DIAMOND AGEUKA MBOGO AKASIRIKA AMGOMBEZA JAMAA HUYU USIKU WA 'PRIVATE PARTY', SALLAM AINGILIA KATI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 ноя 2023
  • Ni headlines za Msanii na Mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz ambapo Novemba 19, 2023 ameandaa private party inayofanyika Elements Masaki Jijini Dar es Salaam kwaajili ya kumkutanisha Msanii wake mpya aitwae D Voice na mashabiki wa Bongo Fleva.
    Hapa nimekusogezea ushuhudie pale Diamond alichokwazika baada ya Jamaa kuleta usumbufu mahali ambapo D Voice alipokuwa akichezea Santuli.

Комментарии • 277

  • @HOLIDAYNEWS946
    @HOLIDAYNEWS946 6 месяцев назад +34

    Diamond platnumz keep moving forward my g much love from 🇳🇬

  • @djjohn255tz9
    @djjohn255tz9 6 месяцев назад +9

    d voice n multi talented kweli maan kumbe n dj pia

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 6 месяцев назад +19

    Simba we love you, always!❤

  • @ushyentoabdulnunu8044
    @ushyentoabdulnunu8044 6 месяцев назад +5

    D Voice yko n Vibe i like it ❤❤❤😊🇰🇪😘😉

  • @franciskassanga7999
    @franciskassanga7999 6 месяцев назад +20

    D Voice anahitaji confidence ndogo sana, namuona akiupeleka Mziki wa Singeli kwenye jukwaa la kimataifa #SwahiliSoundToTheWorld💥

    • @user-js6qv9eu6q
      @user-js6qv9eu6q 6 месяцев назад +1

      Mute sound😅😅

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 6 месяцев назад +3

      Singeli haiendi kokote hata uwe WCB labda iende Kenya😂

    • @stephanojohn7266
      @stephanojohn7266 6 месяцев назад

      @@djhdscratchmaster4110 mbona kama Iko personal 😅😅😅

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 6 месяцев назад

      @@stephanojohn7266 Siyo kwa ubaya,huyo itabidi ajifunze mziki mwingine hizo singeli jau sana

  • @EindySab
    @EindySab 6 месяцев назад +12

    Leo nimekuwa first viewers like leo sizitaki lkn tia tuh

  • @MichaelJames-tp6co
    @MichaelJames-tp6co 6 месяцев назад +17

    Hapo mama Amina wanaitikiaje vile, yote kwa yote nakubali jamaa anavyoitafuta pesa kwa nguvu zote, big up sana,

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 6 месяцев назад +1

      🤣🤣unataka tutukane kwenye koment😂

    • @MichaelJames-tp6co
      @MichaelJames-tp6co 6 месяцев назад

      @@nancyg8664 hivie dah! ndio vioo vyetu vya jamii

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 6 месяцев назад

      @@MichaelJames-tp6co hahah we acha tu

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 6 месяцев назад +21

    Mondi kuwa makini na vinywaji vyako bro waliokuzunguka wengi wanafki kukuzuru simpo sn mkuu na gemu la bongo bado linakuitaji sana

    • @jonasibraysoni1859
      @jonasibraysoni1859 6 месяцев назад +3

      Uyu ni ngumu mzeee

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 6 месяцев назад

      ​@@jonasibraysoni1859ugumu upo wapi sasa mzee? mi naona ushauri wa mshkaji ni mzuri we usiweke maswala ya ushabiki

  • @DancanKingstar
    @DancanKingstar 6 месяцев назад +1

    SimbaLaMasimba You inspire us bro we umemtoa kionde Na ray 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @TajiriHalisi-ez1tf
    @TajiriHalisi-ez1tf 6 месяцев назад +2

    Simßaaaaahhh🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🙌🙌🙌Haujuiiiii🤙🤙🤙

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 6 месяцев назад +5

    Uyu kijana mpya wa WCB anajua kuchezea izo vitu apo mbele sijui vinaitwaje mimi ni nomaa

