- Видео 152
- Просмотров 286 776
Wahda TV
Добавлен 23 мар 2021
Hello everyone🤚 welcome to My channel , i’m a Tanzanian lady ,born and raised in Tanzaniana .
Welcome to my channel with different types of adventure .
Follow me on social Media (inst,facebook, tiktok)🙏
Welcome to my channel with different types of adventure .
Follow me on social Media (inst,facebook, tiktok)🙏
Видео
HII HAPA MIKWAJU YOTE YA PENATI YANGA6-AZAM 5
Просмотров 65 месяцев назад
HII HAPA MIKWAJU YOTE YA PENATI YANGA6-AZAM 5
GOLI KIPA WA SIMBA AYOUB LAKRED AKIONYESHA UWEZO WAKE WA HALI YA JUU
Просмотров 9858 месяцев назад
GOLI KIPA WA SIMBA AYOUB LAKRED AKIONYESHA UWEZO WAKE WA HALI YA JUU
NANDY AFUNGUKA KOLABO YAKE NA USHER RAYMOND, KUMSUSA MSANII WAKE YAMMI
Просмотров 408 месяцев назад
NANDY AFUNGUKA KOLABO YAKE NA USHER RAYMOND, KUMSUSA MSANII WAKE YAMMI
MAAJABU NG’OMBE 100 WACHINJWA KWA LOWASSA
Просмотров 2,1 тыс.9 месяцев назад
MAAJABU NG’OMBE 100 WACHINJWA KWA LOWASSA
CLAM VEVO ANA HATARI ATAPEWA DADA NA MWAKATOBE
Просмотров 1,2 тыс.9 месяцев назад
CLAM VEVO ANA HATARI ATAPEWA DADA NA MWAKATOBE
NDOA YA HAJI MANARA NA ZAILISSA “FULL SHANGWE
Просмотров 3389 месяцев назад
NDOA YA HAJI MANARA NA ZAILISSA “FULL SHANGWE
SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA WAKISHEREKEA SIKU YAO ZANZIBAR
Просмотров 19910 месяцев назад
SHANGWE LA MASHABIKI WA SIMBA WAKISHEREKEA SIKU YAO ZANZIBAR
CHEKI MANARA AKIKATA MAUNO NA ZAYLISA
Просмотров 3,9 тыс.10 месяцев назад
CHEKI MANARA AKIKATA MAUNO NA ZAYLISA
CHEKI SARAH WA CLAM VEVO ALIVYOMYOOSHA MWAKATOBE
Просмотров 67 тыс.10 месяцев назад
CHEKI SARAH WA CLAM VEVO ALIVYOMYOOSHA MWAKATOBE
BEKA ASHINDWA KULIPA MAHARI MILION 20
Просмотров 69510 месяцев назад
BEKA ASHINDWA KULIPA MAHARI MILION 20
CHEKI AMINA HAMZA WA TIKTOK ALIVYOTANGAZA PENZI LAKE NA MUME WA MTU
Просмотров 22210 месяцев назад
CHEKI AMINA HAMZA WA TIKTOK ALIVYOTANGAZA PENZI LAKE NA MUME WA MTU
CHEKI MR MWANYA ALIVYOMCHAPA CLAM VEVO WE NI MDOGO WANG TU
Просмотров 13 тыс.10 месяцев назад
CHEKI MR MWANYA ALIVYOMCHAPA CLAM VEVO WE NI MDOGO WANG TU
Salama za sikukuu kutoka kwa Mwenyekiti wa klabu ya simba, Murtadha Mangungu
Просмотров 1710 месяцев назад
Salama za sikukuu kutoka kwa Mwenyekiti wa klabu ya simba, Murtadha Mangungu
HUTAKI KUMCHANGIA FEISAL SISI TUTAMCHANGIA
Просмотров 7Год назад
HUTAKI KUMCHANGIA FEISAL SISI TUTAMCHANGIA
Blessing (official lyria Audio) Anjella
Просмотров 12Год назад
Blessing (official lyria Audio) Anjella
Do you have pasta and eggs at home?? Easy and quick recipe
Просмотров 24Год назад
Do you have pasta and eggs at home?? Easy and quick recipe
Do you have a Glass at home? Few people know this secret !! It’s just a BoMB
Просмотров 26Год назад
Do you have a Glass at home? Few people know this secret !! It’s just a BoMB
Hata kama umejaaliwa elimu i2mie kwa ufasaha NDUGU muogope allah Kwan yeye ni mkali wa kudhibu acha upumbavu
Watanzania hawana AJIRA eti mnaleta Robot na Kwa ushamba eti tunashangilia, Tanzania inachekesha sana
Soma poa unajua ila unafanya Mzaha na Quran
Mpumbavu kama huyo Gigy mabangi warithi lazima wapatikane wajinga kama yeye.
