года назад +1

    Babu hajiiii

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 2 года назад

    Safi kabisaa🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 2 года назад +1

    Ni mnoma sana babu haji

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 года назад +2

    Tulipe ya jumatano

  • @ibrahimsamwel1804
    @ibrahimsamwel1804 Год назад

    Baharia wa kweli brother

  • @TUMEKUTANA
    @TUMEKUTANA 2 года назад

    Huyu mzeee noma sana aiseee

  • @lupacrisamayc518
    @lupacrisamayc518 2 года назад +1

    Ya juma 5 hujaweka

  • @leitichjob985
    @leitichjob985 2 года назад

    Sehemu ya Tisa nangoja.(part 9).

  • @mwinyijumasupportmytalent7698
    @mwinyijumasupportmytalent7698 2 года назад +1

    Sehemu ya 09 lini

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 года назад +1

    Hio story ipo poa VIP ipo part 9

  • @bakamuubakamuu1556
    @bakamuubakamuu1556 2 года назад +2

    Mbona j5 mjatuwekea shida nn

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 2 года назад +1

    Mshaanza kuzingua !

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 2 года назад

    Mzee huyu angepewa fursa angesaidia sana.
    Kweli Tanzania bure kbs....!

  • @stevemathias2951
    @stevemathias2951 2 года назад

    Sehemu ya Tisa vipi

  • @ibrahimabdallah4858
    @ibrahimabdallah4858 2 года назад +2

    😁😁😁😁

  • @sportsbiotz
    @sportsbiotz 2 года назад

    Angalia baharia wazawa wakiokoa watu baada ya meli ya kigeni kuzama
    Gusa link hii apa chini kuangalia.
    👇🏾. 👇🏾. 👇🏾.
    ruclips.net/video/m8X5qFrmA9g/видео.html

  • @Ahmedsaid-cu3kh
    @Ahmedsaid-cu3kh 2 года назад +1

    Babu haji ulipo nipo

  • @saidyabdillah6249
    @saidyabdillah6249 2 года назад +1

    CHECHEMUAAAAA

  • @sephassimiyu433
    @sephassimiyu433 2 года назад

    Hii mazungumuso ni matamu sana

  • @TUMEKUTANA
    @TUMEKUTANA 2 года назад

    Paulbyser kacheka hahahah