    • @Djdiortz
      @Djdiortz 6 месяцев назад +1

      Anatumia pc hapo hizi mashine hajatumia

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 6 месяцев назад

      @@Djdiortz ooo ok thanks

  • @juma4hamis653
    @juma4hamis653 6 месяцев назад +6

    Msanii we2 mpya mbn miwan ileile kila cku,anaua brand bana

  • @laurentjozee8777
    @laurentjozee8777 6 месяцев назад +14

    Daaa security ipo weakness sana maadui wanaweza kutumia kama chance ya kumdhuru

    • @Boysukke
      @Boysukke 6 месяцев назад +1

      Anapasukaaa kama kanaleta ujuaji 😂

    • @Andribra
      @Andribra 6 месяцев назад

      Labda na yy analindwa na mungu wake ..........😮 Kam mwanae zuchu😅

  • @bigduck2196
    @bigduck2196 6 месяцев назад +1

    we zombie. haujui ❤❤

  • @user-qb6kb2uw4n
    @user-qb6kb2uw4n 6 месяцев назад +3

    Huyo ndo Simba la masimba dangote🎉

  • @ramadhanihoti2376
    @ramadhanihoti2376 6 месяцев назад +18

    Daimondi platinum ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ej6jp7my1i
    @user-ej6jp7my1i 6 месяцев назад +2

    Simba mzee umechina kuma la mama yko amina

  • @wizzyjabary7777
    @wizzyjabary7777 Месяц назад

    DJ D VOICE🔥🔥🔥🔥🔥

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 6 месяцев назад +22

    Mody tafadhali chunga vikombe vyako wengi wako siwazuri apo utaekewa sumu siombi

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 6 месяцев назад +2

      Thubutu hapo kuna mizizi Ya kila aina kama nywaya Za tanesko

    • @jescanicodemus
      @jescanicodemus 6 месяцев назад

      @@sonnyr1899😂😂😂😂😂 kabisaaa

  • @Djdiortz
    @Djdiortz 6 месяцев назад +3

    Huyo mwana sound engineer

  • @abdillahmchia8557
    @abdillahmchia8557 6 месяцев назад

    Nisanueni tatizo ni nini hapo

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py 6 месяцев назад +3

    Kumbee mondii anamakasikoo hivio😂😂😂sijawahi kumuon😂😂

  • @dramamusic3008
    @dramamusic3008 6 месяцев назад +1

    3:00 save

  • @JansanMokiwa-hr6hl
    @JansanMokiwa-hr6hl 6 месяцев назад +3

    D voice kumbe ni Dj pia

  • @MuemedeManinga
    @MuemedeManinga 6 месяцев назад +12

    Mond ni noma!

  • @betinvestment3204
    @betinvestment3204 6 месяцев назад +3

    Jamaa alikua sahihi kulinda kifaachake kisiingie kinywaji atakama atalipwa hatukumuelewa tu

  • @alexcheriance3723
    @alexcheriance3723 6 месяцев назад +17

    Zichunge sana achana nauzembe unaacha kikombe chako hapo usiwe unaamini Watu plz msani wangu 😢😢😢 chunga Sana kikombe chako uko unatumia plz.

  • @SandreAlhlwah-bv1cx
    @SandreAlhlwah-bv1cx 6 месяцев назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯🙌🙌🙌

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 6 месяцев назад +2

    Mpitie na kwangu

  • @Nalitumpaboy-dm4tk
    @Nalitumpaboy-dm4tk 6 месяцев назад +15

    Mondi utawekewa sumu naww maan ilo likikombe limekaa sana hapo

    • @EnockLubengo-uu3zi
      @EnockLubengo-uu3zi 6 месяцев назад +2

      Exactly 💯 from 🇿🇲🇿🇲

    • @giztony2009
      @giztony2009 6 месяцев назад +3

      Sawa ila kuna dawa ipo kigoma mtu akikupa sumu ukishika kitu kinaanguka automatically kwa kuwa mondi ni mtu wa kigoma nadhani anayo iyo dawa

  • @Seluh_classic
    @Seluh_classic 6 месяцев назад +14

    Hiki alichofanya D voice angefanya kabla ya kuingia WCB wangemtoa kama mbwa umo juu ndo ukubwa wa lebo 😂😂🙌🏿

  • @opajumaismail8621
    @opajumaismail8621 6 месяцев назад +3

    Nama Simba Nama Simba dangote hakika unatisha

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 6 месяцев назад +2

    Unatukana vipi na mic umeshika wew jamaa

  • @uaeuae1871
    @uaeuae1871 6 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @lundaboytz4912
    @lundaboytz4912 6 месяцев назад +2

    Jamaa wamemsign DJ wa Visingeli hatofautiani na DJ Tito

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 6 месяцев назад +2

    Huyu ni DJ mwenzetu mbona kasajiliwa kama msanii kwenye lebel😁😁

  • @user-fr4dz4dl5y
    @user-fr4dz4dl5y 6 месяцев назад +12

    Dogo yupo vizur

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 6 месяцев назад +3

    Ninacho kijua Dunia ii auwez pendwa nawatu wote

  • @ibrahkartel9778
    @ibrahkartel9778 6 месяцев назад +2

    Mbona maneno anayoongea jamaa mnakata mnazingua huenda kuna kitu hakiko sawa

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 6 месяцев назад

    Mimi hata sishangai mwamba kuacha kikombe popote najiuliza anakunywa nini na haiishi😅😅