Oky
Kumbuka habari zake firauni na hatimaake ilikuwa nin kwetu SS niukumbusho hata kama unajisifia Lakini sifahizo zitakuponza usijebaadae kwako yakawa majuto Huwa huo mziki qur ,an itakulipua
Jamani tuacheni mchezo na maneno ya mungu tusilete mzaha na qur,an hakika sikuya mwisho SS ni kuni
😊 روعة ❤
😊 روعة
Kijana uko saw lakin Rudi Kwa mola wako huko ulikoingia siko broo
*promo sm*
Allaahuma jaalnaa husnul-khaatima
Yaani ktk quraan humo kabisa laanatullah ww na huyu diamond wenu laanatu llah mnacheza na allah mbwa nyinyi
Sasa kati yake na wewe nan laana ya Allah imshukie? Aliyemuumba tu hajamwita mbwa vipi wewe umwite kwa majina maovu? Dini haindew kwa pupa bali unayejiona uko sahihi basi mwelekeze anayekosea kwa hekma sio matusi, mnaiharib taswira ya dini
Una elimu gni mbwa ww hujui chochote quraan mchezo mbwa mwanakharamu ww
Tena kafiri mkubwa na hajui chochote ktk quraan uyo jamani
Jamani laanatu llah elimu gn ulonayo inaboronga quraan km ivyo jaman mpka uchungu jamani naumia
Shemeji marehemu kayeyuka😂😂
Huyu shoga hiyu
Ao wakweee wataisomaa😂😂
😂😂😂
Allah atuongoze ktk njia iliyonyooka Mm ninaombi kwa viongozi wa dini ya kiislamu mpenzi kazi inayoendana na dini yake Nimejikuta naumia alafu Sina Cha kumsaidia😢😢
Ukweli babangu umaridadi waficha umaskini
Dah .
Ndugu yangu rudi kwa Allah Acha ayo mambo kuna udongo mziti unakuja juu ya mwili wetu rudi ktk mstari ndugu yetu ktk iiman Acha kumtwii shaytwani
😂😂😂😂shemeji alikuwa mtamu
😂😂😂kwakweli nimedhalilika
SUBHANA ALLAH
Kwani kusoma quran ni kosa vp kwa wasiofanya mambo ya kidunia lakini ni wachawi na washirikina na wamekua wanafki wakifanya mambo hayo bila sisi kuwatambua ebu tuache imani mgandamizo
ungekuwa unazingatia usingee toboa masikio dhambi kubwa kwa Mwanamme anae jifananisha na Mwanamke kaalaniwa duniani na akhera yaKe sasa mshaanza kucheza na qruan yeke
jmn unafanyaje hii
😂
Ifike tumuogope Allah hata kama kama kitabu kipo kichwan hakiendan na ulivyo kikubwa tubia Allah atakusamehe maisha ni mafupi makazi yetu ni akhera
Haikuwa mabalaa inayotufika ila n kutokana na machumo ya mikono yetu wenyewe
😢😢
🤲🤲🤲
Shombe shombe
Hii dini ya uislam si dini ya mchezo mchezo Wacheni mzaha na hii dini
Wewe acha kumchezea mungu
Wallah niwaomben watu wamitandao jakuna kikubwa kama kulifaham kosa nakuliombea msamaha. Kijana njoo in box nikupe kitu wenzio ndio sio miziki tu ilikuwa tu ndio tunasema et qaswiida majuto tunayo hakuna anaejuwa kwaiyo sasa wewe miziki nakuchezea acha. Acha acha nautubiye nahongera.
quraan haimsaidii dhaalimu bali inampa khasara tu ....quraani inawasaidia wachamungu sio dhaalimu
Anamfanyia Allah mtukufu istihzaai .....dah amakweli sasa tumefikia pabaya mpaka miziki itaimbwa kwa aya za quraan na wakemeaji wakikemea wanatukanwa na wapumbau wasiojua nini maana ya uislam subhaana llaah ..kijana acha tabia hiyo ...ujeur ni dhambi ya ibirisi aliye laaniwa
Mcba
Hereni maskioni arafu unamzihaki Allah
Dogo achakujichanganya ,umeamua kumfata shetani usimjaribu Muumba,utapotea . Njia nimbili ya shetani au Allah. Hizi ni nasaha tu.
Unasoma una herini du mtihani
Mimi wakwaza nipeni lik zangu
Clam noma
hongera sanaa
Mnaendana sanaa mpaka naona wivu hongera sanaaa ❤❤❤
Bhanaaa mi naona tusimlaumu D""Voice""mbona Kuna mashehe tunawajua niwazinifuu tuu na niviongozii wa dinii vip kisa msanii huyu kasoma Quran kavaa hereni mna shaut
usimdanganye mwenzio tafadhal huna pepo ya kumuweka na wala huwezi kumsaidia adhabu ikimkuta acha kutetea ujinga
anapata lana 2o quruan anaijuwa au anatania angeijuwa qsinge imba mziki
Amina mm naomba unifahamishe ile cream ya hips jinsi ya kutumia na siram yake