Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka Mm ninaombi kwa viongozi wa dini ya kiislamu mpenzi kazi inayoendana na dini yake Nimejikuta naumia alafu Sina Cha kumsaidia😢😢
Kumbuka habari zake firauni na hatimaake ilikuwa nin kwetu SS niukumbusho hata kama unajisifia Lakini sifahizo zitakuponza usijebaadae kwako yakawa majuto Huwa huo mziki qur ,an itakulipua
ungekuwa unazingatia usingee toboa masikio dhambi kubwa kwa Mwanamme anae jifananisha na Mwanamke kaalaniwa duniani na akhera yaKe sasa mshaanza kucheza na qruan yeke
Kwani kusoma quran ni kosa vp kwa wasiofanya mambo ya kidunia lakini ni wachawi na washirikina na wamekua wanafki wakifanya mambo hayo bila sisi kuwatambua ebu tuache imani mgandamizo
Anamfanyia Allah mtukufu istihzaai .....dah amakweli sasa tumefikia pabaya mpaka miziki itaimbwa kwa aya za quraan na wakemeaji wakikemea wanatukanwa na wapumbau wasiojua nini maana ya uislam subhaana llaah ..kijana acha tabia hiyo ...ujeur ni dhambi ya ibirisi aliye laaniwa
Bhanaaa mi naona tusimlaumu D""Voice""mbona Kuna mashehe tunawajua niwazinifuu tuu na niviongozii wa dinii vip kisa msanii huyu kasoma Quran kavaa hereni mna shaut
Wallah niwaomben watu wamitandao jakuna kikubwa kama kulifaham kosa nakuliombea msamaha. Kijana njoo in box nikupe kitu wenzio ndio sio miziki tu ilikuwa tu ndio tunasema et qaswiida majuto tunayo hakuna anaejuwa kwaiyo sasa wewe miziki nakuchezea acha. Acha acha nautubiye nahongera.
Sasa kati yake na wewe nan laana ya Allah imshukie? Aliyemuumba tu hajamwita mbwa vipi wewe umwite kwa majina maovu? Dini haindew kwa pupa bali unayejiona uko sahihi basi mwelekeze anayekosea kwa hekma sio matusi, mnaiharib taswira ya dini
Acheni kuleta mchezo kwenye dini unadoso kurani umeva hereni umeunganisha nywele mungu sio daimondi acheni utani na mungu
Waalaniwe wote wanao Chezea dini ya mwenye zimungu
hilo ni jikafiri
anakosea sana subhanAllah
Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka
Mm ninaombi kwa viongozi wa dini ya kiislamu mpenzi kazi inayoendana na dini yake
Nimejikuta naumia alafu Sina Cha kumsaidia😢😢
Ndugu yangu rudi kwa Allah Acha ayo mambo kuna udongo mziti unakuja juu ya mwili wetu rudi ktk mstari ndugu yetu ktk iiman Acha kumtwii shaytwani
Jamani tuacheni mchezo na maneno ya mungu tusilete mzaha na qur,an hakika sikuya mwisho SS ni kuni
Allaahuma jaalnaa husnul-khaatima
Ifike tumuogope Allah hata kama kama kitabu kipo kichwan hakiendan na ulivyo kikubwa tubia Allah atakusamehe maisha ni mafupi makazi yetu ni akhera
Hasomi sawa.... zengine anabadilisha maan....SI fresh mwamba
Soma Dini yupo sawa
Hata kama umejaaliwa elimu i2mie kwa ufasaha NDUGU muogope allah Kwan yeye ni mkali wa kudhibu acha upumbavu
SUBHANA ALLAH
anapata lana 2o quruan anaijuwa au anatania angeijuwa qsinge imba mziki
Dah .
Jamani laanatu llah elimu gn ulonayo inaboronga quraan km ivyo jaman mpka uchungu jamani naumia
Kijana uko saw lakin Rudi Kwa mola wako huko ulikoingia siko broo
Kumbuka habari zake firauni na hatimaake ilikuwa nin kwetu SS niukumbusho hata kama unajisifia Lakini sifahizo zitakuponza usijebaadae kwako yakawa majuto Huwa huo mziki qur ,an itakulipua
Dogo achakujichanganya ,umeamua kumfata shetani usimjaribu Muumba,utapotea .
Njia nimbili ya shetani au Allah.
Hizi ni nasaha tu.
ungekuwa unazingatia usingee toboa masikio dhambi kubwa kwa Mwanamme anae jifananisha na Mwanamke kaalaniwa duniani na akhera yaKe
sasa mshaanza kucheza na qruan yeke
quraan haimsaidii dhaalimu bali inampa khasara tu ....quraani inawasaidia wachamungu sio dhaalimu
Hereni maskioni arafu unamzihaki Allah
Wewe acha kumchezea mungu
Kwani kusoma quran ni kosa vp kwa wasiofanya mambo ya kidunia lakini ni wachawi na washirikina na wamekua wanafki wakifanya mambo hayo bila sisi kuwatambua ebu tuache imani mgandamizo
Kitabu kingekuwepo usinge Imba wala usinge weka nyele ya kusuka
Hii dini ya uislam si dini ya mchezo mchezo Wacheni mzaha na hii dini
Anamfanyia Allah mtukufu istihzaai .....dah amakweli sasa tumefikia pabaya mpaka miziki itaimbwa kwa aya za quraan na wakemeaji wakikemea wanatukanwa na wapumbau wasiojua nini maana ya uislam subhaana llaah ..kijana acha tabia hiyo ...ujeur ni dhambi ya ibirisi aliye laaniwa
Soma poa unajua ila unafanya Mzaha na Quran
🎉🎉🎉🎉🎉
🤲🤲🤲
Haikuwa mabalaa inayotufika ila n kutokana na machumo ya mikono yetu wenyewe
Bhanaaa mi naona tusimlaumu D""Voice""mbona Kuna mashehe tunawajua niwazinifuu tuu na niviongozii wa dinii vip kisa msanii huyu kasoma Quran kavaa hereni mna shaut
usimdanganye mwenzio tafadhal huna pepo ya kumuweka na wala huwezi kumsaidia adhabu ikimkuta acha kutetea ujinga
Asante
Tena kafiri mkubwa na hajui chochote ktk quraan uyo jamani
Wallah niwaomben watu wamitandao jakuna kikubwa kama kulifaham kosa nakuliombea msamaha. Kijana njoo in box nikupe kitu wenzio ndio sio miziki tu ilikuwa tu ndio tunasema et qaswiida majuto tunayo hakuna anaejuwa kwaiyo sasa wewe miziki nakuchezea acha. Acha acha nautubiye nahongera.
Unasoma una herini du mtihani
😢😢
hongera sanaa
Una elimu gni mbwa ww hujui chochote quraan mchezo mbwa mwanakharamu ww
Ulitarajia asome sawa? Alie acha Quran pia humwacha
Kafiri
Achana nae
Mcba
Yaani ktk quraan humo kabisa laanatullah ww na huyu diamond wenu laanatu llah mnacheza na allah mbwa nyinyi
Sasa kati yake na wewe nan laana ya Allah imshukie?
Aliyemuumba tu hajamwita mbwa vipi wewe umwite kwa majina maovu? Dini haindew kwa pupa bali unayejiona uko sahihi basi mwelekeze anayekosea kwa hekma sio matusi, mnaiharib taswira ya dini
Asante