  • @Xlim_xwaggz
    @Xlim_xwaggz 6 месяцев назад +5

    Hajafanya kitu kizur ata sas ndio mpaka amtukanie kwenye mic na n msanii mkubwa anauangalizi pia management watu wa usalama wapo si ushamba huo ili apate v edline vingi vingii kwenye party moja kam hivi😢

    • @jumbalasauti
      @jumbalasauti 6 месяцев назад +3

      Hii imepangwa tu. Hakuna Lolote hapo. Wanatuchezea Akili tu

    • @Xlim_xwaggz
      @Xlim_xwaggz 6 месяцев назад +1

      @@jumbalasauti ili wateke mitandao hawa watangazaji si wanalipwa sikuizi ukimpaisha mtangazaji sas apo ttzo llkua n nini inaboa kwel ktu kdg kukfanya kkubwa wakt s tunaona kbsa n kdogo

  • @jumaselestine8498
    @jumaselestine8498 5 месяцев назад

    Jamaa ana wivu sana

  • @raginauthor1881
    @raginauthor1881 6 месяцев назад +1

    WA kwanza

  • @jumamstapha9558
    @jumamstapha9558 5 месяцев назад

    Angekua jini basi auvipi mana mondi mungu mtu atakua sasa

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 6 месяцев назад

    Wcb for life

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 6 месяцев назад +5

    Usicheze na tabia za singeli. Umeualika mziki wa singeli jiandae na tabia zake usipokaa vizuri unakutoa kwenye reli. 😟

  • @tamimuomulungi2102
    @tamimuomulungi2102 6 месяцев назад

    Nmemuelawa dj ana msimamo

  • @mwaijaomari-cx1oj
    @mwaijaomari-cx1oj 6 месяцев назад +2

    Mond mond mond ckuelewi kaka unapoelekea we mwenyewe utafanya watu wakuchukulie kawaida..

  • @joejackson9282
    @joejackson9282 6 месяцев назад +3

    Anaenjoy sana udj mbona?😂

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 6 месяцев назад +18

    MKIAMBIWA DAI MSWAHILI HAMTAKI,,,MSANII MKUBWA UNA WATU KIBAO,,UNABWATUKA BWATUKA...

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 6 месяцев назад

    Jama timu mpinzani ndio ipi mi sijaelewa.....team gani tena

  • @shd12m55
    @shd12m55 6 месяцев назад +3

    Nyie gombaneni tu uko,,sisi Giant tupo konde village na mmakonde leo tunatafuna mbuzi choma hapa🎉

  • @cuulkidd
    @cuulkidd 6 месяцев назад

    Mbn cjaelewa 🤔

  • @twangalatwizzy2041
    @twangalatwizzy2041 6 месяцев назад +1

    anagoma na mic😂😂😂😂

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 6 месяцев назад +2

    KWA MTAZAMO WANGU NA SIO KWA UBAYA, SIONI KIJANA HUYU AKIENDA MBAAAALI SANAAA KUTOKANA NA AINA YA MZIKI WAKE NA LEVEL WANANYOTAKA KUMPELEKA

    • @Mohaa4309
      @Mohaa4309 6 месяцев назад +2

      Singeli yaeza fika mbali ikipata muwekezaji, rhumba yapendwa hadi ulaya na hawaimbi kizungu,.... Alafu ujue singeli nkama tu house music au nkama tu Teckno music wazungu wapenda saana Wallah

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 6 месяцев назад +1

    Safii Dogo ❤❤❤❤❤

  • @rainaraymond704
    @rainaraymond704 4 месяца назад

    Nzuri, lakin D unamzika JM kihuni sana

  • @user-vx9po2yf1i
    @user-vx9po2yf1i 6 месяцев назад +2

    Hili jamaa Lina roho mbaya Sana hapendi kuona wenzake wakiwa juu kimuziki hasa mmakonde,,umeshashindwa

