NGUVU MBILI ZINAZOAMUA HATIMA YA MWANAUME | Deo Sukambi
HTML-код
- Опубликовано: 31 янв 2025
- Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza NGUVU MBILI ZINAZOAMUA HATIMA YA MWANAUME
Kwa ushauri nasihi piga +255 746 104 034 au e-mail booking@deosukambi.com
Unaweza Kusapoti huduma hii
TIGO PESA +255 715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
M PESA +255 746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
/ @deosukambi
Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
#DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano
Barikiwa mno mtaalam
Akili ni nyingi sana, watu kweli wanajua mambo, this is very deep
naitwa vitus ngonyani nikiwa songea nakukubali sana kaka
Shukran sana mkuu.. kwenye spiritual power ni muhimu sana kila mwanaume ajitafute.. hapa ndio kwenye satisfaction halisi ya kuishi hapa Duniani
Noma sana mzee baba najitafuta hapa
Tukaze mkuu
Anasema ukweli mtumishi
🇦🇪 nimejifunza
Nakuelewa sana pastor Deo sijutii kutumia mb zangu.
sija wai mke wangu kuniambia pole nakazi au kunblizi tu miaka zaidi 25
James from Dar es salaam.
Thank you so much for your efforts
Nikwel pastor leoo,,, umesema kitu kigumu san ila ndio ukwel mkuu wanaume wengi , atujitambui Kwann SS ni wanaume
Hii imeeleweka ni ukweli mtupu.