    • @fj8317
      @fj8317 6 месяцев назад

      sasa mafanikio ya mondi ni ya kumaindi mafanikio yapi ya harmo na ww

  • @user-qc4nr5dz9j
    @user-qc4nr5dz9j 6 месяцев назад +1

    Amna lolote sofa tu kunamdemu anataka ajioneshe kuwa anajua kumaindi ushamba uo

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 6 месяцев назад +16

    Mond mnyama sanaa😂

  • @HalimaMohammed-wv7uf
    @HalimaMohammed-wv7uf Месяц назад

    anakuja n kasi sana huyu kaka

  • @EricDudu-mt1xc
    @EricDudu-mt1xc 6 месяцев назад +27

    Huo jamaa alitumwa na Mawana Fa kuvuruga party ya Diamond Platnumz...Chuki inatawala Tanzania 🤞😭

    • @palistrofruly
      @palistrofruly 6 месяцев назад +1

      Mwana FA kamtuma? Acha basi

    • @daudmwalimu971
      @daudmwalimu971 6 месяцев назад +1

      😂😂😂dah! Ila bongo mwe😂😂

    • @blodinfx4670
      @blodinfx4670 6 месяцев назад +1

      🤣🤣🤣 kah

    • @datyfair
      @datyfair 6 месяцев назад +3

      We hauna akili em muombe radhi FA

    • @kwzjkwz3532
      @kwzjkwz3532 6 месяцев назад +1

      Mchapeni makofi

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 6 месяцев назад +3

    He nchi hii nqona vijana wao starehe ndy nqmba 1

  • @user-kg1fs3zf7o
    @user-kg1fs3zf7o 6 месяцев назад +12

    Mondi nakubar sana

  • @f2abooksuppliers122
    @f2abooksuppliers122 6 месяцев назад

    2:58

  • @kiya0910
    @kiya0910 6 месяцев назад +115

    Huyo konde bila Simba asingekua konde kwahiyo hishima ibaki Kwa Simba konde haez shindana na simba

  • @HijerShaban-ok8wk
    @HijerShaban-ok8wk 4 месяца назад

    Kwann utumie mic private violence c kujizalilisha simba..sio kila tabia yako watu waijue

  • @ISSACCECYTIN
    @ISSACCECYTIN 6 месяцев назад +4

    Ninachoojuaa diamondi kwa saasa ata nyamaza katika majukumu yakee ata mpambania d voic

  • @queen_zashi
    @queen_zashi 6 месяцев назад +3

    Imepangwaaa hiyooooo aooooo

  • @ashurayasini7085
    @ashurayasini7085 6 месяцев назад +7

    Mond anapenda content jamaniiii😂😂😂😂😂😂 yaan ishu kbsaaa imepangwa

    • @edwinamos9734
      @edwinamos9734 6 месяцев назад +1

      Ahsanteh kwa kutusanua 😢😢😢 ka ugomvi kamchongo.

    • @feronandsulubu6711
      @feronandsulubu6711 6 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

    • @einsteinmboje4730
      @einsteinmboje4730 6 месяцев назад

      Sasa Hyo Nayo Ni Content?? …Imsaidie Kufanya Nn Labda Kwenye Carrier Yake ?? …. Hivi Nyie Bado Tu Hamjakubali Kwamba Mondi Tayar Ndio Superstar Namba 1 Tanzania Hana Haja Ya Kujipromote Kijinga 😂🚮…HateIsReal

    • @bhokesaid3264
      @bhokesaid3264 6 месяцев назад

      Niliitafuta hii comment sana🤗

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 6 месяцев назад +4

    Konde yuko juu Sana

  • @acksondavid1522
    @acksondavid1522 6 месяцев назад +2

    Sa itakuaje

  • @user-sb8mg9pz6n
    @user-sb8mg9pz6n 6 месяцев назад +1

    we zombieeee!! aujuiiii

  • @magulalutonja1172
    @magulalutonja1172 5 месяцев назад

    Du e bana e😂😂 body guard kaona aingie pale

  • @alexcheriance3723
    @alexcheriance3723 6 месяцев назад +4

    Plz plz plz simba msani wetu we still need you achaana na uzembe boardgard wako anafanya nini mbone hakusimamie nakukuonyesha makosa unaofanya usiwe unaamini Watu I mean kikombe unakiachia anywhere..... Natena uko unakitumikisha 😢😢😢.

  • @Mkombozi255
    @Mkombozi255 6 месяцев назад +3

    FA atakuwa kamtuma huyo jamaa ✋🏾✋🏾

    • @allencharless6730
      @allencharless6730 6 месяцев назад +1

      Hujui kituu don’t comment kitu hujui usichukulie mambo juuu juuu

  • @Westetv
    @Westetv 6 месяцев назад +3

    Diamond naomba huyodogo umfundishe mziki wasafi nasingeli wapinawap chibu unazingua

    • @yunyun799
      @yunyun799 6 месяцев назад +1

      😂😂😂

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 6 месяцев назад

    Eti team pinzani

  • @user-yv6bi8rj5z
    @user-yv6bi8rj5z 6 месяцев назад

    Mond kua makin shaur yko

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda 6 месяцев назад +8

    Hovyo sana mnd

  • @Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi
    @Saiditofikisaidiramadhan-mk2xi 6 месяцев назад

    😢😢😢😢😢

  • @romytv254ke
    @romytv254ke 6 месяцев назад +1

    Ushamba

  • @user-et4kn6bd8l
    @user-et4kn6bd8l 6 месяцев назад

    Simba kama simba

  • @meckalex4648
    @meckalex4648 6 месяцев назад +4

    Hamna kitu hapo kazi ipo kwa konde boy jeshiiiiiiiiiiiii❤

    • @Harunmuliy
      @Harunmuliy 6 месяцев назад

      ww kale mavi huko

    • @asmajamani2967
      @asmajamani2967 6 месяцев назад

      Sasa huku umefata umbea au

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 6 месяцев назад

      ​@@asmajamani2967hapo sasa😂😂

    • @rashowshine7849
      @rashowshine7849 6 месяцев назад +1

      Umefata nini Huku mbwa wewe matako

    • @zuhuraally171
      @zuhuraally171 6 месяцев назад +1

      Siuwende sasa uku umefata Nini

  • @deedesheboytv254
    @deedesheboytv254 6 месяцев назад +3

    Kwani mlisign dj ama😂

  • @daudimlamka1239
    @daudimlamka1239 6 месяцев назад +2

    Wamepanikiiiii

  • @zawadiissah4654
    @zawadiissah4654 6 месяцев назад +1

    Piga kazi Mond

  • @starjay3052
    @starjay3052 6 месяцев назад

    nakubali mondi

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 6 месяцев назад +2

    Kumbe Diamond sikidogo kadhani nimupole kumbe kanamaneno kweli 😂😂🤣

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 6 месяцев назад +5

    We mirlad ayo andika kuhusu bandari zetu ZIIMEUZWA ZOOTE acha ujinga

  • @user-vw5gy9mv6r
    @user-vw5gy9mv6r 6 месяцев назад

    una chuki ya nn sheikh wanguu 😅😅😅zombi

  • @FantuzzInvestment-lq6vn
    @FantuzzInvestment-lq6vn 6 месяцев назад

    U chokooo mondi

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 6 месяцев назад +1

    Hii ishu yakupanga

  • @makkamakka9171
    @makkamakka9171 6 месяцев назад +2

    Mama amina nini🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣

    • @letshavealiltalk2313
      @letshavealiltalk2313 6 месяцев назад

      Af Millard sjui hajaisikiliza vzr🤣🤣🤣🤣inakuaje hajakata hizo sauti za "k*mamak*"

    • @makkamakka9171
      @makkamakka9171 6 месяцев назад +1

      @@letshavealiltalk2313 🤣🤣🤣🤣🤣 acha kbx nmecheka kama mazur

    • @letshavealiltalk2313
      @letshavealiltalk2313 6 месяцев назад

      @@makkamakka9171 🤣🤣🤣tumuombee basata wasisikie

    • @makkamakka9171
      @makkamakka9171 6 месяцев назад +1

      @@letshavealiltalk2313 itakula kwake huyo dogo na alivyo mwembamba 😂😂

    • @letshavealiltalk2313
      @letshavealiltalk2313 6 месяцев назад

      @@makkamakka9171 🤣🤣🤣🤣eti mwembamba

  • @amrilukindo1353
    @amrilukindo1353 6 месяцев назад

    Uyo domo mshamba 2

  • @ShukuruMuhima-em7eu
    @ShukuruMuhima-em7eu 6 месяцев назад +2

    Simba ❤️

  • @elizabethmoraa5324
    @elizabethmoraa5324 6 месяцев назад

    Kumbe mond hukasirika

  • @landryalexander8353
    @landryalexander8353 6 месяцев назад +3

    Kwanza kibaya😂😂😂, ila mondi sijui anajionaj yan😂

  • @user-vu6gw3xt2n
    @user-vu6gw3xt2n 6 месяцев назад

    Kayakanyaga kwa simba

  • @cleveronlinemedia820
    @cleveronlinemedia820 6 месяцев назад

    Kama umemuona huyo jamaa mfupi kama alikuwa anataka kubadilisha kinywaji half mondy kashtuka kaondoka nacho